😂😂 kinaya kubwa sana wanawake wapeana naseha kuhusu vile mwanaume anafa kuwa kabla ya ndoa,,like serious@citizen kwani mmekosa wanaume wa kuongelea hii mada,😂😂😂😅😅 wat ajoke..u guys with all the resourcess hauwezi pata wanaume kuongea juu ya hii
@janetmwalimo2219 Жыл бұрын
Unamaanisha mamako hawezi kukufundisha ama mimi ndo sielewi mada
@OmarAbdulAzeez4714 Жыл бұрын
@@janetmwalimo2219 mafunzo ya mama kwa kijana ni tofauti na baba,look at kids raised by single mums majority how they r