Nimempenda sanaaa, huyu Professor!! Salim Kikeke you're the treasure of this country. l love you so much Professor ASSAD, you're so smart.
@issandule17503 ай бұрын
Best of the best interview from pro.
@omarykibwere2313 ай бұрын
Nimelia kiasi wallah...dunia ukiishi vizuri wallah Allah hakutupi na atakujaza nuru na subira katika moyo wako ...daima utakuwa mwenye kushukuru....ishini na wake zenu kwa wema ili mje mpate malipo mema akhera
@Muharram-c5n3 ай бұрын
M'mungu akupe subra Insha'Allah
@RamadhaniYasini-x5c3 ай бұрын
Allahuma ghafrillaha warhmaha,waskanafilljannah
@Mudi01-g2f3 ай бұрын
اللهم امين
@Muharram-c5n3 ай бұрын
Amin
@visitDar20113 ай бұрын
Amiiiiin
@shabansalum76303 ай бұрын
Allah akukutanishenaye Prof
@harounmoa72532 ай бұрын
Brother Kikeke kuna mengi ya kujifunza kutoka Kwa prof. Asad
@azizahemed-l2x2 ай бұрын
Allah akulipe pro kwa subra yk
@NyauPixPhotography3 ай бұрын
Prof. Ni rolmodel wangu. Nimsomi na anadini maashallah
@SalhaRamadan2 ай бұрын
Mwenyezimungu akupe subra,, jameni bby profesa kama bado hujapata mama wa Kukusadia kukugeuza kitandani mie nipo wa kukufarija😢😢😢😢😢😢😢😢
@barakamosses1111Ай бұрын
njooo kwangu
@alexvenas2699Ай бұрын
Mheshimiwa Rais samia ,aitazame hazina hii kama kuna sehemu anaweza kufaa, anawezekana kutusaidia Taifa. kwana assad ni mtu yuko katika misitari ulio nyoka sana .🙏
@athumanially23 ай бұрын
Dah mze Allah akulipe sioni mfano wako .nikweli mtu ni Jina .kwakweli unafanana na hayo majina yako اسد Simba mungu mpe nini mze wako alie kupa hilo Jina
@MsangoDiesel2 ай бұрын
Prof anaongea kwa hisia Kali Nini ameishika
@mataypanga52623 ай бұрын
Mnadanganya kusema waislamu hawapigi kelele
@rahmaabdallah45143 ай бұрын
Dini inakataza wengine hawana subra na ule ucha.mungu hupiga kelele na kuomboleza ila familia ya huyu bwana ni wacha wa mungu na wana hofu ya mungu wameweza.... kifo kinauma mungu atupe uvumilivu
@suleimanmohammed53443 ай бұрын
@Mataypanga5262 dini ya uislamu inakataza kuombeleza kwa makelele ndicho alichomaanisha profesa ila kuwa wapo waislamu wanaopiga makelele na fujo nyingi wapo wengi tu kwa sabab si kila muislamu anajua mafundisho yake, ukipata msiba ni ruhsa kulia lakini si kwa makelele makubwa na fujo.