MCH HANANJA ACHARUKA VIBAYA, MAMBO YA P DIDY NA DIAMOND, ATOA SOMO ZITO

  Рет қаралды 14,884

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 66
@revinaraphael-bk8fu
@revinaraphael-bk8fu 17 сағат бұрын
Bola umwambie waandishi wa habari wa tz washamba sana
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 9 сағат бұрын
Angalau mmebadisha muelekeo ,karudi mwenyewe mjini mwenye Kiki zake ,ijapo karudi vibaya safarihii ,ilikua Tundu Mbowe ,Samia 😂😂😂😂😂😅
@RamadanPaul
@RamadanPaul 3 сағат бұрын
Mchungaji Mkharim sana ❤❤❤. Natamani ungekuwa sheikh mashaallah ❤❤❤
@selemanitimbano
@selemanitimbano 20 сағат бұрын
Nakukubali sana mzee
@BideoMukambilwa
@BideoMukambilwa 6 сағат бұрын
Acha TUNDU LISU ahihendeshe Tanzania, hivi ukimtembelea mwizi na wewe ni mwinzi au acheni ujinga
@HusseinChai-n4g
@HusseinChai-n4g 13 сағат бұрын
Mtu wa maaana sanaa huyu ahsanteh sana mtumishiì
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 15 сағат бұрын
Upo fact sana mchungaji
@hamidasaif4065
@hamidasaif4065 19 сағат бұрын
❤kweli mchungji niwivu 16:34
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 15 сағат бұрын
Nakupenda bure baba 😂😂😂😂❤❤❤
@GabbyGabiny
@GabbyGabiny 19 сағат бұрын
Safi sana mchungaji
@RonnieBertin
@RonnieBertin 4 сағат бұрын
Leo umepatikana swali 1majibu 10000 kazi unayo
@baloz8974
@baloz8974 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 10 сағат бұрын
Christian kambuga nawapata kutoka Northiwest Klerksdorp south africa 🇿🇦 asante mchungaji ku uchambuzi
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 11 сағат бұрын
Mtangazaji wewe ni mbea na una wivu na MONDI NA UNAPENDA SANA KUULIZA MASWALI YA KUTAKA KUMDHALILISHA INAWEZEKANA HATA WEWE MTANGAZAJI UNAHEMEWA KISOGONI
@LilianBitwale
@LilianBitwale Сағат бұрын
Mwandishi ageuziwa kichambo 😂😂😂😂😂 acha umbea diamond akisema hupat faida na hata akisema pia hupat faida
@RamadanPaul
@RamadanPaul 3 сағат бұрын
Harmonize alivaa sketi. Wasanii wengi wametoboa pua. Vipi nao walienda kwa P Diddy
@dimojaydan6344
@dimojaydan6344 5 сағат бұрын
Nikweli baba japokua zambi zetu nyekundu Kama damu mungu uzisafisha nimejifuza kitu apo
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 9 сағат бұрын
Nikweli baba ,kilajambo nifundisho nahata hawo P Diddy wahapa kwetu waumbuliwe pia
@ThomasGai-kz5cu
@ThomasGai-kz5cu 3 сағат бұрын
Mbona amesha sema kwa vijana na amewashauri wafanye kazi, unarudia tu aseme neno ulitaka neno gani?
@AbdumanMlunga
@AbdumanMlunga Сағат бұрын
Mchungaji Mungu kakujalia akili nyingi sana na busara nyingi sn
@LuganoMwalwembe
@LuganoMwalwembe 10 сағат бұрын
Asante mchungaji karibu ipinda kyela
@allyrashid9191
@allyrashid9191 6 сағат бұрын
Inshu ya didy imekuwa trending,sasa musikatae watu kuizungumzia
@Kingstonbagamoyo
@Kingstonbagamoyo Сағат бұрын
Hajanja angefaa kuwa rais wa tz maana namkubali sana ,,mungu atakuingoza
@KizaKibakuli
@KizaKibakuli 16 сағат бұрын
Hamo chid malioo wengi wametoboa au nawenyewe wamepitiwa umekalia kuuliza unafiki namaushungi yako pumbafu sana ww
@MorrisMwaipopo
@MorrisMwaipopo 7 сағат бұрын
Kweli kabisa baba unayosema ni kwel kabisa maana watu wanahukumu,bila kumuombea huyo mkosaji ili mungu amsamehe makosa yake na atubu
@jumakambaya2979
@jumakambaya2979 8 сағат бұрын
Huyu mtangazaji hana chakuuliza zaidi ya mondi aoni kama anakosea kwa familia
@KizaKibakuli
@KizaKibakuli 16 сағат бұрын
Hata ww binti unae uliza umelikazania sana ukipata wapumbafu wenzio ndio laha yako wasanii wangap wametoboa pua maskio wangap wamevaa sket unauliza ujinga tu
@allyrashid9191
@allyrashid9191 6 сағат бұрын
MUIKATAZE DUNIA NZIMA WATU WASIZUNGUMZIE INSHU YA DIDY
@solomonjackson3827
@solomonjackson3827 8 сағат бұрын
AMINA SANA MTUMISHI NIMEKUELEWA PIA NIMEJIFUNZA KITU
@TimotheoNtibayaga
@TimotheoNtibayaga 19 сағат бұрын
Ivi wewe mtangazaji au lamuli chonganishi
@siphifahashimu9723
@siphifahashimu9723 Сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤ mwamba ndio huyu kanyoooookaaaa
@revinaraphael-bk8fu
@revinaraphael-bk8fu 17 сағат бұрын
Wananiuzi sana waandishi wa habari wanapenda kugagana na kitu kimoja
@channyanjen9047
@channyanjen9047 5 сағат бұрын
Nikweli ananja wambiye izo shenziiiiiiiiiii
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 3 сағат бұрын
Mtangazaji nakupenda sana dadarey
@madalejoseph4433
@madalejoseph4433 5 сағат бұрын
Huyu mchungaji yuko wap
@allyrashid9191
@allyrashid9191 6 сағат бұрын
Whan water is spilled it is not cavered
@JasminMraj
@JasminMraj 19 сағат бұрын
Aa bb ninakukubali sana umeona mbali
@AishaOman-k6f
@AishaOman-k6f 6 сағат бұрын
Nenda.huo.mda.wakukusikiliza. ndio.atakao.ķulewesha.usahau.maubiri.yote
@husseinhatibu-uw6ql
@husseinhatibu-uw6ql 4 сағат бұрын
Yakwenu yanawashnda yawenzenu mtayaweza
@RonnieBertin
@RonnieBertin 4 сағат бұрын
Mzigo wa wigi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@NursamiaKiligaliga
@NursamiaKiligaliga 12 сағат бұрын
Arf mchungaji Ananja kira ck nakukalibisha kwenye Usilamu, uko vizuri sana kwenye maongez yako
@josephlorri431
@josephlorri431 8 сағат бұрын
Karibu mrembo kwa Kristo, utafunguliwa vifungo vyako vyote.. njoo kwa upendo wa kweli
@NasoroMaurid
@NasoroMaurid 4 сағат бұрын
Kweli kabisa
@bobsalim4285
@bobsalim4285 5 сағат бұрын
Anaongea sana
@josephlorri431
@josephlorri431 8 сағат бұрын
Huyu dada ametumwa kuja kudhalilisha... waandishi wengi jamii ya huyo dada wanajionaga watakatufu.. uwongo na uzushi tu.. inawezekana hapo ukimkagua hana marinda
@RonnieBertin
@RonnieBertin 4 сағат бұрын
Siku hizo hakuna wahandishi ni upumbavu tu
@Dicksonperez-tw5ky
@Dicksonperez-tw5ky 20 сағат бұрын
Mgotee Mzee
@TimotheoNtibayaga
@TimotheoNtibayaga 19 сағат бұрын
Wewe unafaa uwe mshauli wa rais afu mtangazaji namuona kama mchonganishi
@Wamisangi
@Wamisangi 7 сағат бұрын
Mshauri wa rais wa wasafi labda? Learn how to spot manipulations and lies. Shetani ni Baba wa uongo wote. Usiwe kama waandamanaji wa CDM kufuata mkumbo bila kutumia akili wakikamatwa na polisi wanatupwa kwenye karandinga na pengine kusindikizwa na virungu, mateke vibao nk. Boss na nwanae wakikamatwa wanawekwa kwenye Vx na cruiser zenye viyoyozi khalafu eti mnadanganyika kudai haki sawa kwa wote. Mathayo 8:44
@MtanzaNia-su2wx
@MtanzaNia-su2wx 9 сағат бұрын
Nice🔥🔥
@lucykristensen7145
@lucykristensen7145 8 сағат бұрын
👏👏👏😍😍🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@mwajumamande8477
@mwajumamande8477 16 сағат бұрын
Ila huyu mch...haijawah kutokea duniani,,,amenyooka kama rula...namkubali sana mi binafc
@Wamisangi
@Wamisangi 8 сағат бұрын
Yesu alienda kwa makabaha kufanya ukahaba??? Ama alienda kuwapelekeaa habari njema ya ukombozi. Kwa hiyo huyu alienda huko kumhubiria Priddy aache maovu au walishiriki hayo maovu na mwenyeji wake?!!! Eti mwanadamu ameumbwa kwa hiari!!! Sasa kama walikuwa wanawekewa vilevi vya kuleweshwa na wasiwe na fahamu na wafanyiwe huo uovu. Hapo nafasi ya hiari iko wapi?! Deception, deception and deception again? Hii ndio silaha ya shetani na watumishni wake. Waefeso 6:11 Ukisomwa na ule wa 17.
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 5 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@kazinaimwishehe-ec3xu
@kazinaimwishehe-ec3xu 7 сағат бұрын
Pafu daddy 😂😂😂😂😂
@RathikaRathika-o9i
@RathikaRathika-o9i 9 сағат бұрын
❤❤❤❤
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 19 сағат бұрын
🎉🎉🎉
@subralugege7019
@subralugege7019 19 сағат бұрын
🎉🎉🎉
@paticotz2513
@paticotz2513 18 сағат бұрын
So kila aloenda kwa pididy kafanya uo uchafu bn mbona mi nlienda tukacheki movie tukacheza game nikaona kaenda chumba kaja na mafuta nikamuuliza vp broo unaenda kuoga mbona mafut tena akasema amna siendi kuoga nikamwambia poa ngoja nikabani cd ndo moja kwa moja airport nikarud dar
@RehemaabasiAlly
@RehemaabasiAlly 17 сағат бұрын
Sasa umejuaje diamond kilichompata? Unajuwa mbona ww ulikimbia nduki?
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 15 сағат бұрын
Uliliwa wewe
@feysalramadhan8541
@feysalramadhan8541 20 сағат бұрын
Mzee ukovzur
@joycerugomola9026
@joycerugomola9026 18 сағат бұрын
Mchungaji una buisara sana. Mungu azidi kukubariki 🙏
@joycerugomola9026
@joycerugomola9026 18 сағат бұрын
Busara
@HassanYusuph-n3z
@HassanYusuph-n3z 9 сағат бұрын
Safi Sana Mzee uko vizuri mwalimu,Leo hii Jamii imejawa na chuki nafsin,ujinga umewatia Giza Nene Sana,
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 32 МЛН
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 10 МЛН
Kicheche anaitaji watu wenye kipaji cha kuigiza
4:05
GucciWambura
Рет қаралды 352