Nilikuwa mdogo lakini nilikuwa nazipenda sana kwa kuwa marehemu mama yangu alikuwa anaimba sana hizo nyimbo
@martinmakau932310 күн бұрын
Baraka ❤❤❤ good song and good massege 🎉🎉🎉
@martinmakau932310 күн бұрын
Wimbo taratibu..
@polahcat16523 жыл бұрын
The saying no one is indispensable does not apply to this man, no one has ever replaced. My parents mourned this guy like he was a special brother from another mother. Listening to these Iconic Masterpieces, now I understand WHY??? His music is unprecedented, completely like no other yet its been almost 50 years since he died. It's certainly unbelievable!!!
@PeterMagut-o1p4 ай бұрын
From the 254 republic in 2024. Nostalgia galore
@RahmaHersi-s1k4 ай бұрын
He was the best ever in Tanzania 70th... no one since then....
@niariramrutu197 Жыл бұрын
Nilimfahamu Mbaraka pale Community Centre Morogoro, he was a wonderful Singer and a gentleman
@kipoziibrahim Жыл бұрын
Hii nyimbo kama kaniwakilisha maisha ya zamani yalikuwa yanazingua saana na Baazi ya wazazi walikuwa na roho mbaya yaani hii ni mm kabisa😢😢😢😢 sasa wanaona aibu hata kuniomba msaada manyoko zao
@rudaerisa37216 ай бұрын
Nyimbo za mbaraka zilifanya nijifunze kiswahili, much love from Uganda.
@ronniemusoke17064 ай бұрын
Kajambo,moto-moto,
@rudaerisa37214 ай бұрын
@@ronniemusoke1706 Jambo ssebo
@frankhumphrey83763 ай бұрын
naskiliza hapa 2024 ngoma kama ya jana sio hii miziki ya skuhz
@RajabuYassin-o3x3 ай бұрын
Napenda izi nyimbo kwani zinamaneno mazuri ya kunifunza ndani yake❤❤❤❤❤❤❤
@KevineKatakaАй бұрын
Good 🇰🇪song African kwa madada🌹 na madungu sisi tujifunze matajirii na masikini bibilia inasemaa muumba baba yetu WA binguni na alifaya ivyo ili mwandam a siyelewe kwa hekimaa yake mana mwandam ni mtu Wa kujutaa muhubiri 9:11_13 yohana14 23:24 haha😂 mawazo ya mungu hayachunguziki muumba baba yetu WA binguni na mwokozi wetu yesu ni juuuu saanaa muhubiri 5:11😅
@kiptaikiptoo195810 ай бұрын
I got you finally!🎉🎉🎉 1998 till now.😊
@blastuslunyali99865 жыл бұрын
Ni Mama Mdogo siyo Baba Mdogo!
@IsaacEliamini10 ай бұрын
Pande zote ba mdogo na ma mdogo
@MariaMomade-nh5pbАй бұрын
Eu gostava de escutar mesmo sem perceber a língua. Eu era criança órfã a ser muito maltratada com a minha tia , minhas primas e a filha mulata , eu fui sempre consoada com essas músicas do cantor Mbaraka lá pra os anos 1979 a 1980 . Em Moçambique. Deus lhe conceda Djannathy.
@walterAmbenge2 жыл бұрын
I started being in love with Mbarakas song two years ago,now I can't stop nodding my head every time I come a cross his songs. A legend he was
@frankdebbienash.604611 ай бұрын
Are you stressed up just listen to this kind of music then u will be wow❤
@patriciandirangu13262 жыл бұрын
True mambo isha haribika si kama zamani tuombe mungu mimi nimeshuhudia l nilikua victim
@gladysembasi-oe3wc Жыл бұрын
Reminds me of my childhood memories and life,lunch time music in VOK, continue resting in peace legend
@dilianangolo96362 жыл бұрын
Reminds me my grandfather,he used to play this song like every day,mpaka betri za radio ziishe abaki ameboeka
@IssacWambua2 ай бұрын
Golden evergreen songs ❤❤❤❤
@JohnMngongo-ol6hk7 ай бұрын
tujifunze jamani ubinadamu jamani tukumbushane kwa kweli kwa kuwa wimbo huu unagusa sana maisha yetu sisi binadamu
@geraldmavuka5 ай бұрын
The songs grew up listening to many rains back
@vijananarutomovement76252 жыл бұрын
I see myself contributing more than half of all views for Mwishehe songs
@mosesotieno84772 жыл бұрын
I used to work in a garage where a old man age of my grandmother would come in the evening before he reports to work that he was doing and he used to play this song severally .....l loved it 💪indeed legends cannot be forgotten
@jumannekibuo46292 жыл бұрын
Daaaah wakongwe mlifaidi sana
@lugwetunje389610 ай бұрын
Tulipokea nyimbo na mafundisho ya maisha
@philipachikindubi5128 Жыл бұрын
i used to listen to this song when at nyamagwa boys 1980 John magoma loved the song
@JohnMngongo-ol6hk7 ай бұрын
daaa ujumbe murua sana huu naburudika nikiwa blantyre city malawi
@JohnMngongo-ol6hk7 ай бұрын
wimbo huu niliupenda kwa kuwa redio ya baba hitachi ya zamani bendi moja ilikuwa inatuburudisha enzi hizo
@sharifaashir41315 жыл бұрын
yanikuta jmn hayo mpk nikikumbuka roho inaniuma 😭😭
@petermwangale-hf4bo5 ай бұрын
One of my best favorite songs
@saidbaro60625 ай бұрын
LEGENDE 🔥
@ramadhanmoti17112 жыл бұрын
Old is GOLD!
@tumainipeter4582 жыл бұрын
Hapa kamaliza super saana
@victorsylvester719110 ай бұрын
Kaimba uhalisia kabisa wa mama wanafanyia hivi wa toto wa ndugu zao 😢
@thekenyan_malema Жыл бұрын
Congratulations good music,rip legends 😊
@charleskimunyi82114 жыл бұрын
Reminds me of some years back when I first traveled to the City at 13
@lugwetunje38968 ай бұрын
I remember 1979 wen it was announced that he had an accident at mkomani now we have tamarind village on his way from shanzu
@maxthondolo27 күн бұрын
It was a sad moment that year when I heard of his demise in the epic year when I graduated with Credit from University of Malawi, Chancellor College
@ronaldmutua2 жыл бұрын
Nyimbo nzuri ino- kanikumbusha St. Paul's Primary School, Athi River .70's
@georgendenga8652 жыл бұрын
Eeh!!! Hyo shule iko wapi nko athiriver
@khalifasaid76952 жыл бұрын
Akiwa na Mambi Idi,Issa Bendera, Kilongola, Athuman Babu, Kasembe.
@chichilela Жыл бұрын
Lessons taught well ❤
@blastuslunyali99865 жыл бұрын
Mbaraka Mwinshehe alitunga wimbo unaoitwa Mama Mdogo siyo Baba Mdogo!
@richardmaliwanga45655 жыл бұрын
Uliitwa Baba mdogo,japo unasikia mama mdogo!Hivyo ndivyo alivyousajili!Hakumlaumu mama yake mdogo,bali baba yake mdogo aliyeyanyamazia mateso hayo.
@timtammie13 жыл бұрын
Baba mdogo. Sikiza kwa makini ndugu
@hassanilukomo70836 жыл бұрын
hizi ndizo zilikuwa tungo Bwana
@paulmunyalla59135 ай бұрын
Hii,inanikumbusha mbali,if hear this it's end month,na record ya sahani na cell battery once in amount for two days battery za mawe mshahara imepatikana
@jimmymayore30102 жыл бұрын
.....Genius indeed....
@fatushabdalla15446 жыл бұрын
This music is amazing it's has some massage ooh no may his soul rest in peace
@Obutuu8 ай бұрын
Nilikuwa miaka tisa when my mum died lakini yangu ilikuwa mama wa kambo..😂😭😭😭😭😭😭
@abdulaisha414511 ай бұрын
Waaaah sikilza ujumbe huo
@missmannydxb2 жыл бұрын
I listened to this song with a lot of thoughts in my head. You wonder if what he's talking was something he had to endure with his uncle 😞💔
@williamuphilipo74472 жыл бұрын
Hatari na nusu daaah...
@issayasosolo60332 жыл бұрын
Mama mdogo ndiye mtesaji kwa ujumbe huu, Hata baba mdogo au mkubwa hata yeyote yule anaweza kukunyanyasa, Hata wewe unaweza kufanya unyanyasaji kwa namna nyingine, Tusifanye hii winbo ikawa sehemu ya kuona wengine ndiyo wanyanyasaji , Jamii yoyote inaweza kufanya unyanyasaji wa namna yoyote Ile,!
@maganyarobert70082 жыл бұрын
Mtoto kukaa kwa ndgu sio kosa tujitahidi kutembelea watoto Wetu mana huo wimbo uliimbwa sio Matani ni ukweli kwetu sote pumzika kwa amani mpendwa mbaraka mwinshehe
@JohnMngongo-ol6hk7 ай бұрын
umetuachia ujumbe pumzike na watu wenye Tabia hii hawawezi sikiliza wimbo huu unawachoma Moto jamani
@everlynosiago42734 жыл бұрын
Hawa ndio walikuwa watunzi wa muziki
@mbwanarashidi17748 ай бұрын
Naitwa mbwana rashidi inatukumbusha ndugu hawana ubina damu hata kidogo
@careyrume7 жыл бұрын
Reminds me of a very sad event
@JohnMngongo-ol6hk7 ай бұрын
tulifaidi hii nakumbuka ni 1980 bado sijaingia shule
@saidkanijo27606 жыл бұрын
Aisee hii mpaka uwe muhenga kama sisi ndio utaenjoy!
@josephotieno3943 Жыл бұрын
Who is he referring to as "Baba mdogo" here? Am I the one who doesn't understand Kiswahili, his mother's brother is supposed to be "mjomba". Ndugu zangu Watanzania hebu mnifafanulie swala hili.
@pierresenga9647 ай бұрын
Nyimbo n'a mafundisho ah dunia.nani tena?
@mariamchawa7648 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@G.r.e.a.t.I.Q2 жыл бұрын
Wakati huo nikisulubika hivyo sehemu fulani kule nyumbani Zanzibar! Ilikuwa wakiweka natamani niizime! Mama akiwa amefariki. Baba akiwa na mke na watoto wake wengine!😩 Nilikuwa na umri wa miaka 7!
@asteriayohana3746 Жыл бұрын
😢
@MkundeLugula2 ай бұрын
Pole❤
@MkundeLugula2 ай бұрын
Pole sana me mama kambo😊
@G.r.e.a.t.I.Q2 ай бұрын
@@MkundeLugula Ahsante
@G.r.e.a.t.I.Q2 ай бұрын
@@MkundeLugula 😂😂😂😂
@AllyMKUMBA-gd2ti9 ай бұрын
❤❤❤❤
@maselinomleti4951 Жыл бұрын
Tuliya kala mseli sui twanguvina sangura mwatu .
@timtammie13 жыл бұрын
Angelikua hai saa hii. Kifo kibaya
@davidzacharia23735 жыл бұрын
Wahenga ni mama mdogo au baba mdogo?
@ozyo83083 жыл бұрын
The Song is lamenting because the child is tortured, physically/mental... My Mrs is From Zanzibar and its custom/not .. For children, to be brought up by the inlaws, mothers side... to create an everlasting "Family Bond". I think its a noble culture. .... but their are nasty Aunts, its unfortunate this song is relevant to my Mrs..
@bonnierobinson6676 жыл бұрын
Daaaa
@njorogenicholas24863 жыл бұрын
Zama zile
@rashidramadhan63582 жыл бұрын
Ezzi hazifudi kama zinarudi basihakuna atakaeenda kuruks majoka