SIRI IMEVUJA; UCHAWI MZITO KWA CLAM VEVO, ONA MAAJABU YA SNAKE BOY SEASON 02

  Рет қаралды 45,711

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 113
@Godfrey_lusekelo
@Godfrey_lusekelo 6 ай бұрын
Ila majibu ya Clam VEVO nimeyakubari sanaaa 😂😂😂😂😂😂😂 lakn mbona unamlazimisha kuzungumzia maisha ya watu wengine 😂😂😂
@Teddy-k9o3v
@Teddy-k9o3v 6 ай бұрын
Ndivyo walivyo waandishi wengi wanapenda kuleta uongo uongo na uchonganushii...anauliza Radio ya Alkiba inazuia watu wenye Radio mbona wao wanambengo TV?? Wamemzuia Nani kuanzisha online TV?? Au waliooanzisha Mbengo zingine zikafaaa...anaumwa mavi kweli huyu mdada
@mpitimbitv1221
@mpitimbitv1221 6 ай бұрын
Upo njema sana kaka kwenye sekta hii
@rashidgona1808
@rashidgona1808 6 ай бұрын
Mm nikaekewa big boss na snake boy mmmmh bid boss ndo hatari zaidi
@alphoncekalama4346
@alphoncekalama4346 5 ай бұрын
Big Boss is the series that has really made me know this man Clam big up king am eagerly waiting for Big Boss season two
@Goodluck_Tv.
@Goodluck_Tv. 4 ай бұрын
Vevo napenda kazi zako na mungu akuzidishie bt unachelewa kutoa
@CosmasMshomal
@CosmasMshomal 6 ай бұрын
Nakukubali mtu mzima clam
@MohdMohd-fv1my
@MohdMohd-fv1my 6 ай бұрын
Keep it up we sio mwanamuziki ....I love the courage and well mindset of yours Vevo..
@soudytv7471
@soudytv7471 6 ай бұрын
Mwandishi hana ueledi amewekeza kweny kuuliza mambo yasio muhusu umbea tu poor
@chigody_plannet
@chigody_plannet 6 ай бұрын
Wakwanza leo likes zangu😂😂
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 6 ай бұрын
Hongereini sana ila msikpoi naigeria mfano kwenye micholo chukueni yakwetu mfano wagogo warangi wasukuma itapendeza
@boniphacemabele4502
@boniphacemabele4502 5 ай бұрын
We Dada vipi we uliza mambo ya snake boy tu masuala ya muziki wapi na wapi
@MussaBakari-fz1fj
@MussaBakari-fz1fj 6 ай бұрын
😂😂
@HappinessJohn-vw8hk
@HappinessJohn-vw8hk 6 ай бұрын
Nimependa majibu Yako clam mtu unakataa swali lakin bado anangangania
@Ushindipeter
@Ushindipeter 6 ай бұрын
The best actor in Africa
@MaulidiHimidi
@MaulidiHimidi 6 ай бұрын
Mwandish maharage, Ali kiba kafunguwa radio, hahahaha mamae walai
@KagoriManyanda
@KagoriManyanda 6 ай бұрын
mtu anakwambia tuachane nayo hayo Bado umekazania tu jmn maswali mengine hayafai kbs😠😠
@SheillahNduhi
@SheillahNduhi 6 ай бұрын
Movie nice
@JohnsonMwashao
@JohnsonMwashao 8 күн бұрын
Vp seson3 ipo au haipo tujue mashabiki zako
@yussufamani7995
@yussufamani7995 6 ай бұрын
Uyu muwandishi wa khbar bdo naona hjawa na ushawishi mzuri wa kuhoji na stick to the point inayomuhusu
@GeraldoCiprianomadodoGeraldo
@GeraldoCiprianomadodoGeraldo 6 ай бұрын
Más força Kaká,,,una juá🇲🇿🇲🇿
@Josamjosam8
@Josamjosam8 6 ай бұрын
Huyu dada anatafuta kutukanwa auvp
@IdiIbrahim-k4o
@IdiIbrahim-k4o 6 ай бұрын
Vevo juyanini anapeda kujitapa
@JohnsonPhirbety
@JohnsonPhirbety 5 ай бұрын
Tukizungumzia sineki boy😂😂😂😂
@IreneMukhwana-er3oc
@IreneMukhwana-er3oc 4 ай бұрын
Next plz
@allyissa7563
@allyissa7563 6 ай бұрын
Good 👍
@HAMISIALI-d7g
@HAMISIALI-d7g 2 ай бұрын
Kaka clam hataki kuongea chochote kuhusu mambo ya watu ila dada amchochasana clam
@SadaSada-w1z
@SadaSada-w1z 5 ай бұрын
Ungepunguza pozi lkn
@IdrisMungoma
@IdrisMungoma 6 ай бұрын
We ban clam vevo sio wa chapati na maharage
@condeboy257tv9
@condeboy257tv9 5 ай бұрын
Vp Kuhusu Mistake .
@aishaomar2287
@aishaomar2287 6 ай бұрын
Clam swaum maqbul❤❤❤
@aishaomar2287
@aishaomar2287 6 ай бұрын
Ila laylat muelewe clam,maswali ya uzushi na swaum si poa...calm hapendiiiii😂😂😂
@Zadig_Le_Juste
@Zadig_Le_Juste 6 ай бұрын
Clam wa Leo sio Clam wa Chapati na Maharage.This time he's mature na Rey umbea wake umemponza😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 6 ай бұрын
Hii season 2 imezidi kuwa yamoto🔥hongera sana clam
@Mrsmussa-wn6kv
@Mrsmussa-wn6kv 6 ай бұрын
Nampenda clm hapendi unafiki wakumuongelea mtu ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 mungu akubariki na kazi zako
@mjukuuhotelitv7736
@mjukuuhotelitv7736 6 ай бұрын
Clam unajibu kistar kaka Mungu akuongezee wewe Hauna unafiki ya wa2 hayakuhusu ni kweli kaka
@luckydubebello1131
@luckydubebello1131 6 ай бұрын
😂😂😂na huyu ni bwana ya mtu na hizo movie not me siwezi
@mobastian5050
@mobastian5050 6 ай бұрын
Maswali gani ya kuuliza hayo dada clam umejibu vizuri sana❤❤❤❤❤😂😂😂😂
@Twigamnyama1
@Twigamnyama1 6 ай бұрын
Kamkomesha😂
@MussaBakari-fz1fj
@MussaBakari-fz1fj 6 ай бұрын
Atoe tena movie yamkono
@mrsinia3064
@mrsinia3064 6 ай бұрын
Unapenda e 😂😂
@MussaBakari-fz1fj
@MussaBakari-fz1fj 6 ай бұрын
@@mrsinia3064 sanaaaaaa
@CrsAlzaid
@CrsAlzaid 6 ай бұрын
Yani unataka mtu aongee vitu vyamtumwingine Ili iweje yani kumbe nyinyi.mnapenda vile wasanii wakigombana
@JanvierIrengenshamamba
@JanvierIrengenshamamba 6 ай бұрын
Clam umejibu Safi sana 😂😂😂
@gastonmulondani8900
@gastonmulondani8900 6 ай бұрын
Unakwenda kuziba pengu la Kanumba ww kijana
@Rehema-r8n
@Rehema-r8n 6 ай бұрын
We want to see season2 big boss
@Kim.Bashir
@Kim.Bashir 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂ila clam bana sopoa kwanini aongeleye watu wasomuongelea😂😂 tokapaa
@davidmutiso7820
@davidmutiso7820 6 ай бұрын
Wanahabari mnapenda uchochezi sana
@fazeelshomary8743
@fazeelshomary8743 6 ай бұрын
Hawa waandishi mnawatoaga wapi aisee? Mbona maswali ni mengi sana, bajeti ya snake boy season 1 vs season 2, designer wa mavazi, dialogue, yani udaku ndio content anayoijua
@LouisBushiri
@LouisBushiri 6 ай бұрын
Wapasha abari nyinyi ndo chanzo cha ugovi wama stars, kwanini unamsukuma bwana VEVO aya ongele mambo ya watu !? Iyo tabiya sio nzuri dadangu, inaonekana kuwe wewe ni mchonganishi ata kwenye familia yenu 😏
@rashidgona1808
@rashidgona1808 6 ай бұрын
Huyu mwanahabari ananikera mambo ya alikiba ama harmonize na diamond,, clam inamhusu na lipi
@mrsinia3064
@mrsinia3064 6 ай бұрын
Et bwana 😂
@JoshFlexjr
@JoshFlexjr 6 ай бұрын
This guy is genius, the way he answeres question He is really a genius watching you from Zambia Congrats 4 ur good work u are doing Clam vevo 👏
@abdillahhassan8228
@abdillahhassan8228 6 ай бұрын
Yaani wana habari sjui ata wanajifunxa wapi kuuliza maswali yaani mtu ana kazi mpya tena msanii wa filamu unamuuliza mondi harmonize shame
@zalelbalawy2459
@zalelbalawy2459 6 ай бұрын
Muandishiii unazengua sanaaaaaaaaaaaa
@muhammedkhamis2566
@muhammedkhamis2566 6 ай бұрын
Nakukubali clam sana🔥🙌, ushauri wangu wa leo kwako jitahidi kaka kwenye matamshi Kwenye "R" & "L", "H"&"A" N.K weka panapostahiki❤️
@DishaniDisha-zm2gm
@DishaniDisha-zm2gm 6 ай бұрын
Good job
@PatrickJonh-s3l
@PatrickJonh-s3l 6 ай бұрын
Aisee wewe ni mwanaume wa kweli mkuu majibu ya kiume oya big up sanaa💪💪💪 minde yuor business 😂😂😂
@IrakozeNasra
@IrakozeNasra 6 ай бұрын
😆😆😆😆😆il Vevo bhaaan ni unamajib mujarab kw kl😂😂😂nimeipend aisee wat achen umbea w kuingilia mamb y watu w ongelea jambo la Snake boy itakua bor zaid😆😆😆kupatishan t dhambi mtu ameswaum zake uj kumuingiz ktk mada zingin😏
@princeweddymusic4566
@princeweddymusic4566 6 ай бұрын
Wa mwisho leo jmn nipeni likes zangu tafadhariii
@Teddy-k9o3v
@Teddy-k9o3v 6 ай бұрын
Clam umemkomesha huyu Dada Hivi waandishi wa habari ninyi niwaongo?? Waandishi wachonganishi au mnamatatizo ganiii Hii unayo hoji unahoji music au movies za Clam Clam umemuweza...akitaka maswali hayo akaulize wanasiasa au waimba taarabu...wewe ni another level broo...wasikuhoji maswali yakijinga hayo
@MagrethThobias-fm8bm
@MagrethThobias-fm8bm 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@IrakozeNasra
@IrakozeNasra 6 ай бұрын
hakik nimeipend na anajib kw utulivu haki😂😂 nd wakome hapend kuingilia vit vy watu huo nd uwanaum❤❤
@MagrethThobias-fm8bm
@MagrethThobias-fm8bm 6 ай бұрын
We mtangazaji acha kumlazimisha kuzungumza mabonya watu
@dvdkim224
@dvdkim224 6 ай бұрын
Nimependa sana majibu ya kutopenda upepo wa kumtoa kwenye alichostahili kukiongelelea. Nadhani huyu dada kapata funzo kama mwanahabari.
@jamaal1300
@jamaal1300 6 ай бұрын
Mtafute shadow tujue nae alienda wapi
@TheresiaTemu-ye1lm
@TheresiaTemu-ye1lm 6 ай бұрын
Huyu mwanahabari vp? Mbona anamaswali ya kijinga?
@MwahuiLewa-j4h
@MwahuiLewa-j4h 6 ай бұрын
Dada mbona unamulazimisha aonge mambo yasiyo muhusu?
@clovisashuza1976
@clovisashuza1976 6 ай бұрын
It could be better to continue Big Boss instead of this! We are waiting for it!
@DausonWilsonDauson-jj8oz
@DausonWilsonDauson-jj8oz 4 ай бұрын
nalia na mwakatobe 😃😃 na vitako vyenuu
@LaureineFaida
@LaureineFaida 6 ай бұрын
Guys I'm in love with clam vevo ❤😂🎉
@haronmaghanga7550
@haronmaghanga7550 6 ай бұрын
Clam bravo,u mind ur business solely
@AmuriMukumbamotard
@AmuriMukumbamotard 6 ай бұрын
Good Vevo nimekubali sana majibu yako
@mubarakkassimu
@mubarakkassimu 6 ай бұрын
Tunataka big boss clam
@TheFreemusicband243
@TheFreemusicband243 6 ай бұрын
Clam vevo wewe jamani 😅😅😅😅 hakika una weza kujibu😅😅
@SuleimanSalim-q9j
@SuleimanSalim-q9j 6 ай бұрын
Wazi clam napenda najib yak
@SalmaMligwa
@SalmaMligwa 5 ай бұрын
Dada unamtafuta nn clam jaman kilaakikukwepa upo acha mambo yako clam asante kwa majibu yako bomba
@ArceneSangwambiana
@ArceneSangwambiana 5 ай бұрын
Clam wewe kwenye usoni ni clam Vevo lakini kwa kazi wewe ni kanumba akuna tofahuti
@jeannotledenokambalemuchun3084
@jeannotledenokambalemuchun3084 4 ай бұрын
Clam Vevo ni mwenye hekima sana kweli. Nakubali huyo kijana
@AlfaJohnn
@AlfaJohnn 5 ай бұрын
Uyu dada nae vipi huyu anataka kugombanisha watu inshort
@Nassor2377
@Nassor2377 6 ай бұрын
Vevo yupo vizuri yaani ninampa cheo cha master ..anajubu kwa kutulia na personality alionayo ...safi vivo
@salmaabduillahi5729
@salmaabduillahi5729 6 ай бұрын
Nataka mume kama clam😂😂😂😂😂😂😂😂nimependa majibu😂😂😂😂
@LouisBushiri
@LouisBushiri 6 ай бұрын
really bravo my brother CLAM for your wisdom and your responsibility, that's how a responsible man should behave, I really appreciate your charisma brother 🤝
@edmondmfuranzima1967
@edmondmfuranzima1967 5 ай бұрын
Hongela sana for the way unavyo jibu.
@SÙAREZMAHANGOBYAOMBE
@SÙAREZMAHANGOBYAOMBE 5 ай бұрын
Clam kweli mnjanja sana kbs😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@gracebakunzi2399
@gracebakunzi2399 5 ай бұрын
Clam anamajibu ya hekima,hongera sana bro
@BrunoNyembo
@BrunoNyembo 6 ай бұрын
Ongela bro saabu Wa pasha habari wana penda ku weka watu kwenye fitina
@sophianyamvula7080
@sophianyamvula7080 6 ай бұрын
😂😂😂umbea umekupodza dda ye2 😅😅clam hongera sana ❤❤❤
@PedroJacobRomãoRomão
@PedroJacobRomãoRomão 5 ай бұрын
Endeleia napenda sana sneck Boy
@stephensimiyu7504
@stephensimiyu7504 6 ай бұрын
Season 2 episode 6 haipo ama vipi
@JolieMhz
@JolieMhz 6 ай бұрын
Clam Vevo anajibu vizuri aca kumlazimisha jamani
@ExmanExman-rg4bx
@ExmanExman-rg4bx 5 ай бұрын
We dad acha maswali ya kitoto
@ExmanExman-rg4bx
@ExmanExman-rg4bx 5 ай бұрын
We dad acha maswali ya kitoto
@Sabrinaclement-ri3ck
@Sabrinaclement-ri3ck 5 ай бұрын
Majibu yk mazuri sana😂😊
@TheresiaTemu-ye1lm
@TheresiaTemu-ye1lm 6 ай бұрын
Klam upo vizr huyu dada anakera sana
@YordanyDieudonne-f8p
@YordanyDieudonne-f8p 6 ай бұрын
Nilikubali sn big boss iyo ilikua kili ya mwaka
@IbrahimOrma
@IbrahimOrma 2 ай бұрын
Clam 😂😂😂😂😂😂
@AraBia-u6e
@AraBia-u6e 6 ай бұрын
Mwandishi wa habari n mnafki😂😂😂🤗
@Adriano-ru4up
@Adriano-ru4up 5 ай бұрын
Clam una high think capacity
@Mr._pusco
@Mr._pusco 5 ай бұрын
Congratulations Clam Chris
@LatifaKakore
@LatifaKakore 6 ай бұрын
Kiukwe zote ziko vzr
@MagrethThobias-fm8bm
@MagrethThobias-fm8bm 6 ай бұрын
Good Clam una majibu mazuri
@Vvvvbbnnbbnn2
@Vvvvbbnnbbnn2 5 ай бұрын
Noma sana aisee
@BrayoComedian-ro8kh
@BrayoComedian-ro8kh 2 ай бұрын
Kiburi
@JohnBwija-xg5pf
@JohnBwija-xg5pf 6 ай бұрын
Clam vevo ni mwamba sana ❤❤❤
@babylonemabreka8700
@babylonemabreka8700 6 ай бұрын
Huyu dada nilikuwa namkubali sana ila naona anaanza kutoka nje ya uwezo wa kazi zake sasa au labda ndo uzee sijui
@MagrethThobias-fm8bm
@MagrethThobias-fm8bm 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@IdiIbrahim-k4o
@IdiIbrahim-k4o 6 ай бұрын
Vevo nakuku Bali Sana ❤❤❤❤❤🎉
@peterfestus9445
@peterfestus9445 6 ай бұрын
huyu dada jau sana
БЕЛКА СЬЕЛА КОТЕНКА?#cat
00:13
Лайки Like
Рет қаралды 2,3 МЛН
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 10 МЛН
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 5 МЛН
BEST FRIEND | Full Movie |
1:25:54
CLAM VEVO
Рет қаралды 2,5 МЛН
SNAKE BOY ( 1-5 )
55:00
CLAM VEVO
Рет қаралды 699 М.
URITHI WABIBI FULL MOVIE
1:17:38
Steve Mweusi
Рет қаралды 758 М.
KINYOZI MPUUZI
8:16
CLAM VEVO
Рет қаралды 2,1 МЛН
БЕЛКА СЬЕЛА КОТЕНКА?#cat
00:13
Лайки Like
Рет қаралды 2,3 МЛН