Amen ❤️ Asante Mungu, kweli niwe karibu na wewe Mungu wangu, ubarikiwe muchungazi Mbarikiwa ❤
@AlipoMwasenga5 ай бұрын
Kweli kabisa karibu zaidi mungu wangu dunia imechafuka sana , uzidi kubarikiwa mbarikiwa wewe
@miriamwangari74177 ай бұрын
Uko na kipaji kikubwa chenye upako mwingi ndani ya tenzi. Linaguza mioyo Kwa undani mtumishi. Kinahubiri kwenye nafsi za walimwengu.... HALLELUYAH.
@jacksoncharles54116 ай бұрын
Ameen ❤❤❤❤❤
@joycecharlesrajabu48354 ай бұрын
Yesu uwe nami kila siku
@isayamwashibanda58195 ай бұрын
Ameeen ❤❤❤
@reginmaiko36886 ай бұрын
Aminaa aminaa barikiwa sanna mtumishi
@brillynone57487 ай бұрын
Bwana akubariki sana mtumishi wa. Mungu wimbo umenigusa sana
@ugalidona-cs2yn7 ай бұрын
Tunazidi kumshukuru MUNGU tu kwa nyimbo nzuri.
@leonardjamson-tb4jj7 ай бұрын
Hakika wimbo huu unanigusa kila nikiusikiliza mungu aendelee kukuinua mtumishi wa mungu
@simonphabiano90507 ай бұрын
Kipaji kikubwa sana ndani ya Isyesye🎉🎉🎉❤❤❤
@paskalinamwalongo52487 ай бұрын
Salome Simba jike shikamoo kweli mungu fundi
@gracelauzi97467 ай бұрын
Amina Amina MUNGU atukuzwe milele Asante kwa ujumbe ubarikiwe na Bwana Yesu Kristo
@neemarabani7 ай бұрын
Mungu wambinguni azidi kukutia nguvu maana mwenye kuvumilia hata mwisho ndiye atakae okoka mathayo 24: 13
@isaacsanga97077 ай бұрын
Wonderful wonderful wonderful 😭😭😭🙏
@HenriquesAlberto-bx7op7 ай бұрын
Bwana asifiwe sana babá mchungaji
@DanielKoipapei7 ай бұрын
Haleluya haleluya baba yetu ubarikiwe sana amen?
@AfricureOnline7 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@MaryMusa-d9k7 ай бұрын
Eeeeeeeeeeeeen napenda tenzi
@HildahMwenda-u3h7 ай бұрын
Amen
@noelmwembe64197 ай бұрын
Neema izidiyo na moyo uliopondeka sana
@MosternDominka7 ай бұрын
Nipo nazidi kubarikiw tu
@VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH7 ай бұрын
Haleluya!! Karibu sana na wewe
@ashelikilele1677 ай бұрын
Karibu nawewe Bwana wangu zaidi
@dastankalinga4427 ай бұрын
Sasa ndio sawa usisahau ulipoinuliwa ndipo urudi ili MUNGU akuinue tena Acha kupambana na watu pambana na dhambi
@YonaMhumba-ry2bc7 ай бұрын
Basi wajiona umeshauuuuuuuri pole
@dastankalinga4427 ай бұрын
@@YonaMhumba-ry2bc Mungu ni wa upendo Waefeso 6:12 (KJV) Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. Nawasikiliza sana naona jinsi mnavyopoteana angalia unavyojibu kwa kiburi.
@YonaMhumba-ry2bc7 ай бұрын
Muongofu mpy unajua maandko kama Yesu alivojaribwa nyikani🤣🤣🤣 jifunze kuwa na adabu mzaz wako akikosea usiende ovyo kama mwehu...kasome habari na Nuhu alipokwa amelewa kipi kilifanyika