Nimeishi mbozi kwa miaka mitatu jinsi wanavyoongea inapendeza sana and nilipata mwanamke wa Kinyiha akanifundisha maana wa wimbo huu shortly ni wimbo wenye ujumbe mzuri sana ni vile msanii kakosa suport
@EsterUpendo3 ай бұрын
Ulimuoa huyo mnyiha
@ignaschengula25692 ай бұрын
@@EsterUpendo yes yes
@OliviaMajaliwa2 ай бұрын
Jamani manyiii mweee
@stewardjulius6 ай бұрын
Nakubari Dana mbozii oyeeee
@cpycprian7470 Жыл бұрын
Kweli hiii ni Ngoma ya wanyiha
@nkwamujd6526 Жыл бұрын
Huu ni wimbo kwa Lugha ya Kinyiha
@wemayisambi2772 жыл бұрын
Kwabwana uyo ingepaa utendamie amaimba mwinga
@dottodismas6672 Жыл бұрын
Penda sana wimbo wa asili
@VanesaVanesa-no5gs10 ай бұрын
nimemis hom nikisikiliza hiii nyimbo
@abieafrica Жыл бұрын
🙌🏽❤️🔥
@janesmbuzi39352 жыл бұрын
Hii nyimbo ya kinyiha sio ya wasafwaa asili yake ni kule nambinzo... Na huyu mtu alitumbuiza kwenye sendoff Moja ndo kafanya napenda sana nyimbo za asili
@barakatenes2 жыл бұрын
Niwalewale tuu
@felixmagulu6142 Жыл бұрын
Wanyiha ndiyo wenye ngoma hii,Wasafwa wana ngoma yao inaitwa Indonga
@felixmagulu61422 жыл бұрын
Hii ngoma asili yake ni Mbozi kwa Wanyiha na siyo wasafa, Wasafa wana ngoma yao inaitwa Ndonga, Hii inaitwa Babatoni.
@p.nmahumbi81612 жыл бұрын
Ndiyo hii ni nyimbo ya Mbozi babatoni sio ya wasafwa
@felixmagulu61422 жыл бұрын
@@p.nmahumbi8161 Hiyo ngoma asili yake ni Mbozi kwa Wanyiha, Wako vizuri sana.
@kenethmwangoka9812 жыл бұрын
sahihi lakini babaton inapigwa na wamalila wasafwa na wanyia wasafwa ni mahili zaidi ktk babaton
@felixmagulu61422 жыл бұрын
@@kenethmwangoka981 Haya makabila yote yako ndani ya Mbeya na Songwe, Lakini kwa upande wangu Wanyiha wako vizuri sana kwenye ngoma ya babatoni, Nilianza kuwaona wakipiga ngoma hii kwa mara ya kwanza mwaka 1983 maeneo ya Usangu Mbeya.
@rehemamangara67952 жыл бұрын
@@felixmagulu6142 nimewakubali
@hassanchinguile38662 жыл бұрын
Kwani ile ya kuwasifu Mkapa na Nyerere kaimba nani?