MAZISHI YA ALLY KIBAO LEO TANGA, WAZIRI MASAUNI KUHUDHURIA, CHADEMA WAELEZA

  Рет қаралды 13,226

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 30
@Afsa-z2v
@Afsa-z2v 7 күн бұрын
Pole sana wafiwA na wananchi wote
@user-xt3pq4hb2r
@user-xt3pq4hb2r 7 күн бұрын
Hiyo ndio tanqa kisomo maalum inshaallah yapo maombi ya mwenye kudhulumiwa tunaimani mwenyezi munqu atamaliza utata huu tena kwa wote inshaallah
@leokamil6284
@leokamil6284 7 күн бұрын
Amen
@abdulsalaamkahttan1037
@abdulsalaamkahttan1037 6 күн бұрын
poleni sana family na chama cha demokrasia na maendeleo😢😢 inauma sana huu ni umafya na unyama.
@YohanaKitiku
@YohanaKitiku 7 күн бұрын
Poleni sana makamanda
@lusakaone7782
@lusakaone7782 7 күн бұрын
Yaa Rabbi Tusitiri waja wako, hakuna atakae ishi milele sidhani kama Kuna mtu ataxia 2100 kati ya hao wauwaji
@allynassoro8448
@allynassoro8448 7 күн бұрын
Jamani niajab Eti watekaji na wauwajiWaunde time kujichunguza mapya haya ,halafu ili iweje, si mngeaza zamani Tulia alisema hakuna utekaji watu hushinwa maisha wakaenda nje ya nchi Basi nae kashaena ila alla atawatosha na vitimbwi vyenu
@kwisa4899
@kwisa4899 7 күн бұрын
Hivi wachawi sikuhizi hawapo maana kunafamilia ukifanya tukio kama hili wote wauwaji na familia zao watafata..
@allynassoro8448
@allynassoro8448 7 күн бұрын
Huyo Wazi masaunimanafata Nini hapo
@kwisa4899
@kwisa4899 7 күн бұрын
Serikali inachekesha inaudhuria ili kushudia kama marehemu amezikwa😂😂😂
@Afsa-z2v
@Afsa-z2v 7 күн бұрын
Masauni unafuata nn huko
@amankayinga3475
@amankayinga3475 7 күн бұрын
Pole sana rip
@michaelmshighati8432
@michaelmshighati8432 7 күн бұрын
Scotland yard wake wachunguze na Satellite
@IsmailLoi
@IsmailLoi 7 күн бұрын
Kama Mungu wetu uko upande wa Watanzania utulinde na thulumma hii ya kuwaua watu wasio na hatia 2Nyakati 7:14
@giftkalenge418
@giftkalenge418 7 күн бұрын
wanaotuongelea kweli hawapaswi kufanyiwa vibaya
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 7 күн бұрын
Wa mambo ya ndani bado. Hajatumbuliwa
@deokibona2835
@deokibona2835 7 күн бұрын
Kwa kifupi mtuhumiwa hapa ni serikali, kwahiyo hayo mambo ya vyombo vya uchunguzi kufanya uchunguzi ni siasa tu. Waletwe Scotland Yard hapa muone kama watu hawajavuliwa nguo hadharani.
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 7 күн бұрын
Dah hii inaitwa ubaya ubwela kwel kwel police mjitasmin
@christophernzige3913
@christophernzige3913 7 күн бұрын
Huyo waz anakuja kufanya nini ?
@AngelEmanuel-qn2en
@AngelEmanuel-qn2en 7 күн бұрын
Wazri anakuja kuangaria alicho watuma vjana wake wamefahuru kuua au. Ila Hatu ogopi Bali Wana tupa ujasir na mbinu za kupambana nao
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 7 күн бұрын
Mwananchi atajua barozi wako tu😂😂
@giftkalenge418
@giftkalenge418 7 күн бұрын
upo saw majaji na waandishi was kimataifa
@gerald6720
@gerald6720 7 күн бұрын
Masauni alitakiwa kujiuzulu na si kuja kuzika
@christophernzige3913
@christophernzige3913 7 күн бұрын
Ikiwezekana musisalimiene kabisa
@HASSANWAZIRIGAO
@HASSANWAZIRIGAO 7 күн бұрын
HATUJAWAHI KUSIKIA LISTI YA VIONGOZI WA CHADEMA JINA LA ALLY KIBAO UNGOZI HUU KAPEWA LINI
@MsabahAli-d6u
@MsabahAli-d6u 7 күн бұрын
Sio kila kiongozi ni maarufu wako viongoz went ata kwenye ccm watendaji na sio maarufu majukwaani
@FucianeBulemo-nd4wc
@FucianeBulemo-nd4wc 7 күн бұрын
Una ujasili sio mbaya, bas tuchukulie ni raia wa kawaida hii imekaaje
@edisonmjema2620
@edisonmjema2620 7 күн бұрын
Hii inamahusiano gan na kufa kwake acha masiara mazingira magumu aliyopitia hatuyajui 😢
@allynassoro8448
@allynassoro8448 7 күн бұрын
eanafata kupoza uchungu hao
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 19 МЛН