Allah alifanye kaburi lako liwe miongoni mwa viwanja vya peponi,akukinge na adhabu za kaburi na akuingize katika pepo ya daraja la juu....Amiina
@masoudmohamed52662 жыл бұрын
Allah muingize peponi shekhe wetu,mhmd
@khalfanamour1022 Жыл бұрын
Allah akurehem
@roukayaaman12612 жыл бұрын
Allah give him Jannatul Firdaus. I found all his works much later in life. If anyone has more of his lectures let me know please or where to find them. Jazakallahu khayr
@ibrahimali87356 жыл бұрын
Allah akuhifadhi kwa kutuwekea mawaidha haya inshallah ututafutie mengine ya shehe huyu
@Mohamed-zo1su5 жыл бұрын
Jazaka Allah
@abedkarenga64195 жыл бұрын
@@Mohamed-zo1su Assalam alaykum, nimemtafuta sana mzee Amir Abas Lulu, nahotaji taarifa za Shekh mmoja anaitwa Sheikh Mohammed Ismail Baile (marehemu). Sasa nimeambiwa shekhe Amir Lulu au watoto wa Shekh Amir Lulu ndio wanaweza nipatia muongozo, niko natafiti nataka nifanye. Nisaidie tafadhali +255759732187