Sasa ukisema mawe yakichimbwa kunabaki mashimo, je mchanga ukichimbwa kunabaki mlima? Kwani watu wameanza leo kuchimba jiwe? Je hizo barabara mtajengea tofali? Kwani lile fusi linapatikana wapi kama si huko kwenye kuchimba jiwe? Utapataje fusi kma hujachimba jiwe? Kama ni kutunza mazingira kwanza munge punguza gharama za ujenzi. Pia ardhi zinatofautiana. Unaweza kujengea msingi kwa tofali sehem ya ardhi ya mchanga lakini sehem ya udongo unaotembea lazima upate jiwe na zege iliyoshiba km hukufanya hivo subiria kupasuka kwa jengo, zinauliwa ajira za watu kwa kisingizio cha uharibifu. Tufikirie kisha tushauri kisha ndio tuzuie.
@نوفل-س5ر2 ай бұрын
Serekali wamefanya jambo moja zuri sana kuzuia mawe, hivi ni visiwa lazma tuvilinde, bila ya kuzuia hivi visiwa tutavikosa wallahi. Kuchimba mawe hakujawa ajira ,tusiharibu nchi yetu kwa kisingizio cha ajira ya kuchimba mawe.
@amoursalum82662 ай бұрын
Huu ndio uchawa. km nchi kuharibika si kwa jiwe tu.. pia simama useme kua zanzibar tumepotezewa utafa wetu mana usiseme nchi inaharibika kwnza jiulize ipi. hii y kitambulisho chake kisichosajili hata laini y simu?? maana km jiwe linaacha shimo mchanga je utaacha mlima?
@نوفل-س5ر2 ай бұрын
@@amoursalum8266sio uchawa, tembea uone sehem zinazochimbwa jiwe,
@NassoroHaji-i8k2 ай бұрын
Kiukweli foundation ya tofali ni nzuri sana
@allymbarouk53622 ай бұрын
Hata udogo jaman tusitumie twaharibu mazingiraaaa
@alhimnamussasaid36192 ай бұрын
Serikali imebugi step kwa kuzuia mawe
@AmeirhajjRamadhan-e1h2 ай бұрын
Dar wanajengea tofali kwa sbb hakuna jiwe znz mashaallah tumejaaliwa na neema kadhaa wa kadhaa na neema izo izo ndo zinawapatia risk wengine sasa jeee watawapa ajira gani hawa wanao jishuhulisha na kz hz mtihani kwa kweli
@نوفل-س5ر2 ай бұрын
Akili yako mbovu io,
@karafuunanazi17012 ай бұрын
Athari ya uchimbaji mawe kupitiliza ni kukaribisha janga la kuvamiwa na maji ya bahari, watu wakumbuke kua Zanzibar ni visiwa.
@AliAli-w9x6d2 ай бұрын
Upuuz Tuh
@amoursalum82662 ай бұрын
Yani zanzibar hatujui ata tunachotaka.. uchawa umetuzidi kupigia kofi kila jambo. kw nn hatujasimama kuikosoa serekeli kw kupoteza hadhi ya itambulisho wetu. leo tunaishi na kipande ata laini y simu husajilii labda kukatia niket y pemba. tudai nchi alaf tuondoe kero za jiwe