Mbarikiwa ndio Nembo ya Taifa nembo ya haki, hata kama mtakataa, ni mpenda haki pia mtenda haki, msema kweli pia anauishi ukweli, series ya mwenye haki inaendelea.🙏
@jacksoncharles54117 күн бұрын
Kabisaaaa,na sio nembo ya taifa tu,bali nembo ya Mungu duniani.
@ZubedaKihaku2 күн бұрын
Amina baba mbarikiwa mbarikiwe sana kwa upendo mkubwa sana
@dainesmsagala85886 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, uzidi kupanda viwango zaidi na zaidi
@omuze12906 күн бұрын
Mch. Mbarikiwa ni mtumishi wa kweli wa Mungu aliye mbinguni!
@SimbaJumanne5 күн бұрын
Mm ni mwislamu lakin maneno yakoo hunipa nguvu nakpeenda sana mzeee mbarikiwaaa
@ShukuruBaruwani-j6f6 күн бұрын
Amen baba Mungu akutiyenguvu
@espyrance5 күн бұрын
Amen amen amen ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@TimothySirya7 күн бұрын
Barikiwa sana baba kwa kazi nzuri ya mhubiri
@andrewmagwila16026 күн бұрын
Hongereni kwa huduma ya injili kwa watu wote maana yesu alikufa msalabani kwa wote ili wamjue yeye
@hildandumbalo58277 күн бұрын
Amen Amen Amen umewaniua wengi uzidi kubarikiwa na jina lako la mbarikiwa🎉🎉🎉❤❤❤
@yusufumahendeka24567 күн бұрын
Mch Mbarikiwa ni mtu ninayeona kuwa anaweza akaja kuwa faraja ya watu wote
@danielshimora53157 күн бұрын
Kaka Mbarikiwa Mungu akubaliki zaidi na zaidi.
@FESTOKANDAGILA7 күн бұрын
aise ukiwa unamsikia huyu mchungaji ukikaza moyo unakuja kujikuta mtu safi kabisa kwenye jamiii yako unakuwa to unasikia watu humuoni frani alivyo mtu safi nawewe kuwa kama yule mchungaji mungu akulinde to sana tuenderea kuwa nawewe
@hildandumbalo58277 күн бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu Mbarikiwa 🙏 🙏 🙏 ❤❤🎉🎉🎉
@jimmykavishe68777 күн бұрын
Kwa hii injili nimeikubali sana nanina amini katika hii injili❤
@mjeshimlokole-us5xc7 күн бұрын
Umependa haki umechukia maasi ...Mungu wako amekutia mafuta mafuta ya shangwe kuliko wenzio Ebr 1:9
@imanuelzakayo87036 күн бұрын
Waoooh ubarikiwe sana mbarikiwa naomba namba ya mwenyeji apo sementi ni yaa muhimu tukitoa hata kama ni mojaa
@Mbarikiwa_Mwakipesile6 күн бұрын
Namba ya mwenyeji Simanjiro +255759502226
@selemanimwanamulenda46556 күн бұрын
amin
@ombendaud59386 күн бұрын
Mungu anawatu wake duniani hakika kama wewe hujatambua mtu mwenye haki ni Mch Mbarikiwa.Wengine wanaenda kuchuma hela kwenye miji mikubwa lkn yeye yuko kijijini ambako anajaza mafuta mwenyewe na kuhubiri haki na kwamba inawezekana watu wote tukaishi kwa usawa.Na watu mnaomtesa Mch Mbarikiwe ifike mwisho mjue yeye anapigania haki kwa kila mwanadamu hata wewe unaemtesa anakupigania tuishi kwa usawa
@TAG-8637 күн бұрын
Kaza buti Mungu anazidi kukuinua zaidi jipe Moyo Usirudi Nyuma
@GloriaCharles-bu4fk7 күн бұрын
Kazi yenu ni njema watumishi wa mungu
@bonifasmashingia7 күн бұрын
Kaka mbarikiwa Mimi nakukubali sana sana !!Unapenda haki na hakika binadamu kama wewe ni wachache waliobaki ni majitu ambayo hayajali haki na yanajiona kuwa hayatakufa na yanaishi kama majitu ambayo hayatakufa yaaani yamejisahau kuwa ni maiti zijaso maana hayatendi haki kabisa yako tayari kuua na kunyanyasa Raia!!Bro mbarikiwa respect Bro !!Mimi nakufananisha na Nabii Daniel
@SimbaJumanne5 күн бұрын
NmetoA machoji nationa nguvu ya munguu kabisaaa ya kweli ikipenya mpaka maporin
@EniryJakobo-xy9qy7 күн бұрын
Aminaaa mbalikiwe watumishia
@mchungajimpigauzitv57037 күн бұрын
Balikiwa sana na KAZI ya Utume nikazi njema sana Yesu Akutunze na kukutegemeza
@isaacsanga97077 күн бұрын
Mungu azidi kuwabariki wajoli wake. Tunajifunza kwenu kwa mengi!
Mama mbalikiwa umepebdeza sana na vaxi la kimasai mungu awatunze wewe na mbalikiwa
@EzekiaMtwale5 күн бұрын
Katika wahubiri nnaowaheshimu na kutambua mchango wao hapa tz ni Mbarikiwa, Pasco Casian &Abiud!achaneni na madalal wa mafuta ya upako!
@AnnaMbossa6 күн бұрын
Huo ni urembo mama mtumishi ni dhambi
@NeemaMathias20217 күн бұрын
ameeeen ameeen baba
@jacksoncharles54117 күн бұрын
Ameen ❤❤❤❤❤
@leonardjamson-tb4jj5 күн бұрын
Hakika nakuelewa baba mwakipesile Kwa injili yako
@alunekyusa49057 күн бұрын
Amen ❤❤❤❤
@peterisavika87197 күн бұрын
Baba Piga kelele Usiache Waambie watu wangu kosa lao,
@LinusMbwiga4 күн бұрын
mimi kusema ukweli mchungaji mbarikiwa namkubali sana aina ya mahubiri yake kwani kajaa kweli tupu na ndio injili inayotakiwa
@espyrance5 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hildandumbalo58277 күн бұрын
Umefanya kitu kikubwa kwenda kuwafariji ndugu zetu wamasai
@sagandamalechampullo6597 күн бұрын
MUNGU AKUBARIKI ZAIDI MCHUNGAJI NA MFARIJI WA WATESWAO
@FridayMwassa7 күн бұрын
Askofu nakuona,umekuwa mmasai kabisa kabisa
@rashidhassan81567 күн бұрын
Mbarkiwa ni muimbaji sio muhubiri,mahubiri yake ni kusemaga wahubiri wengine tu. Hana injiri huyo
@Mbarikiwa_Mwakipesile7 күн бұрын
Ila unaendelea kumfuatilia? Nani anahubiri kwa kusema mbwa na paka hasemi makosa au mema ya watu waliokufa au walio hai?
@AndrewKisava7 күн бұрын
Hakika rshidi Neema ya vokovu haiko mbali na wewe hongera kwa kumfutilia mtumishi wa MUNGU katika utumishi wake endelea hivyo hivyo hakika mizumu ya mhamadi na ya uislamu itakukimbia tu nakumbuka mhamadi hakuwa kiongozi wa kiroho alikuwa mwana siasa na mwabudu mizimu na majini pale makha na madina ,hebu usijitoe ufahamu kwamba hujui hao nai wewe utakuwa mbumbu na usiye Elewa chochote katikati ya wenye kuelewa usiwe mamma ,rashidiiiiiiii kula Chama hichooop
@DanielKalungwana-uz8xr7 күн бұрын
Hakika mungu wambinguni akubarki sana mzee na mungu ana kutumia kwelikweli@@Mbarikiwa_Mwakipesile