No need.. He's more talented than otile who releases a bunch of average songs.. He only needs support from the fans
@MileleFm5 жыл бұрын
Finally it's out... This is a Hit and perfect timing during this Valentine season... Sare A Big Tune!!! #AlexNaJalas
@abdirahmansmart38965 жыл бұрын
Big up team #AlexAndJalas support good music 🎶 kizuri chachiuza. masauti anaweza tena kwampigo
@skgilberttv5 жыл бұрын
Big up.... Lazam ifike 100 thousand views #AlexNaJals
@nzisakasau82345 жыл бұрын
ngoma Kali jalas na Alex you are the best
@elijahkenya55095 жыл бұрын
#Alexandjalas
@marvotv5 жыл бұрын
Milele Fm Marvo Di Gwanso Boombaye Official Video kzbin.info/www/bejne/i3iVpmeurMaDhbM
@DJPEREZ5 жыл бұрын
Hapa ndio kwetu. Nakubali
@kossieseii855 жыл бұрын
DJ PEREZ mix ya pure kenyan hits Jan-Feb 2019 itakam lini? Can’t wait to get down 👌🏾🔥
@brayo0015 жыл бұрын
Sasa wacha mix zako za naija
@bornstermuziqk39035 жыл бұрын
Kweli
@DJZeZe2545 жыл бұрын
Sasa Eka mix za naija kando kiasi... Ama uzi #SARE all the same....😂😂😂😂
@DJPEREZ5 жыл бұрын
@@DJZeZe254 haha.
@katotokatamtam13525 жыл бұрын
I think masauti can do all Wasafi artist..... Masauti this year ni yako.... Wapy die hard masauti fans
@luckyboiofficial43425 жыл бұрын
Nice
@luckyboiofficial43425 жыл бұрын
Kabisa
@officialsunrays60405 жыл бұрын
Kabisa masauti ako juu
@katotokatamtam13525 жыл бұрын
Fire
@lucynduati95715 жыл бұрын
True
@flossytrukid5 жыл бұрын
Hatari best rayvanny hapa Kama unamkubali masauti gonga like kasonge.......collabo ndo nangoja tu na otile
@chomzie40215 жыл бұрын
Utashangaa wakenya wamiminika bongo wakati vitu vikali hivi vipo nyumbani
@lynnadala40985 жыл бұрын
Aibu kubwa.....
@kassammwalo56635 жыл бұрын
Oyoooo play kenyan music call 999🚔ma niggah masauti is on🔥🔥🔥🔥wapi likes za 254 nipeni likes 254 tujuane
@Chillaxingpics5 жыл бұрын
Naona watu wameanza kujua Mombasa Kenya kama Tz tu Kiswahili SARE!!! Nyimbo Saree...Ila mapromoter wa Mombasa faki wanaumziki pwani Kwa kupromote watanzania...Nikimtaja MTU KICHWA kitauma hapa...Big up masauti kazi sambamba,,,UMEWEZA
@SHARONMKARYE5 жыл бұрын
Tumefika Mimi mkenya.. nishatulia... nimekolea jamani.... kwa herufi kubwa MASAUTI+OTILE= end of wasafi! KENYA RISE!!!!!!
@ramanpoettv9772 жыл бұрын
Bro hata ukaimba song ngapi kwahii industry... SARE ni ngoma kali sana, unajua mziki kaka nadhani unanielewa... Keep up mzee
@badhrukhaleedih73615 жыл бұрын
Best of luck masauti
@issamohamed37872 жыл бұрын
Mswazii Msautii
@mikearafat44055 жыл бұрын
Kenyan's aki. I wonder why such a big tune hasn't reached even a half a million views. Mnatakanga nini??
@mtubei95675 жыл бұрын
Lyrics Masautii ooooh kenyan boy Baby mi nawe sare(sare)sare sare Tunafanana sare(sare)sare sare Nakukabidhi moyo wangu, moyo wangu Mama unitunzie weh Malkia wa penzi langu, fahari yangu manyaku wasikunyakue eeeeh Wanijua mwenyewe utundu kitandani nilewe,mpaka chumbani sitaki uchelewe Ili tu niwe nawewe, oh my baby nichombeze zidisha penzi hadi nilewe taratibu basi nikoleze hadi nikolee umenifanya zuzu umenikoroga,ndio maana kwako mi siwezi toka kabisa nimeganda,nimeganda hata wakisema umeroga,kwako kamwe mi siwezi toka kabisa nimeganda,nimegana chorus Baby mi nawe sare(sare)sare sare Tunafanana sare(sare)sare sare Baby mi nawe sare(sare)sare sare Tunafanana sare(sare)sare sare Kila niamkapo sura yako ndio naitazama, Ukicheka shavuni dimpoo mtoto sauti kinanda Natamba na penzi lako kitaani mi navimbaga Washakunaku macho kodoo hawana hata la kusema oooh Yaani toto la kishua,unavyonizuzua ndio maana ukinipa mi sikinai ooh sikinai You bust my medulla,unavyosasambua ndio nikiwa nawe najidai eeh Najidai umenifanya zuzu umenikoroga,ndio maana kwako mi siwezi toka kabisa nimeganda,nimeganda hata wakisema umeroga,kwako kamwe mi siwezi toka kabisa nimeganda,nimeganda chorus Baby mi nawe sare(sare)sare sare Tumefanana sare(sare)sare sare Baby mi nawe sare(sare)sare sare Tumefanana sare(sare)sare sare Ooooh eeeeh mi nawewe sare,sare sare Baby Tunafanana nawe sare sare ooooooh baby chorus Baby mi nawe sare(sare)sare sare Tunafanana sare(sare)sare sare Baby mi nawe sare(sare)sare sare Tunafanana sare(sare)sare sare
@albertpharis81165 жыл бұрын
nice track,,yani kaka kuna kitu unacho ata sijui ni nn,,lakini kazi nzuri ivo ivo nakuona utafika mbaaaaaliii sana,,sai uko level za wasafiisaii na ndo tunavyotaka apa kenya,,ni kati ya wasanii ambao mnatufanya tunaanza kujivunia mziki wetu,,#SARE THUMB UP
@misswamboh95855 жыл бұрын
Team notification,,Our Kenyan boy sauti kama kinanda,,tunakukubali sana Masauti #PlayKenyanMusic
@swalehjayernesto64235 жыл бұрын
Watu wa Mombasa hoyee play Kenyan music# gonga like twende pamoja masauti yuko juu keep it up bloody
@ChezaaAfrica5 жыл бұрын
Sijawahi miss top 10 comments...ngoma Kali Sana🔥🔥
@michaeljohn76965 жыл бұрын
Nyie anae mkubali huyu mjamaa mnipe like sare sare mkenya mmoja
@challybrown25425 жыл бұрын
Kali hata kama sijamaliza kusikiza,,,likes za masauti tieni hapa
@bettywachia6985 жыл бұрын
Masauti si bae nakupenda bure
@brauliolopesdepina33423 жыл бұрын
I really love this song although I dont understand Swahili. Thumbs up to Kenya. So much love from Cape Verde🇨🇻
@ismaelowino87515 жыл бұрын
Mimi tangu waseme tucheze ngoma za kenya 100% nilidelete ngoma za willy paul nikaeka ngoma za masauti na otile brown zote
@afyaaftabdeaftin46515 жыл бұрын
this is what we want......... masauti....... best musician in Kenya right now endelea hvyo.....you can beat wasafi Ata si hawa Mafala Wetu ..........CHAPA LIKE KAMA UMEJUA TUMEPATA MSANII MNOMA
@ZunguFarid Жыл бұрын
Mziki mzuli ndio fulaha yetu one love ❤❤❤
@brayo-kuss80815 жыл бұрын
Jalango made otile great Jalango will make masauti great
@anatii_podcast2545 жыл бұрын
kibokoo hiii kizazi zaidi
@charlsemusina96985 жыл бұрын
Nakukabithi moyo wangu mama unitunzie 🔥🔥🔥🔥👏💪🇰🇪🇰🇪
@muawiyahabdi47564 жыл бұрын
Wapi like y masauti🔥
@esthernjoroge69195 жыл бұрын
Am late bt nipeeni like mbili jamani...tamu sana masauti
@eddieranksmccapello95865 жыл бұрын
Yaani sina lakusema bro...Mungu akuzidishie kila atakacho kiomba ..... #SARE# 🔥🔥🔥🔥
@MikeMarshall175 жыл бұрын
Gonga like ya Kenyan Boi.
@avon_dido5 жыл бұрын
nakuaminia sana mkubwa wangu@MasautiOfficial💥💥💥
@khamismasaai53075 жыл бұрын
Kabla hujajulikana nilikuamini nd ur on it hommie wish michapo angelikua anaona hili balaa big tune always.
@reggie431 Жыл бұрын
My favourite❤
@officialdanlyraz99865 жыл бұрын
nko apa wa kwanza nikisema #playkenyamusic @masauti mbayaaa
@nikeveek2 жыл бұрын
When I was in campus this song was my best hAdi leo 2022 Masauti 😍❣️
@lorrineagnes56894 жыл бұрын
Who still listens I love this song ☺️
@masirajunior20624 жыл бұрын
My favourite maze.
@maryanmohamed94585 жыл бұрын
Kazi safi...tumfikishe 1million please
@wemakalam32335 жыл бұрын
Kwa masauti sitoki tena huyu jamaa ni motoooo@masauti kenya.kila ngoma ni fireeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@andyadrien58215 жыл бұрын
Gonga like kudhihirishia Masuti anaweza
@chrisbreezy83865 жыл бұрын
Tukimsupport huyu kijana wetu Masauti kenyans ataangusha hata Wasafi wote plz Tz nzima joooh baby nimesare
@morgan_biggy96145 жыл бұрын
Kenyan boy 🇰🇪🇰🇪.. Star boy ✔️our own boy 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤙
@marygatika71605 жыл бұрын
Imeweza 😎😎😘
@ellyochieng40355 жыл бұрын
Masauti+Otile Brown+Arrow bwoy+Kelechi Africana are the future of Kenyan Music. These guys are better than Wasafi
@nasibbabu96615 жыл бұрын
Elly Ochieng ifikie wapambe na wanafki wanaoponda mziki wa +254
@zachariahmukewa33515 жыл бұрын
elly.. na nadia kwa io list pia
@janicerobbie17685 жыл бұрын
This is true😍😍😘
@jeffkinyua58045 жыл бұрын
#AlexnaJalas masauti Otile brown na Arrow bwoy = Wasafi kwisha
@denilsonjanja71355 жыл бұрын
Yea now this is music, TZ watch this frm 254
@stevenopiyo53275 жыл бұрын
Ngoma Safi....imekubalika. Masauti, my all time favorite artist. (Gonga like pon dis one)
@UduduComedy5 жыл бұрын
Masauti go go go. I like the way unatupea morale ya kulike na kucomment
@masirajunior20624 жыл бұрын
MASAUTIII!!!!
@jamesgicheha82655 жыл бұрын
Kenya's next big thing wapi like za kenyan boy
@munaisagboy78425 жыл бұрын
True pewaaa likes
@listentoquranandmawaidhach49925 жыл бұрын
Aki wa Kenya tuko wapi hii ngoma kabla next year ifike 1 million we support our own Masauti,hii ngoma imeweza🔥
@lyricsnation0015 жыл бұрын
Alafu utawaskia wakisema kenyan music haina content sijui quality Its about time you play 254 music
@freelancer63685 жыл бұрын
This is exceptional bruh
@ahmedmohammed63675 жыл бұрын
Hii ngoma iko nomaa Masautiii. .👌👌#SARE # team Kenya na nyenginezo nipeni likes baciii👈👈👍👍👍
@RitzeeTheExplorer5 жыл бұрын
Safi kaka .. let's get it to a million views in 1 week. We can do it.
@dadiehderkz99695 жыл бұрын
Fav of all time masauti
@AlmaCisse5 жыл бұрын
Wanijua mwenyewe mtundu kitandani NIELEWE....
@FELIXKIMULWO5 жыл бұрын
Hatariiiii 💯🔥
@joekiba72365 жыл бұрын
Masauti nimekuwa nikikupenda sare toka enzi za usikate tamaa😍😍
@max_mwangi5 жыл бұрын
Ngoma ni kali🔥🔥🔥
@remusrunya28355 жыл бұрын
Huyu kijana kakamilika,sauti mistari nyumbani
@karimabubakary3854 жыл бұрын
ONGERA CHALII HIVI NDO VITU VYA KUIMBA NDUGU ZETU WA 254 HAPA HATA LIKES ZA WA TZ MTAPATA NYINGI TU ONE LOVE FROM TZ
@rickyarun83095 жыл бұрын
This is what i call music,,,,,,,,,,,,,,,,,,>>>>>>
@limoyano24165 жыл бұрын
Mkenya Daima
@ibrahimsamir79045 жыл бұрын
Tangu mara ya kwanza mimi kusikia "Nurulain" yake Masauti nimejipate kumbe sikukosea...Bid up man "Sare" is already a hit...💣💣💣
@ritcheyrieymusic47945 жыл бұрын
Lazima mwaka huu wataiga tu Kila kuchapo moto🔥wazidi kuwaka watapata tabu
@luminousmusic55205 жыл бұрын
masauti is the best kenyan male artist i dont speak swahili lakini hiii ni mooto sana imekubali
@fuadabdalla70975 жыл бұрын
KIJANA YANGU PITIA HIO NJIA HOPE UNAONA WAKENYA TYPE YA MZIKI WANAO HITAJI PITIA HUMO HUMO MWANAA KIENBENI MASSIVE KWA SANA PAMOJA KUZAMA KUZUKA MPAKA MASAUTI AELEWEKE
@ChezaaAfrica5 жыл бұрын
Masauti mapping us...Lets support our own, dope track and visuals 💯
@barasajude67615 жыл бұрын
Wakenya tunatakanga nini ingine.....
@theirzone39135 жыл бұрын
Masauti is worth a subscription, a like, a follow, or even a chase. Masauti on top of this game
@carolinegitonga91705 жыл бұрын
This song deserves more views!!!!! @youtube
@wycliffeooga39995 жыл бұрын
Somebody tag OG... This is called music and can be played anytime any station others are called noise played on clubs to make you high...
@LoxDeChiz5 жыл бұрын
Ya kijanja na kizazi sana #Kemusictotheworld #LDCRaps #playkemusic #Kecontenttotheworld
@_bigphi5 жыл бұрын
Tunafanana sare ❤️🌹 Like Kama imeweza 👍
@francismoi45125 жыл бұрын
Achana na Nandy kwanza piga bonge la Collaboration na ndugu we2 wa hapo Mombasani"BADMANSHIVO" kwanza,Au mafans mwasemaje?💪💪💪
@chrissbreezy65405 жыл бұрын
Fanya juu chini ufanye collabo na otile.....talent iko but lazima ukaze kisabuni... kuboost mziki wako...
@melvinwafula63795 жыл бұрын
Wanamziki wa mombasa,nyie ndo tumaini katika mziki wetu wa kikenya,jaman you are our last hope in reviving our music...Good Work Masauti
@juliemsupa3505 жыл бұрын
*Sare* 🔥🔥 🔥 *Masauti Ana Sauti* ✔️🎶🎤👯👯 👯👯🎤🎤🎶🎶🎶🎶🎶🎤🎤🎤👯👯👯🔊
@adamsonvibes26025 жыл бұрын
KOLABO........OTILE,MASAUTI AND KALECHI AFRICA
@eunicestanley77975 жыл бұрын
Nilingonja as jalango said.... I slept.. At 5.04 nikakumbuka mbio headphones and phone. KZbin..... Masauti.......this one is lit
@jnrmwavitu65335 жыл бұрын
Kila niamkapo sura yako ndio naitazama 💥💥Sare Kali Sana yani hili goma latosha mboga😍
@djbosskenya5 жыл бұрын
Finally.. Saf Sana kaka But msituweke waiting hivo sana. Keep your time ama don't guarantee us on the release time. Matumbo zetu zitaungua ju ya kungoja sana halafu mkose Viewers.. 😜 😂 😂 Otherwise @Masauti aim Higher bro. Good stuff.
@frankmaina54655 жыл бұрын
kama umetumwa hapa na jalangoo gongs like
@peteradamz2325 жыл бұрын
Na bado utapata presenters wanacheza kwangaru
@officialnikkyviddo87115 жыл бұрын
Uwo ndo mtindo wetu kaka,ni mwendo wa kasi tusilengeze nanga.....wa bongo watajuaje kuna mkali wao Kenya
@officialnikkyviddo87115 жыл бұрын
Bro nina ngoma moja Kali ningependa ww uifanye akika,nahisi itakuwa bonge LA dude...mwandishi ni mie,nikufikie vipi nikuoe ilo nyimbo
@mkenyahalisi10475 жыл бұрын
Wapi like ya MASAUTI,,I love this song I wish but I have nobody to be SARE..
@amounanyale92205 жыл бұрын
Chombeza sare sare like whaaaat hii ngoma ni top masauti unaweza
@worldtrends925 жыл бұрын
Kenyans love songs done in swahili sanifu, that's the secret to conquer the kenyan market