Nimependa sana hiki kipindi kinafaa kabisa kufanyika katika vyuo vyetu live na vijana wakapewa wasaa wa kuuliza maswali. Big up sana
@petermalobya13454 жыл бұрын
Santeni Sana kwa darasa zuri
@amahorohusna96706 жыл бұрын
Shukran sana Tunapata faida sana kutoka kwenu,big up sana Rashid.. Sheikh Allah akujaze kheir
@zulekhasaidmohamed40434 жыл бұрын
Rashid Huyokaka kakamwegine ninamuelewa sana laiti nigempata ninamaswali nataka kumuuliza namuamini asema kweli
@koudrashabani96744 жыл бұрын
Mwenyezimungu Awanusuru
@jojoba26333 жыл бұрын
Bi Mswafwari na squad yako, nashukuru kwa mawaidha yenu mazuri,yanajenga mno mungu awabariki na mzidi kutupa mambo mema ya uheri
@halimaalex52954 жыл бұрын
Mashaallah jazzakallah kheri inshaallah Allah awajalie zaid nimefurai sana mawaidha mazur mashaallah nimependa san
@florencejames5014 жыл бұрын
Halima naomba naomba yako ya VODA mm saidi
@halimaalex52954 жыл бұрын
@@florencejames501 saidi mgani tena jaman
@hdeegithinji21914 жыл бұрын
I came here today and this is just pure wisdom💯💯🙌🙌both religion and philosophies meet ... Those with ears let them hear, listen and understand💯🙌
@johnnsenga50793 жыл бұрын
Nimelewa sana maada
@agnessjohn12223 жыл бұрын
Wangu ukimtesa natoa avumilie mwisho auwawe saizi wanaume niwakatli wanaua wanawake zamani kulikua na ukandamizaji sio ndoa walikua wanalazimishwa kuolewa kwa nguvu
@dicksonmkokota49664 жыл бұрын
Mm ni Mtanzania! Hongera Sana kipindi ni kizuri na kina maudhui mazuri wazee fanyeni kazi zenu/funzeni Mungu anawaona
@scolasticagibore86523 жыл бұрын
Sasa wewe mkokota hapo nini kimekukosha, acha umbea
@rajabjabu21255 жыл бұрын
From tz mungu akupe umri mrefu shekhee Amir
@winnieodhiambo35115 жыл бұрын
Well explained. Sasa nimejua tofauti ya kupendwa na kutakwa.asanteni.
@maxwellking93994 жыл бұрын
Sasa wee Winnie niambie... mimi unanipenda au Unanitaka:-)?
@ameenajumah73353 жыл бұрын
Sheikh tumekupata swafisana nice advice .Nakupenda sheikh kwaajili yake Allah .
@Babygirl_S5 жыл бұрын
Basically an educated, financially stable woman who stands for herself is a problem for the man. Those times are over. Women are not your prisoners anymore. Accommodate the modern woman's needs, ideas because clearly things are not the same anymore. Let women progress without demeaning them.
@abufidu5 жыл бұрын
All the hosts of the show are in total agreement with what you are saying. This is why marriages don't last these days, things are not the same anymore. Probably "women's lib" and successful marriage are mutually exclusive. We just can not have both.
@chachamarwa19135 жыл бұрын
Bi msafwari nakuliuza swali je mimi nimeoa kwako mfano avu wewe do chanzo cha kutenganisha ndoa yangu mke wangu nami hamna shida nitafanyaje ili uachene na Mke wangu ?
@elyseerugonderakrely7384 жыл бұрын
Tunawafwata 100/100 mimi na mke wangu Cécile. À santé kwa mashauri yenu
@bonifacebeatrice80773 жыл бұрын
Mm naona chanzo n kukosa hekima na busara na hofu ya Mungu na maadili ya kiafrika zaidi.
@mahmudmustafa85884 жыл бұрын
Sheikh Allah akuzidishie zaidi
@kiazikitamu39854 жыл бұрын
Wanawake wengi wanaolewa wakiwa na tabia njema sana ila huko kwenye ndoa wanavurugwa wanadharauliwa sana na wao wanaota mapembe yanawashinda wanapambana
@marthajuma84114 жыл бұрын
Yaani ulichoongea kiko sawa kabisa,hata mm mwenyewe niliolewa nikiwa na tabia nzuri sana lakini saiv acha tu nibadilike Hamna namna
@masoudyrashidy90414 жыл бұрын
Hii class ni safi sana hongereni wazee wetu nyote hapo studio maneno yenu Yapo sawa kabisaa na bila kufuata hizo tabia zenu tutafeli
@zulfabakari55554 жыл бұрын
Nikweli kabisa
@steveirungu31323 жыл бұрын
If I ever walk down the aisle I will walk out period I'm extremely sorry 😐😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔 that's the bitter truth by Steve Irungu Jermaine
@muhammadmuhammad50433 жыл бұрын
Mimi Nimzanzibari Naishi UAE Nina Asili ya Oman Nimimi Nimependa Kipindi Nikizuri Mashaallah Mashaallah Mashaallah
@farhanaomar11774 жыл бұрын
Asanteni sana nilikuwa namtafuta sana hiyo shekhe kuna CD niisikia ya aina ya.wanawake xjui 7nk nilicheka mno moja ya hao wanawake no yule ambae akiona.wageni huanzisha kixhwa kinauma au no hao wa kichwani,na.mwingine.akiensa sehemu na mumewe utasikia ha on a friji lao kubwaa sio kama letu jmn
@rosekesina78713 ай бұрын
Thank you for your help
@masilamutua53924 жыл бұрын
Wakipenda mungu na kufuata sheria zake watapendana
@rahmaally27754 жыл бұрын
Mashallah shekhe
@elizabethdaud64464 жыл бұрын
Nkweli ndoa hazdumu nyakat hiz sana nkwasababu unakuta mwanaume amezoea kuwa na wanawake wengi tofaut tofaut rangi, shape n.k kwahyo kudumu na mmoja ningumu sana, naitwa lizbeth
@steveirungu31323 жыл бұрын
Personal responsibility begins with myself Steve Irungu Jermaine
@kassimchande49854 жыл бұрын
Shekhe mungu akushushie rehema na akusamehe kwa Yale uliyoghafirika nayo
@reenmakamu22783 жыл бұрын
Wow i love this
@wanjirukarago93084 жыл бұрын
The guy in green Ankara shirt hunibamba sana ...I always like his school of thought seen few of his videos .
@sabrinayounisaden72385 жыл бұрын
Mashaa Allah,shiekh wangu, Allah akuhifadiye.
@OmanOman-gc1zu4 жыл бұрын
jazzakaAllah kheri Allah awazidishie kila KHERI in Shaa Allah.... najifunz mengi san
@lesashigeneral92133 жыл бұрын
Ni kweli Mwanamke akidisha urembo ule ubora wa shunguli zakifamilia utapungua : -kufuga kucha ndefu,kwenda kuoshwa miguusaluni, kujipodoa kupita kiasi nk. Huyu maranyingi atakua anamtegemea binti wa kazi. Sasa tayari anaanza kua mlemavu. Kumbe umemuoa mwanamke mlemavu ambae hata hawezi kunawa mwenyawe.
@jackiemabduswamadkimimbi86524 жыл бұрын
Nice topic
@lizikiabdallah30543 жыл бұрын
Shukran
@hassanaloisi36434 жыл бұрын
Chikeni part pia nichanzo.Sababu kungwi uwafunza uwiz natamaa mabint.Unakuta kungwi mwenyewe anawatoto sita.Nakila mtot na babake.Mabint somen wazaz wenu wawil.Nakuxoma maandiko matakatifu.Mtaacha maisha ya utawandazj namtavumilian
@elizakituzaleyaapoline52834 жыл бұрын
Jambo mama ubarikiwe sana kabisa upepe shauri kabisa
@orojinaledjemm13153 жыл бұрын
Nawashukulu kwamawogezi mazuli👍
@abedkirway86684 жыл бұрын
Asanten sana kwa kipind kizur mm mtz nawafuatialia vizur sana
@hyilnematangi7684 жыл бұрын
Mungu akubariki ndugu,nimejifundisha mengi.
@sunyareh5 жыл бұрын
Wanawake wa siku hizi imani imewsisha heshima hakuna upendo ndo kabisa imekufa. Kazi tunayo si mchezo kuoa miaka hii. Ee mungu tusaidie
@wacmber21315 жыл бұрын
Ukimakinika wala hutosumbuka
@josephaloyce25724 жыл бұрын
Jose
@steveirungu31323 жыл бұрын
Marriage went to the intestive care unit ie ICU I'm extremely sorry 😐😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔 that's the bitter truth by Steve Irungu Jermaine
@steveirungu31323 жыл бұрын
I would rather live alone period by Steve Irungu Jermaine
@officialcarolyne29856 жыл бұрын
That's true I love this topic
@yakobolaiza14744 жыл бұрын
Gfmyewnczoyevsp
@hawamshamu3033 жыл бұрын
Mimi tz nimeipenda iyo mada lakini matatizo nimengi kwenye ndoa
@japhetmarco49364 жыл бұрын
Asante mjadala Safiii
@hamzaabdirahman32825 жыл бұрын
Very great show, thanks all
@beyoncebeyonce27375 жыл бұрын
Hapo kabisa twafulahia sana juu ya kutufunza mengi God bless all
@bryfrancis78793 жыл бұрын
Me too ,hahaaaa I think Vyote vimezungumzwa lakini kikubwa ni mtu kuwa na "HOFU YA MUNGU"ndo jibu la kila kitu
@iddiseleman55563 жыл бұрын
Hongela xana kwa mada mzuli
@emmanuelgathage38356 жыл бұрын
Too much truth...
@tatusalum84283 жыл бұрын
ubungo kids
@nadirmahfoudh18124 жыл бұрын
Mada zuri sana masha'Allah
@zulfabakari55554 жыл бұрын
Yaani natamani nipate mume leo niyafanye haya yanayofunzwa humu,
@jackiemabduswamadkimimbi86524 жыл бұрын
@@zulfabakari5555 are u sure
@zulfabakari55554 жыл бұрын
@@jackiemabduswamadkimimbi8652 yes, I'm sure
@furahamwakalukwa4 жыл бұрын
Siku hizi hamna ndoa ila kuna maigizo tu katika ndoa!!!Wanawake wengi wapo aftermoney kwa kipindi cha urafiki na uchumba uwa wanakuwa na heshima mno lkn ndoa ikifungwa tu ni sarakasi na kila aina ya kiburi.
@moanasaboud43994 жыл бұрын
Sheikh gonga point kuhusu mapishi Mashallah
@johnmicky25724 жыл бұрын
0Lop
@johnmicky25724 жыл бұрын
O ppppp P Ooo66666oo
@bintimohamed26464 жыл бұрын
Asante sana MAMA na MZEE. 🤲👏💕💓
@teresiahkiarie84403 жыл бұрын
I have learned something, kunakupendwa na kutakwa
@steveirungu31323 жыл бұрын
Marriage is by choice period by Steve Irungu Jermaine
@oliverabraham65444 жыл бұрын
Napenda sana mjadala wenu Mungu awaongezee siku nyingi za kuishi
@yonasimbo29453 жыл бұрын
Mijadala yenu mihimu Sana tatizo kizazi cha sasa ndo shiida na sijui kama Kita sikia haya na kufuata maana hatali ila munngu asaidie haya
@aminajohn50554 жыл бұрын
Napenda sana mnavyoongea
@mohamedlacha65153 жыл бұрын
Ndoa hazidumu kwasababu mila na desturi zetu za Kiafrika zimepuuzwa kabisa. Fikiris wazazi wetu walidumu na ndoa zao kwa maisha yao yote. Mwanaume siku hizi haheshimiwi kabisa na wanawake shauri ya usawa M . Lacha Dsm
@myoutubecom-gg7sb4 жыл бұрын
MashaAllah
@steveirungu31323 жыл бұрын
Marriage is a voluntary union period I'm extremely sorry 😐😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔 that's the bitter truth by Steve Irungu Jermaine
@farahanimselem52324 жыл бұрын
Ndowa azidumu kwasababu maisha magumu hali mbaya mwanaume anaisia ya mapenzi njogoo akilala amki kwamwezi malamoja
@lilianezekia58514 жыл бұрын
Ni kweli kabisa hiyo
@mohamedshabani59864 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@felisternjeru91964 жыл бұрын
Heshima muhimu ladies respect men
@dripemoji33154 жыл бұрын
We will respect them if they respect us
@kalengemochi1104 жыл бұрын
Ahsanteni sana,,, mozambique hapa tunawapata sana
@salmaluhombero84664 жыл бұрын
Omg hii ni kweli
@jacquelinerayamu31874 жыл бұрын
Mkalla una facts Sana jamani mashallah 👍
@deboraamos5604 жыл бұрын
Asanteni sana
@bintiiddy70435 жыл бұрын
Jadhaka llah kheyra
@hassanomar27083 жыл бұрын
Hassan Omar Dirie jag är på besök från mig själv till ett nytt sätt är på väg till jobbet så mycket jag vill ha ett nytt jobb med mig.
@happytimes97474 жыл бұрын
Nasikiliza sana huyu mzee ako sawa kabisa
@leontinebinlydi94593 жыл бұрын
iyo nikweli kabisa
@sabrialharthy70903 жыл бұрын
Mr. Rashid
@dicksonmdagachule35924 жыл бұрын
Hataree
@mutomubaya5 жыл бұрын
Sababu ya ndoa nyingi kuwa hazidumu { Katika Jamii ya Waislamu ] ni kwa sababu tumeacha njia aliyotufundisha Mtume, Swalla Allahu alayhi wa sallam, hasa kuhusu malezi. Vijana wakipatiwa malezi mazuri lazima yawe ya Kielimu. Na jukumu la kuelimisha vijana haliko juu ya wazazi peke yao bali Imaam ana jukumu la kuwafikishia watu wote wanaoswali Msikitini kwake ujumbe kamili wa Allah. Kwa hivyo kuhusu ndoa wanaoingia kwenye ndoa ni vijana. Ikiwa waliacha kuhudhuria vikao vya ilmu walipofikia umri wa ujana wengi utaona wanajua Kusoma Qur'an lakini ukiwauliza maana yake watasema, hatuelewi Kiarabu.Jambo la kwanza kuteremshwa katika Qur'an ni kuhsu umuhimu wa KUSOMA. Waislamu wa kwanza walikuwa ni waarabu kwa hivyo wakisoma qur'an wanaelewa, Lakini sisi wa sasa hatuwafundishi vijana wetu Kiarabu. Kwa hivyo wataweza vipi kuelewa mafundisho ya Ndoa na hali ya kuwa somo la Ndoa bado liko katika lugha ya Kiarabu? Na badala ya wazazi kuongea na Imaam ili apange masomo kwa vijana baada ya swalah na apange masomo kwa wazazi pia wamjue Allah na wajue kumuabudu na wajue malezi bora na apange masomo kwa Waslamu wapya. Hilo hakuna. Kwa hivyo ikiwa haturekebishi makosa yetu tujue kuna kujibu siku ya kiama kwa sababu Mtume amesema. Kullukum Raain wa Kullukum Mas'uulun. Ukisoma vyema hiyo Kauli ya Mtume utaona kwamba jukumu la malezi sio kazi ya wazazi peke yao. Turudini kwa Allah na tuwapatie vijana nafasi ya kujiendeleza ki masomo badala ya kuwaacha bila mawaidha wanakuwa watu wa kukaa vijiweni
@حليمهال-غ1ظ5 жыл бұрын
Allah akubariki
@lacicam81195 жыл бұрын
Masha'Allah, ujumbe mzuri
@sharifabwamkuu44924 жыл бұрын
Allah akubarik Mashaallah maneno Matamu na mazur
@zaharajuma50194 жыл бұрын
Jamani hii nimeipenda
@dullahshaaban90504 жыл бұрын
Ndoa ni financial institutions ikitokea bankrupt hapo hakuna ndoa lazima kutoswa........✍️✍️✍️✍️✍️
@carolinenakirutimana15594 жыл бұрын
Siyo marafiki tu mama, na famillia zinaingilia ndoa za wanao sasa wenye ndoa wakikubali, ndoa inaisha au inaishi vibaya mwanandoa wa kike anaishi kwene ndoa kwa kuvumilia
@bryfrancis78793 жыл бұрын
From Tz
@munaongoeliebamongi81284 жыл бұрын
Mimi bwana Mongi Enoch kutokea DRC na shukuru sana na Yale mawaidha kwa kweli yamenifunza sana Mungu awabariki sana
@emmanuelbanzi42994 жыл бұрын
Nawakubali kwamashauri
@steveirungu31323 жыл бұрын
Marriage is like a death convict to me it's a hell NO I'm extremely sorry 😐😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔 that's the bitter truth by Steve Irungu Jermaine
@yusuphmdoe49874 жыл бұрын
Safi sana shekh
@jokhasaid86664 жыл бұрын
Tusidanganyane hata zamani walikuwa wanaachana. Bibi yangu kaolewa mara 5 Zamani wengi wa mama walikuwa hawafanyi kazi na wanaume walichukulia ile advantage. Wanaume hawajui majukum yao
@sadockjohn54544 жыл бұрын
Hapo no pagum ndoa inamambo mengi
@myovelayeronimocy28294 жыл бұрын
CCTV I n nmillkpiib5zym
@kiazikitamu39854 жыл бұрын
Wanawake wa zamani waliteseka sana hawakuwa wa kuwasemea kabisa na wengi walikuwa hawafanyi kazi wanategemea waume zao ukiongea nao wamkuambia tulivumilia sana, wanawake wa sasa huwezi kuwanyanyasa wanajua kusimamia haki zao
@aminajohn50554 жыл бұрын
Kwel kabisa
@mariamtegele86064 жыл бұрын
True
@BlackPanther-lt7wr3 жыл бұрын
True
@rosegatara42324 жыл бұрын
Pole
@steveirungu31323 жыл бұрын
I'm a proud bachelor without limits period so help me God in Jesus name Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 by Steve Irungu Jermaine
@priscalameck87004 жыл бұрын
Nimejifunza sana
@samwellwiza53394 жыл бұрын
1.Usafi 2.Maneno matamu 3.Chakula kitamu 4.Busara na uwajibikaji kwa mwanamke Hili ni limbwata tosha
@thegreat.98694 жыл бұрын
Kaka umeacha busara na uwajibikaji kwa mwanamke
@stephenmnkeni19493 жыл бұрын
@@thegreat.9869 No
@yusuphzaitunihawanaloloteh64714 жыл бұрын
Nimewapenda kweli
@carolinenakirutimana15594 жыл бұрын
Huyo kaka wa nguo ya kikwembe anasema kweli. Wanaume wanapenda heshima lakini hawapendi kuheshime wake zawo
@edgasimkoko3213 жыл бұрын
nakukuballi sana mkala unaongea vizuri sana
@iceplay183 жыл бұрын
kkk huyu sheikh vituko mleteni kila siku nimecheka sana sina mbavu
@celinalyimo18704 жыл бұрын
Mbarikiwe kwa mafundisho yenu yakifuattwa vyema hakuna atakayekosea atika kuchaugua mke au mke. Hata sisi. huku majuu twafaidika kwa mawaidha yenu mazuri kama huko Tz ndoa za ungua huku zinateketea
@celinalyimo18704 жыл бұрын
Kuchagua mke au mume. Sahihisho
@rajaburajabu39634 жыл бұрын
Safiiiiiiiiiii
@frereirie22824 жыл бұрын
Extrait de Kacou 140:Hukumu juu ya Dini za Asia 12 Mnamo Aprili 24, 1993, ni mimi nilipewa na Mwanakondoo pumzi na necta ya kutokufa ili nizipitishe kwa mtu yeyote anayeniamini kila mahali hapa duniani nikiwa bado ulimwenguni. Pumzi hii iliingia kwangu kupitia sauti ya Mwanakondoo ambaye aliongea nami. Nabii mjumbe au maharishi anapoondoka duniani, giza hufunika dunia kama ilivyokuwa wakati wa kufa kwa Bwana Yesu Kristo na kitabu chake kinakuwa masalia ya historia ambayo lazima yawe kwenye jumba la kumbukumbu. 13 Shabaha ya Ujumbe wa nabii sio kuleta utulivu wa kisiasa katika inchi bali kuokoa au kuhukumu wanao ishi wakati wake wakati nabii huyu yuko hai duniani. Na wakati amekufa, Ujumbe wake unaweza kuchunguzwa kama hati ya historia au lazima uwekwe kwenye jumba la kumbukumbu. Nafasi ya Bibilia Takatifu, Quran Tukufu, Torati na Tanakh lazima iwe katika jumba la kumbukumbu. Purânas, Upanishads na Bhagavad-Gita lazima ziwe katika jumba la kumbukumbu. Vedas takatifu, Agama, mfalme wa Tao-tö-king, Yi Jing na kitabu cha Mabadiliko lazima viwe katika jumba la kumbukumbu. 14 Ni wakati Mungu anaona mateso ya watoto wake duniani, kwa huruma yake, Anatuma rishi, mtu wa Mungu duniani. Na Ujumbe wa nabii au rishi ndio Ganges takatifu iliyoshuka kutoka mbinguni. Sanatana-dharma ni Ujumbe wa nabii wakati nabii huyu yuko hai duniani. Na Ujumbe wa nabii kila mara utakuwa neno hai la Mungu bila ufafanuzi wowote wa uongo wakati nabii huyu yuko hai duniani.
@feisal65922 жыл бұрын
Kukitakaa kutegezaa garii lazima ulibodibide Kisha ulinyishe lakini kama gari limefantija accident pilaz panal biting itakuwa ngumuu sana
@dicksonmkokota49664 жыл бұрын
Naomba mama msafwari please mwenye nauo!
@hamismathias91114 жыл бұрын
Hongela kwakipindi chenu
@alinelumona88363 жыл бұрын
lakini yote si kweli mbona amji jitaji wenyewe hata ninyi wazazi wetu ni wabaya sana haswa upande wa wahume semeni kuwa kila mafamilia zani hali zaho wengine wamama mukwe huchangia sana kuchukia welekazi wao hata hivo si hote lkn wengi ndo walivyo utafikiri watoto wao. Watahowa madada zao lkn ajabu ya mungu si hivyo
@roseannakapalila47154 жыл бұрын
Hapana sio kweli kusema mwanamke awezi sahau bwana wa kwanza
@bahatijoseph87634 жыл бұрын
Wanawake hamuachani na mtu wako wa kwanza hilo ni kweli kabsaaa
@rahmaabdillahi27955 жыл бұрын
Mkala u r the best..... mtazamo wako ni wa hali halisi
@murekatetegermaine65593 жыл бұрын
Ndoa kweri ni kama mlima rakini mungu razima awe msingi wa ndoa.tena razima uvumirivu uwe kwa ndoa, na siri , kuurumiana.wakati kumetokea shida razima mmoja awe na unyenyekevu .