BALOZI KARUME || WANALETA WAGENI KUIFISIDI ZANZIBAR

  Рет қаралды 20,117

Marhaba TV

Marhaba TV

Күн бұрын

Пікірлер: 95
@masoudamour
@masoudamour 2 күн бұрын
apo kweny wagen kwel kaka umeongea ukwel 🎉🎉🎉 wageni wanaabudiwa yan tunabaguana kwajil.yawageni🎉
@salma0000
@salma0000 2 күн бұрын
Wazanzibari tunanyimwa haki zetu wanapewa wageni
@suleman-ox7ce
@suleman-ox7ce 3 сағат бұрын
Asante balozi njo uchukue jogoo wa kuchinja
@stonetown578
@stonetown578 2 күн бұрын
Hongera mh Ali Karume
@HafidhMaalim
@HafidhMaalim 3 күн бұрын
HONGERA MZEE KWA KUISEMEA ZANZIBAR.. BALOZI KARUME NI MSOMI
@HafidhMaalim
@HafidhMaalim Күн бұрын
HATA MZEE KARUME MWENYEWE ALISEMA KUA MAAZIMIO YA KIAJABU-AJABU MWISHO CHUMBE LKN ANGALIA LEO TUNAYOYAONA NI UDALALI TU WA KUITOA ZANZIBAR LKN MUDA UTAZUNGUMZA NI MAJUTO AU MENGINEYO
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 3 күн бұрын
Nimependa hapo mgeni anakatiwa ekari 80 kwa kuporwa mzanzibar halafu muekezaji uchwara anakopa benki zetu kufanya biashara ya umachinga 😂😂
@abdultour1647
@abdultour1647 3 күн бұрын
Free Zanzibar soon IshaAllah
@Hilali-ff5ul
@Hilali-ff5ul 3 күн бұрын
Inshalah
@FahimaKhalid-d7i
@FahimaKhalid-d7i 3 күн бұрын
Yes INSHAA ALLAH
@MuhammedAliOmar-c9u
@MuhammedAliOmar-c9u 2 күн бұрын
Wazanzibari tumegeuzwa kuwa wakaazi (RESIDENTS) NI MATUSI NA DHARAU YA MWISHO
@salma0000
@salma0000 2 күн бұрын
Hapo ndipo walipotumaliza
@RehemaZakwani-bf9jw
@RehemaZakwani-bf9jw 3 күн бұрын
Karume anaeijua nchi tangu enzi ya babake na anajua ccm haifai Tena
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 3 күн бұрын
Wanaleta WATANGANYIKA wenzao katika serikali ya ZANZIBAR ili kuweza kuwatawala WAZANZIBARI.
@salma0000
@salma0000 2 күн бұрын
Tena wenye dini tofauti na Wazanzibari ili waislam tuwe minorities waendelee kuleta sheria za kikafiri
@suleimansadalla5606
@suleimansadalla5606 2 күн бұрын
Asante mzee umefahamisha vizuri
@hashamadewa6451
@hashamadewa6451 2 күн бұрын
Hahahaaa uuuiii wazanzibar vichwa maji mnataka kuangalia aliosema hayapo au yapo? mjuwe tu kuhongwa kubayaaaa
@saidal-hind5338
@saidal-hind5338 3 күн бұрын
Dah unesema vizuri
@Burange666
@Burange666 2 күн бұрын
Wewe mwenyewe Karume ni mgeni kwenu Malawi wewe ni Mnyasa na Mama yako Fatma kutoka Comoro sasa nani mgeni acha Bangi zako hizo au sivyo tutakurudisha kwenu Malawi.
@ZenaSaad-mn9fd
@ZenaSaad-mn9fd 3 күн бұрын
Kenye siku nimekusapoti ni Leo thx
@SabriMtwana
@SabriMtwana 10 сағат бұрын
Tunaomba kher
@NassibuSaid-h9t
@NassibuSaid-h9t 2 күн бұрын
Tusubiri Kiama kiwashukie hakuna liwalo maneno yako sawa na kupepea upoeo😅🎉
@NassibuSaid-h9t
@NassibuSaid-h9t 2 күн бұрын
Kashiba huyo anawachenguwa nyie mnao njaa😢😮
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 2 күн бұрын
Uko sahihi kwa sasa wazungu,waarabu,waturuki ndiyo wenye mamlaka Zanzibar 😂
@TatoIssa-w3q
@TatoIssa-w3q 12 сағат бұрын
Umeonge.point.kweli.baba
@omarmtumwa3272
@omarmtumwa3272 Күн бұрын
mbona mwanzo hujasema hayo au kwakua hujapewa upngozi
@Fatma-up9qs
@Fatma-up9qs 3 күн бұрын
Sema babaa sema. Wanaleta ukafiri tu. Nchi zijengwe na wananchi wenyewe. Sio wawekezzji kutoka nje....
@maase2023
@maase2023 3 күн бұрын
Kweli kabisa
@MonicaMwoka
@MonicaMwoka Күн бұрын
Yaani umeongea ukweli kwenye wageni savabu hata sisi wabara mnatunyima kutupa ardhi lakini mbawapisha wageni umeongea ukweli lazima zanzibar wabadilike
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Күн бұрын
huyu mlevi alidhania zanzibar ni nchi ya familia you tu!! Husein mwinyi kaifanya zanzibar watu wanasalimiana na kuzikana!! huyu alikuwa anapenda yale kuuana na kukatana MAPANGA!!
@EdwardMashauri-z4w
@EdwardMashauri-z4w Күн бұрын
Correct
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 3 күн бұрын
Mbona kaka yako haukuhoji pumbavu
@IddiKhamis-u6c
@IddiKhamis-u6c 3 күн бұрын
Tumeshachelewa Zanzibar. Zanzibar kwishaa.
@jarsjam8894
@jarsjam8894 3 күн бұрын
Ñyie hamuwezi kufanya chochote ndio mana. Kwanini weye hukufanya unabaki kupiga kelele tu
@hassnsalim5156
@hassnsalim5156 2 күн бұрын
BORA USEME WEWE LABDA HAWA SAMAKI WATAKUELEWA
@BadiFakibadi
@BadiFakibadi 2 күн бұрын
Waambie wanakurupuka tu hawaji walitendaro.
@sasamjr2517
@sasamjr2517 2 күн бұрын
Viongoz wetu wakishatoka kwenye system wanakua kma malaika
@NasirAmeir
@NasirAmeir 3 күн бұрын
Ccm ni laana dhulma, uwaji ndio sera zao
@mbwanahussein98
@mbwanahussein98 3 күн бұрын
ULIKUWA NDANI YA FAMILIA UMEKULA MEMA YA NCHI UMESHIBA SASA ULAJI HUNA UNAANZA KULETA UBAGUZI TENA UBAYA MLIYOKUWA NAO ATA NDUGU ZENU WAISLAM MUNAWAFANYIA HILA
@HumudNassor-pg6lq
@HumudNassor-pg6lq 3 күн бұрын
tulia kuma ww
@mbwanahussein98
@mbwanahussein98 3 күн бұрын
@HumudNassor-pg6lq ALHAMDULLILAH ☺️ALLAH AKUFANYIE WEPESI KATIKA TARBIA NJEMA NA AKHLAK ZA RASUL
@ramadhansimba2928
@ramadhansimba2928 2 күн бұрын
Du kaonvea ya kweli matupu
@AliJussa
@AliJussa 2 күн бұрын
Zanzibar hata wewe asili yako unakujua😅,
@SaidJuma-gs9ej
@SaidJuma-gs9ej 3 күн бұрын
Hongera balozi
@mangofish9079
@mangofish9079 2 күн бұрын
Zanzibar ni visiwa vidogo sana utashangaa ardhi wanavyopewa wageni wakati visiwa vyengine vikubwa kuliko znz huruhusiwi kununua ardhi hata iweje.
@abdallahdullah8642
@abdallahdullah8642 3 күн бұрын
Veep mzee tuamke au bado tulale totoroooo
@froma3732
@froma3732 2 күн бұрын
Mulikuwa kwenye system Ufisadi miaka 60 Unazungumza maneno sawa lkn Umechelewa
@SuolFat
@SuolFat 3 күн бұрын
Dah!!!
@YahayaKiobya
@YahayaKiobya 3 күн бұрын
Katiba mpyaaaaaa 👍👍👍
@HassanMchoro-b3r
@HassanMchoro-b3r 3 күн бұрын
Hongera bab ali karume
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 3 күн бұрын
Kua timamu kwani umekua nshamba wa majengo bas na tuone ukae na ule majengo 😅😅😅
@AbdulMuhudhar
@AbdulMuhudhar 3 күн бұрын
Sheikh Ali wazeeka vibaya weye
@masoudamour
@masoudamour 2 күн бұрын
uyo anaijuw historia ww
@HasnuuMakame
@HasnuuMakame 2 күн бұрын
​@@masoudamouraaah wapi wakati family yao ndio ilotuzalishia haya yote kuanzia baba yake na kaka yake akaendeleza kutuibia na kujitajirisha wao tu.. Huyo anasema hayo kwa kua hakuupata urais, ila mkae mkijua Baba yake ndio muanzilishi wa hizi dhulma kwa Wazanzibar, kwahiyo mbegu walioipanda ndio inavunwa sasa..
@Sheba4651
@Sheba4651 2 күн бұрын
​@@HasnuuMakameMbona wao wanasema wame kukuomboweni toka kwenye utumwa wa muarabu, wewe unasema ndio waanzilishi wa dhulma, sasa tushike lipi ndugu, wametukomboa ama wametuangamiza😂😂😂😊
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 2 күн бұрын
​@@masoudamourHawa stukiwaita hapa pangu Leo wanajua historia
@bongo39
@bongo39 2 күн бұрын
Wewe kaka yako kaiba weee na familia yenu mumeiba weee mlinyamaza kimya sasahivi unajitokeza hadharani unaanza ushoga wako pumbavu kabisa
@OthamanOmar
@OthamanOmar 2 күн бұрын
Mbona hujasema hayo wakati wa utawala wa kaka yako?
@BiFaudhia
@BiFaudhia 2 күн бұрын
Mbn hukusema wakati huo mlipokua madarakani saiv bora unyamaze
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 2 күн бұрын
Acha tu wazanzibar tunapenda sana fitna
@abubakaradnan4689
@abubakaradnan4689 3 күн бұрын
Maji yakimwagika hayazoleki
@Hilali-ff5ul
@Hilali-ff5ul 3 күн бұрын
Ahsante kaka tupo pamoja inshallah
@ISSAJR-f5
@ISSAJR-f5 3 күн бұрын
Namsubiri MBETO...
@SaidSalum-v5c
@SaidSalum-v5c 3 күн бұрын
Hongera Balozi
@IdrisaSadick-e8x
@IdrisaSadick-e8x 3 күн бұрын
Tupo pamoja babai
@AlishauriOmar
@AlishauriOmar 2 күн бұрын
Safi somo
@mrmahmoud1278
@mrmahmoud1278 2 күн бұрын
Aljununu fununu
@AliMselem-t1d
@AliMselem-t1d 3 күн бұрын
Umeongea ukweli ila c c m haijielewi nahawa sio wazanzibar
@ShehaHaji-k8t
@ShehaHaji-k8t 3 күн бұрын
Ya mkosaji ayo, hukuyajua alipoongoza kaka yko unasema saiv alipondugu wa mwezako, choyo ulitaka serikali. iwe yenu. Wajinga ndio wataokufata muache Rais wetu atimize ndoto ya wazanzibari.
@maspro6294
@maspro6294 3 күн бұрын
HATA BABA YAKO ALIKUA KAALIKA MABEPARI NA ALIKUA MWIZI WA MAALI ZA ZANZIBAR NA KAKA YAKO PIA KAAIBA KILA SEHEMU YA ARDHI ZANZIBAR WEWE NI TAAMAA YA KUA RAIS,WEWE HAUWEZI KUA RAIS NA HAITA TOKEA
@abubakaradnan4689
@abubakaradnan4689 3 күн бұрын
Wazee wanasema
@Ali-u8i8s
@Ali-u8i8s 2 күн бұрын
😂😂😂😂 dahhh hata wewe au kwa sababu huna ugali kwa sasa
@kassim1262
@kassim1262 2 күн бұрын
😂😂😂Ktk famialia ambayo haina njaa znzbr bc hii ndio namba moja
@binbuhakhamis4336
@binbuhakhamis4336 3 күн бұрын
Hongera unaongea kitu sahihi tena kwa uwazi mkubwa
@ShukurkollAngel
@ShukurkollAngel 3 күн бұрын
Sasa nchi gani duniani hawaihitaji wawekezaji? Wewe mwenyewe unasema Marekani inakaribisha wawekezaji kwa zipo Kampuni za kigeni kama Hyundai,Aegon,Sony, Siemens nk China kwenyewe waliokuwa wajamaa kindakindaki kuna Makampuni ya kigeni ie Foxcom( Umeme), Toyota, Volkswagen, Mitsubishi,Subaru, Colgate,Nike, Walmart nk Nchi kama Canada, Australia, New Zealand zinavutia wawekezaji kwa juhudi kubwa na kuwapa Uraia. Bila wawekezaji wakubwa nchi itaendeleaje? Wakati wao ndiyo huchangia kuleta ajira pia kulipa Kodi kubwa.
@mangofish9079
@mangofish9079 2 күн бұрын
Hapa znz kuna ajira asilimia ngapi kupitia uwekezaji?
@ShukurkollAngel
@ShukurkollAngel 2 күн бұрын
@mangofish9079 Siwezi kuwa muongo nikakupa takwimu nisizozifahamu. Mimi nilichozungumzia ni umuhimu wa kuwakaribisha na kuwatafuta wawekezaji wakubwa. Nchi zote Duniani zinawatafuta hao tena kwa juhudi kubwa. Ili zipate maendeleo. Lakini naamini hata hapo Zanzibar wawekezaji waliopo wenye Mahoteli na Sekta ya Utalii imeajiri Wazanzibari. Pia wapo wanaonufaika si kwa kuajiriwa nao lakini katika huduma zao kwa mfano Viwanja vya Ndege, Madereva wa Taxi, wenye maduka na vifaa mbalimbali nk
@tahirsalum
@tahirsalum 3 күн бұрын
Mtazilamkikopeshwa
@powerrecordszanzibar3384
@powerrecordszanzibar3384 3 күн бұрын
ILIPOKUA MUDA WAO WA KULA KUNAZI JUU YA VITANDA WALIKUA HAWAYAONGEI HAYO, SAIVI KWA SABABU HAJAPEWA PANDE LA NYAMA NDIO YANAMTOKA YOTE HAYA ?
@Sangaadam
@Sangaadam 3 күн бұрын
Huyu always yeye ni kupinga tu, hivi Zanzibar inahitaji nn, nchi imeanza kujengwa kuanzia majengo mpk barabara, wewe kuna kipi kimekuwekewa kizuizi cha kujenga na kuendeleza nchi yko, ni ngumu duniani kote Serikali kumpatia pesa kila mwananchi, nashaulu ujikite kuwaelimisha wazanzibar kuchangamkia fulsa na kuungana na wawekezaji wanaokuja kuwekeza kuliko kupinga tu kila jambo!!
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 3 күн бұрын
Utabaki kula na mijengoyo nenda bongo kariakooo ukale majengo yote 😊
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 күн бұрын
Kuna Nchi nyingi tuu Duniani wanawatizama Wananchi wao hasa walokuwa washatimiya miaka 60 pamoja na vilema kila mwezi wanalipwa kiwango maalumu cha pesa ili kiwasaidiye kuendesha maisha yao. Wako Wananchi maskini wewe tuu wanaishi kwenye vijumba vibovu pia wanafaa kujengewa wawe na maisha mazuri kwenye Nchi yao.
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 2 күн бұрын
Kwaiyo ww utakula majenge na barabara au wakati wananchi wana njaa ukieka biashara unafukuzwa
@SuleimanMuhammed-g7q
@SuleimanMuhammed-g7q 3 күн бұрын
Duh huyu jmaa mwamba
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 3 күн бұрын
Amekosa kazi mpeni cheo.
@kassim1262
@kassim1262 2 күн бұрын
Anaongea ukweli usikasirikee huyo ni ccm kiliko ww ww hujuilikani hata tawini yeye anajuilikana mpk dodoma huyu hana njaa ww hujui ata unakula nini 😂😂😂
@HafidhMaalim
@HafidhMaalim 3 күн бұрын
HAWAKUPI URAISI KWA SABABU UNA UCHUNGU NA ZANZIBAR... HONGERA MZALENDO WETU KAZA KAMBA MTOTO WA BABA WA TAIFA HILI LA ZANZIBARI
@harounhilal1394
@harounhilal1394 3 күн бұрын
Huyu naona kama kaishiwa
@salehaljadidi8206
@salehaljadidi8206 3 күн бұрын
Wewe mwenyewe mnyonyaji na fisadi mamba moja. Huna mpango wewe.
@NashatAhmed-z2t
@NashatAhmed-z2t 3 күн бұрын
Sungura akizikosa zabibu husema mbichi.
@zully756
@zully756 3 күн бұрын
Kasomea political science, anajua kuongopa.
@AbdulMuhudhar
@AbdulMuhudhar 3 күн бұрын
2:
@kassimabdulla3787
@kassimabdulla3787 3 күн бұрын
Shukran Balozi Ali Karume. No one is wrong always, even a stopped watch is correct twice a day. Wambiye ukweli hao jamaa asaa kheri siku moja watazonduka.
@OmaryAlly-mn6cv
@OmaryAlly-mn6cv 3 күн бұрын
Apewe 'kifupa kifunga mdomo', SIDHAMBI😅
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 3 күн бұрын
😅😅UYO CCM NA SERIKALINI IKO KWAO HUYO😂😂
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
OTHMAN MASOUD ANAVYOWACHANA CCM
11:47
Marhaba TV
Рет қаралды 3 М.
HUTAAMINI KAMA HUYU NDIE MBETO WA CCM
12:37
Marhaba TV
Рет қаралды 9 М.
В Брюсселе решают, как быть с Украиной
1:46
Euronews по-русски
Рет қаралды 5 М.
Zanzibar inaongozwa na wageni- Ali Karume
6:28
Salma Said
Рет қаралды 11 М.
MASKIN HAMAD MASOUD AMEPIGWA TENA UENYEKITI CUF NA LIPUMBA
4:52
Marhaba TV
Рет қаралды 2,9 М.