Mimi ni mkongo🇨🇩🇨🇩🇨🇩 namupenda sana mbosso. Chapa kazi Niko nyuma yako
@mikelart49624 жыл бұрын
Nampenda Sana mbosso
@pascosawe31815 жыл бұрын
#daaah good job
@raphaelnkwabi96766 жыл бұрын
Nilikuwa na laumu director kafeli kuwaonesha watu wanashangaa kumbe nasisi wabongo tunazingua mtu unaambiwa utoke bado upo tu...sema bg up smibaaaa
@gregorymasonyi47286 жыл бұрын
its good
@starboymsaficlassic93446 жыл бұрын
Respect my brother Kanzi nzuri kikubwa mwombe mungu akuongoze namini utafanikiwa nimeflai kukuona umeludi kwenye game
@zahoorzozo22416 жыл бұрын
Hakuna sehemu naipenda kama pale mnaenda dukani kununua nguo halafu mbosso anavua ile flana kumbe ndani ana kisu bisbis du 🤣🤣🤣🤣🤣
@yusufnuur25256 жыл бұрын
Ulifanya kazi nzuri Mbosso Chapa kazi
@hassanovajunior69726 жыл бұрын
Daah asee safi sana #MbosoKhan unajuwa👏👏👏
@sweetavni95456 жыл бұрын
Hassanova junior una wivu hebu nyamaza
@enockmgizi10886 жыл бұрын
Safi sana imetulia hyo
@erickmbise10636 жыл бұрын
Nakubali san mbosso khan kaz wiz kid w2 ww live hakun ane kuchomoa baba kazaa 2tafika
@josebrownbongo97776 жыл бұрын
eeeh bwana wee dubai tunakupata mbosso suport mpaka kifo
@edwinsigei85482 жыл бұрын
hi video inagusa sana roho ya wezi kama mimi. naenda kuiba ata sahi, naskia njaa kaka
@happymwambinga24006 жыл бұрын
wow.....bravooo....
@paulsylvester78776 жыл бұрын
Simbaaaaa hatareeeee ,,,, RAIA weng sana INA maana hawana kaz hawa duuuuu maana sio ratiba yao coz wamekuja paspo watu kujua bila shakaa watu wangeendelea na mishee sio kukaaa muda wotee ila bhna diamond umetishaaa kinoumaa watu wanakuelewa keep it up
@othmanshaib90893 жыл бұрын
Nasibu Abdul almaarufu diamond ubaki salam uzidy kuwa na Oman ya kibinadam na kiiman pia kiislam
@antonyally38246 жыл бұрын
mbosso upo vzr
@simonjames69876 жыл бұрын
Good mbosso
@SoGood096 жыл бұрын
Very talented guy! Beautiful song & very meaningful too!!
@DJ_fortyninerKE9 ай бұрын
🎉
@didaatv76286 жыл бұрын
yan mbagala mlitisha sana
@mimirey85776 жыл бұрын
Mbosso rudia tena jina lako 😂😂😂 mbn refu mweeh
@chidyboyjuniour39066 жыл бұрын
Rehema Ahmed mbwana yusuf kirung athman salim magenge
@aishaswabnoor35066 жыл бұрын
Allah akuongoze
@TzSPYTv6 жыл бұрын
Noma sanaaa
@sulleyalmass98146 жыл бұрын
I believe that U can MBOSO
@allysavoo57406 жыл бұрын
nkbl mwanng mbosso nimekula san chip zak
@olivermatei48896 жыл бұрын
reyvani
@blacktulip43866 жыл бұрын
Much love from Kenya
@ummyfaiz21276 жыл бұрын
white tulip mashallwa nazipenda nyimbo zako mashallwa mungu akuongoze akuhifadhi
@hadijagere14116 жыл бұрын
Good job
@abdallahyahyasaid97086 жыл бұрын
Inaonyesha watanzania wengi wana muda wa ziada sana. Maana watu wapo kazini wana-shoot unaona watu walivyojaa kana kwamba kuna mpunga kitaani. Ndo maana hata bongo movie ukiziangalia unakuta kama watu wameonekana kwenye video basi utakuta wanashangaa yaani acting yetu imekuwa kama ya majukwaani.
@mwangekatabia91366 жыл бұрын
part two.... wakubwa
@oscarmwambonja44176 жыл бұрын
Tupo kwa ajili ya kukuunga mkono kazi zako kijanaaa
@nasri_dplat36866 жыл бұрын
Appreciate bruh
@aptizokaguxa95006 жыл бұрын
David Bilele gud gud
@giftmwakasungu77484 жыл бұрын
Nakubal
@BigZhumbe6 жыл бұрын
Huo umati uliojaa utafikiri kuna show
@simonjames69876 жыл бұрын
mbosso part 2
@oscarmwambonja44176 жыл бұрын
Piga kaziii
@funnyvideosTVapolinaryshavunza6 жыл бұрын
hii kitu sio mchezo kama unamkubali weka comment hapa subscribe on my channel
@allymussa5155 жыл бұрын
dah mboso natamani niwe kama wewe nifanyaje
@jessicamm31715 жыл бұрын
Safi
@bitabosixbert48436 жыл бұрын
Nyie wasengee mnaakiliii kinyamaaaa mamaaeee
@nyotaamadi83896 жыл бұрын
bitabo sixbert 😂😂😂
@selemayunga91056 жыл бұрын
dogo uko vizury
@ommy66636 жыл бұрын
simba bhanaa....
@jacklinezighe2546 жыл бұрын
Nice one mbosso
@jumamichael40836 жыл бұрын
Wabongo wengi hawana kazi za kufanya maana kwajinsi walivyojazana ni kama vile wapo kwenye mgao wa milion 50 za kila kijiji.