Mung!u akubariki sana kamanda mkuu. Kwa ufafanuzi huo wa kina kama kuna mtu hakukuelewa, basi bwana! Tumwombee!
@mozesjoseph76306 күн бұрын
Umeferi. Pasua chamaaa huyooo.
@elrachum38668 күн бұрын
Basi ... CCM IMEPITA BILA KUPINGWA..
@mcharo2558 күн бұрын
Mbowe the diehard ✌️
@MwakaHappy3 күн бұрын
Uroho wa madalaka aubunabiashara gani inafanyika hapo katikati sielewi ila inauma sana baba chama umekiuwabkwa mikono yaako hata lisu akipita mh wangu unaonyesha kidasi cha ndani kwa ndani hatakuwa salama mbowe umejua kutukomesha wanachama
@mcharo2558 күн бұрын
❤❤❤
@BATHROMEOKAJUKA3 күн бұрын
Chadema muheshimuni mbowe chama amekitoa mbali lisu we mjinga sana
@JeradiMaulidi3 күн бұрын
Hapo mbowe umefani kiwakupasuwa chadema yanikamalipumba chakiku kinakuwa ect
uakika chadema ni famlia kubwa yenye upendo na aman
@JosephMroso9 күн бұрын
Mh, mbowe elewaneni na mh, Lisu chadema iendelee mbele
@maggiehiza58848 күн бұрын
Basi tena. Chadema itameguka. Kutakuwa na kundi moja la Mbowe na lingine la Lissu.
@wilfredmajigo33768 күн бұрын
Umeeleweka kiongozi, kikubwa jitahidini kujenga chama na maelewano. Makundi yaondoke kwa sababu yanavunja nguvu kufanya mabadiliko.
@MlelwaErasmo3 күн бұрын
Maneno yako ya. Busala tumechoka mwenyekit. Mpya. Siyo wewt. Kilasku naneno yabusala. Wanaichi hatwitaji hivo mabadilko. Mwenyekit mengine siyowew bwan
@bashayabenjamin-ot7xi8 күн бұрын
Achia kiti wengine waongoze brother
@eustacefordranger11748 күн бұрын
aachie kiti kivipi??
@EmmanuelManyanda-n3z8 күн бұрын
maamuz ulyoyachukua n mazur,mh Mbowe una busara m co mwanasiasa ila nakukubali,
@bonifacemkanga630220 сағат бұрын
Mbowe hii ni kutafuta huruma hakuna hoja ya kwann uchaguliwe kuwa chair tena huna hoja ngenga tu nyoka makengeza
@FlorenceWasha8 күн бұрын
Umekonga nyoyo za Watanzania Kwa kuendelea
@JohnKatwanga-l1g2 күн бұрын
Nyie wafwasi,wamboye ndio hamuipendi nchi yetu mmeshidwa kumshauri mwenyekiti wetu kwamba asitafu kutokan naupepo urivyo sasa bora ugesimama mwenyewe kuriko wakasimama wote mastaa
@JeradiMaulidi3 күн бұрын
Mbowe atajulikana kamaalikuwanyoka aula
@sulaimanmallecha61343 күн бұрын
Achia kiti baba maneno meng ya nn?
@RobertJohannes-n3c8 күн бұрын
Yaan mbowe kumbe Huna demokrasia hata kidogo Sisi huku tarime hatukwelewi yaani unatufanya km hatuna akili huna Haya!!
@binally824 күн бұрын
Kwhy kwa mama abdul uliomba kwa mahitaji yako binafsi kwa mwamvuli wa maridhiano?
@mozesjoseph76306 күн бұрын
Wwe. Unajifariji. Uttakipasua chama. Ww. Mika. Yote hiyo unaongoza. Chama. Hujaweka mtu. Wa kupokea kijiti. Uttakipasua. Chama acha uroho. Wa madaraka.
@JeradiMaulidi3 күн бұрын
Mbowe kichkakimechomwa moto utajulikanatu
@CosmasSiwalozi8 күн бұрын
Kama. Unaongea. Hivyo. Tutakua. Pamoja. Tu siwe kutofautiana