Umbea gani hapa wakati wenyewe ndio wanaohusika na huo umbea? Kwani ilihusu nini kujianika mitandaoni kwa kila kitu maishani mwao.. Lulu na mama yake wajitathmini.
@mfungonishauri42349 күн бұрын
Wacha umbea wapo vizuri..
@rahelihaule9 күн бұрын
Wacha umbea nyie mna fukunyua mno
@qubyackim46888 күн бұрын
Acha uzwengendaba usichoelewa hapo nini
@salhamrishoi494310 күн бұрын
Umbea2 kuoga aaaah acha uboya
@fatmafatu112810 күн бұрын
Acha umbea kufatilia maisha ya watu leta ya kwako tuyajue nyangau wewe