No video

MAZINGE AMFUNDISHA BIBLIA NA KISWAHILI MCHUNGAJI KUHUSU BWANA YESU

  Рет қаралды 20,752

Ibrahim Zancom

Ibrahim Zancom

Күн бұрын

Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia...
Whatsapp. +255772285543
Call. +255772285543
Usisahau ku SUBSCRIBE | LIKE | KU COMMENTS , ili upate taarifa zote zinazohusiana na Tasnia ya QASDA | MAWAIDHA | NASHEED | TENZI | MATUKIO MBALI MBALI YA KIJAMII , kupitia hapa channel yako pendwa ya IBRAHIM ZANCOM.

Пікірлер: 29
@RatifaHamisi-um1vq
@RatifaHamisi-um1vq 2 ай бұрын
💖💖💖 Napenda sana hii jamani Allah awape maisha marefu
@ucjvvjcjjvih9934
@ucjvvjcjjvih9934 2 жыл бұрын
MAASHALLAH❤ MAZINGE UNATOA DAAWA YA UHAKIKA WATAJUA TU KIDOGO KIDOGO INSHAALLAH
@user-cc5ex1hv1h
@user-cc5ex1hv1h Жыл бұрын
Allah akupe kheri sheikh mazinge wapeeee
@babumsiha1573
@babumsiha1573 2 жыл бұрын
Mashallah
@abdulrahmanahmed3165
@abdulrahmanahmed3165 2 жыл бұрын
Masha allh ustadh mazinge!!!
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 2 жыл бұрын
Leo umekubali kuwa Yesu ni Mungu si huwa mnakataa waisilam wako kama watoto
@maherzain615
@maherzain615 2 жыл бұрын
Hajakubali amewakosoa walimu wenu.kwenye biblia imesema ni mungu na nyie mwasema ni mwana wa mungu.yesu si mungu wala mwana. Kuna mungu aliemuumba yesu na akampa unabii
@mpembarino1917
@mpembarino1917 2 жыл бұрын
Maalim mazinge masha Allah. Elim nyingi shehe wangu Respect
@fatumahassan3205
@fatumahassan3205 2 жыл бұрын
Mazinge mashaallah wapunga waislamu
@ramazecha2877
@ramazecha2877 2 жыл бұрын
Mashallah mashekh wetu mungu awape nguvu
@abdallaha.m.4329
@abdallaha.m.4329 2 жыл бұрын
Ndacha Rudi ukasome mazinge humuwezi
@abdalahhassan257
@abdalahhassan257 Жыл бұрын
Sheikh oth.mani mazinge
@lisauroble31
@lisauroble31 2 жыл бұрын
Thank you mazingeee
@mazuhumazaha4236
@mazuhumazaha4236 2 жыл бұрын
Mazinge allah akujalie umri mrefu ameen
@davidlintari8504
@davidlintari8504 2 жыл бұрын
Quran is a photocopy of the Bible
@ashirafali1117
@ashirafali1117 2 жыл бұрын
Mazinge fundi kwa debate maashaalah
@mazuhumazaha4236
@mazuhumazaha4236 2 жыл бұрын
Waislamu wanajua awakurupuki
@jumarobertonyancha8605
@jumarobertonyancha8605 Жыл бұрын
Hoja gani hizi wasema Masinge kasifunja,pali yeye ndiye anayefunzwa dini ya kweli na uwokofu
@albertpike6208
@albertpike6208 2 жыл бұрын
Mazinge tosha sheikh yani hii YAITWA PIGA UA WAKENYA WANASEMA HII NI NGUMU KUMEZA
@albertpike6208
@albertpike6208 2 жыл бұрын
Ndacha hovyo tu huyu jamaa hajielewi mbwembwe mingi lakini hoja hamna leo anapigania yesu mungu kesho akijadiliwa kuwa mungu ana mtoto atapigana ni mtoto. Ikiwekwa mada nani nabii wa ulimwengu bado atasema yesu ni nabii wa ulimwengu yani hawa jamaa hovyo kabisa
@hamisimuhammad6225
@hamisimuhammad6225 2 жыл бұрын
Mkristo yeyote hanaelimu hata akiitwa professor
@kimonimbinda422
@kimonimbinda422 2 жыл бұрын
Waislamu ndio wajinga wa mwisho..tena wamechanganyikiwa kufa.hamjui yesu nyinyi
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 2 жыл бұрын
@@kimonimbinda422 ikiwa wewe unajua alipokufa, hebu tufahamishe ili tukubali na kumfuta alikufa SAA ngapi Kati ya SAA hizi SAA tatu au SAA sita au SAA Tisa na alipofufuka sanduku lake lilipelekwa wapi la ukumbusho mAana firauni yupo Kama ukumbusho
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 жыл бұрын
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yangu hapo kama hautojali
@jumarobertonyancha8605
@jumarobertonyancha8605 Жыл бұрын
Hakuna hoja hapa mazinge kafunja anahepa maswali
@yohanamoikan7709
@yohanamoikan7709 2 жыл бұрын
Since late ??
@kimonimbinda422
@kimonimbinda422 2 жыл бұрын
Hakuna mjinga na Mzee domo tupu kama mazinge!! Hana hoja Kazi ni kelele ata hamjui yesu ni Nani.anamjua Tu Alipofanyika mwili fullstop...SASA mtu kama huyo atafundisha Nani uungu wa yesu????kama anamjua Tu kama mwana wa Mariam? Waislamu tuambiane ukweli,,amkeni
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 2 жыл бұрын
Kutana nae basi isisrme mitandaoni tu mtafute utoe hoja zako ikiwa hukufanya hivyo Basi wewe ndo utakuwa Domo tu unachokisema hakitatupa faida
@gilbertrafiki9497
@gilbertrafiki9497 2 жыл бұрын
Ce mazinge n pas vraiment spirituel il est terre à terre, s il savait ce qui veut dire le mystère de la foi...
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 90 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 22 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 45 МЛН
Mazinge - Yesu sio mwana wa Mungu
10:01
kanisus1
Рет қаралды 31 М.
Hii itakusaidia usishuke chini kwenye maisha | Kumbuka kushuka ni kawaida
8:04
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 26 М.
خواطر الشيخ محمد متولي الشعراوي حول آية الكرسي و ما بعدها لا إكراه في الدين
2:11:39
القناة الرسمية لفضيلة الشيخ محمد متولي الشعراوي
Рет қаралды 746 М.
Salman Al Farsi (ra): The Truth Seeker | The Firsts | Dr. Omar Suleiman
1:08:33
MCHUNGAJI MGOGO: WANAOTOA SADAKA KANISANI WENGI NI WENYE DHAMBI
5:17
Mtanzania Digital
Рет қаралды 383 М.
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 90 МЛН