Mbarikiwa "achafukwa" kauli ya Geordev "Yesu akija atapanda gari yangu" Yesu sio limbukeni/tapeli...

  Рет қаралды 2,063

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 96
@pauloropian2367
@pauloropian2367 4 сағат бұрын
Mbarikiwa mungu wa mbinguni akulinde na akubariki sana watumishi Kama huyu wamekuwa adimu sana katika uso wa Dunia wengi Hawasemi ukweli wakati wanajua kwamba msema kweli ni mpenzi wa mungu
@Zaburi-
@Zaburi- Сағат бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@ATHANASLUKEHA-ui7pq
@ATHANASLUKEHA-ui7pq 3 сағат бұрын
Ubarikiwe Sana Mbarikiwa,Hilo jamaa limetuvunjia heshima wakristo Dunia yooote,juu ya Yesu wetu!!endelea kutoka kipondo.
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 59 минут бұрын
Tena apigwe kweli
@ezekielmatondane714
@ezekielmatondane714 3 сағат бұрын
Mungu akubaliki mtumishi
@RodaMaganga-ye6ye
@RodaMaganga-ye6ye Сағат бұрын
Daaah nmeogopa hizi kauli za geodavi Mungu atusaidie
@NellyKombe
@NellyKombe 14 минут бұрын
Amina MUNGU akubariki sana mtumishi
@pmmovies767
@pmmovies767 2 сағат бұрын
❤MUNGU AZIDI KUKUPA SIKU NYINGI KATIKA DUNIA. KUNA MENGI ZAIDI WANADAMU WANAHITAJI KUSIKIA KILA SIKU KADRI MUNGU ATAKAVYO KUONGOZA KUNENA NASI. 👉🏽Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa.❤
@LillianMunyaka
@LillianMunyaka 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂 mavi mavi mavi😂😂😂😂Mbarikiwa ubarikiwe kamajinalako BABA
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 сағат бұрын
Ameni mbalikiwa MUNGU AKULINDE YESU SIO WA KUCHEZEWA HIVI
@EK-kp2np
@EK-kp2np 4 сағат бұрын
Kuhusu kurudi kwa Yesu: Zakaria 14:4 Siku hiyo miguu yake itasimama juu ya mlima wa Mizeituni. Sasa sijui hawa wachungaji wawili wanamzungumzia Yesu yupi🥺. Someni maandiko!
@EsauBakari
@EsauBakari 2 сағат бұрын
mbarikiwa nimefurahi sana kumwambia ukweri huyu mwongo
@melkizedck
@melkizedck 12 минут бұрын
Mbarikiwa thibitisha Kuwa nabii mkuu anapata pesa kwa kutapeli. Tujue! siyo unaongea tu. Sikia ni haki yetu kuishi maisha ya kifahari na ya utajiri, kumb 8:17-18. Mungu ndiye anayegawa nguvu za kupata utajiri.
@BjleonardBhianda
@BjleonardBhianda 3 сағат бұрын
Jamani ni Yesu yupi ambaye Geo Devi anamtaja? ...Umpe lift Yesu wewe!!...jamani kiburi cha uzima kweli kinatudanganya..vimalimali hivi vya muda vinatufanya tusiwe na hofu ya Mungu. Yesu ni Bwana wa Mabwana na mfalme wa wafalme hawezi kupanda migari yenu..kipindi cha Yesu si kwamba kulikuwa hakuna magari..kulikuwa na magari ya chuma yakikokotwa na farasi lakini sijaona sehemu yoyote Yesu aliyatumia..Yesu alijifanya masikini lakini alikuwa tajiri katika yote..Nimejisikia vibaya sana kwa kauli yako..jirekebisha.
@mrrockboy9508
@mrrockboy9508 Сағат бұрын
Nabii Mkuu kukuelewa nikazi sana😂😂
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 2 сағат бұрын
Mpk nimeogopa!!!!! Ee Mungu uturehemu, jamani Mungu hadhihakiwi..😢😢
@EmanuelJohnIbrahim-iw5kc
@EmanuelJohnIbrahim-iw5kc Сағат бұрын
Hongera mungu Hana njaa kama anavyo fikiri yeye
@Zaburi-
@Zaburi- Сағат бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@GrantMwakalambile
@GrantMwakalambile 8 минут бұрын
Ko yesu anataka maskin kama ww au unafikili yesu anafagilia maskin yesu anapenda wote tuwe matajili umaskini ni ugonjwa kama hujui
@annettemalechela7543
@annettemalechela7543 2 сағат бұрын
Jesus have mercy on us Mungu amekusamehe bure
@yusufumahendeka2456
@yusufumahendeka2456 2 сағат бұрын
Mch mbarikiwa wewe ni taa ya Mungu duniani aache kabisa upuuzi huo uyo nambii Geodavie
@Neema-m6s
@Neema-m6s 4 сағат бұрын
Huyu nabii kamkufuru Yesu live tumemjua niwa upande gani
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 53 минут бұрын
Nyie wakristo mnachanganya watu 1) yesu yupi alopanda punda 2) yesu yupi ni mungu 3) yesu yupi alozaliwa na maryamu 4) yesu yupi alotahiriwa uume wake
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 2 сағат бұрын
Ananichefua sana huyo nabii muhuni alishamuacha mungu kitambo anaulizwa swali anajibu kwa kejeli eti
@valelianonyato-gx5bq
@valelianonyato-gx5bq Сағат бұрын
Jamani kunawatumishi matapeli sana wa injili
@JosephNjiloi127
@JosephNjiloi127 2 сағат бұрын
Kwa maelezo ya geo darvie,ni dhahiri kabisa kuwa hamjui Yesu aliyesulubiwa na akafufuka.anadhani Yesu atapanda Toyota ya mjapan,au cruiser,mh geo kadhalilisha injili sana ,anahitaji mafunzo,mfalme wa mbinguni apande range!geo unadharau
@JumaChabanempondinho-t8y
@JumaChabanempondinho-t8y 2 сағат бұрын
Usiongee usilolijua ana mkusudia yesu wa tongalend nchini kenya
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 58 минут бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hezekiamtera3559
@hezekiamtera3559 3 сағат бұрын
Geordavie inawezekana ilishaacha wokovu siku nyingi kama alikuwa ameokoka.
@jacksonnzai1593
@jacksonnzai1593 3 сағат бұрын
Hajawai okoka
@KananaKadogholo
@KananaKadogholo Сағат бұрын
Yeye kweli ni mavi!
@mhenitv
@mhenitv 4 сағат бұрын
Daaah !!!! Acha Inyeshe kwanza Tutajua panapovuja ,,Tutazina keshokutwa,,,,,,,,ishara manzo YESU alisema kwamba hapo mbeleni mambo yatakuwa dhahiri ,Nadhani ndio wakati umeanza ,,,Pameanza kuchangamka
@AmosiTimoteo
@AmosiTimoteo 3 сағат бұрын
Geo nabii wa kisongo alishajitoa kwa shetani li nabii la uongo hilo limeshajikatia tiketi tayari ya kupotea
@Isack-b9k
@Isack-b9k 10 минут бұрын
Joe dev nilidhsmuona siku nyingi nawaambieni wakat ukuta bora jambaz anayejua anatenda dhambi bora anayeenda kwa mganga kienyeji moja kwa moja anajua anatenda dhambi kuliko huyu mhuni anayetumia bibilia bibaya tena eti anafollowers wajnga wapumbav pia
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 2 сағат бұрын
Joe Davy anajua kuwazawadia kina mkaliwenu magari lkn waumini wake wanalala njaa
@OswardSanga-ep5js
@OswardSanga-ep5js Сағат бұрын
Nyie jamani eee! Kwani geodevi nimalaika hata asikosee mbona mnamhukumu kanakwamba geodevi nimalaika hata asikosee mbona mmbarikiwa alikosea aliwambia wachokonozi watakufa watakenua meno Kama panya
@janengowi-lt9gu
@janengowi-lt9gu 2 сағат бұрын
Nyenye nyenye Jodev
@fikencharles9993
@fikencharles9993 Сағат бұрын
Umemjibu vyema sana.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 сағат бұрын
Aliyemuuliza ni muislam ,salim kikeke ana uelewa , wa mambo haya
@HOSEANZIKU-bs6ni
@HOSEANZIKU-bs6ni 4 сағат бұрын
Geordavie Tubu mrudie Mungu
@KennedyNgusa
@KennedyNgusa 2 сағат бұрын
Naona yesu wa tongaleni
@rambostalon2888
@rambostalon2888 16 минут бұрын
Pesa zinawapa jeuri
@OswardSanga-ep5js
@OswardSanga-ep5js Сағат бұрын
Sasa wewe mmbarikiwa niYesu acha kupaniki Kama Yesu hawezi kujitetea ongea taratibu Yesu anayaona yote na Yesu amemsamehe wewe unatoa povu Kama ndio ungepewa nafasi yakuhukumu moto wangeuona
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 55 минут бұрын
Hujui unacho ongea wewe
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 3 сағат бұрын
Mbarikiwa Una wivu, mbona wewe hatujaona ukiwapa watu vitu
@JosefuSwai
@JosefuSwai 2 сағат бұрын
Acha ukweli usemwe
@reginaruta3249
@reginaruta3249 3 сағат бұрын
Kwanza aache ushoga. Aache kujichunua na masuhu mikononi. Ndipo amuongelee Yesu. Anatia aibu huyo taperi
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 сағат бұрын
Sikumsikiliza huyu mpuuzi Mnanilazimisha kumsikiliza jmn
@HajiHaji-r6n
@HajiHaji-r6n 15 минут бұрын
Mh huyu ni mzalendo kweli na anauchungu na dini yke
@Neemakiyeyeu-g8l
@Neemakiyeyeu-g8l 3 сағат бұрын
Moyo wako unafurika nguvu za Mungu
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md Сағат бұрын
Siku ukiasha mambo yakisenge utajitambuwa, ww unayemsema nabii mkuu ndiyo msenge fala ww ukatafute pesa msenge ww pamoja nawanaokusikilisa, hawajitambui,
@GeneAustine
@GeneAustine 4 сағат бұрын
Wewe baba muogope Mungu
@Steven-y8h5g
@Steven-y8h5g 4 сағат бұрын
Una akili sana mbarikiwa
@TUMSIFU-em5te
@TUMSIFU-em5te 2 сағат бұрын
Sioni haja ya kutukana na kukalipia watumishi wa Mungu, huu ni utoto kiroho, kama mtu kakosea bas akosolewe Kwa hekima na sio kejeli na kebehi kama izi. Jamaa achana na tabia kama izi na kunasiku umemshanbulia Mwakasege na wengine. Samahani kama nakukosea ila badilika Mungu asimame mwenyewe wewe huwezi kumpigania Mungu, yaani kwamba Mungu hawezi mpaka wewe umsaidie?. Acha izo bwana
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 48 минут бұрын
We're living in the rough generation so, yeyote atakae kwenda kinyume na neno la MUNGU, atapondwa pondwa vibaya mno. Naam mimi ni rungu na siraha za BWANA za vita kwake nitavunja vunja kijana, nitavunja vunja mzee na farasi na mpanda farasi ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
@boniphacebwire3663
@boniphacebwire3663 21 минут бұрын
Lazima akalipiwe ili asipoteze wengi kama wewe
@shukranmsukwa
@shukranmsukwa Сағат бұрын
😂😂😂😂,aieseeeh
@zakayomoleli
@zakayomoleli 4 сағат бұрын
Jodevi hafurukiti Tena kwa shetani,amekamatwa ni Tumike TU mlango wa mbingu
@NtujiNdakiOfficial
@NtujiNdakiOfficial 4 сағат бұрын
Nakupendaga kwa misimamo tu, duuuu,huogopi?
@Neemakiyeyeu-g8l
@Neemakiyeyeu-g8l 3 сағат бұрын
Natamani uwe kaka kwangu
@idrisajukulu2637
@idrisajukulu2637 28 минут бұрын
We wa kikosi kazi ndo huna akili maana hata neno hujui
@Wiittole
@Wiittole 4 сағат бұрын
Mbarikiwa haongelei yesu wa mbinguni muelewe joe david! Anamuongelea yesu wa wazungu alieigiza muvi za yesu
@JameM-l1u
@JameM-l1u 2 сағат бұрын
Kwamba Kuna yesu wa Wazungu? Wewe uliyeelewa kuna Yesu anapewa lift na watu? Kwa nini asiseme yesu atakapokuja na utukufu basi naye apate neema ya kuokolewa ila anakejeri kuwa eti atampatia lift?
@Magufuli.
@Magufuli. 4 сағат бұрын
😭😭😭
@valelianonyato-gx5bq
@valelianonyato-gx5bq 45 минут бұрын
Hivi wanaosali kwa huyu jamaa wanaufahamu kweli
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 2 сағат бұрын
Yani Yesu akuombe wewe
@RehemaMtono
@RehemaMtono 5 сағат бұрын
Kwanza mimi huwa najiuliza kwann uso wake mweupe mikono myeusii kama koboko kulikoni huyu anakiburi cha uzima
@SeuriMollel-bw6co
@SeuriMollel-bw6co 3 сағат бұрын
Masikini Mbarikiwa😂😅
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani 3 сағат бұрын
Waliokaribu jodev mwambieni atubu haraka
@GrantMwakalambile
@GrantMwakalambile 25 минут бұрын
Angalia yako ww acha kutokwa mapovu hayo hayakuhusu
@danielmboje8751
@danielmboje8751 33 минут бұрын
Huyu Devi hajui anasema nini
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 3 сағат бұрын
Tunawaambie makafiri ni 000 mnabisha eti yesu atapanda gari lake 😁😁😁
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani 3 сағат бұрын
Huyu jamaa anadharau sana eti atapanda gari yake ngoja tuone mtakako fika
@NtujiNdakiOfficial
@NtujiNdakiOfficial 4 сағат бұрын
😂😂😂😂 mavi
@patrickmunisi7234
@patrickmunisi7234 2 сағат бұрын
Hakuna kitu kibaya kama shibe na kujisahau
@MtumishiWaMungu-c6m
@MtumishiWaMungu-c6m Сағат бұрын
WAPI MSHIRIKA KONKI "UKUU WA MWAFRIKA!?" HAHAHAHA!,KAMA NAKUONA MWALIMU WA NENO LA MUNGU!!!!.NJOO UKU MMEWASHIWA NA MWENYE KINYWA CHAKE AAAH!
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 3 сағат бұрын
Mbariki casian nawahesh sana ebu ubil injili mkimuongelea mtu mnampa umalufu uyo aliongea utan ebu pigen injili muachen mnampa umalufu nyie
@IddiMbwambo-c8j
@IddiMbwambo-c8j 4 сағат бұрын
Uyo Mzee geodevi ameshavunjaga hadi ndoa zawatu mwanamke wamtu alimchora mwilini mwake naakakiri ameachwa kwaajili hiyo akampa hadi mtaji,c ushetani huo?
@JosefuSwai
@JosefuSwai 2 сағат бұрын
Matapeli wakubwa hao
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 4 сағат бұрын
Geordavv au ni moja Kati ya mapepo mnayoshinda mnayaombea kanisani
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 сағат бұрын
Huyu ana washirika wenye akili timamu???
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@Lydia-ls8eh
@Lydia-ls8eh 3 сағат бұрын
Mbarikiwa tafuta Hela uache wivu na watumishi waliojipata ,,pumbavu zako,, kinachokusumbua wewe ni wivu sio hauna utu wema kama unavyojisifia
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani 2 сағат бұрын
We mwanamke huyu hana wivu huyu ni mteteaji wa imani soma Church history utawaona watu mfano wa mbarikiwa chunga
@HanifaChalresy
@HanifaChalresy 3 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md 4 сағат бұрын
Ukatafute pesa siku ukiwa napesa ndiyo utamtambuwa nabii mkuu anaongeya nini ,
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md 4 сағат бұрын
Hiyo niasira yaumasikini uliyonayo
@yapukahassan
@yapukahassan 2 сағат бұрын
Waafrika sis wajinga sana 2nahangaika na historia , sasa mnae hanagika nae piah ni binadamu kama nynyi
@petermwakasyuka6340
@petermwakasyuka6340 3 сағат бұрын
HAKIKA NIMEAMINI UKISOMA SANA BIBLIA UKAKOSA WA KUKUONGOZA UNACHANGANYIKIWA KAMA MBARIKIWA HAIJUI BIBLIA ANADILI NA MAANDIKO NJOO UJIFUNZE KWANGU UJUE NYAKATI NA MAJIRA TOFAUTI YA BIBLIA NA MAISHA YA SASA NA KUHUSU KUJA KWA BWANA
@lovenesskapange2904
@lovenesskapange2904 4 сағат бұрын
Ila uyu baba sijui anafanya mambo yake sa ngapi mana manabii na watume ni wengi akiwafwatilia sijui kama analala Kweli, ijumaa tuna mkesha kawe Kwa mwamposa 😂😂
@clemencelisonga8261
@clemencelisonga8261 Сағат бұрын
Nenda katapeliwe jinga wewe
Creative Justice at the Checkout: Bananas and Eggs Showdown #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 35 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 24 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 643 М.
Deadpool family by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 7 МЛН
RUTO NI NG©MA😱MUTUMIA URIA ARATREND KWARIA NA RUO NA MARAKARA
49:59
Siku ya Jumatano,Mbarikiwa akiwa Kahama, uwezo wa neno la Mungu
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 14
Maneno makubwa ya Mbarikiwa akiwa Karatu kijijini. Mungu wewe wajua
22:15
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 1 М.
Creative Justice at the Checkout: Bananas and Eggs Showdown #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 35 МЛН