Asante sana, kazi inaendelea. Maji yashafika chukwani?
@zanzibartownsАй бұрын
Maji yappo njiani yanakuja
@Ali-nl2duАй бұрын
@@zanzibartowns Asante akhy, Mwinyi hoyee!!
@altentic86165 күн бұрын
naomba tuache kujenga mifereji au chaneli hizi kwenye mitaa hii, kwani pamoja na kuwa mbovu ni hatari sana na zinaweza kusababisha ajali kwa vikongwe na watoto... ni bora bomba lililofungwa kabisa na mimi naona litakuwa. muhimu kujenga sidewalks pana sana.
@zanzibartowns4 күн бұрын
Ahsante sana kwa comment nimeona mifereji inakuwa covered haitokuwa open ni hatari wakati wa matengenezo inakuwa wazi kwa muda mrefu na sidewalks zipo in almost barabara zote zinazojengwa