MASTER JAY AMFUNGUKIA NAY WA MITEGO WIMBO WAKE WA NITASEMA TANZANIA KUNA SHERIA

  Рет қаралды 2,295

Bongo Touch

Bongo Touch

Күн бұрын

Our mission is to bring people together,entertain and educate people that's why we create content that does exactly that

Пікірлер: 28
@barakamwantolwa4336
@barakamwantolwa4336 8 күн бұрын
Daaa Hawa ndio Wa TZ hekima vs Unafiki
@simontamba1285
@simontamba1285 7 күн бұрын
Na kuteka ndugu zetu wanawateka kwa Busara Huyu kalewa
@hamisimsosi6237
@hamisimsosi6237 17 күн бұрын
Sasa mastar hiyo elimu unayoitoa wewe hao basata wenyewe mboni hawatoi hiyo elimu wako kimyaa wanangoja wapigie fain au😭😭😭😭😭👏👏👏👏👏👏
@AminKanefu
@AminKanefu 20 күн бұрын
Kama hawatakii Ney wamitego aongeee Basiii Raisi amfanye chawa wakee ili apatee yootee ya wananchi Yuko Kwa ajili yeeetuuuu
@johnurio1900
@johnurio1900 21 күн бұрын
Master j acha mambo yako kwani kibaya ambacho ney ameimba ni nini ? Ambacho hakitokei tzkwani watu wanapotekwa huoni au wanaokufa huni acha ushmba wanaopotea na ndg zako wewe
@BongoEa
@BongoEa 21 күн бұрын
Wasaniii mjirekebishe
@simontamba1285
@simontamba1285 7 күн бұрын
Kama ndugu yako hajatekwa unaweza ona M J yupo sahihi
@johnurio1900
@johnurio1900 21 күн бұрын
Nyie haswa wewe unataka kusifia TU na wewe ndio mmoja wao wa machawa
@ostenmwakasita6960
@ostenmwakasita6960 21 күн бұрын
Huwo ni ujinga utaombaje kitu unanunua na unahela kweli Watanganyika hawajitambui ww msemaji rekebisha kauli Wamtego Yuko sahihi ww ndio unauchawa
@HalimaRamadhani-w8l
@HalimaRamadhani-w8l 20 күн бұрын
Kweli wamitego Yuko byeee
@davidchilumo6246
@davidchilumo6246 19 күн бұрын
Kwan mnaogopa nn kusema wazi wazi??.. Wabongo mtaendelea kua mbumbumbu adi lini???
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 8 күн бұрын
Huyu chawa
@nyemowanyotanjemaudm4360
@nyemowanyotanjemaudm4360 21 күн бұрын
Kuna watu wanamlaum ney lakin loho zinawauma sana lengo wanatetea ugaliwao ila ukwel wanaujuwa ndo maana mkiwa hiv kila sku itakuwa ngum sana kukomesha ujinga unaofanywa na baaz ya watu hapa nchn
@ModestaMichael-l5w
@ModestaMichael-l5w 20 күн бұрын
Acheni unafiki mim cjaona kibaya alicho imba rey kwan kasema ukweli
@filexkivuyo8383
@filexkivuyo8383 17 күн бұрын
Mwache ney wetu ksha fikisha ujumbee
@musiccaentertainment100k8
@musiccaentertainment100k8 21 күн бұрын
Huyu jamaa ni mjinga kweli kweli.. nani kamwambia kuongea kwa upole ni busara.. huo wenu wa kuogopa kukosoa serikali.. kila siku kusimu mama na mnafinywa
@adambakari9276
@adambakari9276 21 күн бұрын
Huyu si anataka ubunge kipind cha magu alipigwa chini na wajumbe😂
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 21 күн бұрын
Watanzania wametuma awatetee? Mambo mengine hata Baba kwenye familia hauwezi kua na misemo mibaya mbele ya watoto. LAKINI huko kwa wazungu mambo hayo ni kawaida lakini kwenye familia ambazo zinaitwa za kimasikini
@nyemowanyotanjemaudm4360
@nyemowanyotanjemaudm4360 21 күн бұрын
Wewe mastaj ni mnafiki tuu ndo maana mnawakatisha watu tamaa ya kuimba kuliko kuwa tia watu moyo
@chochotekitu-hf6of
@chochotekitu-hf6of 20 күн бұрын
Mbona wakiwasifia viongozi hamuwapangii maneno ya kuongea? Jichenge muda utaongea
@nyemowanyotanjemaudm4360
@nyemowanyotanjemaudm4360 21 күн бұрын
Ney nmusema kweli sku zote.mii naomba sku moja mtaje hata kimoja alicho sema ney kwenye Nyimbo chauongo .kabla hamjamuita ita huko kwenu.sema hamna ayibu tuu nyie mnapenda uongo usemwe kuliko ukwel
@mwalimhamad3825
@mwalimhamad3825 5 күн бұрын
Usability ni kufanya kitu mbadala yale yalikua mawazo ya ney wewe fanya yako tuletee mtaani sisi huku ndio marefa tutaamua kukupokea , ney katoka ivo wewe tokea mlango wa mbele
@ndayijeanclaude5094
@ndayijeanclaude5094 20 күн бұрын
Acha uoga wewe!! Mwanaume gani unaogopa kusema kitu ambacho kipo? Uchawa tu!
@NixonJohnson-zn8nk
@NixonJohnson-zn8nk 21 күн бұрын
Huyu ni mjinga hanyooki ni fisi
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 21 күн бұрын
Ujinga wake uko wapi?
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 20 күн бұрын
Mpuuzi wewe msenge
@yusufutomass
@yusufutomass 13 күн бұрын
broo unaeshimika lkn ume anza kuvuka mipaka kweni ww umekuwa basata au kweni ukinyamaza tu.watanzania wasemewe na wasani ww unaumia nn fanya wewe bc
@CHRISTOPHERKIMWAGA
@CHRISTOPHERKIMWAGA 21 күн бұрын
Chawa wewe
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 9 МЛН
World‘s Strongest Man VS Apple
01:00
Browney
Рет қаралды 67 МЛН
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
PROPHET IPM AMWAGA  UCHAFU WOTE WA DIDDY/ VIJANA ACHENI TAMAA
24:57
SALIM KIKE NDIO  MMILIKI WA CROWN FM
18:28
Dizzim Online
Рет қаралды 155 М.
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 9 МЛН