MAZINGE NA MCHUNGAJI

  Рет қаралды 87,177

Madrasatulfurqani Tv

Madrasatulfurqani Tv

Күн бұрын

MWANADANU AKIACHA MUONGOZO ALIOPEWA NA ALLAH ANAKUWA KAMA MNYAMA SHEKHE NASSOR BACHU
• MWANADANU AKIACHA MUON...
MCHUNGAJI KACHEMKA MBELE YA PROF.MAZINGE
• WEWE NDACHA ACHA KUWAD...
MWANAMKE AMBAYE MZAZI WAKE AMESAMEHEWA DHAMBI ZAKE KWA KUMTII MUME WAKE SHEKHE MSELEMU BIN ALI
• MWANAMKE AMBAYE MZAZI ...

Пікірлер: 147
@WahidaAlharthi
@WahidaAlharthi 4 ай бұрын
Shekh Mazinge una tukosha nafsi kweli Makafiri. Hawana lao ALLAHU AKBAR
@myself4128
@myself4128 4 ай бұрын
Unaabudu Jiwe na wewe ndio Kafiri halisi,
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 4 ай бұрын
Allahu akbar hakika muhamadi ni mtume wa allah
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 5 ай бұрын
Love you prophet Mohammed❤❤❤❤ True Prophet from ALLa
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 2 ай бұрын
not really
@BEYONDSURF
@BEYONDSURF 23 күн бұрын
hawakuezi mazinge mungu akujalie umri mrefu uzidi kuwanyosha wacristo
@mmangammanga-dw2qn
@mmangammanga-dw2qn 3 күн бұрын
Wallahi nimepnda mnn yanaingia moyoniiii❤
@RinoMajembe
@RinoMajembe 4 ай бұрын
Shekhe unatisha wew kiboko ya makafili shekhe
@ShamimMsofe
@ShamimMsofe 4 ай бұрын
Mazinge Allah akupe umri mrefu akupe haja za moyo wako . Akupe Leo na kesho ahera Kwa uwezo wake .
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 4 ай бұрын
aamin
@KhalifaMaganza
@KhalifaMaganza 9 күн бұрын
Mazinge kachaguliwa na Allah kulingania ummah huu
@KwizerimanasadaKwizerima-qc3qo
@KwizerimanasadaKwizerima-qc3qo 3 ай бұрын
Mpeee uyoooo😂😂😂 munyoshe SASA professa❤❤❤
@mmangammanga-dw2qn
@mmangammanga-dw2qn 3 күн бұрын
Allah akbar❤❤
@samjabri2611
@samjabri2611 Ай бұрын
Ongelamazinge Allah akuweke
@RoseRashidi-p9b
@RoseRashidi-p9b 5 күн бұрын
Mazinge usimteee wewe toa aya mungu aseme mwenyewe kua mimi mungu nimekuchagua wewe muhammadi uongoze watu kwanini umtetee wewe bado hujatoa andiko kua mungu amemtuma mtume
@NxhfiNtjfif
@NxhfiNtjfif 28 күн бұрын
Walaikum salam warahmatullah wabarakatuh, Mashaa Allah tabaraka Allah.
@NuroOscar-y4b
@NuroOscar-y4b 5 күн бұрын
Allah akurehemu shekhe ila siku hiza msumbiji mmepotea sana
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 4 күн бұрын
aamin
@111dudi
@111dudi 4 ай бұрын
Hongera Mazinge, umemziba mdomo huyu bwege asiyejua. Anatunia quraan kumkataa Muhammad. inachekesha sana.
@user-fg1gg3ec2o
@user-fg1gg3ec2o 4 ай бұрын
Toka lini mazinge anaakili
@111dudi
@111dudi 4 ай бұрын
@@user-fg1gg3ec2o wakristo hawamuwezi. Kubali. Mazinge anaijua biblia kuliko wakristo. Hiyo Yahaya, anamkataa Muhammad s.a.w.lakini anatumia quraan iliyoteremshwa kwa Muhammad s.a.w. ni akili hizo? ,yaani baniyani mbaya kiatu chake.dawa
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 4 ай бұрын
Tatizo Hawa hawataki kusoma bibilia wao Huwa wanasomei vifungu vya Aya vya kuwatia ujinga TU vile vifungu vya kweli hawawasomei
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂 mtu alikuwa imamu asiijue Quaran
@rashidmexes3629
@rashidmexes3629 4 ай бұрын
Acha matusi, Aya iko wapi muhamad kachaguliwa kuwa mtume
@laylayl5166
@laylayl5166 Ай бұрын
MashaAllah mungu akulipe sheikh mazinge na timu yako
@abdallahonesimebamporubusa1540
@abdallahonesimebamporubusa1540 2 ай бұрын
Allah Akbar
@suleimansiri1359
@suleimansiri1359 5 күн бұрын
Shida kubwa bibiliya ya kweli sai aiko wanayo soma wakiristo maneno mengi niya watu
@maulidimanzi9964
@maulidimanzi9964 3 ай бұрын
Allah Akbar
@fatumakiboto6157
@fatumakiboto6157 24 күн бұрын
padri ni wajing
@piusmanyika9818
@piusmanyika9818 2 ай бұрын
Mazige hii video haikujamilika kuna vipande vingi sana mmeviondoa vya mchungani Yahya
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 14 күн бұрын
Qur' an inasema tijadiliane kwa vizuri (Tulizingatie hili).
@NuroOscar-y4b
@NuroOscar-y4b 5 күн бұрын
Wachane awo kwasababu Kuna jama abaitwa mwampossa anajita mtume subihana Allah
@ButokeKazuba
@ButokeKazuba Ай бұрын
Allhamdulliha
@UstadhiRai
@UstadhiRai 4 ай бұрын
Allah ❤ Akbar
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 Ай бұрын
Hawa wasabato wanalipwa mshahara kuwapoteza watu.
@MakangaleSaid
@MakangaleSaid 4 ай бұрын
Hao wamekarr maandiko c kuyafaham
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y 26 күн бұрын
Yohana 3:14-15 [14]Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; [15]ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye. Ivi ambao hawaamini Kristo aliteseka, kufa a kufufuka msamaha wa dhambi zao wanautolea wapi… Angalia Mawazo ya kibinadamu/ibilisi ambayo hata petro kabla hajajua alikuwa nayo.. Mathayo 16:21-23 [21] Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka. [22]Petro akamchukua, akaanza kumkemea, akisema, Hasha, Bwana, hayo hayatakupata. [23]Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu. Kwa damu ya Yesu tunapata msaaha wa dhambi tuliupata kalvari( Alilipa deni zetu kwa sisi tunaookolewa)… Yohana 3:14-15 [14]Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; [15]ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye. Yesu aliteseka, kufa na kufufuka kwa ajili ya dhambi zetu.. Bila hivyo hakuna msamaha... Wakolosai 1:14 [14]ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi; Warumi 3:25 [25]ambaye Mungu amekwisha kumweka awe upatanisho kwa njia ya imani katika damu yake, ili aonyeshe haki yake, kwa sababu ya kuziachilia katika ustahimili wa Mungu dhambi zote zilizotangulia kufanywa; Dhambi zilizotangulia(watu wa agano la kale)ziliachiliwa kwa njia ya kuteseka, kufa na kufufuka YESU KRISTO.. Yeye ni njia ya kwenda mbinguni... Kama ulidanganywa amini leo...Watakwambia muamini Ibrahimu,yusufu nawengine haita kusaidia chochote kama hutoamini Yesu Kristo aliteseka ,kufa na kufufuka... Yesu kristo ndio njia ya kwenda mbinguni...Yeye pekee anasema mimi sio wale sisi au yoyote bali yeye tu...( Yesu Kristo ni uhalisia kama vile walivyokuwa wanaenda kutoa sadaka za wanyama hekaluni sio kivuli tena) Yohana 14:6 [6]Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. 1 Yohana 2:2 [2]naye ndiye kipatanisho kwa dhambi zetu; wala si kwa dhambi zetu tu, bali na kwa dhambi za ulimwengu wote. Yohana 3:14-15 [14]Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; [15]ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye. Yesu aliteseka, kufa na kufufuka kwa ajili ya dhambi zetu.. Bila hivyo hakuna msamaha... Wakolosai 1:14 [14]ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi; Warumi 3:25 [25]ambaye Mungu amekwisha kumweka awe upatanisho kwa njia ya imani katika damu yake, ili aonyeshe haki yake, kwa sababu ya kuziachilia katika ustahimili wa Mungu dhambi zote zilizotangulia kufanywa; Dhambi zilizotangulia(watu wa agano la kale)ziliachiliwa kwa njia ya kuteseka, kufa na kufufuka YESU KRISTO.. Yeye ni njia ya kwenda mbinguni... Kama ulidanganywa amini leo...Watakwambia muamini Ibrahimu,yusufu nawengine haita kusaidia chochote kama hutoamini Yesu Kristo aliteseka ,kufa na kufufuka... Yesu kristo ndio njia ya kwenda mbinguni...Yeye pekee anasema mimi sio wale sisi au yoyote bali yeye tu...( Yesu Kristo ni uhalisia kama vile walivyokuwa wanaenda kutoa sadaka za wanyama hekaluni sio kivuli tena) Yohana 14:6 [6]Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. 1 Yohana 2:2 [2]naye ndiye kipatanisho kwa dhambi zetu; wala si kwa dhambi zetu tu, bali na kwa dhambi za ulimwengu wote. Yote aliyoyapitia ilileta suluhu kwamba yeye ambaye hakutenda dhambi alipitia aliteseka(alitukanwa, alidharauliwa, alitemewa mate, aliitwa amechanganyikiwa, ndugu zake walimkataa alipigwa na kuharibiwa licha ya hilo tu alienda kaburini yaani alikufa.... Isaya 53:3-5 [3]Alidharauliwa na kukataliwa na watu; Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko; Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu. [4]Hakika ameyachukua masikitiko yetu, Amejitwika huzuni zetu; Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa, Amepigwa na Mungu, na kuteswa. [5]Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona. Waebrania 4:15 [15]Kwa kuwa hamna kuhani mkuu asiyeweza kuchukuana nasi katika mambo yetu ya udhaifu; bali yeye alijaribiwa sawasawa na sisi katika mambo yote, bila kufanya dhambi. Sasa hayo yote aliyoyapitia kama sisi wenye dhambi tunaweza fanyiana dhambi na kusema tumeonewa ni mfano tu wa habili ambaye alivyuliwa na kaini na kulalamika mbele za Mungu (Mwanzo 4:10 [10]Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi.) lakini Sasa kama sisi wenye dhambi tunaweza kukoseana na kulalamika mbele za Mungu( kuacha madeni) kwa maana maandiko yanamuonesha kwamba Yesu Pekee ndio hakuwahi kutenda dhambi hivyo Mungu aliweza kuleta suluhu za dhambi kwamba akimtazama Yesu Kristo mbona huyu hakutenda dhambi ambaye hakufanya dhambi lakini aliteseka mpaka kufa hiyo ilikuwa inaleta suluhu bila bila na kuleta haki kwamba kwa njia ya hayo aliyoyapitia ndipo tupate msamaha / Ondoleo la dhambi… Yesu Kristo alitukanwa, alidharauliwa, alipigwa, alikataliwa na ndugu zake( Wayahudi), alikufa lakini waliyo yafanya Yote hay oni watenda dhambi…… TUMEPATA USHINDI KWA DAMU YA YESU… Waebrania 2:17 [17]Hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema, mwaminifu katika mambo ya Mungu, ili afanye suluhu kwa dhambi za watu wake. Amini Amini... Hakuna ondoleo la dhambi bila damu yake Yesu... Mwamini Yesu Kristo kwamba alipitia hayo kwa ajili ya dhambi Maana wapo wanaohubiri Yesu Mwingine ambaye siyo wa kweli kitabu chochote mfano kila mwandishi wa biblia lazima aandike habari za Yesu Kristo wewe ni nani ukatae.... 2 Wakorintho 11:4 [4]Maana yeye ajaye akihubiri Yesu mwingine ambaye sisi hatukumhubiri, au mkipokea roho nyingine msiyoipokea, au injili nyingine msiyoikubali, mnatenda vema kuvumiliana naye! 1 Wakorintho 1:18 [18]Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. injili ni kuteseka, kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo.. NDO USALAMA WETU NA KMBILIO LETU TUMTAZAME YEYE ALIYEWEKWA KAMA MUSA ALIVYO MUINUA NYOKA WA SHABA... Mathayo 12:40 [40]Kwani kama vile Yona alivyokuwa siku tatu mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi. ~ASIJE AKAKUDANGANYA MTU AMA KUKUPOTEZA.....YESU KRISTO NI HAKI ALIOONESHA MUNGU NI UZIMA WETU... Wapo ambao wanasema hivi wanasema vile ili kudanganya... Wapo wanao sema malaika amewatokea.... Kuwa makini Hta shetani anaweza jigeuza kujifanya kama malaika... 2 Wakorintho 11:14 [14]Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru. TATIZO KUBWA LA MWANA DAMU NI DHAMBI NA SOLUTION YAKE NI YESU KRISTO....Kwamaana dhambi ndio iliyotufarakanisha na Mungu... Mwamini Yesu Kristo upate msamaha wa dhambi... Nje ya hapo utakuwa umeluka step... Manabii wote Musa, isaya, nehemia, Ezekiel, Daniel kwa ujumla vitabu vya agano la kale(Manabii) na Agano jipya(Mitume) lazima mwandishi andike habari za Yesu Kristo aliteseka, kufa na Kufufuka…..Mwandishi ambaye hajaandika hayo epuka upoyevu… Matendo ya Mitume 3:18 [18]Lakini mambo yale aliyohubiri Mungu tangu zamani kwa kinywa cha manabii wake wote, ya kwamba Kristo wake atateswa, ameyatimiza hivyo.
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y 28 күн бұрын
Yohana 3:14-15 [14]Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; [15]ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye. Yesu aliteseka, kufa na kufufuka kwa ajili ya dhambi zetu.. Bila hivyo hakuna msamaha... Wakolosai 1:14 [14]ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi;
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 26 күн бұрын
kwa mujibu wa bibilia mtu aliekufa msalabani amelaaniwa
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y 26 күн бұрын
Mpango wa Mungu...

@bibleknowledge-b1y 25 күн бұрын
Wagalatia 3:13 [13]Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;
@omarymikombe2762
@omarymikombe2762 4 ай бұрын
Mazinge Umewakomesha Makafiri Safari Hii Sana.ww ni kiboko ya Makafiri
@myself4128
@myself4128 4 ай бұрын
Kuna kafiri zaidi ya mtu anayeabudu Jiwe Jeusi??
@patrickgitonga9013
@patrickgitonga9013 3 ай бұрын
Mazinge ni muongo sana ety wakristo wanafuata mtume Mohamed niongo juu bibilia ilikuwa imeesabu kutoka mwazo
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 2 ай бұрын
SABATO NI SIKU SIO DINI PRO MAZINGE kzbin.info/www/bejne/mKG0ool7mqZ5a7s
@selemanally6460
@selemanally6460 3 ай бұрын
Mazinge wape maandiko vitabu vyao lakini hawavisomi ipasavyo
@GodyMussa-sc9fj
@GodyMussa-sc9fj 4 ай бұрын
Ulishindwa bibya sana mazinge
@jeanninemunezero6469
@jeanninemunezero6469 17 күн бұрын
Hakuna hata sikumoja bibilia itachangana na uongo wa Quran
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Ай бұрын
Watu wa comment Akuna Aja ya kumtukana mtu hii ni debet kufafanuana kidini ❤
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani Ай бұрын
Sahihi kabisa
@HaddijaAbdaallah
@HaddijaAbdaallah 3 ай бұрын
Alla akbar
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 4 ай бұрын
Takbiriii
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 4 ай бұрын
ALLAHU AK'BAR
@nassorkhamis6233
@nassorkhamis6233 4 ай бұрын
Quran 61:6 .Anasibitishwa Muhammad hapo
@jeanpaulkwizera3216
@jeanpaulkwizera3216 2 ай бұрын
Muhammed ata Mungu hamjuwi Yani Bibiliya itamutaja haje
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 2 ай бұрын
SABATO NI SIKU SIO DINI PRO MAZINGE kzbin.info/www/bejne/mKG0ool7mqZ5a7s
@jumamagembe-k8n
@jumamagembe-k8n 2 ай бұрын
@@jeanpaulkwizera3216 wewe kuandika hujui kachambe ulale yesu mwenyewe anamjua mtume Muhammad (sw)
@alimasiallyalimasially5202
@alimasiallyalimasially5202 3 ай бұрын
huyo mchungaji akili hani yupo kimasilahi na hawa mapsta ni mashetani wote wanapotosha wakirsto tu hamna dini ya ukirsto ni watu tu wametunga kupeleka nje na mwenyezingu
@shabanimzava3740
@shabanimzava3740 4 ай бұрын
Mazinge natamani unifundishe na mm niijue kufundisha dini
@FeristaKoku-it9nx
@FeristaKoku-it9nx 5 ай бұрын
Hapo mazinge ulichemka na ulishindwa vbayasana
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 5 ай бұрын
Hajachemka chocolate hapo
@johnkaliwanje434
@johnkaliwanje434 4 ай бұрын
hapo Mazinge kachemka vibaya sana
@araptenbeller996
@araptenbeller996 3 ай бұрын
kachemka wapi
@abdallahkibamba1116
@abdallahkibamba1116 23 күн бұрын
@@FeristaKoku-it9nx acha ukuda ww unalopoka
@FeristaKoku-it9nx
@FeristaKoku-it9nx 23 күн бұрын
@@madrasatulfurqani ameombwa atoe haya mojatu inayosema muhamadi kachaguliwa hajatoa maana haipo
@thomasbussa5301
@thomasbussa5301 Ай бұрын
Mazinge wenu hajajibu swali, aliloulizwa ni aya gani inayosema ewe muhamadi nimekuchagua ? Ni aya gani Kina musa,Ibrahim na wengine wote aya zimethibitisha kuwa wamechaguliwa.
@nordiccomputers7565
@nordiccomputers7565 28 күн бұрын
@@thomasbussa5301 Mchungaji hajataka kuitumia Biblia katumia kitabu chao
@RamadhanK09
@RamadhanK09 20 күн бұрын
Wee kama auji we nyamazat maan una comet visivyo ele wek
@NuroOscar-y4b
@NuroOscar-y4b 5 күн бұрын
Wakristo awana akili
@WahidaAlharthi
@WahidaAlharthi 4 ай бұрын
WEYE padiri nishahidi WA Nanii Musa ushahidi. Ganiii
@AliomarAli-wu6br
@AliomarAli-wu6br 3 ай бұрын
Kaumia uyo moyoni ata kama asiseme
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 5 ай бұрын
Na hakika ewe Mohammed tumekufunulia wahai huu Kama tulivyo mfunulia Mussa , yakob, yunusu,Nuhu,na n,k Qur'an Surat Al nisaa
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 5 ай бұрын
jazaaka llahu khaira
@MwinyiBabu-ft1bk
@MwinyiBabu-ft1bk Ай бұрын
Iv nikitabu gan kiricho tuambia wa kristo tuowe akati yesu hakuowa
@MichaelyphidelyGervass
@MichaelyphidelyGervass 2 ай бұрын
Àcha kuwanganya watu wewe Yesu ana sema Mimi niwakwanza na wamwisho wajao nyuma yangu niwevi Tena niwanyanganyi Swali kwako wewe mpinga Kristo Mhamadi na Yesu nan alianza
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 2 ай бұрын
Yes sio mungu
@AllyRamadhani-my2zd
@AllyRamadhani-my2zd 2 ай бұрын
kuna kafiri mmoja anasema mtume wetu mohàmad. ni. Mtume wa. Shettan we unamatàtizo. Ya fikra na kwamaana hiyo huna elimu ya vitabu vya Mungu ni mjinga2 sisi mitume wote tunawaami kuanzia adam hadi mohamad yesu akiwemo tunamwamini ni mtume wa Mungu ila nyie mnamwita Mungu mara mwana wa Mungu eti paulo ndio mtume wenu jamani someni
@SleimanIsmail
@SleimanIsmail 2 ай бұрын
Hapo hajashindwa mazinge alie hajuwi nacho uliza
@IsmailjumaTenge
@IsmailjumaTenge 5 ай бұрын
❤❤❤
@SirKabuche
@SirKabuche 3 ай бұрын
Makafiri ni watu gani
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 3 ай бұрын
Kafiri ni kila anampinga Mtume Muhammad na qur,an na ALLAH
@pascalkalama
@pascalkalama 3 ай бұрын
Apa mazinge alichemsha
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 3 ай бұрын
Sikiliza hii kzbin.info/www/bejne/pHnYZWCBmcyohqcsi=tBX9YrqoD4gHPRvT
@josephshume7619
@josephshume7619 3 ай бұрын
Mazingwe ashindwa kuthibitisha wapi Mohammad kachaguliwa na mungu kwa quoran ameandza kumtafuta padri mkorofi😂😂😂
@Lucia-lk6gv
@Lucia-lk6gv 3 ай бұрын
Mkahidi WA maneno ya mtume muhamadi ni kipofu WA akili
@MichaelyphidelyGervass
@MichaelyphidelyGervass 2 ай бұрын
Acha kushika MAFUNDISHO ya wanadam Soma mwenyewe vitabu uelewe ndugu unaangamia kwa kukosa maalifa
@AhaziSimwakwenda-ju8wd
@AhaziSimwakwenda-ju8wd 3 ай бұрын
wote nyie ni ni wapumbavu mungu gani mbona mwabishania mungu mmoja ivi nyie mnaakili kweli bora Mimi ambae simuamini maiamini nafsi yangu
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 2 ай бұрын
Hakuna upumbavu hebu tazama hii kzbin.info/www/bejne/oF6ckqeoeJKCmdk
@alimasiallyalimasially5202
@alimasiallyalimasially5202 3 ай бұрын
Wachungaji wote ni waganga tu
@SirKabuche
@SirKabuche 3 ай бұрын
Nyinyi nyote mmelewa tu
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 3 ай бұрын
Huna hoja
@RoseRashidi-p9b
@RoseRashidi-p9b 3 ай бұрын
Akuna mazinge ujatoa jibu umeulizwa toa aya kua niwapi mtume kachaguliwa namunguuu wewe hujajibu swali acha porojo
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 2 ай бұрын
SABATO NI SIKU SIO DINI PRO MAZINGE kzbin.info/www/bejne/mKG0ool7mqZ5a7s
@edsonndomba1049
@edsonndomba1049 21 күн бұрын
Biblia haimtambui Mohammed hayupo kabisa
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 4 күн бұрын
kwani lazima biblia imtambue mtume muhammad yeye atabakia kuwa mtume hata kama biblia ya uongo haimtambui
@AdamPaulo-x2k
@AdamPaulo-x2k 4 ай бұрын
Huyu Mazige anafanya vichekesho wala hajajibu swali
@111dudi
@111dudi 4 ай бұрын
We ndiye usiyefaham
@WahidaAlharthi
@WahidaAlharthi 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@myself4128
@myself4128 4 ай бұрын
Jiwe Limejengewa Nyumba ya Ibada😂😂na Linaabudiwa,Muhammad alifanya kulipa Jina tu la Kiarabu basi😂😂😂Jiulizeni enyi Wapagani Hiyo salamu mnayompa Mtume katika Swala mara5 kila siku anawasikia na mtu mwenyewe alishakufa akaoza??
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 4 ай бұрын
huna hoja
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y 26 күн бұрын
Mnafuta meseji nini
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 26 күн бұрын
Mpango wa mungu yesu kulaaniwa sio?
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y 26 күн бұрын
Ndio ili laana zitoweke kwa mwan adamu...ile apate kufanya suluhu(bila bila/haki) juu ya laana zote mfano labda mtu(mwenye dhambi) fulani amelaaniwa (haendi sawa) na mtu mwingine(mwenye dhambj) sasa kama ... iyo ilikuwa inaondosha malalamiko mbona fulani amenilaani wakati naye ni mwenye dhambi Hivyo Kwa njia ya Yesu Kristo ambaye hakufanya dhambi(laana) Mungu anaonesha haki... Kwamba kama huyu ajawahi tenda dhambi alikubali kuchukua laana sembuse wewe...Mwanzo 4:10 [10]Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi.
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 26 күн бұрын
@@bibleknowledge-b1y hivi mfano rais anakwambia wewe ukafungwe jela maisha ili kuwaokoa wafungwa wengine wewe utakubali wewe uteseke ili wengine wapate raha?
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y 26 күн бұрын
Ndio ni upendo.... Hata hivyo Mungu ndiye aliyetupenda hata akamtoa mwanae pekee ili kila aaminiye awe na Uzima... Hata mahakamani watu huwa wanasaidia wengine kulipa fidia nk..
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y 25 күн бұрын
Sio hilo pia alifanywa dhambi ili sisi tupone Wagalatia 3:13 [13]Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti; 2 Wakorintho 5:21 [21]Yeye asiyejua dhambi alimfanya kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili sisi tupate kuwa haki ya Mungu katika Yeye.
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 3 ай бұрын
😂😂😂🤣🤣😋🤣 mazinge hapa umejichanganya sana , kabla ya muhamadi kuja duniani miezi ilikuwa mingapi ??? Biblia ndo kila kitu
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 2 ай бұрын
hajajichanganya msikilize hapa vizuri uelewe kzbin.info/www/bejne/oF6ckqeoeJKCmdk
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 3 ай бұрын
Pandiri ni alaha?
@BernardChesoli-rj3nw
@BernardChesoli-rj3nw 4 ай бұрын
Mazinge jibu swali ni aiya gani Mohammed alichakuliwa na Mungu simple.
@profesakiongozi3930
@profesakiongozi3930 4 ай бұрын
Ni aya gani hakuchaguliwa Ili kuthibitisha kuwa kachaguliwa
@criminalminds7723
@criminalminds7723 4 ай бұрын
Bro kwani Kiswahili sio lugha yako??kama mumeamkni kua Muhammad alisema Maryam ni mama Bora halafu muamini kabisa,kisha uje ukatae kwamba hajachanguliwa alijuaje kama Maryam ni mama Bora??na kwann mukaamini?
@WahidaAlharthi
@WahidaAlharthi 4 ай бұрын
Padiri. WEYE. Haujuwi. Iyo bibiliya yako
@youngkiki.
@youngkiki. 4 ай бұрын
Mohammed ni mwongo anasema mariamu ni bora kuliko wanawake wote wakati bibilia inasema mariamu alikuwa bora katikaka wanawake sio kuliko, Mohammed mwongo kweli.
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 4 ай бұрын
Ni Bora unyamaze maana huna unalojua kubuau bibilia Usikurupuke soma vizuri biblia
@Sauda-yo2kg
@Sauda-yo2kg 4 ай бұрын
wallah nakuona huruma nenda kasoma utajua muhamad n nani . mohamd na mjumbe wa mwenyezimungu nampenda mtume muhamad
@Khalifani-w7g
@Khalifani-w7g 4 ай бұрын
Tupe aya kwenye bibilia mungu kataremsha kitabu kinacho itwa bibilia
@talhasuleiman5217
@talhasuleiman5217 2 ай бұрын
@@youngkiki. Tofauti Kati ya kuliko na katikati ni ipi?? Yote inamaanisha ni Bora zaidi
@raymondmunis3553
@raymondmunis3553 2 ай бұрын
Aha😂 Huna kitu kichwani
@samuelondieki9164
@samuelondieki9164 5 ай бұрын
Mchungaji ameuliza swari Haya gani Muhammad kachaguriwa simple question mambo meeeengi achana mjipu alidhike
@AMIRMOHAMEDALI-p6b
@AMIRMOHAMEDALI-p6b 5 ай бұрын
Wewe acha chuki ya kidini Soma ama sikiza kwa moyo msafi sio kwa upinzani Ila kwa kutaka kujua haki uko wapi?
@samuelondieki9164
@samuelondieki9164 5 ай бұрын
@@AMIRMOHAMEDALI-p6b yes simumujibu Basi swari lake mambo ubishi uishe
@ibrahimually2180
@ibrahimually2180 5 ай бұрын
Mama wa yesu ni mama bora ujamini ndani ya kuruani aijaacha kitu mashallaa karibu uisilam
@ibrahimually2180
@ibrahimually2180 5 ай бұрын
Tulia
@nassorkhamis6233
@nassorkhamis6233 4 ай бұрын
Namsaidia mazinge ndugu yng ktk imani alikua ajibu tu Quran 61.6. Bas kazi yake imeisha
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 4 ай бұрын
😂🤣🤣🤣🤣 mazinge bwana hiyo Quaran na Biblia kipi kilitangualia,muhamad anasema ibrahimu alichaguliwa wakati yote hayo alishaga andikwa kwahiyo muhamadi amekopi kwenye Biblia
@Clamvevo-dx3fk
@Clamvevo-dx3fk 3 ай бұрын
Bibilia yenyew inafanyiwa marekebisho kila baada ya muda kadhaa, lakini qu-ani haina udhaifu kma wenu
@fatumakiboto6157
@fatumakiboto6157 26 күн бұрын
mazinge wape in awo to makafil
@fatumakiboto6157
@fatumakiboto6157 26 күн бұрын
haha wape awo I'm makafili
@barackamosi4116
@barackamosi4116 3 ай бұрын
Muhammada ni mtume wa shetani ndo Mana alimfanya Hadi mtoto wa myaka tisa
@abdallahmtula9467
@abdallahmtula9467 3 ай бұрын
Mtume Muhammad hana hata siku Moja tabia mbaya huwezi kuzipata na ushetani uko kilometa nyingi na Muhammad
@jairusalim5526
@jairusalim5526 3 ай бұрын
Allah akulipe
@ZainabsharifJuma-fg6dn
@ZainabsharifJuma-fg6dn 3 ай бұрын
Astaghafiruallah
@madrasatulfurqani
@madrasatulfurqani 2 ай бұрын
acaha ubishi huu ndio ushahidi kzbin.info/www/bejne/oF6ckqeoeJKCmdk
@tanzaniaburundian582
@tanzaniaburundian582 2 ай бұрын
@@barackamosi4116 usilo lijuwa achana nalo nduguyangu unapatazambi too
@Leo-xc1nh
@Leo-xc1nh 4 ай бұрын
Allah Akbar
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 1,3 МЛН
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 52 МЛН
KISA CHA NGAMIA WA NABII SWALEH NA WATU WA THAMOUD //SHEIKH OTHMAN MAALIM
32:39
UTAFURAHI SHEIKH SHAFI ALIVYO KUTANA NA WAHUNI WAKATI WA KUZIKA
10:05
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 72 М.
WEWE NDACHA NITAKUUA MIMI NATISHA //Prof MAZINGE
29:23
arkas online tv
Рет қаралды 340 М.
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 1,3 МЛН