MUME WANGU KANIKIMBIA KISA NIMEFILISIKA |NILIKUWA NAMLEA |ANAISHI KWANGU |PESA NAMPA

  Рет қаралды 8,380

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 62
@mamiyfeiy
@mamiyfeiy 2 жыл бұрын
Maashallah Ngariba mtoto kila siku zikenda unafanya vizuriiii
@mounatheboss8797
@mounatheboss8797 2 жыл бұрын
Mwenye kipindi chake huyu ndio mtangazaji 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mamiyfeiy
@mamiyfeiy 2 жыл бұрын
Umeonaaaaaa eeeeh👌🏾
@azizamvungi6409
@azizamvungi6409 2 жыл бұрын
mtangazaji yupo powa sana
@mmn7480
@mmn7480 2 жыл бұрын
kbsa
@camicapoty9415
@camicapoty9415 2 жыл бұрын
Sio shida yako dada wew sikiliza hizo mbangi za uswazi zinasemaje hao ndio wazungumzaji wakubwa sio mtangazaji
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 2 жыл бұрын
Hahaha kesi ya nyani uipeleke kwa ngedere
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 2 жыл бұрын
Jamani 😂😂😂Kwani mtu akiwa anatizama mwezi sura yake inakuaje.
@mmn7480
@mmn7480 2 жыл бұрын
JAMNI MNAONAJE ABKI NGARIBA MTOTO KWENYE MBANGA YURE DADA MIZINGUO TU
@mammam4701
@mammam4701 2 жыл бұрын
San
@Rahmah-dr9xd
@Rahmah-dr9xd 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣Mtumie talaka afu anajichamba mwenyewe
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 Жыл бұрын
We mama kitu gani hicho unachotaka kumfanyia huyo mumeo unataka kumpa kingungulu mzigo nini ? Basi mama yangu chonde chonde usimpe kingungulu saizi ya ndoo tafathali.
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 2 жыл бұрын
Hahaha macho kama anangalia mwenye ana malola
@twocountrieslady6307
@twocountrieslady6307 2 жыл бұрын
Mkome kulea wanaume Wastahili jinga sana
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 2 жыл бұрын
Uswahilini raha sana 😃😃😃
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 2 жыл бұрын
Duh hamna kazi
@hadijamwanana2471
@hadijamwanana2471 2 жыл бұрын
Nimemoenda bure yuhu mama🤣🤣🤣
@asmaally9958
@asmaally9958 2 жыл бұрын
Kwakweli ngaliba mtt anatupa raahaaa Na mboss wetu zahir
@mamiyfeiy
@mamiyfeiy 2 жыл бұрын
Sanaaaaaa👌🏾
@mmn7480
@mmn7480 2 жыл бұрын
kbsaaa yure dada mh
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Duu kweliii dunia imeisha
@ShekhahamedMuhsin
@ShekhahamedMuhsin 7 ай бұрын
😂😂😂😂 jamani huyu dada
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 2 жыл бұрын
Mmh mama Malaya huyu mala hamtak mala arud khaaa stak kujidhalilisha mm
@kimcash3079
@kimcash3079 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣nataka sitaki 🤣🤣pole na swaumu
@ruwaidaal-ismaily9099
@ruwaidaal-ismaily9099 2 жыл бұрын
Umechachuka leo baby😄😄
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 жыл бұрын
Huyu mama anahitaji kusaidiwa jaman hata hajui anachokiongea inatia huruma kukimbiwa na mume nyie acheni tu😪😪😇😇
@maswamills3161
@maswamills3161 2 жыл бұрын
Ukiona mume kamkimbia mke atakuwa kaolewa, huyo mama NI malkia wa nguvu kaoa. Hongera dada.
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 2 жыл бұрын
Wanaume kama hawa ndio wale wanaochomwa na petroli
@asiaamohd4077
@asiaamohd4077 2 жыл бұрын
Hichi kipindi cha ushangingi Ndio kinakufaa hapa zahir umepata mtangazaji
@bahatikyusa8864
@bahatikyusa8864 2 жыл бұрын
Haki nampenda ngariba mtoto ❤❤
@mamiyfeiy
@mamiyfeiy 2 жыл бұрын
Hahaaaa uunishindi mimi❤️❤️❤️
@mmn7480
@mmn7480 2 жыл бұрын
Mm pia kuliko yule dada kapoa kma kojo ra asubuh
@salmamohd9918
@salmamohd9918 2 жыл бұрын
Mtihani
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 жыл бұрын
mama kama dishi limeyumba😅😅
@ziadaskitchen5060
@ziadaskitchen5060 2 жыл бұрын
Mmm mambo
@jasminekiangio706
@jasminekiangio706 2 жыл бұрын
Huyu mtangazaji anajua bana
@miriambendera9938
@miriambendera9938 2 жыл бұрын
Jaman kasombwa na mafuriko
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 жыл бұрын
😂 😂 😂 😂 😂
@prettyablaali5175
@prettyablaali5175 2 жыл бұрын
Mama kavurugwa naskitika kua Ramadhan haipandi
@saudahassan6667
@saudahassan6667 2 жыл бұрын
Uswahilini kuna vitukooo
@doreenkaiza9930
@doreenkaiza9930 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 nime cheka Kama mazur
@nigamo9645
@nigamo9645 2 жыл бұрын
Macho kama anaangalia mwezi
@mamakekhubeiby4206
@mamakekhubeiby4206 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Akiamungu nimecheka mpaka basi lol tanzania Kuna vituko 😂ATI na macho yake kama yuangalia mwezi 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 2 жыл бұрын
Hawaa jamanii
@mamakekhubeiby4206
@mamakekhubeiby4206 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@lightnessmwinyi2676
@lightnessmwinyi2676 2 жыл бұрын
Nyie ndo mnatuharibia wanaume haya hapo umechana naye yeye akipata mwingn mwendo Ni Ile Ile Kwa sababu kazoea kulelewa
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 2 жыл бұрын
Mama mwenyewe anaongea utafikir kalewa😒
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 2 жыл бұрын
Huyu mama kashazimua chibuku🤣 c kwakuongea huku
@fatmarashid3137
@fatmarashid3137 2 жыл бұрын
Bibi amechanganyikiwa
@zainabsaid5544
@zainabsaid5544 2 жыл бұрын
Mh makubwa kuacha sio pow
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 жыл бұрын
haya mambo yanafuraisha na yanasikitisha na yanaukiza msikie tu kwa watu😢mm wala sisemi
@tiaraoscarjuma4522
@tiaraoscarjuma4522 2 жыл бұрын
Nimecheka eti sura yake kama anaangalia mwezi 🤣🤣🤣 hapo hapo anamnanga
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 10 ай бұрын
Hii😅
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 2 жыл бұрын
Hahaha
@salmanassor8732
@salmanassor8732 2 жыл бұрын
Yaani huyu mama amechanganyikwa mapenzi bwana
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Kipindi poa sana cha mitaani
@alfarsialfarsi2754
@alfarsialfarsi2754 2 жыл бұрын
Uyu mama dishi limeyumba🤔🤔et watu wanaongopa kufunga et guest zimefugwa dah
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Si mfungaji huyu mama na huyo mume alimzoesha vibaya kumleamume kumpa pesa kumlisha kwahiyo alikua akupe ndi alikuaanakaakwasababu ya. Maslai
@tikenoah995
@tikenoah995 2 жыл бұрын
Hongera Manyema kipindi kizuri ila huyo mama anatatizo kdg sio vyema maneno hayo kwa mume wake na wakati bado anaonekana Anampendaa
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 жыл бұрын
🙆‍♀️🙆‍♀️😂😂😂😂😂😂😂😂
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 42 МЛН
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 11 МЛН
How to Fight a Gross Man 😡
00:19
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 19 МЛН
JUMBA LA KIFAHARI LINAUZWA KIGAMBONI 0762505211
4:49
DALALI WA TAIFA KIGAMBONI
Рет қаралды 9 М.
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 42 МЛН