Matangazo ya Dira ya Dunia TV Ijumaa 24/07/2020

  Рет қаралды 53,094

BBC News Swahili

BBC News Swahili

Күн бұрын

Пікірлер: 142
@rizikiabdallahsalim6501
@rizikiabdallahsalim6501 4 жыл бұрын
glad to u zuhura yunus finally you are back to the studio...we really miss u on studio
@bobwanjala1401
@bobwanjala1401 4 жыл бұрын
Pokea risala zangu za rambirambi kwa jamaa na jamii ya mwendazake rais mstaafu wa Tanzania Bw. Benjamin Mkapa. Waafrika tumempoteza kiongozi na kigogo mashuhuri. Asante sana baba kwa uongozi bora na kua kisingino ya maadili na uadhilifu kwa waafrika wote. Kenya yasema asante kwako na watanzania wote kwa jumla. Mungu akulaze mahali pema peponi.
@geraldadolf4928
@geraldadolf4928 4 жыл бұрын
Mzee JK unahekima sana nanukuu"kwakawaida wanadamu mtu mlieshindana sana kwa karibu .....anatafuta kumgonga gongagonga ivi ili apotee...Big up JK.
@jamesmahatane2723
@jamesmahatane2723 4 жыл бұрын
Nawa shukuru wote wale walio tupatia pole juu ya msiba wetu mkubwa wa mzee wetu mzee mkapa kumbe majirani tuko pamoja
@idhaidha9561
@idhaidha9561 4 жыл бұрын
rais mkapa mungu amlaze mahala pema peponi amen
@sullephilipo3184
@sullephilipo3184 4 жыл бұрын
Pole kwa watanzania wote, na apumzike kwa amani ndg yetu mkapa.
@ephrahimmasiko9873
@ephrahimmasiko9873 4 жыл бұрын
nimependa namna Zuhura anavyompa nafasi mualikwa kueleza na ndio kusudi la kuwaalika watu hawa msiwe mnawakatisha zaid japo najua mda n mchache
@fredmankaingu6309
@fredmankaingu6309 4 жыл бұрын
Shukran BBC
@eliasmutegheki309
@eliasmutegheki309 4 жыл бұрын
Mungu karibisheni roho ya mkapa
@amirjuma7983
@amirjuma7983 4 жыл бұрын
Nh leo mkapa kawa mwema!! Halaf hbar zote mkapa mkapa imekua kma Habar za Covid 19
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 жыл бұрын
Wakati muuwaji zanzibar watu 75 wamepotea maisha yao kimnyaa, Aliulizwa Mtume Muhammad (SAW) vp nitajijuwaje kama mm mtu wa peponi Mtume Muhammad (SAW) akasema utapo kufa watu watakuzungumzaje
@issaali8277
@issaali8277 4 жыл бұрын
Dada Zuhura Yunus upo vzr kwa uchambuzi wa habari.
@davidkiswaga4453
@davidkiswaga4453 4 жыл бұрын
Pumzika kwa aman mzeee wetu.
@andreasalaganda7396
@andreasalaganda7396 4 жыл бұрын
Dah! Mkapa nenda salama nasisi tunakuja huko
@hajivuai3454
@hajivuai3454 4 жыл бұрын
Mwache ende aliuwa wapemba huyu yeye na Omari Mahita alishidwa kujua kama nae atakufa
@karanijunior1257
@karanijunior1257 4 жыл бұрын
Daaaaaaa. Pole. Ni. Sana
@habibumdetele6530
@habibumdetele6530 4 жыл бұрын
Kifo hakina mbabe,tuiandaye kesho yetu.
@yahyakifea7805
@yahyakifea7805 4 жыл бұрын
Jaman mama yangu zuhra umependeza sana maa shaa Allah .... Zidisha ibada in shaa Allah
@OmanOman-qb9hj
@OmanOman-qb9hj 3 жыл бұрын
Diamond waah
@OmanOman-qb9hj
@OmanOman-qb9hj 3 жыл бұрын
Waah song
@mustaphareua2370
@mustaphareua2370 4 жыл бұрын
Mko juu bbc
@mbaziraabdul1785
@mbaziraabdul1785 4 жыл бұрын
Poleni sana wa Tanzania
@sophiasophia6945
@sophiasophia6945 4 жыл бұрын
Ahsante kiukweli inauma
@khadijagundumu6210
@khadijagundumu6210 4 жыл бұрын
Good luck 💕💕🙏👍
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 4 жыл бұрын
😭😭😭😭 R.I.P baba yetu mpendwa mbele yako nyuma yetu🙏🙏
@philipoinzag2379
@philipoinzag2379 4 жыл бұрын
Aliekuwa hahuzuniki kwa kifo Cha mkapa aligonge like hapa
@salehyassin9245
@salehyassin9245 4 жыл бұрын
R. I. P mzee Mkapa tutakumbuka kwa mchango katika kuijenga nchi
@georgeochieng3303
@georgeochieng3303 4 жыл бұрын
A true leader
@gangmore9091
@gangmore9091 4 жыл бұрын
Atakumbukwa pia kuwauwa watu pemba n kuzalilisha wanawake kuingiliwa kimwili mbele n nyuma pia tutamkumbuka n kila mtu Muslim n dini zote japokua hawamini kuwepo kwa azabu Mungu atamuhuku kwa alichokichuma zanzibar kwenye uchaguzi ametia watu ulemavu n kuwaua n kuwaingilia
@ibrahimhaji214
@ibrahimhaji214 4 жыл бұрын
Yote Tisa wazanzibar wanachukulia siasa kama dini na watu wa kupenda migomo na aandamo ni makhariji. Mtume ﷺ amesema hawa ni mbwa wa motoni.
@annasalum9825
@annasalum9825 4 жыл бұрын
Ww kama nani wa kuukumu? Yote ulioyataja umeshuudia kwa macho yako au uliadisiwa? Swala la kuukumu muachie mungu na ww Ngoja yako.
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 жыл бұрын
@@annasalum9825 tuma email yako tukutumie video za uwaji zanzibar, kama unataka ushahidi wakati mwenyewe kakari soma kitabu cha mkapa. Hukmu imefika sasa Ash for Ash sand to sand siku imefika jela iyo hurudi wala hutoki
@annasalum9825
@annasalum9825 4 жыл бұрын
@@ukweliunauma4570 sasa Kwani na ww hautokufa na je! Ukifa hautoukumiwa? Au anaukumiwa mkapa pekeake wewe ni mtenda mema sana Hautopata ukumu.! Wewe jifikilie wewe ukifa leo mungu atakuhumu vip kwa matendo yako mana na wewe hautobaki Milele
@annasalum9825
@annasalum9825 4 жыл бұрын
Nakama unazo izo vidio xiweke KZbin ili kila mtu axione uo ushaidi ili jamii ijue
@angneskimario2260
@angneskimario2260 4 жыл бұрын
May his good soul rest in peace, Amen.
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 4 жыл бұрын
Nenda BEN una baya lolote kwetu zaid ya mambo yaliomema kwetu Tutakukumbuka Daima Milele😭
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 жыл бұрын
82 yes sio 80 1938 -2020
@abdulmaulid7454
@abdulmaulid7454 4 жыл бұрын
Hata ww umekose 81 nasio 82 huu mwaka haujaisha together
@salimmauly9575
@salimmauly9575 4 жыл бұрын
We Cheka Tu subirini uchaguzi znz lakini mara hii tutaoneshana vote vile tupo tayari
@kitalechapombe5698
@kitalechapombe5698 4 жыл бұрын
Chokò wew
@abusaeed9037
@abusaeed9037 4 жыл бұрын
Wazanzibari waonga hamna lolote ccm itawachezea maisha yenu yote
@salimkimaro2311
@salimkimaro2311 4 жыл бұрын
Nenda salama baba
@abdallahjuma8168
@abdallahjuma8168 4 жыл бұрын
Cfa zake ztowen negative pa1 na possitve maana km hamjui mjue hil km kawaumiza sana Wazanzbar hususan upande wa Pemba zaid atakumbukwa kuwa 7bu kubwa ya dhulma
@hajivuai3454
@hajivuai3454 4 жыл бұрын
Uwanja sawa kajenga Dar je Zanzibar kafanya nini? Na pale muembe Chai kafanya nini ?
@hijasulemani4433
@hijasulemani4433 4 жыл бұрын
Kasimamia muungano wetu
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 4 жыл бұрын
@@hijasulemani4433 mh
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 4 жыл бұрын
nakumbuka mauwaji ya miaka ileeeeeeeee
@jameslizomba9883
@jameslizomba9883 4 жыл бұрын
Kwahyo mlifanya fujo ili mchekewe??
@mukrimismail9142
@mukrimismail9142 4 жыл бұрын
Mkapa ni mtu mwenye umuhimu mkubwa hususa afrika mashariki lakini alikuwa akiwachukia sana wazanzibari na aliwahi kuwapiga sana kwa kutumia jeshi na pia alishirikiana na kikwete kuwanyang'anya wazanzibari ushindi wao wa mwaka 2015, kwa wazanzibari mkapa hanamana yoyote.
@yohanasimon5190
@yohanasimon5190 4 жыл бұрын
Duuh nyie ni watanzania bna sio wazanzibar achen izo
@happynesssamwel
@happynesssamwel 4 жыл бұрын
Maiti hailaumiwi,,,nyie mnafanya mangap mabaya,,omben Toba
@akrimamohammad848
@akrimamohammad848 4 жыл бұрын
Hii idhaa ya bbc swahili niyatanzaniya pekee... yani maranyingi lapenda kuwangaziya habari zatanzaniya sana mumezidi
@michaelmahenge593
@michaelmahenge593 4 жыл бұрын
Ok
@imranmussa3117
@imranmussa3117 4 жыл бұрын
Me akifa mwinyi ama magufuli ndo nitahuzunika mana jakaya kawakamata mashekhe mpk Leo NA mkapa aliwauwa ndugu zetu wapemba alimtuma mkuu WA police mahita kuja kutuuwa kupitia helkopta Ila magufuli hana time NA Zanzibar kwa uchochezi wowote wala sijamsikia kusema au kuwasema kuwa kuna magaidi gaidi ni Sera za wazungu ili kuupotosha umma ili tuonekane waislam wabaya
@danwayne786
@danwayne786 4 жыл бұрын
Zuhura Yunus anachangamsha roho kwa tarifa moto moto
@hamadimadisa9346
@hamadimadisa9346 4 жыл бұрын
na mimi nina sema poleni wa tanzania kwa kifo cha rais wa awamu ya tatu
@amosmoses7800
@amosmoses7800 4 жыл бұрын
Mimi ni MLUTHERI na wala sitetereki wala kuhofia kitu. Lakini tunavyoendeshwa na hii serikali chafu ya kiBaguzi ya ccm ni UONEVU mkubwa wa haki za raia. Serikali ya ccm ya KIKATOLIKI ndio iliochukua Utawala baada tu ya uhuru ( uhuru wa bendera ) hadi ivi sasa ccm ya KIKATOLIKI wanaendelea kutawala inchi. Hakukuwepo wala musitegemee kuwepo na Raisi kutoka dhehebu jengine inchini Tanzania. Ata hao waislamu ni mizuzu tu isiojitambua hadi Leo hii. Wengi ndio waliopigania uhuru. Wengi ndio waliouwawa kwenye mapambano. Lakini wengi wao ivi sasa wanatumika kwa ajili ya KURA. idadi yao ni kubwa kwenye visanduku. Kwavile wanajulikana ni Maboya tu. Akili hakuna na Elimu hakuna. Tunaelewa agenda ya serikali ya ccm tokea ianzishwe ni KUWAWEKA WAKATOLIKI INCHINI NAFASI ZA JUU KATIKA KILA MAENEO. JESHINI. POLISH. MAGEREZA. WIZARANI.IDARANI. VYUONI. MAENEO NYETI YA IKULU . MAENEO NYETI YA UCHUMI. MAENEO NYETI YA MIHELA . Uyo aliefariki tunamjua ni mtu aliekuwa akiendeleza na kusimamia AGENDA na MAAZIMIO ya Mzee kambarage. Hatushangazwi kuona mazishi yake yakigarimu maBilioni ya hela za inchi katika kipindi ichi kigumu cha UCHUMI . Embu tusubiri mazishi ya Mzee ruhsa watamfanyia nini ^^^ ccm ni chama cha WAKATOLIKI ..kimeasisiwa kwa malengo malumu. Wapumbavu na Wajinga wataendelea tu kukipigia kura ili wapate kofia na sh 20, 000 .huku wakiendelea kula dagaa wakavu na sembe. Nguo zao viraka vitupu. Elimu kwao inaishia darasa la saba. Ili awe tu mjinga Asione mbele. Hakuna MLUTHERI aliepo ccm ila atakuwa zezeta hilo. Bv
@jameslizomba9883
@jameslizomba9883 4 жыл бұрын
Kuwa na akili basi. Anatafutwa mtu mwenye sifa za kuongoza nchi na sio dini. Serikali haina dini kasome tena katiba yako tena.
@EmanuelMkusuTz
@EmanuelMkusuTz 4 жыл бұрын
R.I.P MHESHIMIWA MKAPA
@emanuelambaida8090
@emanuelambaida8090 4 жыл бұрын
R.I.P
@selinamashoko2490
@selinamashoko2490 4 жыл бұрын
R.I.P mh.Benjamin Mkapa!
@hajivuai3454
@hajivuai3454 4 жыл бұрын
Kwaiyo hamkuwahi kumpeleka Ulaya
@abbotazimio3870
@abbotazimio3870 4 жыл бұрын
Hivi Bi.Zuhura Yunus unatumia itifaki gani kukatiza maelezo ya Muheshimwa Kikwete akieleza wasifu wa Hayati Mkapa!?
@michaelmahenge593
@michaelmahenge593 4 жыл бұрын
Gidion Show ameongea kile alicho ongea Jemedali Ulimwengu , lakini hawa watu sio Wakweli kwasababu Tais Mkapa ndiye aliye asisi magazeti na radio binafsi. Kwanini waandishi hao wanasema alibinya vyombo vya habari? Sio chuki binafsi badala ya ukweli kuhusu uhalisia wa Rais Mkapa
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 жыл бұрын
Aliulizwa Mtume Muhammad (SAW) vp nitajijuwaje kama mm mtu wa peponi: Mtume Muhammad (SAW) akasema utapokufa watu watakuzungumzaje. Mhe katuulia ndugu zetu na jamaa zetu zanzibar na pemba natumai M/mungu atamsamrhe Madhambi yake, angalau a nazikwa kwa heshima wetu wengine 30 hawajulikani walipo kwend. we have forgive but we will never forget 😭😭🙏🙏🙏
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 жыл бұрын
@@ibrahimhaji214 kila mtu na haki ya kufanya au kupenda anacho penda, 2020 wengine mashoga kama umo na wewe hongera. Wengine wizi. Wengine wanafiki, wengine vibaraka ndio dunia ilivyo kama unaweza kuibalisha jaribu tu, shuki, ubaya au kuuwa watu sio maamuzi mazuri ni kazi ya mungu kwa sababu mwisho wake mbaya utaishie kule kule, hizi usikasirike na comment za zetu soma Acha tu.
@ibrahimbakar622
@ibrahimbakar622 4 жыл бұрын
Hatuuzunishwi maana yeye ni mmoja kati ya wale waliochangia kuteketezwa kwa ndugu zetu wa Pemba
@latifahassan2928
@latifahassan2928 4 жыл бұрын
Mmh
@denismasami2259
@denismasami2259 4 жыл бұрын
Nmemwona mzee wakuchekacheka bado anachekacheka.
@MdEmon-yn4cw
@MdEmon-yn4cw 4 жыл бұрын
kwa mora haingii peponi mtu kwa umarufu wake Amali ndio kinacho zingatiwa na katika njia sahihi njia ni nyingi ila njia ni moja tu zingine zawa peleka motini wengi katika watu
@franciscomasungulwa3575
@franciscomasungulwa3575 4 жыл бұрын
One of The Greatest Leader in the region of East Africa
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 жыл бұрын
"Ubinafsishaji wa mashirika ya uma"
@mishaelmisana7674
@mishaelmisana7674 4 жыл бұрын
R.I.P MH MKAPA
@innocentjoseph4694
@innocentjoseph4694 4 жыл бұрын
Baba sema woga
@danwayne786
@danwayne786 4 жыл бұрын
RIP Benjamin Mkapa
@samoocoolingsystem93
@samoocoolingsystem93 4 жыл бұрын
Marehemu Wawili Nkurunzinza Na Mkapa 😔😭
@halimakenge7072
@halimakenge7072 4 жыл бұрын
nakuku Bali magufuli
@salimmauly9575
@salimmauly9575 4 жыл бұрын
Lakini nafikiria kuna kitu hapa mkapa nayule raisi aliyen'ga'gania madaraka kule Burundi wameenda pamoja hii ndio kazi ya muuba wa ardhi na mbingu na vilivomo
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 жыл бұрын
Na bado hukumu yake ya kuuwa wanzanzibar uchaguzi wa 2000
@zulfahussein6784
@zulfahussein6784 4 жыл бұрын
Ndio kazi za Allaah hiyo
@hajivuai3454
@hajivuai3454 4 жыл бұрын
Bado Lukuvi nae haipendi Zanzibar hata kuiskia Allah atawachukua mmoja mmoja in sha Allah ,yukowapi Summuel sita ,yupo wapi nyerere alielazimisha Muongano .
@hajivuai3454
@hajivuai3454 4 жыл бұрын
@@ukweliunauma4570 Allah atawachakua hao taratibu Na huyo Lukuvi ndo kaichukia hasa Zanzibar kwa sababu ya Uislam
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 жыл бұрын
@@hajivuai3454 ameen
@rechrontv2453
@rechrontv2453 4 жыл бұрын
HISTORIA YA MH. BENJAMIN WILLIAM MKAPA: KUZALIWA, ELIMU, FAMILIA, MPAKA KIFO (gusa link 👇 👇 Kutazama) kzbin.info/www/bejne/lZO5oGSQmMmsg7M
@hajivuai3454
@hajivuai3454 4 жыл бұрын
Ulimwacha ampumzike ndo kapumzika kweli
@halimakenge7072
@halimakenge7072 4 жыл бұрын
The seen
@omyguy2940
@omyguy2940 4 жыл бұрын
R.I.P B MKAPA
@masoudsalum9514
@masoudsalum9514 4 жыл бұрын
Mchambuzi unaongea kwa kujibanabana zuhura tafuta mchambuzi kutoka pemba akuchambulie vzr nikitu ambacho nakifahamu madege ya police ya omari mahita sio jambo la kuhadisiwa
@imranmussa3117
@imranmussa3117 4 жыл бұрын
Mahita alituua wallahi mm sichukiii ccm nachukia MTU akifanya maovu km yahuyu bwana
@ismailnamtuma1830
@ismailnamtuma1830 4 жыл бұрын
Zuhra tulikumiss kukuona hapo
@waridicleaningfumigation7322
@waridicleaningfumigation7322 4 жыл бұрын
😭😭😭
@hamadkahungo7239
@hamadkahungo7239 4 жыл бұрын
R.l.P
@mdathirumagayane688
@mdathirumagayane688 4 жыл бұрын
Ukitaka kusifiwa subiri ufe
@evancyusuph6997
@evancyusuph6997 4 жыл бұрын
Namkupali sana rais wang mung amuweke mahali pema peponi
@saidhamad7504
@saidhamad7504 4 жыл бұрын
Naona mnavyo mpaka mafuta Mkapa. Back to 2001 we at pemba we suffered under his rule.. he killed us like filth animals....
@damianraymond2776
@damianraymond2776 4 жыл бұрын
R I P
@masoudsalum9514
@masoudsalum9514 4 жыл бұрын
Nass pemba tunamuombea huku maana tunakumbuka 2001 hadi leo tunaazimisha hiyo siku
@imranmussa3117
@imranmussa3117 4 жыл бұрын
Nikweli kaka watu wapiki Leo washafanya sherehe munkari NA nakiri wamngojea kaburini uko
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 4 жыл бұрын
Kumbe hamuna habari leo wacha niende kwngine
@muhsinnainoabdullah1539
@muhsinnainoabdullah1539 4 жыл бұрын
BBC Leo mmetuboa bana habari za mkapa mlikua mzilete kidogo tuu ili mtuletee habari nyengine bana mkapa ni mtu wa kawaida tuu nyinyi bana tarifa nzima mkapa bana kama mnapenda sana mpelekeni Kwa gwajima apo atamfufua bas ili steel mue nae jamani
@graciousupendo4243
@graciousupendo4243 4 жыл бұрын
Ufikiri wako mdg Sana labda umezaliwa Jana watu wameumia unaongea ujinga wako huo eti BBC mmetuboa
@gervasjustn2842
@gervasjustn2842 4 жыл бұрын
@@graciousupendo4243 huyu atakuwa si mtanzania, ndomana analopoka hivyo.
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 жыл бұрын
@@gervasjustn2842 mtanzania anajua mabaya yake ndio maana wanzanzibar aliwauwa kama kuku mbona watu kimnyaa au hujui nini alifanya mwaka 2000, watu wamepotea 75 kwa kutaka madaraka wako wapi mnajua
@gervasjustn2842
@gervasjustn2842 4 жыл бұрын
@@ukweliunauma4570 hata kama, kwanini hamkuyasema akiwa bado hai?
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 жыл бұрын
@@gervasjustn2842 Huna haki ya kusema tukamatwe tupotee kama wengine, ndivyo unavyo taka
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 жыл бұрын
Anna salum wewe coward, kama hao wengine, kila mtu atakufa lakini nyinyi mnamtukuza huyu muuwaji kama malaika, hamsemi mabaya yake siku nzima habari zake tu mbona alivyo tuma watu kuuwa hamu yasemi, kila nafsi inaonja mauti lakini mie sijadhulumu nafsi za watu kwa cheo. Cha muda, haya basi alizani ataishi Maisha, cheo Chake, pesa zake mke na watoto hazito mfaa lolote
@mujwahuki2787
@mujwahuki2787 4 жыл бұрын
Hongera wewe ambaye hutakufa.
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 жыл бұрын
@@mujwahuki2787 kzbin.info/www/bejne/o4qQq4mLZd1onbs
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 жыл бұрын
@@mujwahuki2787 lala tu fata mkumbo kila mtu atakufa lakini sio kwa kuthulum nafsi za watu na kua fisi wa kula mali za serekali, na kuwapa mabeberu dhahabu, tanzanite, diamond, cuppers zote ni asilimia 5 % tu zilikua za watanzania 95 za wazungu mpaka maguu kaja kabadilisha yote siuze presha za kuona maendeleo ya sasa ni guilty concious, kama unaelewa kzbin.info/www/bejne/Y6TIn5p6eL-FosU
@mujwahuki2787
@mujwahuki2787 4 жыл бұрын
@@ukweliunauma4570 Mungu ndiye mwamzi wa yote na ndiye anayejua nia ya kila mmoja wetu katika kufanya jambo fulani. Tuzidi kumwomba Mungu atujalie hekima na busara katika yote tutendayo, pia atujalie mwisho mwema hapa duniani.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 6 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Alhamisi 14/11/2024
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 12 М.
Кто круче, как думаешь?
00:44
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,3 МЛН
Человек паук уже не тот
00:32
Miracle
Рет қаралды 4,2 МЛН
Players vs Pitch 🤯
00:26
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 126 МЛН
Haunted House 😰😨 LeoNata family #shorts
00:37
LeoNata Family
Рет қаралды 13 МЛН
The Day Ronaldinho Became a Brazilian Legend
12:50
VSP7 FOOTBALL
Рет қаралды 3,9 МЛН
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatano 13/11/2024
28:11
BBC News Swahili
Рет қаралды 12 М.
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,6 МЛН
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumanne 12/11/2024
28:11
BBC News Swahili
Рет қаралды 11 М.
BBC DIRA YA DUNIA ALHAMISI 16.04.2020
23:28
BBC News Swahili
Рет қаралды 567 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatatu 11/11/2024
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 10 М.
Matangazo ya Dira TV Jumatatu 27.07.2020
23:29
BBC News Swahili
Рет қаралды 47 М.
BBC DIRA YA DUNIA IJUMAA 17.07.2020
23:32
BBC News Swahili
Рет қаралды 49 М.
Кто круче, как думаешь?
00:44
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,3 МЛН