Haleluya sogea kwa yesu 100% mungu akulinde milele 🙏🙏
@jacquelinemassengo54662 жыл бұрын
Amen
@lindakapongo84212 жыл бұрын
nabarikiwa shujaa wa imani usichoke
@shukranimpomwa74602 жыл бұрын
Kwa nyimbo kama hizi na uimbaji huu, Kweli bado wokovu upo Duniani. Asante sana Mungu kwa kumfanya baba awe hivi.
@komandowainjiliyayesu2 жыл бұрын
MUNGU akutunze sana maana wewe na azina ya taifa nguo mnazo vaa Zina mtukuza MUNGU udhurumu Cha mtu . MUNGU akutunze wewe niazina ya nchi
@NorbethJosphath-hm1zb Жыл бұрын
Asante Yesu kwa kwatulitea mch huyu asiyesema uwongo anayefundisha kweli yako Mungu mlinde namaadui asante Yesu asante Yesu Yesuuu Yesu ponya mtumishi wako kwayale anayopitia
@jacquelinemassengo5466 Жыл бұрын
Halleluya ,ni me sogea kwa Yesu ❤ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@ugalidona-cs2yn Жыл бұрын
Tuombe Zaidi Ya kuomba Kwako Eeee BWANA Mungu Tukumbuke tukiwa Kwako.Amina.
@gastomwalyaje4973 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@angeliquemwamini4791 Жыл бұрын
Nisafishe eee yesu mwokozi. Ameeen
@EveradaKulije-q7g7 ай бұрын
Ukiimba nyimbo hizo zinanibariki sana.
@agripinarajab6994 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na uimbaji wako,ila kisasi ni cha Bwana samehe songa mbele.
@devotasanga92392 жыл бұрын
Nitazidi kusogea sana kwako Mungu wangu ili uzidi kunisafisha sanaaaaaa! Kamwe sitaipoteza picha hii ya wazazi wangu ya KUUFUNUA WOKOVU HALISI DUNIANI EEEEEMUNGU WANGU UNISAIDIE!
@isayamwashibanda58195 ай бұрын
Ameni mtumish ❤❤❤❤❤
@cornelgwarda38492 жыл бұрын
Amakweli Kuna mbingun ndogo dunian mungu akufunike kwa damu wimbo huu nimeurudia Zaid ya Mara 3 lakini bado
@FestoMbilinyi-eu3oj Жыл бұрын
Amen amen kikosi kazi
@labikongwa12972 жыл бұрын
Jmn na wapenda mpaka nahisi kuumwa juu yenu,🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💞💞💞💞
@danielnjella4760 Жыл бұрын
Karibu kwenye kongamano litakaloendweshwa na mchunguji huu hapo kanisani,kuanzia trh 18 mwezi 6 this year
@daudirubibi96012 жыл бұрын
Kwasababu ya jina YESU; tutafungwa wengi sana. Baba MUNGU amekuamini wewe katika huu dunia tunayo ishi. Naamini asilimia100% nitakuwa kama wewe. Kikubwa ty nitatii sana sheria zako
@florencemwanansao834 Жыл бұрын
mbalikiwa mi ni mpagani ila wewe sio mchungaji kama hawa wachunia tumbo. mungu alete ukomboz kupitia kwako. sio kwa hao wachungaj ma freemason. huwa wanatangaza uponyaji hewa kwa sadaka nyingi
@veronicawanjiru1858 Жыл бұрын
Pls mko na mungu na tafutahuyu mko wApi kenya
@aimerinamugisho51822 жыл бұрын
Halleluya 🙏🙏🙏👋🙏🙏🙏🙏🙏🙏👋🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💯💯💯💯💯
@jacquelinemassengo54662 жыл бұрын
Amen Amen Amen baba
@cornelgwarda38492 жыл бұрын
Amina
@ezekielmkinga7773 Жыл бұрын
oooh hallelujah
@memorymakweta82532 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😢😢
@petermwasyika2 жыл бұрын
Ameen baba
@tasanews2 жыл бұрын
Kweli baba
@rebekamoshi26232 жыл бұрын
nasikia kuitwa
@veronicawanjiru1858 Жыл бұрын
Mkenya mko wapi
@cornelgwarda38492 жыл бұрын
Amakweli Kuna mbingun ndogo dunian mungu akufunike kwa damu wimbo huu nimeurudia Zaid ya Mara 3 lakini bado