Napenda ile style yako nyingine ya uimbaji mkuu, ile uliimba nyimbo kama harusi kwa lyeni, ujumbe wa nziku, Napenda sana. Hongera endelea kupiga kazi 💯💯🔥🔥
@mitasaida365116 күн бұрын
Unapendwa na wengi mwanayesu ❤ by MITA mwana ngolo kutoka songwe ya mheza
@Kahogoasili202416 күн бұрын
Iko vizur sana kazi hii
@jafaringussa729316 күн бұрын
Ukiimba kwenye colas unauaaa sana babaaaaaa by Jafari kutoka urwila mpanda katavi
@HamisiMasesa-sb9vi16 күн бұрын
Sana kaka nimezuelewa Sana zote 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@manambavideoproduction839416 күн бұрын
Nyingee🎉🎉
@BarakaGarula16 күн бұрын
Niko kwa waha lakini mpaka wanakuelewa nikipiga tuu nyimbo yako wanauliza nani huyu nawambia tajiri wabalali au nyingi wana yesu