Pole mwanji kwa yaliyokukuta mwina amepata adabu yake bado samili yake inakuja Asante sana my favorite actors and actresses hongera kwa kazi nzuri much love from this side ♥️❤️❤️♥️
@mwanjifilms1233 ай бұрын
Asante sn
@princehenry71134 ай бұрын
Sijawahi kufikiria kama mwanji unaweza kuniliza mimi na midevu yote hii😭😭😭 unaweza Mwanji
Kazi nzuri sana Mwanji imeisha vizuri wabaya wote wamejulikana tunaotaji movie nyingine nzuri zaid ya hii
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Asante sana
@fatmahraseid70194 ай бұрын
Mh hakika leo Mbwela umeupiga mwingi
@BalethMedia4 ай бұрын
Ngoja ngoja 🤣🤣😂 nimecheka sana bro pia hongera sana kwa kazi nzuri na kubwa ..💥🔥 GOD blessd
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Asante ndug
@JamaliAmour-jp9dd4 ай бұрын
Doctor mwanji❤❤❤
@marryhancy16324 ай бұрын
Mwanji hongera sana tena sana
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Asante sana
@CândidoAdrianoMaimba4 ай бұрын
Bom trabalho Mwanji.
@henrysepetu4 ай бұрын
Yaan baada ya mdogo wangu kufa kwa mateso yote yale afu nimrudie hapana tamsamehe kibinadamu tu siyo kimahusiano 😢
@Mangara-qx2gg4 ай бұрын
Dah nilitamani iendelee maana naona kama imeisha mapema
@AgnesSteven-g1m3 ай бұрын
Hii ndo maana ya ubaya ubwela
@merinazyd05324 ай бұрын
Inafundisha mnooo ❤❤
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Amina
@QUEENSUU-e7r4 ай бұрын
Wasaba Leo good job sana🎉🎉🎉❤
@livy_stone334 ай бұрын
Best one The lesson 🔥🔥🔥
@NuruMbala-d1i4 ай бұрын
Usimsamehee
@nelsonandanyi4 ай бұрын
18:26-44:33 #Mwasi kapewa nlichotamani .... Big up Mwanji family
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Asante
@IbrahimMussa-b9k4 ай бұрын
Hongera kwa kazi nzur,tunaomba kali zaid ya hii
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Asante sana kwa uwezo wa mungu zunakuja
@IbrahimMussa-b9k4 ай бұрын
@@mwanjifilms123🤲
@AdamOman-n2s4 ай бұрын
Ongereni sana kwakaz mzr🎉🎉❤❤❤❤
@LewisHamiltonGLD4 ай бұрын
Mwaji Wacha kunifanya nicheke ety samil ngoja ngoja na nko Kwa huzuni jameni
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Hhh
@roudhamahmoud7634 ай бұрын
Mwasi pic kali
@tatuhaji54024 ай бұрын
Uko sawa mwnji
@fortunegerishom18274 ай бұрын
Wa kwanza nipe like zangu jameni
@JacobEston4 ай бұрын
Ihi kitu nzury lakini imeisha mapema sana ila story nzr kaka
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Asante sana
@JosephDjumat4 ай бұрын
Mwanji salote kwako broo unajua sana kiukweli ongeza umakini mungu awe pamoja nawe
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Amina kk
@NeemaSalum-d1d4 ай бұрын
Hongera sna mwanji kaz ni nzur mno pia inafundisha kwa kias chake❤❤🎉🎉
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Asante
@mkombozsanga4 ай бұрын
Mwasi nifundi sana
@ibrahimalex49784 ай бұрын
Ila tuseme ukweli muhina anajua kuongea😂😂
@ZinzaNgeleja4 ай бұрын
Kazi nzuli
@mkombozsanga4 ай бұрын
Yani wote nimafundi sana
@PendoJoseph-vm1oc4 ай бұрын
Daaa mwanji kijiji kimekuwa cha moto
@domysulley18874 ай бұрын
Mwasi pole pesa leo hupati kula maneno matupu
@nyamiziramadhani42324 ай бұрын
muhina anatamaa sanaaaaa
@TzSweetheart4 ай бұрын
Hongera thanaa brooh mwanji filam yko n fupi lakn n nzur thanaa Ina ujumbe mzur na wasanii wameitendea haki ❤❤❤
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Asante sana ndugu
@omarbosiomar86084 ай бұрын
congrats comrades
@domysulley18874 ай бұрын
Hiyo part ya waganga mpeni mwakatobe au pashambe
@ibrahimalex49784 ай бұрын
Ngoja hhhh ngoja samir ngojaaaa
@mwanjifilms1234 ай бұрын
😂😂
@KagegaAbdlah4 ай бұрын
Kaz nzul ila mhina una bahat😂😂😂
@babyteta-s7w4 ай бұрын
kazi nzuri bro mungu akutangulie
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Amina
@domysulley18874 ай бұрын
Mwanji hongera Sana
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Asante sana
@halimaali87324 ай бұрын
Mwanji uko vizuri 🎉
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Asante sn
@user-oz5if7gi3q4 ай бұрын
Uko na dada mpuzi asiye juwa uchungu
@user-kb2sw2so6h4 ай бұрын
Ok broo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@blessin_photography32234 ай бұрын
Samir nakulia😂😂😂 walai wewe ni mwamba
@RaimamomedSaidi-wz1yu4 ай бұрын
Alhamdulillah tunashkuru kwa mafunzo mazuri mungu atubarik kwa sote na tumefrah sana kwa kuupa uislam na ukiristo ukubwa kwani ndio dini zetu wa Tanzania,ila ningefrahia wa Tanzania wote yukawa na dini moja yahaki uislam ni dini nzuri sana hakika Allah ametubabaisha tu ktk dunia yake ila sote ni udongo mmoja na sote ni familia moja hivo kiburi na majivuno ktk hii dunia sio kitu chakuchukua,bali ni kusali na kuamin nguzo ya mungu tu basi,pia tusisahau kuomba msamaha kila siku kwani kwahakika sote ni wafu kwake tutarejea,asanteni sana zaid kaka mwanji mungu aendelee kukupa kipaji na kutuelimisha jamii,,,ila ulipomuita samiri ulikua km hujui kuongea kimakonde kilikuzidia 😂😂
@mwanjifilms1234 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@AminaAgustin4 ай бұрын
mung asimame nasi
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Amina
@doriskahimba4 ай бұрын
Mwanji kaka 🎉
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Naam dd
@zeinabuAchiengOkara4 ай бұрын
Kazi nzuri
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Asante sana
@FikiriKhalifa4 ай бұрын
Mwasi kimemkuta kitu 😅😊😊 ataki pesa tena Hahahaha 😂😂🤣 Sema hii kazi ni ya moto Sana kazi nzuri mno
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Asante sana
@FikiriKhalifa4 ай бұрын
@@mwanjifilms123 Allah awatangulie mtuletee KAZI nzuri zaidi
@AyubuBonifance4 ай бұрын
Shalp sn
@JanetRiziki-ut2is4 ай бұрын
Mwanji mungu akubariki sana broo ❤❤❤❤
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Amina sana
@mkombozsanga4 ай бұрын
Ngoja ngojaqq😅😅😂
@nyamiziramadhani42324 ай бұрын
mwas ataki pesa kabadikikaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@juliusmusyoka95854 ай бұрын
Nataka kuona venye mwasi amebadilika pia. Wana kijiji wakijua siri kama mwanji.atarudi kijijini
@ShabyNdauka-tv4 ай бұрын
Mwanji hii move umetumia akil nying san kutengeneza story tunaomba endelea kupamban kutup sotry nyingne nzur🙏🙏🙏
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Asante sana
@user-umutabazi0014 ай бұрын
Nice finishing, thanks so much guys, nice mdaaa nilikua nikiona muna support UCHAWI na uganga kienyeji Alakiini leo afadhali kidogo , kuna kakitu mumetuelimishaaaaa mwishoni
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Asante sana
@juliusmusyoka95854 ай бұрын
Matatizo season 2 ikuje
@ahmadabdallah95554 ай бұрын
Honger xn mbwerq uko vzr
@MandelaMwangome-q1b4 ай бұрын
Nzuri sana mwanji naomba uongoze episode zako zikue ata 80 kuendelea please
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Asante sana kwauwezo wa Mungu inawezekana
@kamarhelo4 ай бұрын
@@mwanjifilms123inshallah 🙏🙏🙏🙏
@MandelaMwangome-q1b4 ай бұрын
@@kamarhelo sawa broo nawaombea mzidi kutuweka biz na kuzidi kutuelimisha tu kwa sana
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Asante@@MandelaMwangome-q1b
@JacobEston4 ай бұрын
Acha ujinga wewe dada alie uwa nae auwawe pia malipo ni hapahapa dunia
@ahmadabdallah95554 ай бұрын
Nicce
@domysulley18874 ай бұрын
Mwanji bhana unapeleka marehemu kwa mganga
@mwanjifilms1234 ай бұрын
Hhh
@jacklinealex66174 ай бұрын
Congratulations Mwanji Kazi nzuri sana kwa kweli kimelia nafuatilia kutoka kenya hapo nimesema season 1.kumaanisha tunangoja season 2 sio?
Filamu nzuri kweli producer nakubali.ila mbona mmewapa waganga nguvu kuliko Uwezo wa Mungu?Mazonge hangefariki.Samir angetubu alipomzika Hika kwanza kabla afe.yule dada wa kanisa angeokoa Mazonge.Waganga wote hasa mwakatobe aliye mwasisi wa maudhui haya,wangeumbuliwa na Uwezo wa Mungu kudhihirika.