GB64 ACHAFUKWA AWAVAA YANGA VIKALI KISA GSM ANATUHALIBIA MPIRA KWANINI TUSIONGE SIMBA TUMEJIPANGA

  Рет қаралды 30,629

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Пікірлер: 258
@MwajumaNgaruma
@MwajumaNgaruma 5 ай бұрын
Asanteeeeeeeeee ,, naachaje mie kuishabikia simba love simbaaaaaa ❤❤❤❤❤❤
@SamsonSimba-k4l
@SamsonSimba-k4l 5 ай бұрын
Simba bingwa 🦁🏆💪💪💪
@dahelahmad6331
@dahelahmad6331 5 ай бұрын
Badoo hajasema, atasema atasema TU Aden Rage Hongera .
@athmanimkangara9290
@athmanimkangara9290 5 ай бұрын
1. Camara Fullbacks 2..Kijiri 3.Zimbwe Center backs 4.Hamza 5.Chemalone Mildfieders 6.Ockjefer 8.Ferdinand Wingers 7.Edwin Barua 11.Awesu Centre forwards 9.Ateba 10.jean charles
@Annaonesmo-x5b
@Annaonesmo-x5b 5 ай бұрын
Love ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ simbaaaa
@bakanga1410
@bakanga1410 5 ай бұрын
Inawezekana wanatumia dawa kweli
@aisha.abdallah.3979
@aisha.abdallah.3979 5 ай бұрын
Sawa kwahiyo mnasemaje.
@mahmoudhamisi673
@mahmoudhamisi673 5 ай бұрын
Sio inawezekana wale wanatumia kweli hsiwezekani uwe unacheza speed halafu usichoke
@R10_Rajab
@R10_Rajab 5 ай бұрын
​@@mahmoudhamisi673😂😂😂😂😂Yale matizi mzee hata wewe ukifanya matizi utakuwa sawa tu yale ni matizi na misosi
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 5 ай бұрын
Bado haujasema 😅😅😅😅
@DanielChaula
@DanielChaula 5 ай бұрын
King of them❤
@ezekielmwakyagi9330
@ezekielmwakyagi9330 5 ай бұрын
gb nakubali
@JackPemba-qt7ev
@JackPemba-qt7ev 5 ай бұрын
Mmmmmmmh asante mungu kwa kuipenda simba yangu
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 5 ай бұрын
Wale kweli gb niwanatumia madawa Tena sana
@LumumbaFarhani
@LumumbaFarhani 5 ай бұрын
Bange mbaya sana alipowekwa ndani alilia akatoka katepeta anasifia uongozi leo anadai haogopi jela!!
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 5 ай бұрын
Tena YANGA ndo walimtoa 😅😅😅😅
@iddykivu050
@iddykivu050 5 ай бұрын
​@@JELSONMAUKIYanga Gani Waliomtoa?
@YohanaSamweli-yi4mx
@YohanaSamweli-yi4mx 5 ай бұрын
Sasa kama wanatumia dawa nanyie tumieni
@HellenLauwo-u6f
@HellenLauwo-u6f 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 huyu jamaa chizi mafanikio ya yanga yanamtesa
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 5 ай бұрын
Huyu jamaa ndio maana alitumbuliwa cheti feki
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 5 ай бұрын
Ashukuriwe Magu
@ramadhaniharuna5441
@ramadhaniharuna5441 5 ай бұрын
Wewe upo wizarani kwahiyo ulijua ni cheti feki bwege wewe.
@hamzajumanne8163
@hamzajumanne8163 5 ай бұрын
Wewe kweli ni GB64 bi up
@OmaryAlly-h3h
@OmaryAlly-h3h 5 ай бұрын
Asa mnaosema katumbuliwa gb64 anakula kwako au ameomba msaada kwako, ebu acheni ujinga, ktk maisha ya utaftaji changamoto zipo na Rizki Mungu ndie anaetoa, tuongee Mpira sio maisha ya mtu
@adamoomwandeni3635
@adamoomwandeni3635 5 ай бұрын
Ayupo sawa huyu
@JoshuaKasawa
@JoshuaKasawa 29 күн бұрын
Wee fala kweli mtale anamiaka 22
@SamuelDotto
@SamuelDotto 5 ай бұрын
Gb24 una fact sana kaka . .. uyo GSM anatuharibia ligi yetu sana basi tu..
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 5 ай бұрын
😅😅😅 watu wamekuwa Bora ww 😅😅😅😅😅
@Lusindehalima-si3ej
@Lusindehalima-si3ej 5 ай бұрын
Simba timu
@barakaalois
@barakaalois 5 ай бұрын
kweli bloo
@ramabig9907
@ramabig9907 5 ай бұрын
Kweli ubaya ubwela ongea braza ukitupa jiwe kizani ukisikia kelele ujue limempata
@Stephano722
@Stephano722 5 ай бұрын
Stephano mange wa ngudu kwimba mwanza simba 🎉❤ nashauli GB64 selemani matola aondolewe simba tupate nafuu anatia gundu
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 5 ай бұрын
Alaf tumuweke bibi yakoo??
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 5 ай бұрын
Yanga bingwa tena mara 31.
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 5 ай бұрын
Umefungwa na hao hao barehe rika
@HassanMakili
@HassanMakili Ай бұрын
Daa huyu jamaa anaongea sana
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 5 ай бұрын
Juu yakua mimi ni simba lakini hawa wakua wasemaji wa simba mbona sielewi
@BarakaMwaikenda-ty1bt
@BarakaMwaikenda-ty1bt 5 ай бұрын
Mm mwana simba ila kwa ili habana
@AminiAbdul-t9m
@AminiAbdul-t9m 5 ай бұрын
Wanarogwa na yanga ndicho kitu walichojaliwa
@AziCure
@AziCure 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂 na bado haujasema
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 5 ай бұрын
huyu anapayuka tuuu😂
@hassanhassan7763
@hassanhassan7763 5 ай бұрын
YANGA HAWANA SHIDA NA CHIZI KAMA WEWE MJINGA WEWE
@ramadhanmapunda2062
@ramadhanmapunda2062 5 ай бұрын
Imekuingia hiyo kaa utulie
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 5 ай бұрын
​@@ramadhanmapunda2062. Wewe ongea hila ujue ajenda ya YANGA hadi 2030 😅😅😅😅🏆🏆🏆🏆🏆💚💛💚💛💚
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 5 ай бұрын
Kma haujui Kila mechi wachezaji wanao perform vizuri Kwa Kila mechi wanapimwa mkojo na damu. Mfano ile game ya ngao ya jamii kati ya YANGA vs KOLOZDAD Kwa upande wa YANGA Max ndo alichaguliwa. Hahahaha 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 shida hamfuatiliii na mnabaki kumsikiliza hyu KB 10. Ndio maana naanza kumuelewa lowasa kipaumbele chake kwann alisema ELIMU, ELIMU, ELIMU 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 akili Kwa mkichwa
@EsterMjema-lt1yp
@EsterMjema-lt1yp 5 ай бұрын
@@JELSONMAUKImfyuuuuuuu
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 5 ай бұрын
@@EsterMjema-lt1yp 😅😅😅 haya endelea kubisha 😅😅😅
@AlhajiJumanne-g5e
@AlhajiJumanne-g5e 5 ай бұрын
Kama unamkubal GB64 gonga like hapa
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 5 ай бұрын
wasemaji wa yanga hawajui kiingereza hii ndo hoja ya GB HuYu chiz mjuee😂😂
@ZugaMnyama-rj8ld
@ZugaMnyama-rj8ld 5 ай бұрын
Unaongea fact Sana kaka gb 64
@agnerapius7244
@agnerapius7244 5 ай бұрын
Na bado mtalia sana daima mbele nyuma mwiko yanga ni kiboko ya taka zote mkiona inauma mchomoe
@enoshmhemakapaya
@enoshmhemakapaya 5 ай бұрын
GB nakukubar saàaana ila jina la Chemalon unalikosea
@amourgwabananga1543
@amourgwabananga1543 5 ай бұрын
Mtajua hamjui!!!!!
@andrewMaziku-k2q
@andrewMaziku-k2q 5 ай бұрын
We fara kweli
@JoshuaKasawa
@JoshuaKasawa 29 күн бұрын
Weee akili auna
@iddykivu050
@iddykivu050 5 ай бұрын
Huyu ndo GB64 Kiukweli Watu wa Yanga hawajui Mpira
@MkaliMo-k3v
@MkaliMo-k3v 5 ай бұрын
Duuuuuu jamaaaaa anaichafua brand yetu ya yanga
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 5 ай бұрын
64 GB on fire 🐙🐙
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 5 ай бұрын
Kma haujui Kila mechi wachezaji wanao perform vizuri Kwa Kila mechi wanapimwa mkojo na damu. Mfano ile game ya ngao ya jamii kati ya YANGA vs KOLOZDAD Kwa upande wa YANGA Max ndo alichaguliwa. Hahahaha 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 shida hamfuatiliii na mnabaki kumsikiliza hyu KB 10. Ndio maana naanza kumuelewa lowasa kipaumbele chake kwann alisema ELIMU, ELIMU, ELIMU 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 akili Kwa mkichwa
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 5 ай бұрын
Kumbe Leo ndio nimejitosheleza kumbe huyu jamaa mzoefu wa magereza,ndio maana akili imeadhirika kakutana na wanaume wa magereza wa xaux afrika
@fredgonga
@fredgonga 5 ай бұрын
😂😂😂 Makolo mpaka mnye na bado tutavuta mpaka bangi
@Steven-pt7me
@Steven-pt7me 5 ай бұрын
Usha ishiwa mipango mjini hapa😅
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 5 ай бұрын
Mchaga anayejua mpira!!!! Humjui Christopher Alex Masawe😂 we acha bangi
@KasitaHoffu
@KasitaHoffu 5 ай бұрын
Akili kweli Huna tapika
@mgallason...5686
@mgallason...5686 5 ай бұрын
haya acha inyeshe tutaona
@leonardfungo
@leonardfungo 5 ай бұрын
Na dawa wanatumia wakati wa mapumziko vyumbani wakiona hawajashinda kipindi cha kwanza.
@houmdmajid-ur9dp
@houmdmajid-ur9dp 5 ай бұрын
Ety mguu wenyewe km mkono 😂😂
@MkaliMo-k3v
@MkaliMo-k3v 5 ай бұрын
Mhuuuuuu kumbeeeeeee Loga urudi kafundishe mathe shulee
@SembucheMahiya
@SembucheMahiya 5 ай бұрын
Bangi mbaya
@Masengo-su3mf
@Masengo-su3mf 5 ай бұрын
Kwa kweli umesoma magufuli anahaki kuwafuta kabisa
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 5 ай бұрын
Mtu mwenyewe cheti feki 😅😅😅 . Unajisifia kuzaliwa dar 😅😅😅😅 walai ndio maana magu alitumbua hili jibu.. Wacha nisiingie kwa ukabila kwa maana ni kituko. Unapata wp nguvu ya kumsema MCHAGGA 😅😅😅😅😅
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 5 ай бұрын
Wehu wengi 😂😂😂
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk 5 ай бұрын
Subirini kipomo 19/10/2024
@NemesMasawe
@NemesMasawe 5 ай бұрын
Ilaa gb
@JuliusKideula-qt4pq
@JuliusKideula-qt4pq 5 ай бұрын
Mwehu anayebwabwaja asicho kijua
@abdullatifushambe4435
@abdullatifushambe4435 5 ай бұрын
Achana nao hao gb si unajua kama huko wenye akili wawili TU
@peterpain5594
@peterpain5594 5 ай бұрын
Uyu mpira ameufanya kama vita au ugomvi mm nasemaje msimu huu kunamtu ataenda jela kwajili ya mpira maana ushabiki umevuka mipaka
@bakanga1410
@bakanga1410 5 ай бұрын
simba tumechoka kuonewa​@@peterpain5594
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 5 ай бұрын
​@@peterpain5594wataanza wa yanga .God yanga.mwalimu.mchome.na wengine vilaza wa utoporo.
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 5 ай бұрын
Kma haujui Kila mechi wachezaji wanao perform vizuri Kwa Kila mechi wanapimwa mkojo na damu. Mfano ile game ya ngao ya jamii kati ya YANGA vs KOLOZDAD Kwa upande wa YANGA Max ndo alichaguliwa. Hahahaha 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 shida hamfuatiliii na mnabaki kumsikiliza hyu KB 10. Ndio maana naanza kumuelewa lowasa kipaumbele chake kwann alisema ELIMU, ELIMU, ELIMU 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 akili Kwa mkichwa
@richardmagaka9525
@richardmagaka9525 5 ай бұрын
Pumbavu hili
@MLEGULA
@MLEGULA 5 ай бұрын
Huyu jamaa ana hasira za umasikini tu😂
@BenjaminiBnyetanyau
@BenjaminiBnyetanyau 5 ай бұрын
Huyu jamaa apimwe akili
@edgarnestory8466
@edgarnestory8466 5 ай бұрын
Kama huogopi kufungwa marinda unayo kweli,au ndiyo hata mkono unapita😂
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 5 ай бұрын
WE UNANTISHA MIMI NA VIJELA VYAKO VIDOGO VIDOGO IVI😊
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig 5 ай бұрын
Wambie ukweli JB k hao
@duncangatundu1397
@duncangatundu1397 5 ай бұрын
They say happiness is a choice I guess it's not we all want to be happy but sometimes the situation won't allow us to be (stop nonsense)
@YusuphAlly-y9o
@YusuphAlly-y9o 5 ай бұрын
Waambiye GB
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 5 ай бұрын
Kma haujui Kila mechi wachezaji wanao perform vizuri Kwa Kila mechi wanapimwa mkojo na damu. Mfano ile game ya ngao ya jamii kati ya YANGA vs KOLOZDAD Kwa upande wa YANGA Max ndo alichaguliwa. Hahahaha 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 shida hamfuatiliii na mnabaki kumsikiliza hyu KB 10. Ndio maana naanza kumuelewa lowasa kipaumbele chake kwann alisema ELIMU, ELIMU, ELIMU 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 akili Kwa mkichwa
@kassidpandu866
@kassidpandu866 5 ай бұрын
wee kiboko sana waambieee
@dismanManota
@dismanManota 5 ай бұрын
Ipo siku uwo mdomo utakupoza we endelea
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 5 ай бұрын
Jinga sana hilo 😅😅😅😅
@justinemusukuma6467
@justinemusukuma6467 5 ай бұрын
Clean sheet ya match ngapi?
@JosephLucas-j5p
@JosephLucas-j5p 5 ай бұрын
Ww umechanganyikiwa huna kz yakufanya unatumia nguvu kumbwa kwenye tm mbivu
@mymuamsrrr7884
@mymuamsrrr7884 5 ай бұрын
Utafungwa kweli ,ushahidi unakuhusu, magoma mwingine.utajikuta uko peke yako.tayarisha pesa za mawakili.
@RamadhaniChamuange
@RamadhaniChamuange 5 ай бұрын
Hahahaha ichukuen coastal wapen hizo dawa
@daudaathman8229
@daudaathman8229 5 ай бұрын
Wape vitu kaka!!!
@MunuobrownTz
@MunuobrownTz 5 ай бұрын
Me shabiki la simba kindakindaki ila apo gb unakosea kusema wachaga awajui mpira huwenda gody ndo ajui mpira lakini sio wachaga wote kaka gb64
@AbdulswamadHashim
@AbdulswamadHashim Ай бұрын
Hotae osiehaya kumechangamka
@kibiritizuberi9361
@kibiritizuberi9361 5 ай бұрын
Ndio maana alitolewa kazini Hana haiba ya ualimu
@MohamedyMsagati
@MohamedyMsagati 5 ай бұрын
Yule God yanga kweli mi binafsi huwa simkubali huwa hajui utani anaongea uhuni Sana na dharau kubwa Sana kwa timu za wenzake Kama juzi kuwaita tabora uchafu ile sio nzuri kwa afya ya soka letu kusema Simba kacheza na uchafu
@amourgwabananga1543
@amourgwabananga1543 5 ай бұрын
😮,😂😂,😂😂
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 5 ай бұрын
Kma haujui Kila mechi wachezaji wanao perform vizuri Kwa Kila mechi wanapimwa mkojo na damu. Mfano ile game ya ngao ya jamii kati ya YANGA vs KOLOZDAD Kwa upande wa YANGA Max ndo alichaguliwa. Hahahaha 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 shida hamfuatiliii na mnabaki kumsikiliza hyu KB 10. Ndio maana naanza kumuelewa lowasa kipaumbele chake kwann alisema ELIMU, ELIMU, ELIMU 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 akili Kwa mkichwa
@Taito-brand
@Taito-brand 5 ай бұрын
Waliomuwek jela simba wenzak ana akili huy hawa watu kam hawa wawe wanawaacha tu kenge sana huy jamaa ni kima sana simkubali yan anaongea ujinga ujinga tyu
@MalikiKavindi
@MalikiKavindi 5 ай бұрын
Ubaya ubwela
@ReylaSele
@ReylaSele 5 ай бұрын
Sema sema kaka waambie ao dawa ziwaingie akuna kumuogopa dudu wala mende pumbavu aooooh
@LatifaCharles
@LatifaCharles 5 ай бұрын
Pumbv zako mwenyew boya ww
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 5 ай бұрын
Awape vidonge vyao mbwa hao
@LatifaCharles
@LatifaCharles 5 ай бұрын
@@angellomarcel5677 mbwa nyie wenyew
@suleimansalum4049
@suleimansalum4049 5 ай бұрын
Ongea mpira wee bwigaa
@leonardfungo
@leonardfungo 5 ай бұрын
Kwanini wanakuja juu wanapoambiwa wanatumia dawa basi ni kweli wanatumia dawa Wangekuwa hawatumii wasingekurupuka kuja juu wangepuuza kamakwamba hakuna kitu kwa kuja juu huko haya Mambo wanayafanya.
@baalawyaljadyd6750
@baalawyaljadyd6750 5 ай бұрын
Tabulele
@khamismohammed7867
@khamismohammed7867 5 ай бұрын
Sasa goli tatu za vibonde wale wale yanga tunawafunga kumi na tano
@LitoDossani
@LitoDossani 5 ай бұрын
😂😂Westerville sio poa
@godfrey3926
@godfrey3926 5 ай бұрын
Yanga ni wachawi miaka mingi na sisi tuliozaliwa miaka ya 70 tunajua vizuri..Hawa watoto wajinga kama God Yanga na Mchome tayari tunawaangalia..Wasishangae wakiwa vichaa...💯💯💯💯
@kolosii4351
@kolosii4351 5 ай бұрын
Na wewe tafuta uchawi ufanikiwe.
@emmanuelzwallo3933
@emmanuelzwallo3933 5 ай бұрын
UWEZO WENU USHAKUWA MDOGO.MAWAZO YENU PIA YASHAKUWA MABOVU,HATA UWEZO WENU WA KUFIKILIA MAMBO UMEISHA KABISA.
@gervaslukaya
@gervaslukaya 5 ай бұрын
Unasifia timu bado aijapata muunganiko hifazi maneno
@allymchuma
@allymchuma 5 ай бұрын
Awesu anamiaka kumi au
@justinemusukuma6467
@justinemusukuma6467 5 ай бұрын
Wewe Siyo Simba ni kenge tu
@abdallahmzee4335
@abdallahmzee4335 5 ай бұрын
Namjibia Kenge ni Mama yako
@justinemusukuma6467
@justinemusukuma6467 5 ай бұрын
Aden Rage kasema washabiki wa Simba woto Mbumbumbu je unasemaje ?😅
@khamismohammed7867
@khamismohammed7867 5 ай бұрын
Gb 64 mbwa wewe huna akili umeacha kuiponda simba unagopa jela huna lolote
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 5 ай бұрын
Kumbe mnazungumza na aina ya binadamu wa aina hii?
@Godfrey-z8b
@Godfrey-z8b 5 ай бұрын
Mbona Gb havaagi sanda😅
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 5 ай бұрын
We mbona avai
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 5 ай бұрын
Goli tatu umemfunga nani vile😂 tena ilicheza play off we bangi sio saizi yako
@Aisha-b1n
@Aisha-b1n 5 ай бұрын
😅😅😅wewe Gb64 mpumbavu mindaindai inakutoka mishipa ya shingo mate kibai mpumbavu kweli ww ujaenda jando
@peterpain5594
@peterpain5594 5 ай бұрын
Duuuuuh uyu swali moja majibu 100
@adamjuma6030
@adamjuma6030 5 ай бұрын
😂😂😂 huyo mzaramo mzee
@justinemusukuma6467
@justinemusukuma6467 5 ай бұрын
Wewe pumba ya ya mpunga Haina faida
@jumabonge8577
@jumabonge8577 5 ай бұрын
umefungwa kwa matendo yko bwege ww
@mwitachagina7612
@mwitachagina7612 5 ай бұрын
Bro kapimwe akili kabisa yani upewe laki 500000 ukatae wakat ulinunulia sm
БАЙГАЙСТАН | 3 СЕРИЯ | ДУБАЙ |bayGUYS
44:17
bayGUYS
Рет қаралды 1,8 МЛН
When my son wants to eat KFC #shorts #trending
00:46
BANKII
Рет қаралды 27 МЛН
Шаурма с сюрпризом
00:16
Новостной Гусь
Рет қаралды 6 МЛН
GB 64 KWA HASIRA AMRARUA MZEE SAID, SIO SHABIKI WA SIMBA
20:48
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 30 М.