Hizo ni imani wao wanafanikiwa leo unasema wanadanganywa watakuombea uwe goigoi ukigusa mambo ya imani ukitafuta kutukuzwa na watu utshangaa tunakusahau
@eliakisinga53602 жыл бұрын
Wewe umeokoka mama.mungu akubariki
@mshangaemmanuel89642 жыл бұрын
Mbunge yupo sahihi kabisa yaani hili ni tatizo ya afya ya akili
@habibuMohamed8 ай бұрын
Nakubali mama
@mathwemrosso81712 жыл бұрын
Asante maamaa
@peacetv96662 жыл бұрын
Yup sahihi. Hii shida ipo hadi huku nchi jirani. Wengi Hawana afya ya akili
@MaulidyNdegeleu2 ай бұрын
Watu wa iringa mmepata zaidi ya mmbunge huyu mama ni hatari
@guccij6236 Жыл бұрын
Tutafutie wakuoa basi
@eddyempire97972 жыл бұрын
Mimi nahis tuanza na yeye kwanza ....hlo tatzo Kwake Ni kubwa zaidi ya Anavofikiria