MAWAHABI WAO KWA WAO WANATIYANA KATIKA BIDA. BY SHEKH AHMAD MBARAK AWES

  Рет қаралды 6,377

Sufi Muhammad Adam

Sufi Muhammad Adam

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@Musaalgi
@Musaalgi 10 ай бұрын
Maa Shaa Allaah
@halidijuma1884
@halidijuma1884 2 ай бұрын
Wow maashaAllah hii imeendaaa
@MohamedMgwami-nw6bl
@MohamedMgwami-nw6bl 4 ай бұрын
Sheikh mibarak Ahmed aweys hakika mawahabi hawana elimu zaidi vichwani mwao wameondolewa ufahamu,pamoja na ushahidi unaoutoa lkn hawakubali wao wanabaki na msimamo wao tu,wanaikataa bid'dah huku ndio watendaji wakubwa,allah swt akuhifadhi insha allah
@zuhayrbendoh8796
@zuhayrbendoh8796 3 ай бұрын
Angalia vizuri fatawah sheikh ibn uthaymeen alifutu kwa tafswiil hakusema moja kwa moja ni bid'aa
@khalfansharji-ez7pg
@khalfansharji-ez7pg 4 ай бұрын
Tunakuelewa vizuri saaaana sheikh Aweis mawahabi hoja zao dhaiffffff!
@sufimuhammadadam6814
@sufimuhammadadam6814 4 ай бұрын
Kabisa hawana hoja
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 ай бұрын
Ndo mnavyodanganywa hojja dhaifu mbona ninyi ndo hoja zenu dhaifu mnafanyaga vitu bila dalili maulid yenyewe mmekosa hojja mpk leo mmeshindwa kuleta hadithi wala Aya iiloonesha mtume alifanya maulid na swahaba zake hakuna Aya hiyo Wala hadithi hiyo mpk kiama kitakuja
@MohammedShundi
@MohammedShundi 4 ай бұрын
Na nyiny wenyew kukataa mkatae yote sas myatakayo mwayakubal ambay hmyataki ndo mwayapigia mayoe.. au na hvo mfanyavo pia ndo mafundsho hayoo?!?.. nmepata wap na nyiny hayo yote Kam kwel nyiny ni watu wa dalil Kam mjiitavyo..
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 ай бұрын
@@MohammedShundi kitu gani tunafanya bia daiilili taja lini ahlsuna akafanya jambo so dalili kuruani na sunna au kuarifu wema waliotangulia taja moja wapo? Ila tunaona ninyi masufi ndo wakaidi kumuelewa mtume jambo akilifanya shekhe ilo limepita haimaniishi katoa wapi hata limpinge mtume ninyi mtalifanya madamu shekhe kafanya ni watu wasojuwa makatazo ya mtume
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 ай бұрын
Mtume kafundisha kufanya maulid? Toka uhai wake yey na swahaba zake aiwahi kusanya watu akasema umati wangu shereeheni kuzaliwa kwangu tukiwauliza mmetowa wapi ibada hiyo mnaluka Luka thuh na kukimbia hoja mfano mtume kakataza kuyafata majeneza kwa sauti yeote kuimba kuongea kufanyeje jeneza liafatwa kimya kimya watu leo wameleta nyimbo na kudhikiri dhikiri za kukohowa au kuimba laila ila la ila ila llah tukiuliza mtume kakataza hivyo wanakuambia nikwwli sisi tumeleta ile kuwazima watu kelele na story za simba na yanga na mipira yani akili yenu inavyoona ndo dalili hakuna ubaya ndo tukisema utaskia mawahabi wanatukataza tusimtaje mungu ndo shida yenu watu wa bidaah propaganda nyingi ili watu wasione hakki
@hassanmohamedabdalla4108
@hassanmohamedabdalla4108 Ай бұрын
ma sufi hawa ridiani na bidaa zao bali wanasaida na kutetea u khurafi zao
@MursalinaAdan
@MursalinaAdan 3 ай бұрын
Dalili sio masheikh dalili ni Kitabu na sunnah
@jamalkishangu
@jamalkishangu 4 ай бұрын
Elimu iendelee kutolewa. Watu watolewe taka.
@AbuuKawtharAbdallah
@AbuuKawtharAbdallah 3 ай бұрын
Ni jambo lililo wazi tangu ulamaa wa zamani walitofautiana kwenye mambo mengi. Cha kuangalia je ni kauli ipi yenye nguvu kwa dalili hiyo ndio inafuatwa. Ndio maana kuna mas-ala unaweza kukuta kuna kauli 5 au zaidi za maulamaa lakini unatakiwa ufuate kauli inayofikiana na dalili na wala usifuate ushabiki. Na Allaah ndiye Mjuzi wa Kila Kitu.
@homeboyvr8184
@homeboyvr8184 3 ай бұрын
Dalili sio mashekhe dalili nikitabu na sunnah
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 2 ай бұрын
Kumbe Mnasikiliza!? NYINYI mumekatazwa Musisikilize MASHEIKH wetu....mbona Munasikiliza. Kwanini
@mdathirhassan2187
@mdathirhassan2187 9 ай бұрын
Ujanja huo twakujuwa
@abdulshakurmshindo9040
@abdulshakurmshindo9040 4 ай бұрын
Sasa ujanja gani wakati mambo yako wazi
@SaidiOmy
@SaidiOmy 4 ай бұрын
​@@abdulshakurmshindo9040 Yaa akhi. Kwani hawajui mawahabi walivyokuwa hawana ufahamu ?? Mara nyengine bora "Wanasiasa " wanatumia akili zao wanapoambiwa ukweli .. Lake n mawahabi ni weupee.. Unaona wana macho lakini hawaoni . Wana maskio lakin hawaskii ALLAH AKUHIFADHI KUTOKANA NA MAWAHABI
@kugotwa004
@kugotwa004 Ай бұрын
HUYU HAJASOMA JAMANI NAMJUA UYU KAMA BACHU WAO
@mdathirhassan2187
@mdathirhassan2187 9 ай бұрын
Toeni na yenu
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 6 ай бұрын
Yetu mshayatoa. Yenu mmeyasahau tunakukumbusheni. Nyani haoni kundule sasa tunakupigieni picha kundu zenu kisha tunakuonyesheni maana wenyewe hamzioni mawahabi
@BushDoctor-dw8el
@BushDoctor-dw8el 4 ай бұрын
Acheni ujinga wenu wa bidaa. Wakati wa mtume kulikuwa na kamera au mikrofoni au nyumba za simiti na tiles au umeme au, au, au.
@hassanmachemba2757
@hassanmachemba2757 3 ай бұрын
Huyu SHEKH mjinga SANAAA, yaani wew hata hujui kutofautisha kati ya mujitahidi na shekh wakawaida? Akiwa mujitahidi na akakosea analipwa na akipatia analipwa mara mbili , kwahiyo hata maulamaa wanakosea na hawafuatwi kwahayo makosa Yao sisi tutalazimiana na yule mwenye hoja inayoafikiana na dalili, yaan wew ni Bure Rudi darasani kasome Tena
@darajanida
@darajanida 3 ай бұрын
kaa kimya ndugu yangu unaonekana huelewi chochote kwenye masuala ya dini
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 2 ай бұрын
Mujtahidi Akikosea hafanan na Sheikh!? East Africa wapo Mujtahidi? ACHENI kuwapa vyeo,WENGINE na kudharau WENGINE.
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 2 ай бұрын
Mujtahidi Akikosea hafanan na Sheikh!? East Africa wapo Mujtahidi? ACHENI kuwapa vyeo,WENGINE na kudharau WENGINE.
@ShekhMufyd-mn9zn
@ShekhMufyd-mn9zn 2 ай бұрын
Acha kutukana mashekh hata kama upo kinyume nae haumkubali sio ndo mtukane halaf unajiita salaf
@AbuuBakar1
@AbuuBakar1 4 ай бұрын
Naam hiyo iko wazi kabisa haifai ni bid'aa Na hao ni masheikh wakosea na kupatia Alafu kuna jambo uhakika ni bid'aa ila kumhukumu mtu binafsi kuna masharti yake watu wa Sunnah hawamhukumu tu mtu ovyo
@KhalfanMakota
@KhalfanMakota 4 ай бұрын
Sheikh watu wapokataza bidagha hawana maana eti saudia hakuna....sasa kutaja saudia ndio nn wakat gonjwa la bidagha ni kote
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 ай бұрын
Acha kwani bidaa ndo ulinganie bidah unazitaja bidah wakati we ndo mtu wa kuzifanyaa shekhe wemwwnyewe unalingania watu kwenye uzushi
@sufimuhammadadam6814
@sufimuhammadadam6814 4 ай бұрын
Subuhana Allah
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 ай бұрын
@@sufimuhammadadam6814 Sasa subuhana llah huoni au kazuliwa huyo shekhe awsu si mtu wa bidah huyo kwani mtu wa sunnah huyo??
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 ай бұрын
Ww unafanya maulidi na makhitima hayo Ni sunnah ya mtume muhammadi??
@asa9268
@asa9268 4 ай бұрын
We huna akili?huelewi kiswahili?kwani huoni yeye pia anataja bidaa wanazofanya mawahabi?shida iko wapi?
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 ай бұрын
@@asa9268 bidah gani wanazofanya wahabi urongo mtupu mbona anafata maulidi na uzushi anajuwa et bidaah za wahabi salala ameshindwa kukataza yey mnazofanya huko kwenda na majeneza na nyimbo hizo so bidah kusoma hitima sijui 3 mbona amuwauliizi hawo mashekhe zenu nyi kila kitu ndy Kama wakristo kila kitu ndy mchungaji kasema ww una bidaah chungu nzima mauwlid n k mbona hakemei hilo huyo shekhe wenu anakimbilia kwa wahabi huku Ni dalil tunafata hatuzui Ni Kala llah wakala rassuluh
@hassanmachemba2757
@hassanmachemba2757 3 ай бұрын
Na ndio maana mambo ya mwezi muandamo unawadanganya waislamu eti oooh Tokyo ikiwa saa Saba usiku Tanzania itakuwa sijui saa kumi na Moja, SAWA je Kuna sehemu Duniani tunapishana masaa 24? Jibu hapana, na je kwani makafiri wanaposherehekea CHRISTMAS Duniani kote inakuwaje? kwani Kuna CHRISTMAS mbili au tatu au Christmas ni Moja ? Je Eid inaweza kuwa Moja ila Hawa wakaanza na Hawa wakafuatiwa Swali lingine Je unavyoambiwa QIYAMA ITAKUWA SIKU YA IJUMAA, maana yake Dunia mzima watu watakuwa kwenye QIYAMA kimoja au QIYAMA mbili, acha kudanganya watu wew uwesu
@AliSaid-y5j
@AliSaid-y5j 3 ай бұрын
Soma Geography, ndio ulize maswali hayo ya kijinga. Walio mbele kinyakati ndio wanaoanza kusherehekea. Kama wabisha rudi darasani usome wewe.
@jumamukoko6662
@jumamukoko6662 4 ай бұрын
Siyo ujanja nyie hampendi yenu bidaa zitajwe
@sufimuhammadadam6814
@sufimuhammadadam6814 4 ай бұрын
Muzi taje tujue nasi
@ababakryally8827
@ababakryally8827 4 ай бұрын
Mashekhe wenu salafy wanatiana kwnye bidaa
@SaidiOmy
@SaidiOmy 4 ай бұрын
Jee nao ni watu wa bidaah ?? Wakina Albaniy na Fauzan na lBNUL baaz
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 4 ай бұрын
Duh jamaa ni muongo sana.Hakuna Ashaaul Waalidayn. Bali sadaka Halafu Ukizungumza Tumia Dalili Zipoje Sio Kupandikiza Fikra Chaf kama hizi. Tunachoangalia Ni salaamatul Manhaji.Na ndio mana Hata Maswahaba Pia walikosea ktk mamb mbali mbali Na saudia sio Dalili.
@sufimuhammadadam6814
@sufimuhammadadam6814 4 ай бұрын
Ulijuaje kama yeye NI muongo
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 4 ай бұрын
@@sufimuhammadadam6814 Tunahitaj dalili kutoka ktk kitab na sunna hayo anayodai. La sivyo Ni chuki zake tu. Kama yeye anakiri juu ya Bidaa fulan lakin ana lengo gan kuzuia Bidaa au Kuunga mkono Bidaa.????Na nina uhakika Huko Saudia hakuna masuala yake hayo anayodai Na Maulamaa Wetu hawawez kupatia kila kitu na kila jambo hivyo hatutafuata ktk makosa
@zekgyn
@zekgyn 3 ай бұрын
@@sufimuhammadadam6814 na wajuaje kua yeye ni mkweli? Allah ndiye mwongozaji, tufungue vifua vyetu katika kumuomba Allah atupe ufahamu wa dini kwa hoja zilokuasahihi.
@IbrahimKivura-q3b
@IbrahimKivura-q3b Ай бұрын
Kua muelewa mnasoma ila hamuelewi
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش Ай бұрын
@@IbrahimKivura-q3b unachekesha kwa hyo mtu aweza kuketi kwa mwalim akawa afanyiwa mitihani Na Afaulu kisha ww uje umwambie kiwa ww hukuelewa. Uelewa upi huko kwenu mnamaanisha?? Au kuwa zwa zwa kila kinachosemwa Maulidini
MAWAHABI WAFUNDISHWA TAFSIRI YA NENO BIDA'A SHEIKH SAMEER SIDIK
31:45
Каха и лужа  #непосредственнокаха
00:15
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 26 МЛН
Munaqasha Ya Tauhid Mawahabi Walipelekwa Vibaya
13:57
AL MUQADIM TV
Рет қаралды 2,2 М.
Tafsiri Ya Malaika Harut na Marut-Ustadh Muhammed Al-Beidh
5:25
ANGALIA NAMNA MABAROBARO WA KISLAMU WAME HARIBIKA
26:48
Sufi Muhammad Adam
Рет қаралды 2
TAZAMA UFUNDI WA KUZUNGUMZA WA SAYYID AHMAD ALWIY BADAWIY - 2023
29:19
BACHU AMVAA SHEIKH OTHMAN MAALIM TUHUMA ZA UZUSHI VIGAWANYO VYA TAWHID
26:32