No video

MBOWE:NAOMBA HASIRA YA WAKENYA IFIKE TANZANIA

  Рет қаралды 2,971

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Ай бұрын

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe sasa amesifia jinzi vijana nchini Kenya walivyopandwa na hasira na kuandaa maandamano kupinga mswda wa fedha wa 2024. Amesema ujasiri wa wakenya unafaa kuigwa na watanzania ambao vile vile wamefinyika pakubwa na gharama ya maisha
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE KZbin Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Пікірлер: 16
@muyasaidy
@muyasaidy Ай бұрын
I like your today 's speach!
@GraceMassawe-ie3vq
@GraceMassawe-ie3vq Ай бұрын
Si mnataka haki jaman watanzania? Hamna haki bila jasho polen sana
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z Ай бұрын
Ianzie nyumbani kwako
@estambuya3901
@estambuya3901 Ай бұрын
Natamani hata iwe Leo.
@border2bordercuisine168
@border2bordercuisine168 Ай бұрын
Mnh. Ndio kampeni gani jamani!😢
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki Ай бұрын
Ujana wako ulikuwa wapi ukuonyesha hasira leo unataka watoto wetu wakusaidie upate kiti toa watoto wakosiyp vijana
@JonathanMatembo
@JonathanMatembo Ай бұрын
Utakufa masikini mbwa wewe
@ChristerKoku
@ChristerKoku Ай бұрын
Tuwasikilize viongozi wa dini wanaonya sana.hasira za wake ya ziishie huko.
@MasterPetro-oj1fd
@MasterPetro-oj1fd Ай бұрын
Kwa matesohaya tunayo yapitia. Siku zinakuja
@user-ue2nz3vc4j
@user-ue2nz3vc4j Ай бұрын
Sasa ww ujana wako mbona hukuonyesha hasira....
@thomassenga2526
@thomassenga2526 Ай бұрын
Kumbee huyu jamaa mjinga sana unapenda ujinga wa Kenya uje Tanzania pumbavuuu kabisa mbona wewe ulikuwa mbunge ulizikataa hela bwege kabisa
@ponsianongaga
@ponsianongaga Ай бұрын
Cujinga huo lisasi zikija utabaki hapo ulipo.ujinga huo.
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d Ай бұрын
Wewe acha upumbavu wako mjinga sana wewe yani unaomba balaa iingie tanzania kwa sababu ya njaaa yako ya madaraka watanzania tunataka amani
@emanuelnisetas7510
@emanuelnisetas7510 Ай бұрын
Kusema kwwl ccm hawafai chadema pia hawafai
@user-gy3bv7nm7d
@user-gy3bv7nm7d Ай бұрын
Bora kiwake tujue Moja tu
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d Ай бұрын
Yani wewe unafikiri kwamba watu wakifanyavurugu ndio watapata maisha mazuri halafu unataka kuwa rais huna hikima kabisa yani unataka watanzania tuwe wakimbizi hiyo akili au matope acha hizo habari zako za tamaa ya uraisi tangaza sera zako watu wakikuelewa utapata unachotaka sio kuhamasisha ujinga Kama unaofanyika kenya
HIZI NDIO SIASA ZA KENYA
4:19
Wasafi Media
Рет қаралды 20 М.
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 26 МЛН
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 50 МЛН
EXCLUSIVE: MBOWE KAONGEA BAADA YA WANACHAMA KUHAMIA CCM!
12:02
Global TV Online
Рет қаралды 89 М.
MWANZO HABARI:  Chadema Kuwashitaki Awadhi na Nyahozaha
11:43
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 1,7 М.
PATAELEWEKA: CHADEMA KUWASHTAKI AWADHI NA NYAHOZA
6:25
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 1,5 М.
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00
Lasalo Comedian
Рет қаралды 461 М.
BALAA! POLISI MASHAKANI KWA KUWAPIGA VIBAYA VIONGOZI WA CHADEMA!
4:26
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 26 МЛН