Kweli umempa Mbosso heshima ya ukweli 🔥! Kutoka yatima penzini mpaka kumiliki 'Ova' na kutoa hits bila presha 🙌🏾. Anaendeshaje game kama fundi wa muziki safi! Ukiskia Bongofleva, jina lake lazima litajwe 🎶."
Ngoma Kali sana nakusikiliza mbosso toka Moçambique 🥰🇲🇿🙏
@edithasaanane54992 ай бұрын
Verse moja tu jmn🙌🏻 mi nyimbo za siku hizi zinanikwaza yaan muda mwingi unaimba ova ova ova hadi nyimbo inafika ova 💔
@pendohylida58932 ай бұрын
Msani bora kwangu nakupenda sana mbosso much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@asyatajiriwaubunifu30032 ай бұрын
Burundi 🇧🇮 ndagukunda cane Mr love ❤❤
@Dollar_queen2 ай бұрын
Mbosso will be forever my favourite from Tanzania much love from kenya 🇰🇪 ❤️
@LeonardoJuja2 ай бұрын
Fundi wa mafundi hamna wa kukupinga 🎉🎉🎉maua yako
@kevoo_mentality79742 ай бұрын
Hii ngoma inadeserve kuwa one on trending chaajabu mbk sasa hata kwny top ten haipo kwl bongo jau
@frijodreezyo1314Ай бұрын
Mbosso est trop talentueux, depuis la côte d'ivoire, merci pour tout.
@mfuranzimaanicet6394Ай бұрын
Etes vous capables de comprendre le Swahili en Côte d'Ivoire?
@MaliAnn-f7t2 ай бұрын
Any Nigeria in the house 🥂❤️
@SuleimanBella2 ай бұрын
🇳🇬🇳🇬🇳🇬
@rayanchidona26122 ай бұрын
mmejaza comment zenu Sasa ndio Mimi nicoment wapi,au hamkujua nitafika uku😂😂😂 mbosso wee hatari sana , keep going bro 💪💪
@BibiSowaАй бұрын
Mbosso mistari unayo ❤. I have this song on replay. Can't get enough. 🙌🏾🙌🏾
@FauziaAkeza2 ай бұрын
Munipee Like wapenzi kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮♥️♥️♥️♥️
@armandestyle242 ай бұрын
Burundi oyeeee 🎉🎉🎉🎉
@FauziaAkeza2 ай бұрын
@@armandestyle24 poa sana
@KherryNdayishimiye2 ай бұрын
Ok
@zarinangoyzarina-xi1in2 ай бұрын
❤❤❤oye
@FauziaAkeza2 ай бұрын
@@zarinangoyzarina-xi1in Yes
@Ezekiel2242 ай бұрын
mbosso khan mshedede jamnii wew mtoto unabalaa so mchezoo
@MOVIERECAPHD-sq7ph2 ай бұрын
umetisha sana brother
@migita43Ай бұрын
🇹🇷Kama mturuki nausikiliza kwa raha, ni wimbo mzuri sana kaka🇹🇿
@raymondmatemba39772 ай бұрын
Naombeni Likes zangu kwakuwa namba moja😂😊
@francisdhefrenmpunga30792 ай бұрын
Like zanini sasa😅😅😅
@mariahshechambo40342 ай бұрын
Inakusaidia nn
@raymondmatemba39772 ай бұрын
@@mariahshechambo4034 kamuulize Baba ako
@raymondmatemba39772 ай бұрын
@@francisdhefrenmpunga3079 za Bibi ako
@rutimarlon2 ай бұрын
Za nini
@johnmkuha11522 ай бұрын
Mbosso raisi wa mapenzi East mapenzi.....imetisha broo....kazi swafii
@Leonard-p9q2 ай бұрын
It’s ova the king has done it 😌kama unaamini gonga like ya yammi 😂
@samuelmuhia41662 ай бұрын
Umenigusa sana Mbosso love from kenya 🇰🇪
@ismailhusienaliruicostaАй бұрын
I,m from somalia I like this song especially music unfortunately I dont know the meaning of the song
@abdoulali1381Ай бұрын
"Vishavu vimeanza kunona Kitambi ndo hichi sasa ona Nitazame, nanenepa nanenepa Nami nimempata chioma Ulijichanganya, na nilikupenda sana Walokudanganya, ndo walokuponza dear Kujitia mpana, mara kunitukana Kwakweli hapana, nikasema ova dear Ova ova Ova mi na wewe ova Ova imetosha ova Ova mi na wewe ova Ova nimesema ova Ulijichanganya, na nilikupenda sana Walokudanganya, ndo walokuponza dear Kujitia mpana, mara kuntukana Kwakweli hapana, nikasema ova dear Shilingi shilingi shilingi Shilingi yatutoa roho shilingi Shilingi yo ni mwanaharamu shilingi Shilingi ya ua mapenzi Ulijichanganya, na nilikupenda sana Walokudanganya, ndo walokuponza dear Kujitia mpana, mara kuntukana Kwakweli hapana, nikasema ova dear Ova mi na wewe ova Ova imetosha ova Ova mi na wewe ova Ova nimesema ova Ulijichanganya, na nilikupenda sana Walokudanganya, ndo walokuponza dear Kujitia mpana, mara kuntukana Kwakweli hapana, nikasema ova dear Ova ova"
@christopherwaiyaki931017 күн бұрын
Its about ova aka Avacado and rice
@danielmacharia56432 ай бұрын
Kuwacha bongo flava ni ngumu much love from Kenya
@herhighness78072 ай бұрын
Ngoma kama hizi hutokea ukiwa heartbroken😢
@MbaruKhanАй бұрын
Uko wap mamy tuyajenge😢
@MbaruKhanАй бұрын
Uko wap mamy tuyajenge😢
@herhighness780726 күн бұрын
@@MbaruKhan nairobii
@jembeMahiri2 ай бұрын
Hadi kufikia sasa hii ndio ngoma kali zaidi afrika mashariki mwaka huu.
@adnantwahir21252 ай бұрын
jamni naombeni like hii ngoma ni kali au wadau mnasemaje
@KëyNøgø-n7h2 ай бұрын
Shabiki wako Number one From buja_Burundi🇧🇮
@GastonvillaPalange2 ай бұрын
Mbosso Khan fundi wamuziki❤❤
@manikhalid86232 ай бұрын
Hapa ndipo tulipokuwa tumepamiss yuleeeee Mbosso Khan na sio Selemani 😍😍😍 such a banger 🔥
@luckalemba88452 ай бұрын
kama wewe ni mtanzania Na una penda Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 like hapa👇
@mariatatakhan9680Ай бұрын
🇨🇩🇹🇿🤗😁💃🏽🔥
@JuniorProsperswai-fy8ebАй бұрын
Kwasababu ya team ya yanga Kuna miamba ya congo imepita na bado tunao wacongo wengi Sana I like 🇨🇩
@mwajumamande84772 ай бұрын
Huyu fundi sana daaah...i love more mbosso
@gwarafitness33962 ай бұрын
Second to comment,,,I deserve more likes .big fun from Rwanda🇷🇼🇷🇼🇷🇼
@AzariaBiseko2 ай бұрын
Du apa jay melody kazni kwake kuna kazi uyu mbosso balaaa lingine
@RajabuBurhani-j4n2 ай бұрын
😂dah Yani Jana nimetoka kumwambia ex wangu hivi Leo jini Khan kaachia au ulinisikia navyomwambia respect broo🤜🤛
@EsterMosha-yh8xdАй бұрын
Weeeeeee!! zombi unarahanaaaaaa Nini hichi Tena umefanya na Sere😮
@ngolocomedian2 ай бұрын
Oya mbosso njoo nikupe dada yangu huku kigamboni abdu jumbe
@Aboodjan4-2 ай бұрын
Chiz kwel😂😂😂😂😂
@peninameritei38992 ай бұрын
I have listened to the songs more than 5times... Nice song... Would love to attend his live shows....
@hemedmohamed94392 ай бұрын
like me
@Iam_yozboy2 ай бұрын
Ukimkubali Mbosso eka tik❤
@justusmwangi17902 ай бұрын
Mbosso malenga wangu wa kila wakati,,,, karibu kenya
@meryamreally27682 ай бұрын
Wewe Hya Sawa Sana mbosso 😘😘😘🥰🥰😂😂🖐️🖐️👏👏🔥🔥🔥
@MichaelNkuna-m9q2 ай бұрын
Mbosso uliuwa sana tu kwenye hili goma
@holykingmedia24292 ай бұрын
Nanenepa Nanenepa Kamwili Kananona 🫡🫡🫡🫡🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@gymondclassic67292 ай бұрын
HAPA MBOSSO UMEIMBA KAKA DAAH😢😢 NIMEGUSWA SANA NA NYIMBO HII THEN ACHANA NA AMAPIANO KABISA
@Olegue2 ай бұрын
Kussen from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nakubali❤❤❤❤
@iddmlenga98522 ай бұрын
Unapomsifia mboso n mkali..msisahau kua zombie amefany hii beat ijiimbe yenyew 🏃♂️💥💥💥 anaitw salmin zombie anajua kutofautish beat🦃
@Phano7-t9f2 ай бұрын
wakwanza kusikiliza hili goma
@joshuamanase71162 ай бұрын
Ulilitoa kabla ya ridhaa yake
@HassanMwaniki2 ай бұрын
Mboss nakukubali kila wakati...❤❤
@Habibu_manda2 ай бұрын
Me cjui wangap ila najua ni shabik wa mbosso nawe kama shabik wa mbosso gonga like hapa
@alexkarisa7882 ай бұрын
Hii ngoma umeeleza mambo ya bby mama wangu kabisa asante sana mbosso sai ova ova kabisa imetosha
@mpchrisbouduboy71842 ай бұрын
Mon boss position alors mbosso ❤❤
@mwajumamande84772 ай бұрын
Huyu mshkaji noma sana daaaah....mbosso unaimba jmn kongole kwa mama mzaa mbosso❤❤
@nassirshaib66512 ай бұрын
Waliorejea hii nyimbo zaid ya mara. Moja tujuane kwa like hpaa😂😂😂
@hassanbashirhussein2 ай бұрын
Kaka mbosso tupe hii verse Maumivu ya mapenzi ujenga sugu,ku share siwezi vuruguvurugu, shamba la mapenzi wakala wadudu, moyoni makwenzi ukanisurubu iwe ova part 2 naomba sana maana hii verse kali sana kuliko shilingi nta shukuru sana @mbosso
@RifaIssa-g8y2 ай бұрын
Nanili kupenda sana ❤❤❤
@Olivierassani2 ай бұрын
Umwaka wako tena award 2024 yako bila shaka ni oliver kigali tunapenda kazizako🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
@brendafatmaa59762 ай бұрын
Mbosso never disappoint
@RajabuRashidi-x4i2 ай бұрын
Ilaaa mbossooo ni 🔥🔥🔥🔥🔥 Kila wakatiiii
@luckaheba43272 ай бұрын
Mbosso🎉🎉
@bexingombarak26282 ай бұрын
He always deliver what is best for his fans 🎉
@MustaphaSwai2 ай бұрын
Ngoma kali mnoooooooo. Mbosso 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@HidayaMussa-f1p2 ай бұрын
Hii ngoma isipopata featuring Toka nje p'dady atabaki Kua p'dady
@Dr_Cayden_Official2 ай бұрын
King Khan ❤ I'm the first ❣️👉🏿
@SimonGideon-bq2rh2 ай бұрын
Kweli umempa Mbosso heshima ya ukweli 🔥! Kutoka yatima penzini mpaka kumiliki 'Ova' na kutoa hits bila presha 🙌🏾. Anaendeshaje game kama fundi wa muziki safi! Ukiskia Bongofleva, jina lake lazima litajwe 🎶."
@fatmamrihani68282 ай бұрын
Sipendagi BONGO FLEVA ila hizi za Mbosso Zina maazii Fulani hivi lazima uzipendee❤❤❤
@GagaRino-iv7pr2 ай бұрын
Yani Mbosso katowa wimbo 1 tu lakini ni wimbo mkubwa kuliko EP yote ya Ali Kiba, dahh!! kweli mtu mzima kashafulia tayari
@dullizomontana3632 ай бұрын
😅😅
@officialisaiah39792 ай бұрын
mue mna angalia vitu vya kupost bando kila mtu analo nyimbo ni nzuri ila nyimbo bola ya mwaka iko namba moja tuna subir atakae itoa ataimba nini
@DawdaJanha2 ай бұрын
For real ❤
@GariHamisi-t2m2 ай бұрын
unajiskia kweri
@ElizabethMarcel-x6g2 ай бұрын
Aisee mbosso ni mwendo wa fire on the mountain 🎉🎉🎉🎉chukua mau yako
@chef_ramashawarma8122 ай бұрын
Nashukuru mboso haujatusahau sisi tunaolizwa na haya mapenzi😂...kama gundu vile
@migutasangudi24242 ай бұрын
Pole sana
@janetfakorede-g5b27 күн бұрын
Love this song so so much ..love from Nigeria
@AyubuMnyanyi2 ай бұрын
Kuazia. Nitakuita. King mbosso na sio mbosso Kahn NI NI king Ngoja nikupe sababu uitwe king mbosso Kwa sababu amapiano zako NI tofauti na piano nyingine Ngoma zako NI Kali Sana kisema ukweli huu haupingi na kama mm nimuongo naomba hii comment is like na MTU. Mmoja na kama unaniunga mkono kwamba mbosso SASA tunamvua ukhan na tunampa. King dondo like
@lewisluvavali437ke2 ай бұрын
nangoja video,,hope ni kama ile ya:basi tu ft lavalava