Рет қаралды 171,627
Kuacha mambo yote Magumu tunayoyapitia katika Ulimwengu huu ipo siku Mungu wa mbinguni atasema imetosha na atamteketeza Shetani kwa Moto hivyo tufanye Matendo mema yanayompendeza Mungu wa mbinguni ili tusije tukachomwa Moto pamoja na Shetani.