Que vive la parole de nôtre Jésus christ de Nazareth
@peterekiru7607Ай бұрын
Congo muko nyuma sana....watachukua miaka mingi kuelewa maadiko.Mungu awasaidie sana.
@Neemaa098-yf9osАй бұрын
Kwa kweli nduguyangu
@sheyosquad5755Ай бұрын
Hawa wacongo ni sawa na waislamu
@Amitie-bb6bc23 күн бұрын
Hauzi elewa mtu asipokuwa kiroho n'a kuamini kama yesus ni mungu
@stellakajuju-gj7fq27 күн бұрын
Truth is most hated by humans being
@wilfredondieki5954Ай бұрын
Mbwembwe
@wilfredondieki5954Ай бұрын
Congo kuko na mbwembwe sana
@nicholasambani4075Ай бұрын
HAKIKA BILA SHAKA, MUNGU HAWEZI KUPATIKANA MAHALA KAMA HAPA!!! HII NI BABLONI TUPU!!! HATA MAZINGARA KAMA HAYA ROHO WA MUNGU HAWEZI KUKAA
@JaffOburuАй бұрын
Proof from the bible
@japhetndoro653317 күн бұрын
WWE hujui kitu angalia mafundisho yake Paulo ndio utajua kulikuwa na mashindano soma acts18:28
@japhetndoro653317 күн бұрын
General conference haiwez fundisha hivi Toka brio huko jiunge na matengenezo
@nicholasambani407512 күн бұрын
@@JaffOburu PHILIPPIANS 2:2-5 2. Ijalizeni furaha yangu, ili mwe na nia moja, wenye mapenzi mamoja, wenye roho moja, MKINIA MAMOJA. [3. MSITENDE NENO LO LOTE KWA KUSHINDANA WALA KWA MAJIVUNO; BALI KWA UNYENYEKEVU, KILA MTU NA AMHESABU MWENZIWE KUWA BORA KULIKO NAFSI YAKE. [4] Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wengine. [5. Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ILIKUWAMO PIA NDANI YA KRISTO YESU;
@macdonaldotieno5010Ай бұрын
Kelele nyingi.
@cyrusmutsami1195Ай бұрын
Furaha 😂😂😂 tamu tamu
@mwanyunimadee4157Ай бұрын
Uzuri ujumbe umefika wsikize wasisikize hayo n yao
@MarcellinMitamo-jx6qu15 күн бұрын
Mister peterekiru,usingali taja neno ao jina congo.ila ungetaja neno ao jina bukavu.
@loysamwel6308Ай бұрын
Haoniwasilanu
@BarakaZabron-py2fzАй бұрын
Mwanzoni nilipata shida kumuelewa ndasha,nikampa muda wa kumsiliza zaidi na zaidi. Nikamuelewa na nikaelewa na biblia. Yesu ni mwana wangu.
@donaldmwahalende4841Ай бұрын
Ubarikiwe
@josephomollo1451Ай бұрын
Amina mtumishi
@nyimbozakuabudu265027 күн бұрын
Lakin pia kuna maswali Ndacha hakueeza kutajibu kuhusu yesu kujiita Baba
@nyimbozakuabudu265027 күн бұрын
Na pia hakuweza kujibu kama Yesu ni Mungu au lah na kama ni Mungu basi kwenye biblia kuna Mungu wangapi , Haya ni baadhi ya Maswali sijawahi kuona Pastor Ndacha akiyajibu
@abednegokimeu710027 күн бұрын
Yesu n Baba kwa Sababu Yeye n Adamu wa pili, na pia Heb 2:13 inasema Yuko na watoto ambao Mungu alimpa so watoto wanamwita Yesu Baba...
@felixgitonga6783Ай бұрын
Wacongo walimu warudi shule na mupatanizi mungu na wanandamu Nini?
@Shomariamuri1Ай бұрын
Hapa kuko tu ushabiki. Watu hawafuatlilii maandiko 😂😂😂
@DeluxlebonIbangyemabeleАй бұрын
Jambo, mimi ni mcongomani nikiwa NAMIBYA, nahamini kweli WATU HUPOTEYA KWA KUTO JUWA MAHANA YA MAANDIKO, mimi waga nafatiliya sana ndacha na mazinge, pasta ndacha watu wana shindwa kuhelewa mahandiko, haho njo wa congomani haho kichwa kita kuhima, mwisho njo wana hanza semezana, lakini ni kweli ....
@abelmoturi52Ай бұрын
Wakristo mko na kelele sana you don't know mko kwa kaninsa hapo mlipo
@liroytito2472Ай бұрын
1st of all, the leaders/ teachers themselves are the one igniting and reigniting that fandom. Why ask them "ni raha sio raha?", what do you expect after tthat question. You are just arousing them
@aliiushuru8597Ай бұрын
Kwa nini wakristo msiwe na msimamo mmoja ukristo sio dini wala kwa maandiko hakuna na ndio mana nyinyi wenyewe hamuelewani mngali elewana hamnge weka mhadhara wa nyinyi wakristo msi hangaike silimuni muwe wanyenyekevu waMungu/mufwate amri za mungu.
@macdonaldotieno5010Ай бұрын
Na uislamu ni dini?
@user-hp6gz6ln4kАй бұрын
Niambie maana yadini? Dini inamaana njia.... Yesu ndiye njia kweli na uzima
@macdonaldotieno5010Ай бұрын
Hawa wacongo walitoka bure
@pascalkalamaАй бұрын
Sasa hawa wacongo shida yao ni nini mimi naona kama wamekuja tu kushabikia wachungaji wao juu maandiko yakisomwa na walimu wa upended mwingine wana yakataa hata kama yako wazi