MATAPELI PAPA wa ARDHI DAR WAANIKWA - WAZIRI SILAA AFUNGUKA - "NATOA MAELEKEZO KUSAIDIA WANANCHI"...

  Рет қаралды 13,343

Global TV  Online

Global TV Online

3 ай бұрын

MATAPELI PAPA wa ARDHI DAR WAANIKWA - WAZIRI SILAA AFUNGUKA - "NATOA MAELEKEZO KUSAIDIA WANANCHI"...
Waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Mhe. Jerry Silaa amesema mpaka sasa katika mambo waliyofanyia kazi hasa katika kliniki ya Ardhi katika jiji la Dar Es Salaa wameweza kuwafahamu matapeli wa ardhi 7 na kati yao wawili tayari washawafanyia kazi na kuwachukulia hatua za kisheria.
Silaa ameyasema hayo leo wakati akitoa taarifa ya matokeo ya kliniki ya Ardhi ndani ya mkoa wa Dar Es Salaam.
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 41
@sk-wj9or
@sk-wj9or 3 ай бұрын
Salute to you comrade Dr Jerry. Hakika Mungu akulinde. Tunakuombea katika ibada zetu. Allah akulinde na kila shari. Hakika Raisi ameleta Jembe. Sasa kweli wanyonge wakati huu ni wakati Muumba alituambia tukiwa na subra atatulipa kheiry "Alhamndulillah "
@geraldkessy5443
@geraldkessy5443 3 ай бұрын
Asante Mungu akulinde Kwa KAZI yako njema unazozifanya ya kutetea haki za Watu Katika Sheria na kweli
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 ай бұрын
Mwenyezimungu awajalie Sana Kwa mchakato huu ..mungu awatie nguvu Yan mmefanya kitu Cha maana Sana.. mwenyezimungu tumuombee Dua kwajambo hili
@tumainielmaruwa3148
@tumainielmaruwa3148 3 ай бұрын
Hii nchi Kuna majitu yanadhulumu wanyonge embu ona jamaniiii. Asante Mh Rais kwakutuletea Jerry Silaha
@geofreymalekana8000
@geofreymalekana8000 3 ай бұрын
Safi sana waziri hakika unachapa kazi kwa ajili ya kuwatetea wanyonge kupata haki zao 👏👏
@ShedrackNtezimis-dy5oe
@ShedrackNtezimis-dy5oe 3 ай бұрын
Waziri slaa pongezi nyingi sana kutoka kwa watanzania woooote wanaopenda haki nami ninaziwakilisha kwako mh. Hats hivo tulichelewa kuanza na kulinda amani kwa nguvu kubwa sana. Kumbe tulitakiwa kuanza na haki kwa nguvu kama hiyo ya waziri slaa. Haki ikitawara amani itakuja tu asante mungu kutupatia slaa tunakumba umlinde umtunze maana nchi hii mhhh
@ruthnkurlu7602
@ruthnkurlu7602 2 ай бұрын
Tunakuja baba. Tunakuombea. Tunakushuru. Tunsishukuru serikali yetu kututumikia ktk hili na mengi tu. Amina
@seifmohamed8725
@seifmohamed8725 3 ай бұрын
Mheshimiwa raisi tunaomba huyu waziri slaa usimbadilishe hapo ataleta mageuzi makubwa kwenye ardhi ni muadilifu sana allah amlinde ameen
@hubertmroso1664
@hubertmroso1664 2 ай бұрын
Hongera wazir slaa, Isijekuwa ni mbinu za kufukia haki ya ardhi ya wamasai mliowaondoa Loliondo umma uone mnajali wanyonge! TOA Tamko kuhusu haki ya ardhi ya wamasai WA ngorongoro na Loliondo. Warudishwe kwenye ardhi yao !
@globaltv_online
@globaltv_online 3 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@ramadhaningulinga217
@ramadhaningulinga217 3 ай бұрын
Ongera sana mh wazir keep it up
@user-pt7lc4xu3d
@user-pt7lc4xu3d 3 ай бұрын
Mungu akubarikii kka pamoja na wasadizi wako baba
@roseshirima9365
@roseshirima9365 2 ай бұрын
Mungu akulinda mkuu, watu wamenyanyasika sanaa.
@davidlinus6940
@davidlinus6940 3 ай бұрын
Hongera mh slaa kazi nzuri
@user-ui5xc6sb5m
@user-ui5xc6sb5m 3 ай бұрын
Mungu akulinde Bwana Jerry
@williammpinge3941
@williammpinge3941 3 ай бұрын
Hakika Mungu Akulinde kwenye HAKI
@petroyohana1126
@petroyohana1126 3 ай бұрын
Well done 👏
@frankkessy1260
@frankkessy1260 3 ай бұрын
safi sana mheshimiwa kwa kazi njema
@user-db4ig9qv5n
@user-db4ig9qv5n 3 ай бұрын
Asante kijana mungu akutunze❤
@dr.nkumbi8704
@dr.nkumbi8704 3 ай бұрын
Hongera waziri wwtu wengi sana wamevamiwa na hao matapeti papa mkoa wa dsm kuja no 303 afisa j coy hongera sana kwa mpango huo nashauri ugawe kila wilaya pawe na dawati yale yatakayo onekana kuja huko makao makuu mtamaliza hili jambo linalo leta kwa haraka ili kuunga ilani ya chama chetu tawala kila mtanzania aishi kwa amani na furaha kuepusha hawa matapeli papa
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 3 ай бұрын
Mh. Tunaomba ufatilie wale.wanaouza manumba CHANIKA DSM NA MAKAMPUNINYA KUUZA VIWANJA AMBAVYO. VINA UKUBWA MDOGO SANA
@massawemrlowprice3949
@massawemrlowprice3949 3 ай бұрын
Kazi nnzuri Mh. Waziri, ila ungesema tu waende ofisi number flani, kumtaja bwana Jacob ngowi , itampa vishawishi , wanaeza mpa rushwa , hii bongo shida sana
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 3 ай бұрын
Leo.nimekuelewa. kimbe Mahululu mbishiangemlipa.kiwanja yule.mama wasingevunja
@anethmtei2912
@anethmtei2912 3 ай бұрын
Bado kuna watu wameziba barabara za kuingia kwenye viwanja vya wengine wakati wote wamepimiwa.hilo nalo unalizungumziaje. Mahakama hazitendi haki ni rushwa tu.
@sheilamarandu2750
@sheilamarandu2750 3 ай бұрын
Mimi mjane 857 H mbezi beach
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 3 ай бұрын
Ivi ni kweli je Kigoma je?
@user-hs7vq1jo2q
@user-hs7vq1jo2q 3 ай бұрын
Tupo wengi tulio vunjiiwa na kuporwa viwanja vyetu ila atuna pa kufikisha machozi yetu
@eliacmaginya3429
@eliacmaginya3429 3 ай бұрын
Mawaziri waliopita kwenye hii wizara wangekuwa na hii spiriti bas migogoro ya ardhi ingepungua lakini waziri pekeyake hawezi wasaidizi wake nao wanatakiwa kuwa wazalendo kusapoti kile kizuri waziri anafanya,
@user-fy3cy5fe6q
@user-fy3cy5fe6q 3 ай бұрын
Je hizi kesi ziko mahakamani na ni uhonevu na rushwa mnafanyaje?
@shariffsagaf2305
@shariffsagaf2305 3 ай бұрын
Tatizo ni wafanyakazi wa ardhi na mabaraza la ardhi kesi inachukua miaka 10 na hatimiliki unayo mkononi
@kulngeleza6733
@kulngeleza6733 2 ай бұрын
Tusaidien na ss tuna karatas za selikali ya mitaa lkn viwanja hatuvioni tumetapeliwa uko kisemvul
@coolruler6820
@coolruler6820 3 ай бұрын
Mahakama ziko wapi jamani
@TradersEasyWay
@TradersEasyWay 3 ай бұрын
kuna watu hawafanyi kazi yani wao wanategemea utapeli..kama wote!
@user-mc3du2rz8l
@user-mc3du2rz8l 3 ай бұрын
RUSHWA...HADUI WA HAKI..MH KUNA MAENEO YA WAZI MENGI YAMECHUKULIWA NA WENYE PESA KWA KUTOA RUSHWA . VUNJA BABA SHERIYA MSUMENO USICHEKE NAOO. PIGA KAZI. WILAYA HADI WILAYA .
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 3 ай бұрын
Ndo tulikua tunataka mawaziri kama hawa sio wale wenye vitambi na kula rushwa kwa matapeli wa ardhi sababu ya pesa zao na ukigundua ni kubomoa hata liwe gorofa kumi ni kulishusha tu kupunguza machungu ya kusumbua maskini
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 3 ай бұрын
Anguko la mahakama Tanzania hii hapa yaonekana sasa wao mahskama wanashirikiw 6:09 6:10 6:11 6:11 6:11 6:11 6:14 6:14 6:14
@shabiruponera4323
@shabiruponera4323 3 ай бұрын
Kaah kumbe alimashauli na yenyewe inatoa kibali kaa plot fake..!! Why
@bakermusa9033
@bakermusa9033 3 ай бұрын
Mitanzania inakera sasa hivi kila limoja linajifanya liko na slaa gia ikichange yanaingia chimbo . Puuuumbaaf
@TisaMkenda-oj5uj
@TisaMkenda-oj5uj 3 ай бұрын
Wewe c mahululu mdogo,,,kamwambie kumekucha
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 3 ай бұрын
Kesi ya Mushi unapeleka kwa Ngowi😂
@syliviakente9460
@syliviakente9460 3 ай бұрын
Malalamiko yote Waziri atafuatilia ni kwa kuwa yuko Dodoma migogoro ni.mikubwa mno hapa Dar es Salaam , lazima eshughulikiwe haraka sana msikilize Waziri vizuri kwenye clip
I Need Your Help..
00:33
Stokes Twins
Рет қаралды 174 МЛН
A pack of chips with a surprise 🤣😍❤️ #demariki
00:14
Demariki
Рет қаралды 29 МЛН
100😭🎉 #thankyou
00:28
はじめしゃちょー(hajime)
Рет қаралды 57 МЛН
$10,000 Every Day You Survive In The Wilderness
26:44
MrBeast
Рет қаралды 125 МЛН
EXCLUSIVE: WAZIRI SILAA ANG'AKA "WATU WAMELIA SANA Kwenye ARDHI"
33:46
I Need Your Help..
00:33
Stokes Twins
Рет қаралды 174 МЛН