MASHABIKI WA YANGA WACHAFUKWA WAMKATAA RAMOVI HAKUNA KOCHA PALE HATUMTAKI AONDOKE GAMONDI ARUDI

  Рет қаралды 18,394

69Sportstz

69Sportstz

Күн бұрын

Пікірлер: 40
@faisaloaljabry6400
@faisaloaljabry6400 5 сағат бұрын
Kwani gamondi hakufungwa zaidi ya hizo goal 2 msijitoe akili vumilieni mlitaka kujua yanga inafungwaje sasa mnaonyeshwa mnavyofungwa tulieni dawa iwaingie
@stevenkalenzo6457
@stevenkalenzo6457 4 сағат бұрын
Pigwa pigwa pigwa pigwa pigwa pigwa pigwa pigwa aibu Sana yanga Mnatuaibishi watanzania yaani mnafungwa na wakimbizi
@edsoneliah2802
@edsoneliah2802 3 сағат бұрын
Mtauana mwaka huu....shida mnaingia uwanjani na matokeo ya ushindi...mtapata tabu sana
@KassimMaulid-fb9pv
@KassimMaulid-fb9pv 5 сағат бұрын
Poleni sana watani
@harunaadam8973
@harunaadam8973 2 сағат бұрын
Nikiona Watan wamevurugwa hivi tunafurahia saana
@TRIPLEDMAZIWAYANGAMIYA
@TRIPLEDMAZIWAYANGAMIYA 3 сағат бұрын
Pumbavu leo chama kawa fundi?
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 3 сағат бұрын
ONDOKA WEWE SHABIKI WA SIMBA HAYAKUHUSU.
@mustafaally-rp4mw
@mustafaally-rp4mw 5 сағат бұрын
Kulujuani inafanya kazi
@ElkanaNgosha-k2n
@ElkanaNgosha-k2n 3 сағат бұрын
Ilifungwa na Tabora
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 4 сағат бұрын
Kocha huyo tatizo hataki wachezaji wadungwe Sindano😊
@MaduhuSeen
@MaduhuSeen 3 сағат бұрын
Nyie yanga mntangatang mala gamond hafai mala oo hyu kocha hafai mfa maji haachi kutapatpa mtakomaaa mpk mkomeee
@HussainMaula-f9b
@HussainMaula-f9b 4 сағат бұрын
NA BADO MTAFUNGWA SANA NA YULE ALLY NDIO ANAWAFELISHA
@AsumntaAmos
@AsumntaAmos 4 сағат бұрын
Mpaka mseme na Badoo 😅😅😅😅😅
@amiroKimaro
@amiroKimaro 5 сағат бұрын
Yanga tunakwama wapi?
@morrisabdon7881
@morrisabdon7881 4 сағат бұрын
Gamondi kasaini Singida. Mpambane na hali yenu. Gusa twende kwao haikuwepo???
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 3 сағат бұрын
MLISEMA KOCHA ANAWALETEA PIRA LA UJERUMANI PIRA LA SHIKA ACHIA.
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 7 сағат бұрын
Wanafungwa na wakimbizi kudadadeki Hersi anaendesha team peke yake kama mali yke
@NchamaMeza
@NchamaMeza 4 сағат бұрын
Bado hamjasema mnafungwaje ndo hayo mliyataka, mlitaka malaika mcheze nao
@saimonijonas1471
@saimonijonas1471 4 сағат бұрын
Kocha unamlaumu kwa lipi?
@edsoneliah2802
@edsoneliah2802 3 сағат бұрын
Na bado hamjasema
@TwalibumsaaMusharaba
@TwalibumsaaMusharaba 4 сағат бұрын
ww kosea usemi wako utopolo ukawa lini mzuri 😂😂😂 kesho kura 😢
@nickylwanji8985
@nickylwanji8985 5 сағат бұрын
We mwandishi hujielewi unampaje shabiki wa simba maiki nakati mashabiki wa yanga wanadukuduku lao kulitoa
@SwahibuMsakula-w9c
@SwahibuMsakula-w9c 5 сағат бұрын
Malaika hamuwatakitena Wana yanga
@josephgalandu128
@josephgalandu128 5 сағат бұрын
Timu ikishinda ugenini je mtasemaje???
@OmarSuleiman-o8o
@OmarSuleiman-o8o 5 сағат бұрын
Kwa yanga hii labda ibadilik san
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r 3 сағат бұрын
Haipo hiyo endelea kuota
@NazoLongo-u8e
@NazoLongo-u8e 5 сағат бұрын
Jamani yanga kapigwatena
@peterpetermdaku1691
@peterpetermdaku1691 5 сағат бұрын
Niliwahi kusema na narudi banka si beki mgumu ni mbovu sanaa 😂
@AthumaniAthumani-zq1gx
@AthumaniAthumani-zq1gx 5 сағат бұрын
Walikufulu kusema tuletewe malaika tucheze nao bado mechi 7 za kufungwa na sale zao nyingi
@bukaone7507
@bukaone7507 5 сағат бұрын
Kabisa yani
@eliasnyondo-z5u
@eliasnyondo-z5u 4 сағат бұрын
Mlimzalau mungu eti malaika washuke mcheze nao ndo mfungwe sasa mungu anawajibu
@AndrewKundya
@AndrewKundya 3 сағат бұрын
​@@eliasnyondo-z5usio mungu ni Mungu
@SirajiZacharia
@SirajiZacharia 5 сағат бұрын
Tutamkumbk Buggati tu
@josephatjosephat
@josephatjosephat 4 сағат бұрын
😅😅
@GidionLukwatage
@GidionLukwatage 5 сағат бұрын
🙈🙈🙈🙈🙈
@IsmailiMakuya-gy8co
@IsmailiMakuya-gy8co 5 сағат бұрын
Haaaaaa
@rosejakha8898
@rosejakha8898 5 сағат бұрын
Jaman nyie c mmesema mmepata kocha katili
@errydeo8865
@errydeo8865 2 сағат бұрын
Upumbavu mtupu!
@josephgalandu128
@josephgalandu128 5 сағат бұрын
Hahaaa Coch kapeww timu ishafungwa mechi mbili,na ana siku tatu anacheza ,mnlaumu vipi???
@chayomgonja3131
@chayomgonja3131 5 сағат бұрын
Upeo mdogo sn..
Муж внезапно вернулся домой @Oscar_elteacher
00:43
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 19 МЛН
Real Man relocate to Remote Controlled Car 👨🏻➡️🚙🕹️ #builderc
00:24
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 142 МЛН
ALLY KAMWE: APA NDO TUNAONA UMUHIMU WA GAMOND
8:02
MayungaOnline
Рет қаралды 2,2 М.
Муж внезапно вернулся домой @Oscar_elteacher
00:43
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН