Poleni sana tupo kwenye dunia yamwendokasi tamaa za mafanikio zinasumbuawatu.
@mariamfritsi49432 жыл бұрын
Poleni sana wana familia, na Mungu atawaumbua hao waliofanya ukatili huo. Inna Lilah Wainnailah Rajuun. 04.12.21.
@azizaabeid20552 жыл бұрын
Poleni wafiwa mungu awape subra na marehemu mungu amlaze mahali pema peponi
@azizaabeid20552 жыл бұрын
Yani inaumiza sana hawawezi wakikamatwa wauliwe tu na wao mtu anajitafutia rizki leo wanadhulumiwa nafsi zao hivi mungu atawadhalilisha hapa Duniani na Akhera
@shanikiwanga34922 жыл бұрын
Duh,Mungu tusaidie maan binadamu sasaiv wamegeuka Kama wanyama tunauwana kama kuku 😭😭😭😭!polen wafiwa
@husseinhaji84592 жыл бұрын
Poleni Saana Wafiwa Jamn Kwa tukio la Kutishaaa
@hono12322 жыл бұрын
Mheshimiwa mkuu wa wilaya yafanyike yafuatayo kunusuru madereva wa bodaboda: 1- abiria kutoa kitambulisho 2-dereva achukue picha na kuituma kwenye dawati maalumu 3- dawati litunze kumbukumbu 4-kumbukumbu hizo zipitiwe kila baada ya miezi 3 kwenye sehemu husika 4- kama itabahatika kama kuna tatizo kumbukumbu zipitiwe Hizi zitsaidia kupunguza au kukomesha maiwaji ya waendeaha boda boda
@charlesmyamba85312 жыл бұрын
Mungu tuongoze tuyatendee yalomema izi kweli nyakati za mwisho
@omarshariff53162 жыл бұрын
Inalillah wainallah rajiun ndiyo hatma ya kila kiumbe polen kwa msiba ndugu hakuna marefu yasiyokuwa na ncha
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Inalillahi wainailahi rajuun. Subuhanallah Tz kunatisha sikuhizi mauwaji tu sibola mchukue pesa au pikipiki kuliko kuuwa Allah atawaumbua Inshallah🤲
@nurdinmfamau34932 жыл бұрын
Tunaupungua Waelimu Yamaadili Katika Jamii Ndio Ukaona Matukio mengi Yaajabuajabu Yanajitokeza. Pamoja Naelimu Nyingine Lakini Nilazima Natuwafundishe Natuwasomeshe Natukasome Natuwasomeshe Watoto Wetu Elimu Za Imani Kwamaana Elimu Yadini.
@mweusiasili83452 жыл бұрын
Dah😥 polen sana wafiwa mungu ampe safari njema kaul thabit binadam tumekua wabaya kuliko wanyama 😢😢
@chiwanzamgonellah78212 жыл бұрын
Kuna mda unaweza kata tamaa ya kutafuta maisha dah polen wana familia.
@jumakalukule53122 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa m/mungu ilazeroho yamarehem mahalipema peponi
@BINTIwaKITANGA2 жыл бұрын
Inna ilayh WA Inna ilayh rajiun 🤲 Jamani hizi Zama za mwisho tumrudie mungu
@khalfanseiph4912 жыл бұрын
Poleni sana ndugu zangu wa Ukwamani mwenyezi awape nguvu katika kipindi hiki kigumu
@maryjkiosa33802 жыл бұрын
Polen Sana jaman daah inasikitisha Sana 😭 mwenyezi mungu awatie nguvu 🙏🏻
@saumuimeda51812 жыл бұрын
😭😭Jaman jamn Tanzania saiv imekuwa nchi ya mauaji kiasi hiki RIP pumzika kwa Aman
@firdausrajabu68222 жыл бұрын
Mh yaarabbi tunusuru😭
@coolwaveac76592 жыл бұрын
Poleni sana Wana family Kwa kuondokewa na mpendwa wenu 😭😭
@degglerzachariah90332 жыл бұрын
Poleni sana wanafamilia na Watanzania wenzangu wote. R.I.P brother.
@maryamabdullah91692 жыл бұрын
Poleni sana Wafiwa saiv ukatili umeshamiri
@wakalafundi43872 жыл бұрын
Duuuu kwann watu wa mungu umebadilika hivyo mnazan mtaishi milele
@eneamrema10842 жыл бұрын
Mungu awatie nguvu wanafamilia lakini Amna kitu kisicho kuwa na mwisho
@MohammedAli-rh5si2 жыл бұрын
Inna lillah wainahy llah rajioun poleni wafiwa hapo shida yao ilikua mkono bora angemkata wakamuacha mzima japo na ulemavu inauma sana wtt 4 watateseka bila hatia
@matatomlik18462 жыл бұрын
Innalilah wainna ilayihi rajiun poleni sana wanafamilia
@verdianabanabi59432 жыл бұрын
Jamani mungu wangu. Yeye atajua adhabu atakayowapa.
@aishamwerevu34272 жыл бұрын
Mmh mungu awanusuru maana humjui adui yako moyo wa mtu ni kichaka
@wandomligite78892 жыл бұрын
Poleni sana Wakaguru wenzangu ila hao waliotenda hivyo watahukumiwa kwa matendo yao
@johnmollel57462 жыл бұрын
Poleni san
@costantinanesphory46302 жыл бұрын
Pole sana wanafamilia ndugu jamaa na marafiki pamoja na boda boda wa gairo mungu awape wepesi jamani raha ya milele umpe ebwana na mwanga wa milele umwangazie
@samsondazit26322 жыл бұрын
Poleni sana🙏🙏
@khadijahali48372 жыл бұрын
Bora ukutane na simba lkn sy binadamu
@dicksonyohana35602 жыл бұрын
Pole SN wanandugu was ukwaman gairo
@jamalahmed70572 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa hakika mungu atakufanyieni wepesi
@princearamyog58162 жыл бұрын
Inauma San
@husnarams36982 жыл бұрын
Mhhh jaman watu wanekosa uttu kabisa Allah awatie nguvu wanafamilia
@aminatanzanya74752 жыл бұрын
Dah! Hivi shida nn jamn wanadamu wa Leo tumekuw km wanyam Kuna tukio km hili lilitokea nyumbn kijan alikuf vibay huy Mungu pekee ajuaye alikatw viung vya siri na yote hay chanz ni ushirikin Jamn tuombe sana Mungu anatusikia
@twalibkatuli53182 жыл бұрын
Innalilah waina ilayh rajiun but hili jambo lichunguzwe coz maeneo haya yanawez sana wa pikpik na si mwazo tukio kama hilo ila yanatofautuana tu
@jescaizengo97222 жыл бұрын
Jamn gairo yangu inanini? Jamn Ee Mungu turehemu😭😭🙏 Rest in peace
@egonmatwiga91022 жыл бұрын
Jaman hebu mwogopen Mungu kwann tunauana Kama kuku
@lucyjeremia13812 жыл бұрын
Poleni Sana wanafamilia jmn inauma Sana 😭 😭 😭
@peteryukunda92392 жыл бұрын
Jamani poleni sn! Hawa washetani yakipatatikana yalofanya hicho kitendo,yauwawe.
@rashidramadhan77082 жыл бұрын
Pumzika kwa amani kijana mwenzetu
@rubensaitoti68392 жыл бұрын
Polen sana
@consolathammari81862 жыл бұрын
Poleni sana mungu awatie nguvu
@deohaule81612 жыл бұрын
Serikali ishirikiena na makampuni ya mitandao ya simu kwa lengo la kutengeneza booking system itayo wezesha kuvet au kucheki uhalali wa abiri kabla ya kupatiwa huduma na boda boda.
@neemazee18642 жыл бұрын
Daaaaaah😢😢😢😢😢😢😢
@dorcaskidoti2492 жыл бұрын
Dunia dunia umechoka nasi tukaamo ndani yako tumekuchoka ukatili matukio ya kutisha kila uchao😭😭😭😭😭
@aishaalbalushaishabalush82912 жыл бұрын
dunia haina kosa ndugu serkal inatakiwa iweke ukali katka mauwaj yanayoendelea kwa kasi la sivo kilasiku mutaisingizia dunia wakat nyie binaadam ndi mnaichafua dunia kwa matendo kama hayo dunia unailaumu kwa kuionea tu inch zote serkal ingikua inafumbia macho wezi na maovu ingikua kama hivo tanzania so serkal inatakiwa itoe tamko aneuwa nayeye auwawe nasio kusema alieuwa asishikwe hadi uchunguz ukamilike huku anaendelea kuuwa na wakishikwa awen wanatolewa kwa dhamana hivo haitamaliza wajambaz wauwaji dhamana isiwepo kwa alie uwa na aufungwe maisha yote sio anatoka kwa dhamana kesho anaenda fanya tukio mji ungine
@martinpatrice99362 жыл бұрын
Poleni saana jamani
@noahjoel52072 жыл бұрын
Polen, mapito ya dunia watu wamegeuka kua wanyama,
@yonamashauly85932 жыл бұрын
Yaaan ayo matukio huku ni mengi mnoo ana c mmoja tu bodaboda kibao wanauawa na kutupwa umo🥲😭😭😭yaaan jaman
@lucyjeremia13812 жыл бұрын
Hata Kata ya mpunguz walimfanyia hivo kijana mdogo kabisa Tena walimkata kichwa wakafukia kiwiliwi kichwa wakaweka juu ya kaburi wiki nzima ndo kapatika huko maporini jmn jmn jmn hiv pesa inadhaman gani au hizo pesa atatumia muda gani sahiv bora ukutane na mnyama kuliko binadamu daah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@@hanifatanzania7258 yaan acha tu sahiv bora ukutane na mnyama Lakin siyo binadamu hawana huruma. Yaan yule kijana alikutwa akiwa ameanza kuharibika 😭😭😭😭😭Na sijui kama wezi wamekatwa mi naogopa hii dunia mungu atusaidie
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
@@lucyjeremia1381 Amyn yarabiaalamyn
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
@@lucyjeremia1381 huko kwetu Tz sikuhizi wamezidi ROHOMBAYA wanatuweka lohojuu mudawote ukiwa a pesa shida unashida wamegeuka watoaloho wezi. Uku Oman hakuna mambo hayo kama kwetu kunaamanikamazote adiraha.
@lucyjeremia13812 жыл бұрын
@@hanifatanzania7258 yaan acha tu mtu ukiwa na vihela kidogo vya mboga unaishi kwa was was kugar cha m. 10 tu wanakuwinda kukuua 😭😭😭😭sijui tukaishi wapi
@nestoemanuel17682 жыл бұрын
Poleni san ndugu zangu wa gairo😭😭
@mjroyaltz83222 жыл бұрын
Polen xan ndug na jamaaa🙏🙏🙏
@mafundarashid58472 жыл бұрын
Innalillah wainna ilaih rajiun
@khadijahali48372 жыл бұрын
Innalilah wainailah rajioon
@amosmichael4872 жыл бұрын
Uchunguzi ufanyike wahusika wafikishe kweny mkono wa dola
@peterbuju52162 жыл бұрын
Dar poleni sanaa😭😭😭
@patricialpatrick99272 жыл бұрын
RIP kijana mwenzangu
@ericasimon35682 жыл бұрын
Taarifa ina mwez Leo ndo mnaipata?muwe na uptadate taarifa
@amanibisusa39942 жыл бұрын
Amani bisusa
@noonelike63822 жыл бұрын
Haya mambo tulisha yasahau kitambo Sana... Dah!.
@jambo37512 жыл бұрын
Mambo yepi hayo tena!!! Ya watu kuuwawa?
@borntown69452 жыл бұрын
Allah Subhanahu amsamehe mazambiyake
@youngdonn98332 жыл бұрын
Nasisi imetutokea hii ndugu yetu wamemuuwa kwakumkata mapanga nakuiba boda boda mkoan tabora wilaya uyui Kijiji cha itumba
@blecngzdeclassicbrinaldo20122 жыл бұрын
MHSRIP
@hansmosses94222 жыл бұрын
daaah
@rahmarashidi16992 жыл бұрын
Binadamu tumekua wanyama sana
@benjaminthomas43722 жыл бұрын
Mmmmh
@stanleymartin29432 жыл бұрын
Poleni sana
@samsonmagesa39592 жыл бұрын
Tuache Roho za kinyama
@daudm48922 жыл бұрын
Daah😰
@StAr-yu3vz2 жыл бұрын
Ariyofanya mpango yupo hapo hapo fanyeni dua poreni
@elizakefa2932 жыл бұрын
😭😭😭😭
@jennytugara94702 жыл бұрын
Si kila Mtu anaecheka na wewe ni rafiki sio kila Mtu anaekuonyesha jino ni mwema kwako tuishi na Watu kwa akili ulimwengu huu!!!
@nasrahassanabioll65592 жыл бұрын
Hakika ndugu yangu maana dunia ya leo inatisha
@MohammedAli-rh5si2 жыл бұрын
Mkuu kwenye hilo hata ukiwa makini nado ni mtihani moyo wa mtu kichaka
@rezegerezege6912 жыл бұрын
😭😭😭😭 R.I.P BRO.
@jerryjuma13392 жыл бұрын
😭
@aishankoma90662 жыл бұрын
Duu
@malelabmalela50162 жыл бұрын
Munģu wang
@witnessalistides47542 жыл бұрын
Jamani dunia hii siyo
@magneticofficialtz2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/g6GwhZeVj5qghLc Uwiii ni shida
@hamzashadya1932 жыл бұрын
Yan una muua mtu kisa milion 2
@zahratinsaleh10042 жыл бұрын
Alafu muwaekee muda sio usiku waache
@neemaruben54272 жыл бұрын
🙆🙆😭😭😭
@zahratinsaleh10042 жыл бұрын
Wahalifu ni hao waingiaji haramu ndani ya nchi burundi huko na nchi nyingine
@Agnes-qq4np2 жыл бұрын
Koma ukomazike wa Burundi ndo wanakuja ku uwa boda boda ni watanzania wenyewe kwa wenyewe
@zahratinsaleh10042 жыл бұрын
@@Agnes-qq4np hee pole bwa usomkia we mwana kumamamayo wajuwa kutukana wa wenzio matusi tumexaliwa nayo mbwa wa kiberenge uso na mkia ndio waburudi ndio wenye umasikini na njaa jambazi wakubwa km imekukera meza kilo ya misumarí mbwa ww
@zahratinsaleh10042 жыл бұрын
@@Agnes-qq4np sina mda wa kujibizana na kina km wa tukawa utakavo mm nilikuwa yanakutosha maana huna tusi jipya Kuma mbovu wa Malaya mmoja mnotoka kwenu na tamaa zenu
@Agnes-qq4np2 жыл бұрын
@@zahratinsaleh1004 jifunze kwanza kuandika vizuri njo ujibizane na mm kwamaisha gani mnayo yakufanya tuje uko hakuna inchi inakosag wahamiaju ata kwetu wa tz wapo kibao
@zahratinsaleh10042 жыл бұрын
@@Agnes-qq4np nenda huko maana hata kuongea hujui kwendraaa
@janemapoz63602 жыл бұрын
Jamaniii binadamu tuwe na huruma kzbin.info/www/bejne/ranJhZmrZcSGbLc