THE WORST EXPERIENCE WITH A FUNDI//REFURBISHING SEATS

  Рет қаралды 2,681

MAYA SAFARIS

MAYA SAFARIS

Күн бұрын

Пікірлер: 15
@mariam52186
@mariam52186 Жыл бұрын
Wuehh....hii hapana!...😮😮😮...never to try this at home😅
@suzanamodest1234
@suzanamodest1234 Жыл бұрын
I am so sorry you had to go through that dear aki mafundi wanakuaga stress sana kupata tu mzuri akufanyie kazi poa ni hard sana so sorry,
@irenemue1016
@irenemue1016 Жыл бұрын
Huyu akona shida haki. And your so patient with him. Poleni
@cerahmaingi9470
@cerahmaingi9470 Жыл бұрын
Waah pole maya next you need a good fundi n trustworthy just tell me.❤
@zipporah.xhex.6694
@zipporah.xhex.6694 Жыл бұрын
Mafundi n wakora sana fundi mzuri n wa kinyozi unless stima ipote ndio akunyoe na chupa 😂😂😂😂😂😂
@dianamimowangigi8725
@dianamimowangigi8725 Жыл бұрын
Pole sana, mimi nilishonewa seat covers na nikalipa Kuja nazo kwa nyumba hazitoshei kwa viti, nikamrudia atengeneze but woooi,,,, ziliwekwa kando na after 2wks bado hazikushonwa... Nilizibeba tu hivyo na kupelekea fundi mwingine.. mimi sitawahi Lipa fundi yeyote kabla hajamaliza kazi😢
@angelicawamuyu
@angelicawamuyu Жыл бұрын
Waah huyu sio fundi walai.. he is just a fundi mwitu or con😂😂😂 u guys tried being patient with him.. ingekua mimi sijui tungevurugana vibaya sana
@hawyokodero3767
@hawyokodero3767 Жыл бұрын
Sorry for the bad experience,watch Shaz n tell,she had the best fundi ever and even shared his number. Pole.
@violetnyakerario3867
@violetnyakerario3867 Жыл бұрын
I doh know why most fundis behave like this my experience the same as yours buh huyo fundi wangu alitoroka na pesa kabsaa nikamwachia.he showed we a worksop dat wasn't his even
@pesshnjoki7765
@pesshnjoki7765 Жыл бұрын
Aki pole...mm nlipata fundi mpoa alikam saa mbili na by saa nane alikua ashaa maliza kitu ilitokea smart i have referred him to many and they love his work
@shikolorah3546
@shikolorah3546 Жыл бұрын
@pesshnjoki7765 kindly refere him to me pliz
@DamarisPius-je1br
@DamarisPius-je1br Жыл бұрын
Don't worry malipo yake ni hapa hapa duniani nothing goes without payback dear
@marynaserian8605
@marynaserian8605 Жыл бұрын
Mimi niliambiwa hivo nikalipa pesa ya kiti na nilikuwa na wageni akapotea na pesa ilibidi nihustle nibuy kiti 2 days before wageni wakuje
@mayasafaris
@mayasafaris Жыл бұрын
😅😅😅
@jamilamohamed1995
@jamilamohamed1995 Жыл бұрын
Umenichanua aki , planning to do same soon but Mimi material tunaenda na fundi Kila kitu anataka nitambuy akiwa hapo,,, then tuelewane kabisa kama hufanyi kazi Hadi mwisho no payment,, kulipa nitalupa nikiridhika na kazi yake , weeee ,,, I did the same mistake tym sikuwa nimeolewa ,, I paid kitanda the whole amount ,, fundi alinizungusha aki,, Hadi nikamletea polisi 🤣
CRYING TO GET MONEY CHALLENGE//WORST CHALLENGE 🤣
20:21
MAYA SAFARIS
Рет қаралды 1,3 М.
Who is More Stupid? #tiktok #sigmagirl #funny
0:27
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
🎈🎈🎈😲 #tiktok #shorts
0:28
Byungari 병아리언니
Рет қаралды 4,5 МЛН
Jaidarman TOP / Жоғары лига-2023 / Жекпе-жек 1-ТУР / 1-топ
1:30:54
CBC CRAZY HOMEWORK//WE WERE FORCED TO MODEL THEIR TEACHERS
17:08
NGUO ZA WATOTO MIXER DUBAI MTUMBA
4:23
SLAY WITH LOARA MWANZA
Рет қаралды 1,4 М.
Paolo Contis, masama ang loob! Kanino? | Ogie Diaz
32:44
Ogie Diaz
Рет қаралды 574 М.
Tabia za Nairobians kwa Butchery
6:18
Nairobi Chronicles
Рет қаралды 97 М.
RENOVATING MY MTUMBA BUSINESS SPACE//INTRODUCING MORE OUTFITS
14:47
MAYA SAFARIS
Рет қаралды 2,1 М.
Eric Omondi - Wife Materials Shopping at Toy Market
22:57
Eric Omondi
Рет қаралды 463 М.
NAIROBI !! MTEGO IMETEGA MTEGI...(CONNED PART 1)
6:30
General Theodore - Johnson Fish Chege
Рет қаралды 375 М.
NON-STOP - FULL EPISODES - +4 Hours - The Beginners Bible
3:45:35
The Beginners Bible
Рет қаралды 16 МЛН