😂😂😂Zuchu kiboko ya daimond 😂😂😂penzi lao moto tia mkono uunguwe😂😂😂
@MachoziEbwela17 сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉 zuchu uyoooo
@Majambo_Duniani_Tv12 сағат бұрын
Daah huu wimbo unaitwaje jaman
@IbrahimHamis-xq2tt13 сағат бұрын
Sns, Sijapendaa.. mbona mme tudanganya???, Kuna uno gan hapo
@paulinewangila-cs6ys7 сағат бұрын
😂😂😂mbavu zangu jamani
@Rukua-i3o2 сағат бұрын
Nilijua2 nitaipata hii😂😂😂😂😂😂
@Ummyzakiah-f4m2 сағат бұрын
😂😂😂😂niue
@SUDANIMEDIA14 сағат бұрын
LOVE THIS OLD SCHOL BAND THEY BRING JOY
@azizahuruma746318 сағат бұрын
❤❤❤❤
@patriciacarlo723612 сағат бұрын
Nipo na Aaliyah ❤❤❤
@dorothmsuya16869 сағат бұрын
@@patriciacarlo7236 Endelea naye.. Zuchu yupo na Mondi!
@FaudhiaWadongo10 сағат бұрын
Mnamsema king,ang,a yake yanamuendea😂😂
@EmmanuelChrispin-bo5xh14 сағат бұрын
Mbn hamna uno hapo sns vp minaona nguo zinazunguka tu
@salimakuyela78136 сағат бұрын
Zuchu ni mfanya kazi tu wa wcb hakuna ndoa hapo mahusiano Gani yakupigia kelele Kila chombo Cha habari eti niombeeni niolewe 😂😂😂 ikiwa wewe unae lala nae nakujifunika shuka Moja hakuelewi sisi mashabiki atatuelewa 😂😂😂 subili tu muda wako ukiisha utachapa lapa kama wenzio kwanza umedumu tu kwakuwa nimfanya kazi wake 😂😂😂 ila sio Kwa uzuri au kupendwa ukiumia kajitundike😂😂😂😂😂
@SimoniThomasi2 сағат бұрын
Hii komenti ndo yenyewe mondi anamuonea huruma kumuacha atachanganikiwa ashindwe kutunga nyimbo kadumu tu sababu mondi anaona akimuacha atakua anamuona hapo hapo so yaweza mharibia hata husiano lake jipya maake haka hakashndwi kumroga na hakawezi kuacha kaz katataka kabaki ili tu jamaa hawezi vumilia
KING'ANG'ANIZI HICHO! HAKUNA KITU HAPO! ALLIYAH NDIYE MAMBO YOSE!
@NduwimanavovobiVovobi13 сағат бұрын
Haya sasa mama suma kajitojeza😂😂 sema yakutokee wivu utawauwa 😂😂😂
@Rahima-kv6mn12 сағат бұрын
@@NduwimanavovobiVovobi😂😂😂😂😂😂😂😂👌
@Sharmy_0212 сағат бұрын
😂😂😂@@NduwimanavovobiVovobi
@RehemaKatana-m6l11 сағат бұрын
Jaman uyu...kila comments lazima ASeme ivo😂😂😂...Angalia mziki açhana Na maisha ya zuchu
@HildaMangi11 сағат бұрын
Utaacha na umbea mwaya mpenzi Yao yanakuhusu nini wewe mwenye nyota ya bodaboda
@DaphrozaKikoti6 сағат бұрын
Nipo na zuchu had ninyongwe
@channyanjen904711 сағат бұрын
Uyo Aaliyaah wapi umesha muona na Diamond shenziiiiiiiiiii
@RehemaKatana-m6l11 сағат бұрын
😂😂😂😂
@beatricejoseph23478 сағат бұрын
Ila waafrika tuna kazi ,mzazi kazi yako ni kumlea na kumsomesha then m guide kwenye maisha yake lkn siyo kumpangia hadi mwanamke aweje ,wanaooana si wao ,wakichokana si basi! Sasa hii kila mwanamke mbaya ,Zari aliachwa ,Hamisa alisemwa masikini hela zitaishia kwao,Tanasha naye cjui bla bla ,sasa Zuchu ana hela zake wanaoumia asiwe na Dai shida ni nini?
@Bravo-or8oy5 сағат бұрын
@beatricejoseph2347Zari alikuwa na pesa zake na aliwatakatisha sana ule ukop lakini mwisho wa siku wakaja kumlipa kwa kumleta Hamisa kwenye mahusiano yake. Diamond na yeye angetaka kuoa angeoa tu bila hata kuishirikisha familia yake au mama ake maana sio lazima
@ActiveMedia-j9y6 сағат бұрын
SIO KWA UBAYA LAKINI HILI SWALA LIMEKAA KIDEMU SANA WANANGU hao jamaa ambao wanacheza taarabu jau sana
@ZaitunJuma-l5p14 сағат бұрын
Zuchu anatamba anajiamini mpk bc
@Zuuh10713 сағат бұрын
Napenda kutopoa pua ila naogopa 😂😂😂😂
@pesamingi27511 сағат бұрын
Basi usitopoe 😂
@Zuuh10711 сағат бұрын
@pesamingi275 ndo hivyo sitopoi kabsa😂
@zuenaaliy192510 сағат бұрын
😂😂😂jameni@@pesamingi275
@yohanakananika358610 сағат бұрын
Kweli usitopoeeee😂😂😂😂@@Zuuh107
@rumdeesonsoa18119 сағат бұрын
Unaogopa nn?
@SalmaSalma-rh1jr4 сағат бұрын
Niwambie tu esma amekanusha aliya kutoka na simba amekataa
@evodiusantony211514 сағат бұрын
Sns mdamwingine mnaferi tuzo za soka zmetolewa mkokimia
@JeanToyi-u6r18 сағат бұрын
Kwanini Zuchu Wanamuogopa Kumugusa...😂😂😂?.
@AllyNzisabira15 сағат бұрын
Pima uyambee😂😂😂
@EmmanuelChrispin-bo5xh14 сағат бұрын
Mke wa boss
@ISMAIRYRAMADHAN11 сағат бұрын
Muache zuchu wetu km unaona anamng"ang"ania Simba na ww nenda kwa Simba mondi mtt uyo kz kwk simba