MASTER J : DIAMOND ANA RUNGU LA FITNA, MBOSSO ATOKE KWA HERI WCB/MR NICE AMEZINGUA NAMCHANA

  Рет қаралды 45,937

EastAfricaRadio

EastAfricaRadio

Күн бұрын

Facebook: / earadio
Twitter: / earadiofm
Subscribes: / @eastafricaradio

Пікірлер: 89
@JohnBukway
@JohnBukway 6 күн бұрын
Kumekucha ,,,,, my best choice to Tanzania artist iz mbosso, so you are able to make any choices as you see wiil led to beneficial my brother, I appreciates you much
@HdhdhdhdhJdhdhd-o6c
@HdhdhdhdhJdhdhd-o6c 7 күн бұрын
yunus kutoka Mtwara j nakukubari sana kaka wangu
@Trestartz
@Trestartz 7 күн бұрын
#Kusah bongo flavor ARTIST🇹🇿 number ☝️✅
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 7 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 wacha mama kuki akusikie😂😂😂😂makonzi tuu
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 6 күн бұрын
Pia wakati huo wali kua wana lipwa kidogo lakini maisha ilikua nafuu si kama sasa wana lipwa mingi na maisha magumu na matumizi yao iko juu sana
@officialsammapesa
@officialsammapesa 5 күн бұрын
Maisha ni Yale yale
@MarcBoniphace-lj8lz
@MarcBoniphace-lj8lz 4 күн бұрын
Good
@DennisMabuka-tv2bv
@DennisMabuka-tv2bv 3 күн бұрын
Hii station ilikuwa noma sanaaa Kenya enzi hizo
@deemoolahthedirector4568
@deemoolahthedirector4568 6 күн бұрын
LUKAS miyeyusho 😂😂😂😂😂
@ahmadamigeyo3929
@ahmadamigeyo3929 6 күн бұрын
Yan masters J we mnafiki sana
@mambadifenda4602
@mambadifenda4602 Күн бұрын
20 Percent is bigger than all of them💯✅
@RizoIbrahimovich-z4f
@RizoIbrahimovich-z4f 7 күн бұрын
We Richi aaaah mbon nyingi sana au kwasababu unammuoojii master jay
@Kingsugerrrfamily
@Kingsugerrrfamily 6 күн бұрын
Kwanini mnaweka beats kwenye background adiatusiki maneno vizuri napia inaweka kelele jamani kwanini
@GasperKapungu
@GasperKapungu 6 күн бұрын
Saida jamani alikuwa msanii wa kawaida sana uwezi mlinganisha na Juma nature au prof jay.saida alihiti na wimbo mmoja tu chambua kama karanga basi
@Fgldesigns
@Fgldesigns 6 күн бұрын
Sasa hiyo nyimbo moja ndo alihit hivyo hivyo kiukubwa
@SaidSalim-s7h
@SaidSalim-s7h 6 күн бұрын
Iyo miziki mtu akiongea ikizimwa Kwan inakaaje😮
@TALLUBOY
@TALLUBOY 7 күн бұрын
East Africa radio ni radio kubwa na tv kubwa sanaaaa kaka master j nakukubal kinomaaa kaka upo timam sana kwenye uh mziki uh Aaaa unaujua uongei uongo na unaongea vitu ambavyo vitu vipo tu!
@joesplatnumz
@joesplatnumz 6 күн бұрын
Mjazeni upepo mbosso then ajionee akitoka 😂😂😂😂 apambane kivyake
@Trestartz
@Trestartz 7 күн бұрын
JAMANI #KUSAH Humuoni kwenye BONGOFLAVOR
@CyplianSambagi
@CyplianSambagi 7 күн бұрын
Master jay anaonekana pesa ipo
@zaxy_5ive
@zaxy_5ive 2 күн бұрын
Pesa inaonekanaje hapo😂😂😂
@CyplianSambagi
@CyplianSambagi 2 күн бұрын
@zaxy_5ive IQ inaonesha yupo vizur Hana njaa ongea nawe nikuone nikutabilie😁😁
@flova7022
@flova7022 6 күн бұрын
Hayo makelele vip
@MrHouse-d8b
@MrHouse-d8b 5 күн бұрын
Kabisa kaka est Africa radio na tv imewatanganzaa wasanii wengi sana hata Uganda na Kenya ngoma zao zilitembea sana kwa chanel 5 na East African
@jacksonlwehabula5468
@jacksonlwehabula5468 6 күн бұрын
Master genius sana yuko real sana
@mugadimon3563
@mugadimon3563 6 күн бұрын
Exactly halafu wengi wanaombishia hawana detail ni blaablaaa
@strong8534
@strong8534 6 күн бұрын
Punguzeni sauti ya back sounde, hamsikike ftesh
@richardtom38
@richardtom38 6 күн бұрын
Huyu jamaa kuna mda akili nae zinaruka
@MustapherKapangala
@MustapherKapangala 6 күн бұрын
et wakat nature yuko hot et rich alikua shule khaaa
@yusuphmarijan3704
@yusuphmarijan3704 5 күн бұрын
Background io nyuma kubwa sana bana
@MikeFuraha-rw6dr
@MikeFuraha-rw6dr 7 күн бұрын
Baba lao😂😂😂😅😅😊🔥🔥
@samchris1914
@samchris1914 5 күн бұрын
Lucas Mkenda😂😂
@deemoolahthedirector4568
@deemoolahthedirector4568 6 күн бұрын
Bonge la interview 🔥🔥🔥🔥
@Mryeddy2025
@Mryeddy2025 4 күн бұрын
Li Master J linasemaga Ukweli
@naithamomary5952
@naithamomary5952 6 күн бұрын
Sawa huyo saida kalori alivykuwa anajaza uwanja ilikuwa kiingilio ni bei gani
@MwanalimaGalgalo
@MwanalimaGalgalo 6 күн бұрын
Sir necha😂😂
@channyanjen9047
@channyanjen9047 7 күн бұрын
Zuchu 🎉🎉🎉
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 6 күн бұрын
Rich hauko systematic,hujui kupresent, hesitation nyingi
@happinessmillinga387
@happinessmillinga387 17 сағат бұрын
RICH NDO HUYO ALIEVAA BLACK?KAMA NI YEYE BASI NAKUUNGA MKONO
@coopare9042
@coopare9042 4 күн бұрын
Punguzeni ngoma kwa interview..wengine hatuna masikio mazuri...
@victormauggo
@victormauggo 6 күн бұрын
Yote umeongea ila ukiwa wa diamond hapa east Africa hakujawahi tokea ...period
@jacobopaul6440
@jacobopaul6440 5 күн бұрын
Huyu jamaa alishakuwa mchambizi wa mziki Nini 😅😄
@Luckyme-b4i
@Luckyme-b4i 4 күн бұрын
Anajua sana mziki huyu ni producer ❤
@Chillah19
@Chillah19 7 күн бұрын
Simba dangote🎉🎉🎉
@EstomiiJosefu
@EstomiiJosefu 5 күн бұрын
Mbona unafinya vidole sana jama??!!😢😢
@tigejuma9865
@tigejuma9865 6 күн бұрын
Hapo awali ilikua social media haijakua maarufu kwa baadhi ya inch.......Kila mtu anafanya kwa uwezo wake....alafu kila utawala na Sheria zake...na wafwasi wake.😅
@GasperKapungu
@GasperKapungu 6 күн бұрын
Kakwepa swali la Juma nature kwasababu Juma nature alikuwa anarecodi kwa majani tu sio kwa master j
@WistonMushi
@WistonMushi Күн бұрын
Jeshi 🤎
@EdwardAnthony-c7u
@EdwardAnthony-c7u 6 күн бұрын
Huyu Rich msafi hawezi fanya interview bila kumtaja Diamond
@mbarakasaidi8243
@mbarakasaidi8243 6 күн бұрын
Diamond akifa atasifiwa nawengi sana nawengi wao wanaomponda leo
@humbleshoal
@humbleshoal 6 күн бұрын
Hapondwi ila mtu akiondoka kwake kwa ubaya, anamfunika mbona iko wazi tu!!?
@KaramaKiumbe
@KaramaKiumbe 6 күн бұрын
ACHA uongo wewe jamaa unaroho mbaya sana!
@Thebatony-a
@Thebatony-a 5 күн бұрын
Uwongo huo show gan Saida alijaza na mwaka gan kunA muda ma legend mkitudanya mkumbuke Dunia Kijiji huo ni uwongo seme umemkaa juma neture kwakua hakua katika studio yako
@Mbarukuhawa
@Mbarukuhawa 5 күн бұрын
Alijaza Uganda,na uwanja wa Taifa utakuwa ulikuwa mdogo mwanangu.
@waridahashimu8431
@waridahashimu8431 3 күн бұрын
Alijaza uganda ,mtoto wa elfu 2 huwez elewa😂
@Barakanenealldays
@Barakanenealldays 7 күн бұрын
Eti alot of equit ndio nn master jay
@magrethmagonza186
@magrethmagonza186 6 күн бұрын
Huyu kaka mpuuzi sana anajisdhusha heshima anazurula media kumsema dai acha wivu. Mbona nyie mnatafuta vipaj8 Mbona hatuoni wasanii wenu wakiimba km unavyosema kutwa kutoa kasoro onyesheni mfano halafu ndio uchonge mdomo. Mkome kumsema mtoto watu kila siku .
@Fgldesigns
@Fgldesigns 6 күн бұрын
Siku hizi wabongo hawaangalii kipaji wanaangalia umaarufu
@denishaule6314
@denishaule6314 6 күн бұрын
Yup correct 90%
@Smoke__code8
@Smoke__code8 6 күн бұрын
Uyo sio kaka ni baba ako
@moyanse
@moyanse 6 күн бұрын
Gen Z, dig down thats a Legend
@tariqmbonde1556
@tariqmbonde1556 5 күн бұрын
Sizan kama hampend diamond ila mm nahis anazungumza uhalisia kama legendary, na kama ww ni shabiki wa muziki tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000 bhas utaelewa
@odenmasebo9777
@odenmasebo9777 6 күн бұрын
ACHENI USHAMBA WA KUWEKA BIT BACK GROUND.....USHAMBA MDA WA INTERVIEW MTULIE
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 7 күн бұрын
Mr. Nice peke yake
@JohnMaros-q8y
@JohnMaros-q8y 7 күн бұрын
Kwanini alikiba ayupo kwenye liste ya wasani Wa Bongo
@DhaharaniJongo-gt2un
@DhaharaniJongo-gt2un 7 күн бұрын
kwa kuwa yeye si msanii
@BigZhumbe
@BigZhumbe 7 күн бұрын
Ali Kiba alikua anajambishwa na Mr Nice enzi hizo
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 7 күн бұрын
We hujielew
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 6 күн бұрын
Yuko kwenye wasanii wa marekani
@MimaJuma-h2t
@MimaJuma-h2t 6 күн бұрын
😂😂😂maybe wamemsahau bahati mbaya😂😂😂
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 7 күн бұрын
Hii medea kila sik n Diamond
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 7 күн бұрын
Kumbe pia wewe umeona. Wanamzungumzia yeye tuu
@MichaelMangugi
@MichaelMangugi 7 күн бұрын
Content nyingi za diamond zinaenda mjini kuliko msanii yoyote fuatilia
@samsoniBabayangu
@samsoniBabayangu 7 күн бұрын
Usiisikilize chapa mwendo,unamuambia nani sasa!!!?
@husseinpatel2956
@husseinpatel2956 7 күн бұрын
​@@samsoniBabayanguboya ww kanye ngazi uko 🫴🫴🫴
@samsoniBabayangu
@samsoniBabayangu 7 күн бұрын
@husseinpatel2956 mm najua unatoa kinyesi baada ya kufikishwa kileleni choko wee
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Mkasi | S13E03 with Master Jay Extended Version
49:49
MkasiTV
Рет қаралды 79 М.
KICHWA BOX
8:54
Joti TV
Рет қаралды 55 М.
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН