Hivi nitakua bwege kiasi gani nisikilize hii song nisirudie em weka like apa kama umerudia hili song
@abuukulinga792111 сағат бұрын
Wa kwanza naomba like za mbosso apa chini
@Edouardnaza53 минут бұрын
My brother mbosso unajuwa sana kk🎉🎉
@wadzim222Сағат бұрын
Wanaosema huu muda ni wa mbosso wagonge like hapa❤
@mrkayg58 минут бұрын
Mbosso kama mbosso umetisha sana hakuna anae Pinga nyimbo ni hit . ❤❤❤❤❤
@AffemoAbelly2 сағат бұрын
Mwaka huu tumeuanza vizuri na mbosso khan, mbosso kwa nyimbo ya mapenzi kweli anajua❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@richardmlimila5384Сағат бұрын
Mbosso anahatari❤
@BoniventureMassawe-i9s3 сағат бұрын
Kweli nimeamini daftar la YAMOTO BAND unalo Mbosso..🔥✅......... See more
@TheLuckyboy-l6k2 сағат бұрын
Mboso angalia wengine uwape nafasi.wimbe Nimependa.sana.ngoma..naliludisha.mara mbili mbili❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@hemedmbondejrСағат бұрын
Hii nyimbo hata mama yangu kipenzi anaweza kusikiliza huku akiwa anatabasamu. Akikumbuka kipindi akimpenda baba kwa moyo wake wote na kwa dhati ana tabasamu na kufarijika. Ahsante mboso khan, hii kubwa mno umeandika kaka. 👊👊💪💪❤️❤️✌️✌️
@CharlesRodgesСағат бұрын
Sure
@justusotieno5981Сағат бұрын
The only language understood by all races. What a masterpiece🤩🤩🤩
@Auddyplatz167011 сағат бұрын
N mm hapo mbosso khan tena,,,,ngoma tamu kama asali zidi kutamba bratha,,,mwenzako huku kenya nairobi,,,,tunaompenda mbosso gonga likes❤
Brooo unajua kinoma hujawahi kosea .... Sawa amapiano ni nzuri ila uku ndo kwako bro respect sana kaka. Tunakukubali kinoma wa TZ.
@AsmoreTune075 сағат бұрын
Sikiliza No ya d voice alafu uje huku utajua kuna mdada anahusikaga kwenye back vocal she is so talented🎉🎉
@Zitha-v7j4 сағат бұрын
𝑀𝑏𝑜𝑛 𝑘𝑚 𝑘𝑖𝑠𝑎𝑢𝑡𝑖 𝑐ℎ𝑎 𝑧𝑢𝑐ℎ𝑢 𝑐ℎ𝑢 𝑐ℎ𝑢𝑢❤
@shabanimaulid539812 минут бұрын
Mmh we bab weee......konga nafsi zetu bab weeeeee tupe marahaaaaaaaa❤❤❤
@Husna-l5r3 сағат бұрын
Mbosso wambie mashabiki zako wanipe like jaman ❤❤❤
@AbuubakarSleimanСағат бұрын
Aaa mboss bna mzik mtamu san ila.ukipata mtu ambae munapendana mwaga makopa kw mboss kam una mkubal❤
@AishaShaban-s5r57 минут бұрын
Mie shabik wa mbosso lakin sinawah pata like hat moja hebu tunao mkubali mbosso tujuane kwa like na comment ❤❤❤
@nicksonlyimofundivyunguvya62202 сағат бұрын
Weweeeee mbooosooo King wa mapenzi
@Dullahdulla11 сағат бұрын
Wanao amina mbosso ndo anajua kuimba nyimbo za mapenz tz🇹🇿 weka like hap❤❤
@clintonkhan4961Сағат бұрын
Mbosso aka King Khan 🔥🔥🔥
@johannesssamsonambogo412511 сағат бұрын
Uje umuimbie Mungu ata wimbo moja kaka.
@ChiefOne-j8jСағат бұрын
Mbosso unabalaa jaman kila siku moto zaidi 🎉🎉🔥
@mohammedkidody561811 сағат бұрын
Wa kwanza tulokuwa tukiisubiria kwa hamu hii ngoma tujuane❤🎉
@user-cn2no7xf2y9 сағат бұрын
Kwaza biti ashiiii ❤nyimbo pia ndokakili kabsaa❤❤ mboso umetujulia kaka asante sanaa
@HUpendo5 сағат бұрын
Msanii anae ngiza pexa nying wasafii wakiume ni mbosso ❤❤❤❤
@ericburundii2 сағат бұрын
Jamani daftari la mbosso liibwe plz, maana kuna watu atawauwa🙏🙏
@jumathabiti-dn6mq11 сағат бұрын
Wakwaza hapaa simbaaaa😂
@shugarnjeri254-i2xСағат бұрын
Mbosso receive my flowers while still alive may you live long to keep,music industry on fire ,❤❤❤your songs are on top note & your vocals make's us reach to the dream world of love ....& I take this opportunity to say thank you to the CEO of WCB Diamond platinumz for supporting you towards becoming who you are today ....Long life to all WCB holder's ...Kenyan's love your music..
@SuleimanRashidMohammed10 сағат бұрын
Mimi wa 604 Isiwe sababu ya Kuninyima Like zenu Team MBOSSOKHAN 🎉🎉🎉🎉
@rodgersmwagu239Минут бұрын
Mboso yey hanaga vujembe na msanii yyte yey na mapenzi bcccc kwishaa saf kabisa
@ShawalTitus-s9e10 сағат бұрын
MBOSSO apa Kenya twapenda goma zako kaka,,mwanzo ukiweka beat za Tarabu wamaliza mwananga 🇰🇪🇰🇪,,any Kenyan in the house let's ✋
@WingoMwaijengo36 минут бұрын
Jamaaaaaaa unajua sana kaka Kwa heshima
@SelemanKayange3 сағат бұрын
N ww tena mbosso khan n ka song ka kupenda ❤. Kama unamkubali mbosso weka like
@EmmanuelSimfukwe-qg8mdСағат бұрын
Bro unamjuwa xana bg mbosso Khan👐🤲👍 respect
@Sportycorner3 сағат бұрын
Mwaka umefunguliwa na Kufungwa
@hassansammy1076Сағат бұрын
Bro unajuwa kuimba yani unatugusa kwenye nyoyo zetu respect walio irudisha mara nyingi tujuwane ❤️✌️
@DavidProsper-e6w11 сағат бұрын
Kirungi🔥🔥🔥🙌
@AfroMax_Tz30 минут бұрын
Yule fundi wa hizi kazi kalipua tenaa🔥🔥❤️
@JAY_P_BOY2 сағат бұрын
Kaka unajua mpka unajua tena We ninoma sana wanao mkubl Mbosso tujuane apa kwa like 🎉🎉
@lemizmnyamatz91753 сағат бұрын
Siku hizi unaimba sana kuzidi hata bosi wako. Kuwa makini yasije kukuta yaliyo mkuta konde.
@Officialphilboydrc11 сағат бұрын
Mbonge moja la ngoma yaaani 💥💥💥💥
@V_VODDY10 сағат бұрын
Fungua hii kzbin.info/www/bejne/nYLLiWagpcmijJIsi=0Gaa0xB4FeXsRYKK
@ElyasMula37 минут бұрын
Mbosso wew ni msani wangu ili ufike bujumbula nikias gani cha pesa unakula wlcm burundi
@BishooUkoko11 сағат бұрын
Ooh mbosso khan ni 🔥🔥🔥🔥 namba moja nipo hapa
@SophiaErick-e7jСағат бұрын
Yaani nimeirudia sana zaidi ya sana sema sehem ya kudanlod haijaruhisiwa yaani mboso baba unatuweza
@habilichenza17212 сағат бұрын
Gonga like za kutosha kama una kubali kua mbosso khan ndio mfalme🎉🎉🎉🎉 wa mapenzi ❤❤❤
@VivianFather9 сағат бұрын
Naona kaka ulikimbia na kitabu Cha ya moto bend hatar sana❤❤❤🎉🎉
@selemanisabihi599456 минут бұрын
Kama mpira uyu mtu messi au ronado tumpe sifa zake mapema anajua kuimba sana izi engo❤❤❤❤❤
@stanny156411 сағат бұрын
Nomaaaa likes za mbosso apa 🔥🔥
@9nineBi7 сағат бұрын
Mbosso fav singer big fan from Tunisia 🇹🇳❤️🔥🐐
@kisia_vin49648 сағат бұрын
Mbosso anafanya nionekane yatima wa mapenzi 😭😂😂 Love from Kenya ❤️🥰
@RayvannyAliСағат бұрын
Hiki kiumbe kimenishinda ❤❤🎉🎉mbosso 💪💯
@Mukomariboy6 сағат бұрын
Nice jam kama unaamini mbosso anastahili afanye bongo flavour Na si hzo kelele ZA Amapiano Basi nipe like
@AbdulkarimuMatimbwa3 сағат бұрын
Mbosso ni hatariii aseee Unajua sanaaa
@Blairofficiall2 сағат бұрын
Jamanie nani mwingine wamsikia sauti ya Zuchu kwenye Chorus ❤😂
@kibongeyakobo402547 минут бұрын
Ongera sana My bro wangu kazi zuri tuko pamoja My bro wangu nakuwaka nakukubali sana My bro wangu❤❤❤
@DERIASEDWIN-t2q11 сағат бұрын
Wapi fans wa mbosso kutoka bamburi Mombasa Kenya wpi likes zake🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💖
@mussaeditha7941Сағат бұрын
Hujawah kosea kirungi❤😊😊
@isaarvuai406511 сағат бұрын
Mbosso pamoja na wewe hadi ndala ziishe❤❤❤
@Ormelody-m6xСағат бұрын
Ngoma mbovu saaana tena mbaya bro marombosso umetoa ngoma moja mbaya saaana tena mbovu saaana... pengine kwenye hii ngoma aukusoma vitabu ndiomana maneno iko niakawaida saaana...umetuangusha wana familia wa WCB
@Mukomariboy6 сағат бұрын
Kenyans in the building mko wapi??? tujuane
@naseershiner67384 минут бұрын
Daah Huyu jamaa kwa nyimbo za mapenz bas wampe tunzo hapa Tanzania 🇹🇿 hawamuwez labda hindia
@ahabujastin5 сағат бұрын
MBOSO NI NYOKO ❤😂😂😂
@maalimzingizi422154 минут бұрын
Aaaaaaa mbosso weee unaua baba 🎉🎉
@lovarbicard43784 сағат бұрын
Kama kupenda niugonjwa mimi nimeuguwa ni liké fans mbosso et Lovar bicard 🎉🎉🎉❤
@HamzaAli-os4to3 сағат бұрын
Fumua Baba fumua izo tuzo watazitoa Tu respect watakupa tu ata km mioyo Yao yaugua
@johngithinji520211 сағат бұрын
Much love from Kenya ..piga like kama wamkubali uyu dogo❤
@mosesjackson82603 минут бұрын
Daaah Huyu mboso aneza kufanya uanze kupendapenda
@amadamomade187811 сағат бұрын
Nakupenda sana MBOSSO Embu tujuane like team mbosso
@ComprexBoe2 сағат бұрын
Mbooosss❤❤❤
@LEEMSA_ke11 сағат бұрын
Wewe kama wa vibe hapa na ni wa kenya usisahau kulike❤
@RashidSunuku2 сағат бұрын
Wao nyimbo imepenya mpaka kweny moyo
@MichaelMwakibolwa11 сағат бұрын
BABA MBOSSO UNAJUA SANA.... 🎉 gonga likes kama unajua kupenda huwaga hivi❤
@vennyblack37662 сағат бұрын
Huyu mwamba anajua anajua Tena , Hana kazi mbovu
@guzomc2552 сағат бұрын
Hiki kiumbe kimenishinda 🎙️💪💕
@Ladenmnyama3 сағат бұрын
Mmmmh Naombeni msikilize na ngoma yangu wakubwa....Ila hii Ni 🔥🔥🔥
@ZackyFlavour4 сағат бұрын
Tulio ielewa vers yapili tujuane kwa like hapa❤
@gwamakamwankenja6182 сағат бұрын
Nadhani tumekubaliana kua mboso ni muhindi mweusi anae tuburudiasha kwa lugha ya kiswahili❤
@dullahsuperstar608111 сағат бұрын
Kama unamkubali mboso gonga like hapa
@Krod23-p8s2 сағат бұрын
Hiii nyimbo ingetoka kwenye valentine ❤❤❤❤❤❤❤
@stavo_boi311211 сағат бұрын
Na me Leo nipewe comment zangu jameni,nimewahi mapema sana