Maswali kwa TB JOSHUA Sehemu ya 1 - Pastor Emanuel Meshy

  Рет қаралды 1,058

ICC - Mito Ya Uzima

ICC - Mito Ya Uzima

Күн бұрын

1 Yohana 4:1 Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
Waefeso 4: 11 Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu;
12 kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma itendeke, hata mwili wa Kristo ujengwe;
13 hata na sisi sote tutakapoufikia umoja wa imani na kumfahamu sana Mwana wa Mungu, hata kuwa mtu mkamilifu, hata kufika kwenye cheo cha kimo cha utimilifu wa Kristo;
14 ili tusiwe tena watoto wachanga, tukitupwa huku na huku, na kuchukuliwa na kila upepo wa elimu, kwa hila ya watu, kwa ujanja, tukizifuata njia za udanganyifu.
15 Lakini tuishike kweli katika upendo na kukua hata tumfikie yeye katika yote, yeye aliye kichwa, Kristo.

Пікірлер: 14
@esiveanderson7227
@esiveanderson7227 4 жыл бұрын
Amina endelea kukemea wala asikae kimya Mungu akusaidie.
@newbornhaule1635
@newbornhaule1635 6 жыл бұрын
PASTOR UBARIKIWE HUU NDIO MOYO WAKUCHUNGA KONDOO WA KRISTO....
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 4 жыл бұрын
Wafundishe watu kumjua Yesu Kristo wa kweli,na sijui kama ni sahihi sana kumuongelea mtumishi huyo ni kupoteza muda na mwishowe kuonekana kama unahukumu,anyway tufundishe tu ili tuelewe,ubarikiwe sana mtumishi
@agneskikoti6964
@agneskikoti6964 4 жыл бұрын
INJILI KAMILI.... Tusipogeuka tukafuata kweli hukumu haruikwepa bado,,,, Utiwe Nguvu Pastor upate kuhubiri mpaka miisho ya nchi
@gideonligate3397
@gideonligate3397 5 жыл бұрын
Pastor kuna baadhi ya mambo ya msingi umeyauliza, lakini bado, you need discernment not to attack. Kuna elements za uchanga na arrogance ndani yako, nia inaweza kuwa nzuri, lakini presentation ya nia ikawa wrong which is the case with you. Tatizo la utakalolipata ni moja, wakati unahangaika na TBJ, ambaye ameanza ministry nadhani kabla wewe hujazaliwa na leo hii bado anaendelea kuponya watu, utaona wewe huendelei, unapomuattack mtumishi mwingine wa Mungu, uwezekano wa ministry yako kudumaa ni mkubwa sana, pia ni dalili ya kuishiwa. A spirit led person doesn't attack another man of God, but he prays for the man of God, he intercedes for the person to receive grace and being restored.Mungu akusaidie sana Mtumishi. Barikiwa.
@markomadundo778
@markomadundo778 4 жыл бұрын
Brkw
@nyakitoto5868
@nyakitoto5868 6 жыл бұрын
Pastor you are fighting a wrong battle na tb Joshua hanaga kujadili wanaomsema kanisani....co kazi yake mfuate live.
@apostleallenkipangula
@apostleallenkipangula 4 жыл бұрын
Pastor kama uliuziwa maji basi uliuziwa na mtu fake (fraudster) TB.Joshua hauzi mafuta
@alexsianga6307
@alexsianga6307 6 жыл бұрын
Sory for you dear brother. Kazi ya mungu aifanyi kama unavyo taka wewe..
@conferkikoti7626
@conferkikoti7626 6 жыл бұрын
unataka akujibu huoni aibu...your fighting awrong battle sisi tunatosha kukujibu plz look your about tocollups your ministry
@japhetjoseph1772
@japhetjoseph1772 6 жыл бұрын
Pastor acha uchanga wa kiroho wewe . Fanya kaz ya mungu kikamilifu ndipo utaweza kujua vya rohon . Kwanza ww unaonekana hata akil za kawaida tu hazitoshi? Sasa TB anaweza kuview umu tena kiswahili Alafu maswal gan? Ayo kasome biblia ktk roho ukue kiroho wewe
@jumamsafiri466
@jumamsafiri466 4 жыл бұрын
Ubarkiwe sana pastor .
@markomadundo778
@markomadundo778 4 жыл бұрын
Nazani na we hujakua bd
@markomadundo778
@markomadundo778 4 жыл бұрын
Mwamba angalia ukweli unao ongelewa we ulisikia wapi uponyaji unauzwa
Maswali kwa TB JOSHUA Sehemu ya 2 - Pastor Emanuel Meshy
43:16
ICC - Mito Ya Uzima
Рет қаралды 485
YESU YUPO WAPI? Sun, Sept 8
0:37
ICC - Mito Ya Uzima
Рет қаралды 1
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 38 МЛН
MAOMBI YENYE UFANISI , Aug 27
58:38
ICC - Mito Ya Uzima
Рет қаралды 15
Ukuhani katika agano la kale, Sambamba na Agano jipya, sun Sept 1
1:29:29
If You Wake Up Between 3AM & 5AM, DO THESE 3 THINGS! | C.S Lewis 2024
19:24
C.S. Lewis Legends
Рет қаралды 1,3 МЛН
Reinhard Bonnke
8:49
Smith Media Group
Рет қаралды 82 М.
KRISTO NI NANI KWETU? Sun ,Sep 1
1:32:06
ICC - Mito Ya Uzima
Рет қаралды 6
MAOMBI YENYE UFANISI  By shepherd Fadhili , Aug 29
55:16
ICC - Mito Ya Uzima
Рет қаралды 12
MAOMBI YENYE UFANISI  By shepherd Fadhili , Aug 29
47:56
ICC - Mito Ya Uzima
Рет қаралды 6
USIJICHANGANYE au USICHANGAMANE Sun, Sept 8
1:06:31
ICC - Mito Ya Uzima
Рет қаралды 9
Timiza wokovu wako kwakuogopa na kutetemeka , Sun Aug 18
51:33
ICC - Mito Ya Uzima
Рет қаралды 18