Nakwelewa Niko DRC. Kongo mwana tughende. Kehàyoooo
@Christophermaratho Жыл бұрын
Napenda ngoma zako unaweza kuziweka kwenye fail la wababe nikazipat
@williamfavour29822 жыл бұрын
Dogo hongera Sana kwa kazi nzuri ya utu utungaji na uimbaji
@tubekesupperj19652 жыл бұрын
Umetisha mzee
@nyumbanihome98262 жыл бұрын
Hayo phene mtoto wetu tagotela💗💖👄
@ErastoOmary-cw5qf Жыл бұрын
Kaka nakukubali,,erasto mwita kutoka remung'orori.
@chiefnyihocha14152 жыл бұрын
Iko vizuri
@sarahwamboi31422 жыл бұрын
Umenikumbusha mbali sn hogera my dear
@chagenyakamoti10272 жыл бұрын
so fine....unaimprove siku Hadi siku ukiweza imba kiswahili unaweza toboa zaidi
@musamauwezo40432 жыл бұрын
ngoma ipo mkn xan
@emanuelmahemba38472 жыл бұрын
Wewe ni shidaa baba saluti kwako may toch
@Mara_Gold_Film2 жыл бұрын
Vizuri
@jumaa29312 жыл бұрын
Mey kaz nzuli san
@chachakiguha78059 ай бұрын
May pambana
@williamfavour29822 жыл бұрын
Nimepata record yako ya sherehe ya familia kwakweli mwishoni mwa mwaka utakuwa live kwenye sherehe hiyo. Mungu akubariki Sana . Naitwa William au Sogoni