Yesu ni mwalimu tena ni dereva akiwa ushukani sisi tuko salama Amen
@tabbyngigi92036 ай бұрын
Many many years later I still enjoy listening to this song . Like yesterday. Angelic voices
@rebekernyanchu31772 жыл бұрын
Kweli kabisa yesu ni mwalimu tena ni dereva wa maisha yetu
@catherinenaliaka11256 жыл бұрын
wow so amazing kweli yesu ni mwalimu ni dereva na ni daktari akiwa ushukani sisi sote tuko salama nimefarijika nikiwa saudi arabia mungu axidi kuwaongezea zaidi ili muzidi kutangaza neno lake kwa mataifa yote.