MASWALI NA MAJIBU KATIKA DA-WAA GITHURAI 45 ROUND ABOUT PART 9.(MPE MIC)

  Рет қаралды 18,070

YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp

YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp

Күн бұрын

Пікірлер: 71
@maryammagenyo5087
@maryammagenyo5087 Жыл бұрын
Nakutakia afya jema sheikh yuseph mungu akupe umri mrefu
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp Жыл бұрын
Amin sote
@maryammagenyo5087
@maryammagenyo5087 Жыл бұрын
Mashalla hiyo ya mwisho ilikuwa full dose
@znzmawaidh8702
@znzmawaidh8702 2 жыл бұрын
sheikh yusuf Allah akuzidishie elimu Aaamin
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@oopsm3574
@oopsm3574 2 жыл бұрын
Maasha Allah, Mwenye Enzi Mungu sheikh Yusuf akujaaliye afya nzuri uendelee kufanya da'wah kwa watu
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@bahatikenia39
@bahatikenia39 2 жыл бұрын
Mashaalah kwakweli yataka subra kuwaelewesha watu wasiojua maandiko halafu washindani
@issamohamedi9225
@issamohamedi9225 2 жыл бұрын
MaashaAllah sheikh Yusuf
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 2 жыл бұрын
Maashaallah baarakallah
@hiimbinaimmuslim3041
@hiimbinaimmuslim3041 2 жыл бұрын
Mashallah Mungu awalipe kher mnafikir mtawashinda waisilamu kwanza utabir huo siwayesu mtoto amezaliwa na wakat huo yesu hakuzaliwa bado baada ya muda mrefu ndo kazaliwa
@leylamohammed2175
@leylamohammed2175 2 жыл бұрын
Ma Shaa ALLAH....amir Yusuf Kwa kuwafafanulia ki elmu maandiko...ALLAH BARIK
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@janieali5521
@janieali5521 2 жыл бұрын
MashaAllah, Sheikh Yousef, wewe kweli ni askari wa Allah na mafundisho yako ni ya haki kabisa hata mtoto wa nursery ataelewa kuwashinda hao wanajiita wakristo. Wanabeba hiyo bible mpaka ndani ya mobile zao but still they don't know anything.
@aminaabu1599
@aminaabu1599 2 жыл бұрын
Eeeeh Mashallah Mashallah Yani Uislam Raha Allahu Akbar Mungu awape Umri
@husseinguyo4379
@husseinguyo4379 2 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Yusuf Allah akupe afya njema na akulipe DAAWHA unayoyafnya na akupe hekma katika DAAWHA zako
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@patrickmaina5459
@patrickmaina5459 2 жыл бұрын
Bwana Yesu Asifiwe 🔥🔥🔥🔥 kweli ukweli utaishi kuwa ukweli hata watu waukatae🙏🙏Na Neno Litaendelea 💯
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 8 ай бұрын
Utabaki peke ako ukisema yesu n Mungu watu wanasilimu wakiona ukweli
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 8 ай бұрын
Wasomi wanaona ukweli umedhihiri uogo umejitega
@mohamedmata6942
@mohamedmata6942 2 жыл бұрын
Allah akupe afya uzidi kufanya daawa ya Allah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@iddyjuma8036
@iddyjuma8036 Жыл бұрын
Wataelewa tuu
@oopsm3574
@oopsm3574 2 жыл бұрын
Wakati Isaiah Yesu hakuzaliwa
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 2 жыл бұрын
Masha Allah Ustaz Yusuf.Ramzan Kareem.watching from Boston USA
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 2 жыл бұрын
Wanafunzi wa university ya Mtume Muhammad (saw)!
@maimunafzaka880
@maimunafzaka880 Жыл бұрын
Na swt
@caaqilyare2711
@caaqilyare2711 2 жыл бұрын
Masha alaaab sheikh wetu sheikh yusuf ❤️
@abdikadirabdi7521
@abdikadirabdi7521 2 жыл бұрын
MashaaAllah may Almighty Allah reward you
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 2 жыл бұрын
ustaz yusuf ww unajua sana. Allah atuongez ktk kher
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@saidiibrahim6469
@saidiibrahim6469 2 жыл бұрын
Mashallah,si rahisi kumfunza Mtu mbishi akaelewa na Mwenyezi Mungu ndiye humuongoza mja katika nuru . Tuombe Allah atujaalie miongoni mwa aliowaongoza na tuwe na mwisho mwema.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 2 жыл бұрын
MashaAllah tabarkallah
@bashirali2385
@bashirali2385 2 жыл бұрын
MashaAllah
@myoutubecom-gg7sb
@myoutubecom-gg7sb 2 жыл бұрын
Masha Allah
@ahmedsalatbashir4380
@ahmedsalatbashir4380 2 жыл бұрын
Keep going bro 🤲🤲🤲
@athumansaumu1680
@athumansaumu1680 2 жыл бұрын
Maashallah
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 2 жыл бұрын
Mashallah Allah
@christophermotonyi2547
@christophermotonyi2547 Жыл бұрын
Huyu yusufu anabehave kama mtu ambaye hana hekima na wala hana hoja kwa ivo Hao tu ni wapinga Kristo
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp Жыл бұрын
Mathayo 24 :24
@andallaathman3856
@andallaathman3856 2 жыл бұрын
sheikh Yussuf kma hhuyu wafaa uwachane nae saingine unampa MDA mrefu na nimbishi buree anapoteza time Kwa wengine nao
@stoispapi2380
@stoispapi2380 2 жыл бұрын
Christian's should know the real meaning of the word 'begotten '
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 8 ай бұрын
Mungu azaliwe n mwanadamu kweli ilo linaiingia akilini?
@JohnKamangara
@JohnKamangara Жыл бұрын
Wambugu😂😂😂 hana ufunuo ila mdomo pekee
@johnawinda2165
@johnawinda2165 2 жыл бұрын
Manabii walikuwa waislamu yesu pia hee hatari sana, majini je mbona msemi
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Majini pia waisilamu, mapepo wakristo
@johnawinda2165
@johnawinda2165 2 жыл бұрын
Mapepo ? Haiya mandiko gani
@mbungulanga6729
@mbungulanga6729 2 жыл бұрын
Hahahahah
@jannyrose5367
@jannyrose5367 2 жыл бұрын
Muhammad alitabiriwa wapi Kwa vitabu vya kale????? Ubishi na mndoma mwingi Kwa waislamu 🤔
@jannyrose5367
@jannyrose5367 2 жыл бұрын
Wacha kumpachika Muhammad mahali pa wenyewe !!,Je Muhammad Ni muisraeli??Kwa sababu huyo nabii alikuwa atoke katika ukoo wa Israel 🤔 Una ushahidi gani kuwa ni Muhammad??
@jannyrose5367
@jannyrose5367 2 жыл бұрын
@@ismailamin3284 swali gani... Nkikuulinza ndugu Yako ni Nani wee hauwanjui???
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 2 жыл бұрын
Isa 21:13 SUV Ufunuo juu ya Arabuni. Ndani ya msitu wa Arabuni mtalala, Enyi misafara ya Wadedani. haya tuambie janny rose huo ufunuo katika isaya unaopelekwa arabuni apelekewa nani?
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 2 жыл бұрын
Je wewe unakitabu cha kale apo ulipo vitabu vyote vya biblia vilifungwa na wazungu huwezi kupata habari za Muhamad umo
@jannyrose5367
@jannyrose5367 2 жыл бұрын
@@aliabdallah8456 hakuna Wewe ulikisoma wapi ukaona Muhammad????
@mohapromo6114
@mohapromo6114 2 жыл бұрын
Mtu mjinga mjinga kuliko ndacha na murtad
@johnawinda2165
@johnawinda2165 2 жыл бұрын
Wacha chuki bro
@jannyrose5367
@jannyrose5367 2 жыл бұрын
Nani hawa walimuleta Muhammad Kwa watu na Kwa majini????
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
JANNY rose, tutafute tukufundishe wacha propaganda
@hamzayesu2017
@hamzayesu2017 2 жыл бұрын
Wewe ukitaka kujua njoo kwa uwanja sio kuwa keyboard debater...!!!
@jannyrose5367
@jannyrose5367 2 жыл бұрын
@@hamzayesu2017 huu ndio uwanja wangu,msiwapotenze watu..
@hamzayesu2017
@hamzayesu2017 2 жыл бұрын
Vumilia kama huwezi kuja kutetea imani yako😂😂😂
@jannyrose5367
@jannyrose5367 2 жыл бұрын
@@hamzayesu2017 mnachokihubiri ndicho kitawahukumu
@jannyrose5367
@jannyrose5367 2 жыл бұрын
Waislamu ni wapinga kristo,maana hata Quran wanaipinga wakishaafika Mahalia pa Yesu Quran 19:17-21 huyo mwana WA maryamu bila mume ni Nani????? 3:45 Quran Quran. 3:47..... Waislamu wanajiona washindi..Kwa sababu hawa wakristo hawajui Qurani,. Lakini wakristo wakiisoma Quran nijehanamu tubu, Asili ya majini..... Raha za peponi...... 🤔🤔😭😭😭😭
@shabanawino9426
@shabanawino9426 2 жыл бұрын
Kila mara mkiambiwa ukweli mnasema ni ushindi,wanaojiita wakristo hata biblia pia hawajui!
@bahatikenia39
@bahatikenia39 2 жыл бұрын
Kabla kuita waislam wajinga soma bibllia yako wewe muerevu uelewe na utafakari maandiko kabla kuita waislam wajinga
@jannyrose5367
@jannyrose5367 2 жыл бұрын
@@bahatikenia39 najua ndio maana nimecomment,na Mimi sijaita yeyote mnjinga hayo ni ya kwako
@stoispapi2380
@stoispapi2380 2 жыл бұрын
Masha Allah
"YESU SIO MUNGU". NIKATIKA MASWALI NA MAJIBU KATIKA DA-WAA GITHURAI 45 ROUND ABOUT PART 8
36:17
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 17 М.
WACHUNGAJI WAPIGWA NA BUTWAA KANISANI😱😱😱 WASHALLOM AWAPA DAWAH 😆
1:39:08
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 23 МЛН
MASWALI NA MAJIBU KATIKA MUHADHALA GITHURAI 45 ROUND ABOUT PART3.(MAY ALLAH MAKE DA-WAA EASY FOR US)
53:00
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 11 М.
MASWALI NA MAJIBU KATIKA MUHADHALA GITHURAI 45 PART 7 KIAMBU COUNTY
36:28
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 11 М.
DEBATE KUU GITHURAI 45 ROUND ABOUT. (MADA NI IPI DINI YA MANABII ) BAINA YA TEAM TAWHID NA NDACHA
1:42:56
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 28 М.
MASWALI NA MAJIBU KATIKA DARSA YA WANAWAKE || SHEIKH IZUDIN ALWY AHMED
26:09
امة واحدة ONE UMMAH
Рет қаралды 24 М.
("ISAQA AZALIWA KAMA YESU") NIKATIKA MASWALI NA MAJIBU KATIKA DA-WAA GITHURAI 45 ROUND ABOUT PART 6
41:02
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 13 М.
DA-WAA MERU MAUA NA USTADH YUSUF WAMBUGU NA USTADH SAID NA SHEKH JUMA
50:43
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 20 М.
("YESU AOGOPA KIFO") NIKATIKA DA-WAA GITHURAI 45 ROUND KIAMBU COUNTY ABOUT PART 5. MASWALI NA MAJIBU
48:03
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 24 М.