Nyimbo inanikumbusha mbali hii😢nimepita leo18/10/2024
@ericomondi26345 ай бұрын
Nakumbuka hii nyimbo 2006. Kipindi hicho nimemaliza mtihani class 8 nangoja majibu niingie form 1 the following year. Kuna mdada sitowahi kumsahau....Kifupi hii nyimbo ingali kali.
@actuainternas5 ай бұрын
Class 8 , class gani tena?
@ericomondi26345 ай бұрын
@@actuainternas Class Eight Green, Class of 2006😂😂
@udizungwahimalaya52133 ай бұрын
Pole sana. 😂😂😂😂😂
@masambalamagumba49153 ай бұрын
Naona wabongo hamuelewi kabisa habari za class!!! Anyway kwetu tuna class mpaka grade 8
@gilbertshirima26842 ай бұрын
Do you think that it is must to be understood for what you say?@@masambalamagumba4915
@teresiakwambo90182 ай бұрын
Nilipenda nyimbo za dogman Hadi sasa2024
@abubakarsuleman19834 ай бұрын
Wanangu wa zamani walichonga njia kwa wasanii wa sasa , wakongwe wanastahili maua yao huu ni ukweli usiopingika.
@johnrichard54823 ай бұрын
Bonge la Dude... 2024 still is A Masterpiece 🎧
@SahimSalim-l5f4 ай бұрын
Ngoma zangu Kali za mda wote mapenzi Kitu gan, latifa na siulinambia wewe jama HATARI sana Ila watu hawakupi heshima yako unayostahili,
@MONICAMATOVU4 ай бұрын
Unakipaji Mwanangu. Mungu akusaidie utoke ubarikiwe
@PauloNgoso4 ай бұрын
Hihi nyimbo naipenda sana sijuwi yukowapi huyu mwamba
@MargaretAtieno-c8b12 сағат бұрын
Hii wimbo nilipenda sana 😂😂😂siamini nishakuwa mkubwa
@ayoubmngarishaji60312 жыл бұрын
Dah! Yaani we jamaa una hatari sana hata sielewi imekuaje!! Ila naamini utarudi tena tu insha_allah
@pharaohraheemangelofdeath Жыл бұрын
"Vipi kangoja mbaka mola kamchukua Sema mammy sema lin utarejea!!!!"😎
@MuhammedAy-n7d4 ай бұрын
Bibi kangoja sio vipi😂
@bakariabdan2008Ай бұрын
Ni Vivian @@MuhammedAy-n7d
@udizungwahimalaya52133 ай бұрын
Imemigusa hii sanaaaaaa❤
@rachelkapange53262 жыл бұрын
Raisi wa rnb bongo hakuna aliye vunja recod yako
@nacetialani2 ай бұрын
Mm nilivutiwa na nyimbo hizo hadi Mika amua kuondoka mistali namkumbuka sana meresiama gatos nilipenda sana mungu amor maisha mema
@kevinryt49632 ай бұрын
Huyu na King Kiba 🐐🐐🎙🎼
@mohamedomary889210 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana inanikumbusha miaka ya 2002 _2004
@gosbertbuberwa61986 ай бұрын
2005 Ndo imetoka!
@AbdulAbdul-v9s19 күн бұрын
Nakumbuka nyimbo ilinitowa chozi Kuna Dem nilimpenda akanizinuwa ila kipindi nipo likizo akanifata na kusema anaomba nimsamehe
@ParsankaMattah-q6j2 ай бұрын
Ngoma moja 🔥🔥🔥 sana
@erickodhiambo6994Ай бұрын
Mwamba wa hizi kazi
@RahisaLovely-zs1zl3 ай бұрын
Tunakupenda Mb Dogg tunataka kichupa kipya
@MwanaheriMwimbe3 ай бұрын
Semaa video ina uwasiliaa video nzurii bila unafki
@SahimSalim-l5f4 ай бұрын
Kuna kipindi Dunia ilizima kwanza nyimbo zako zilivyokuwa kali na uikba wako wa tofauti na wasanii wote wa bingo
@dynamicmwakibinga43712 ай бұрын
Naona Tukuyu hiyooo!!!!!!
@kevinryt4963 Жыл бұрын
Should be East Africa's number 1
@MathaIsaya4 ай бұрын
Noma sana ngoma kali 🔥🔥🔥
@brianamwai5658Ай бұрын
Everlasting masterpiece ❤more love from Kenya 🇰🇪 bro
@josephkadudu54082 ай бұрын
Bonge la Beats! kwahiyo kenyonyo ndio kaishia hapo tu haina maana kunyimana😂
@PatientsKezideАй бұрын
Nakumbuka mpenzi wangu wa kwanza maishani
@NoelChitandaАй бұрын
Uwakika watoto 2000 watuache
@PeterAmosi-c6v11 күн бұрын
Wanao ikubali hii ngoma tujuane niambie inakukumbusha wap
@_buubey_2 жыл бұрын
Latifa and ulinambia were the best song ever...huwa sichoki kuskiza....
@justuswangila7604 Жыл бұрын
Uliniambia waja my best all time until now 🙏🙏
@abdilnas7563 Жыл бұрын
Sikiliza "mapenzi kitu gani"
@RoseJuma-bz6tl Жыл бұрын
Bonge la wimbo baba
@habarileoleo2 жыл бұрын
wimbo huu hauchuji hata siku moja.
@johnmogaka982211 ай бұрын
❤my favorite since 2006...big ups mb dog...come again we hope you are well from your throat issue
@gosbertbuberwa61986 ай бұрын
2005 Hii! 2006 ilikuwa Mapenzi Kitu Gani!
@GelsonMadahas-iz8ub3 ай бұрын
😂😂ila dog eti siokwamba tunaimba sometime huwa nalia😂😂
@faizalymsangi23614 ай бұрын
Still 2024 masterpiece moja hatar sana
@djmonez2544 ай бұрын
2024-lets gather here
@atuhwereelizabeth7088Ай бұрын
Here
@Decimahotenyo4 ай бұрын
Beautiful beats beautiful music. Mad love from kenya❤❤
@SubiraRashid-y3m3 ай бұрын
Mimi Niko songea
@KilalaKimoloRamadhan2 ай бұрын
Huyu jamaa nimwamba kweli maana mashairi yake yametulia balaa.
@gastonboaz1953 ай бұрын
One of my favorite, you a legend bro 💪
@jacklinematonange71815 ай бұрын
25/07/2024 Gonga like hapa mambo yaende mbele
@SamakaDaudi2 ай бұрын
Huyu mwamba daa
@Gody3602 ай бұрын
Pamoja 2024
@lewismwenda807717 күн бұрын
Kumbe kula fare ijaaza jana
@TonnyOsendo4 ай бұрын
Naipenda sana
@paterandrea21464 ай бұрын
Nakumbuka ii nyimbo tupo kota line police sinde mbeya nilimwandika barua pic moja inaitwa salome alikuwa jilani yangu
@MukhalisiPaul-v5dАй бұрын
I like mb doggyman hitz still listening in 2024
@deborathomas4256 Жыл бұрын
Beat kali mnooo... Nani alitengeneza
@kisabihamadi75555 ай бұрын
Kazi ya majani
@udizungwahimalaya52133 ай бұрын
Baba paula alikua hafai😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hk_ballers4 ай бұрын
One of the greatest of all time
@pacoclanson8440Ай бұрын
Naku tegea tu bado
@suleimanezekiel58649 ай бұрын
Hii nyimbo haitokuja kuchuja milele
@GeorgeNjoroge-mj4ly2 ай бұрын
Utamu bongo
@mustaphakheba46446 ай бұрын
Kweli huu wimbo hauchuji, nakumbuka miaka ya 2004
@gosbertbuberwa61986 ай бұрын
2005 Hii!
@NaomiChopola-w3oАй бұрын
Maua yenu wasanii wakongwe
@christopheronjiri781 Жыл бұрын
Moto sana
@kwamemagongo80875 ай бұрын
Hii nayo ita remain kua a classic.Who produced this song ?ju hii aliikalia ,hio intro hua 🔥🔥🔥
@Heritierpatoran-h4iАй бұрын
2024 toujours likolo
@ericklaiton27634 ай бұрын
2006 up to 2024
@francisjuma26643 ай бұрын
Yani bado tamu
@arielgiel6575 Жыл бұрын
Best ever!
@MosesMangale-is9mo8 ай бұрын
Japo niakitambo lkn naikumbuka sana
@issapeter80686 ай бұрын
We latifah we
@rosemarytheresia68853 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@bonventuremulima19332 ай бұрын
old is gold 🔥 🔥 🔥 🔥
@tonybanks51096 ай бұрын
Best song ever…
@shabanimakwaru2875Ай бұрын
Fundi sana Mb Doggy
@martinmitau10952 ай бұрын
Likes from those who were in campus when this song was released
@ayshamahariq66652 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Maulidyiddy-y7y18 күн бұрын
Ngoma Kali Sana
@kennedy51484 ай бұрын
Huyo binti uwapi?
@MapenziCareen3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@deborathomas4256 Жыл бұрын
Sound ka hizi naomba uzipige tena.... Make music mtam umepotea
@nehzreal74453 ай бұрын
Hii ngoma ilitoka lini 2008 ama???
@headboy77682 ай бұрын
2006
@EmmanuelNsimbaluzi-w7zАй бұрын
2024
@SahimSalim-l5f4 ай бұрын
Oya latifa na mapenzi ututolea video mana hizi nyimbo hujazitendea haki