Tunaona wazi watawala wachache na waliopo kwenye mfumo wa serikali ya ccm wakiishi maisha ya anasa na kusaza wanavyotaka,Wanatibiwa wanakotaka,wanasomesha watoto wao wanakotaka, kuwaajiri mishahara minono na kuwapa mitaji wanavyotaka, magari ya kifahari,mafuta bure,umeme 24/7 haukatiki, maji safi na salama 24/7 hayakatiki, kuingia mikataba na kutapanya rasilimali zetu wanavyotaka, Wanapanga Kodi na tozo kila mahali zisizolingana na hali zetu, Wanakopa tulipe sisi wanavyotaka. Sisi wananchi mamilioni tunaishi kama yatima,tunaowabeba kama watumwa kwa kudra za Mungu tu!
@pastorlbahinyuye579611 ай бұрын
Hongera Kwa good supich upewe mauwa yako
@KesuYeile11 ай бұрын
Big up San mh heche mungu akubariki san
@JacksonMartin-pb2vq11 ай бұрын
Hahahahaha😂yani siasa siiwezi kabisa ni kuunga unga maneno tu😂
@saidybhoky-lb7hg11 ай бұрын
ccm sio dira ya tanzania wameishiwa mbinu
@MohamedKitenge-o9j11 ай бұрын
Nakukubali mh
@winniefridamutakyawa594311 ай бұрын
Safi sanaaaaaaaaa.
@LoitushulYamat11 ай бұрын
Pole kamanda naona mvua kubwa lakini kazi unaipiga kwa kwenda mbele
@ChristerShao11 ай бұрын
Emewasahau,Halina,Msigwa & Mbilinyi Sugu.
@emmanuelmayunga151811 ай бұрын
Uko vzr Heche.. yan umetema madini tupu
@jemeslaizer843611 ай бұрын
Uko na elimu lakini,, huwa mnachelewa kutoa.. Inafaa mtoe kama shule kwanzia January mpaka December.
@bukurunestory354011 ай бұрын
Hawa Wamama wana Furaha sana
@ChristianMkumbo-ix2ke11 ай бұрын
Hivi naomba kuuliza CCM wakisikiya maneno mazuri kama haya wanajisikiyaje? This man akili yake inawapita wabunge wote wa Tanzania
@TheNichym11 ай бұрын
Hatutaki vurugu, wala uchimbaji bungeni.
@bukurunestory354011 ай бұрын
Shule unayotoa Mh Heche imeshiba
@williamkeita151911 ай бұрын
Kwahiyo tumepandisha kibendera cha kijani na tu
@usafiaps31811 ай бұрын
Nyie Badala Ya Kufikiria Kututka Sisi Wananchi Katika Utumwa Huu Tunaopitia Wa CCM Mnafikiria Ubunge?????
@bongo3911 ай бұрын
Mungekuwepo ila hampo imekula kwenu 😅😅😅
@shabelibashili206411 ай бұрын
Wewe bongo acha mzaha kwenye mambo ya msingi yanayozungumzwa na Mh.Heche
@shabelibashili206411 ай бұрын
Acha uchawa bongo
@MACHOYATAI-jk6fu11 ай бұрын
Tumia akili acha utaira
@HijaSaid-xd7fg11 ай бұрын
Tatizo mnamachawa yanaounga watesi wetu,
@ezekielmabwai48211 ай бұрын
Maona MANANGA mengi hapa mwisho kwenye comments. Wasenzi, maji TAKA. MACCM yamewaloga!!?
@lucksonrupa361811 ай бұрын
Ww unafaa kuwa mwenyekiti utachukia kijitii
@FrankMwakatundu-cu6bd11 ай бұрын
NI KWELI KABISA, MHESHIMIWA HECHE NI MIONGONI MWA HAZINA KUBWA YA VIONGOZI ILIONAO CHADEMA. CHADEMA INA HAZINA KUBWA SANA YA VIONGOZI BORA MNO 2025 TUKIFANIKIWA KUWADHIBITI MAJAMBAZI WA UCHAGUZI NA CHADEMA KUIPATA HAKI YAKE (RIDHAA YA WATANZANIA) HATUTAKUWA NA MASHAKA YOYOTE CHADEMA KUUNDA SERIKALI BORA KABISA, MUNGU IBARIKI TANZANIA.
@hajihassan543311 ай бұрын
Mwenyekiti aende wapi?
@bukurunestory354011 ай бұрын
😂😂
@MACHOYATAI-jk6fu11 ай бұрын
Duniani hakuna nchi yenye watu wajinga kama tanzania viongozi wenyewe mataira
@GodloveHendrich11 ай бұрын
Unacho sema huenda kweli kabisa lakin hebu tuwambie mkichukua madaraka utaongozaje ikiwepo kuilinda katiba hii au mpya
@SaidAlly-uh4qw11 ай бұрын
Bado sjaona chama cha kuitoa madarakani CCM bado sana
@ramadhanmahongole929311 ай бұрын
Si huna akili umepigwa upofu na ccm Lazima usikione Chama kingine kuwa madarakani
@MACHOYATAI-jk6fu11 ай бұрын
Waisilamu kama wewe akili zako ndogo sana
@hajihassan543311 ай бұрын
@ramadhanmahongole9293 Hujamuelewa hata mimi nimechoshwa sana na CCM lakini ukweli ni kwamba upinzani bado ni dhaifu. Mfano 2015 CDM ambayo ndio mpinzani mkuu Walimchukuwa Lowasa kupata likebility ya voters chama kilikosa mtu wa kumuweka.
@barakakasamia503611 ай бұрын
@@hajihassan5433 Uzaifu wawapinzani niuwoga wa raiya