Mbunge Peter Salasya awachana wasanii wa Kenya 'Mkivuma na wimbo mmoja mnaanza kutafuta kiki'

  Рет қаралды 21,629

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 105
@naslee1010
@naslee1010 27 күн бұрын
Mbunge huyu ana fanana sana na NAY wa mitego.
@lucia20240
@lucia20240 27 күн бұрын
Yes,yaani umewaza kama mimi😅
@NgasaMaduhu
@NgasaMaduhu 27 күн бұрын
Diamond ni diamond tu.
@mwakiosalim2914
@mwakiosalim2914 27 күн бұрын
Will paolo anajulikana tu kenya atakama mimi n mkenya..Diamond no.1
@odiwuorclaude9290
@odiwuorclaude9290 27 күн бұрын
Ambia mamako
@mwakiosalim2914
@mwakiosalim2914 27 күн бұрын
@odiwuorclaude9290 ata mamangu anajua😂😂😂
@svt3
@svt3 26 күн бұрын
​@@odiwuorclaude9290 kwa sasa Diamond iko ufaransa studio Will Paul iko wapi na anafanya nini take kiki ya juzi?
@richardomondi3107
@richardomondi3107 27 күн бұрын
We have our own music flavour in kenya..be it bad or good willy Paul have gain the fame..
@tetesos2654
@tetesos2654 27 күн бұрын
Haya sikilizen hizo nyimbo za huyo kiazi wenu pekee muone km mnatoboa
@NgasaMaduhu
@NgasaMaduhu 27 күн бұрын
So you wanted fame 😂😂😂😂 Trust me your guy just ended his carrier
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 27 күн бұрын
@@tetesos2654 mhh jamani mbona Kenya hawako hivo wanasikiliza tz hata kuliko yao cha muhimu kupendana 🇹🇿🇰🇪❤️
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 27 күн бұрын
@@NgasaMaduhu upendo udumu sisi ni ndugu show bizzz isituharibie mahusiano🇰🇪🇹🇿
@NgasaMaduhu
@NgasaMaduhu 27 күн бұрын
@@paulinewangila-cs6ys showbiz what showbiz that's hate and jealousy your artist was even giving free tickets before the show which clearly means he knew what he was planning to do and that's why he was crying seeking for sympathy cause he knew Kenyans will buy his nonsense.
@UsherGuillain-f9b
@UsherGuillain-f9b 28 күн бұрын
Kbs❤
@jayBabakaila9883
@jayBabakaila9883 28 күн бұрын
Hilo sakata tuachane nalo,juu hapo tutasababisha kenya kujulikana kuwa kunawasanii😅
@dennisndirangu2536
@dennisndirangu2536 27 күн бұрын
Diamond hajulikani nje ya East Africa. Ata Sean Paul alisema hamjui. Kama wakenya hatutapromote ngoma zenyu tena.
@hatwabiswalehe262
@hatwabiswalehe262 27 күн бұрын
😂😂😂
@odiwuorclaude9290
@odiwuorclaude9290 27 күн бұрын
Broh wasani wakenya awadinywi matako
@odiwuorclaude9290
@odiwuorclaude9290 27 күн бұрын
Eeee alafu waambie wajipanguze
@NgasaMaduhu
@NgasaMaduhu 27 күн бұрын
Watu wanafosi Kiki kama sio ushamba ni nini😂😂😂
@sharonvugutsa969
@sharonvugutsa969 14 күн бұрын
Very true
@BlackKing89-l1u
@BlackKing89-l1u 28 күн бұрын
Kama Kenyan Artist hawapati respect nyumbani kwao kwanini wasi concentrate na international market? Respect itakuja nyumbani tuu…Wao kulalamika kila siku na kuharibia organizer wao watasababisha hao organizers kuhama na kufanya business in other countries.
@sylviaforest3001
@sylviaforest3001 28 күн бұрын
Hao Ma promoter wahame na watoke huku hatuwataki wameharibu soko wa mziki wa kenya
@BlackKing89-l1u
@BlackKing89-l1u 28 күн бұрын
@ shida Kenyan artist Wana Njaa!!!😆 hao organizer wakiondoka hata hicho kidogo wanachopata sasa hivi watakosa🤣
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 27 күн бұрын
​@@BlackKing89-l1uUmeongea kilichoko moyoni mwako
@danielmkama24
@danielmkama24 28 күн бұрын
Kwaiy sky umeona u focus na comment mby pekeake sio?
@mamy8220
@mamy8220 27 күн бұрын
Diamond ni Diamond siku zote poze bado tulia😢😢😢😂😂😂
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf 27 күн бұрын
Kwani hao wakina Will na Nasibu wananisaidia nn watajua wenyewe wafie mbali huko
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 28 күн бұрын
Nyinyi sns ni wachonganishi
@egb3rt
@egb3rt 28 күн бұрын
Kaka Sky anavyosoma hzo comment za Wakenya 😅
@nancymagata703
@nancymagata703 26 күн бұрын
Ulifukuzwa kwa sgr
@Abby_Shawn_KE
@Abby_Shawn_KE 27 күн бұрын
😂 Wasanii walio Trending KENYA kama huwa wanafanya show tanzania ni ile HURUMA na UTU hamna aliye na profession ya kuimbia wabongo
@AliDulla
@AliDulla 27 күн бұрын
Kaka naona kuna habar nyingi naona mnatumia nguvu nyingi kulikuza hili jambo diamond is number
@richardomondi3107
@richardomondi3107 27 күн бұрын
Hii ni kweli bro
@odiwuorclaude9290
@odiwuorclaude9290 27 күн бұрын
Huyo salasia sio mkenya
@AbdulilahiHashim
@AbdulilahiHashim 28 күн бұрын
Huyu mwaache alafu usimwongizie hapa Bien soul ana heshima sana ya kutosha kimataifa na kenya
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 27 күн бұрын
Tatizo Niulewa
@Tommy-c6y
@Tommy-c6y 27 күн бұрын
Huyu wa kuangalia video za ngono akitembea ni saa ngapi anatumia akili😂😂😂
@clementrobert-s5s
@clementrobert-s5s 27 күн бұрын
🙌🙌🙌
@AlexanderKarisa-nz7mi
@AlexanderKarisa-nz7mi 27 күн бұрын
Sky waKenya tunaita (Eneobunge)na sio jimbo.Jimbo ni sawa na Kaunti huku kwetu sjui uko Tanzania
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr 27 күн бұрын
Wakenya wenye akili wanamuelewa diamond, nyie ndo mlikuwa mnampa pozee airtime kwenye media za bongo hovyo sana
@ankalmzito254
@ankalmzito254 28 күн бұрын
sasa amemchana pozee wapi na ameongea kifikira yake..mwanzo huyo mbunge hajui mambo ya mziki
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 27 күн бұрын
Wake ya hawataki kuambio ukweli
@tplatnumz
@tplatnumz 28 күн бұрын
❤️❤️❤️❤️
@StrongbowArrow2004
@StrongbowArrow2004 28 күн бұрын
😂😂😂 Vyenye hamna akili ya kujitambua wachina wapo mbona lami sio kwenye barabara tu hadi mwilini watawapaka na bado mtasotea kuilipia miaka 30 😂😂😂
@nightwishisthegreatestband6355
@nightwishisthegreatestband6355 27 күн бұрын
Nyie wenyewe mna madeni.
@StrongbowArrow2004
@StrongbowArrow2004 27 күн бұрын
@nightwishisthegreatestband6355 Shiii muone nae huyu kuna nchi duniani haidaiwi hebu itaje tuijuwe😆😆😆 Issues pesa mnakopa kama taifa ambazo mnazilipa kwa kodi zenu,zinawaletea maendeleo? au zinaingia kwa wallet ya #Zakayo🤣🤣 Hakuna mradi hata mmoja uliopo kenya usiwe mali ya mchina yaani mmemuomba awajengee kisha aushikilie hd atakapo ridhika kujilipa fedha zake.😅 Nyie hadi barabara zenu napita kwa kulipia ushuru wahovyo nyie mmeuza taifa lenu kwa mchina, WE HADI BANDARI IMESHIKILIWA NA MCHINA, NA NDO UTI WA MGONGO WA TAIFA AISEE AKILI HAMNA NYIE TOKA APA🤗 Mmeporoka kiuchumi kwa kutotumia akili zenu mkaziamini za wachina 😏😏😏
@FidelisAkello-b1j
@FidelisAkello-b1j 27 күн бұрын
Nani wewe ndio uko na akili matusi ndio mnajua hakuna kitu kingine no wonder u people are nowhere u guys r almost considered invalid in the map of africa kasi diamond 😂rem pride comes before a fall diamond anajiona sana eti amefika the same way pididdy did before leo yuko wapi? Hayaaa
@nicholasmuuria
@nicholasmuuria 27 күн бұрын
Hawawezi kuhelewa mwesimwa
@aminaanab1071
@aminaanab1071 28 күн бұрын
Tuta msalia pia yeye
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 27 күн бұрын
Ukweli mtupuuuuu
@SergeJames-g1i
@SergeJames-g1i 26 күн бұрын
Miye ni mcongo Paul ni mshamba tu
@Nicholas-r8k6j
@Nicholas-r8k6j 26 күн бұрын
Kwanza hautarudi bunge 2027 coz watu wa mumias wamejua.wewe ni mtu wa sherehe only
@RoseMadatta
@RoseMadatta 24 күн бұрын
Șimba baba yenu
@NicksonKiptarus-j9l
@NicksonKiptarus-j9l 27 күн бұрын
Peleka Mambo yako. Na pombe yako
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 27 күн бұрын
Aende na hukooo huyo mbunge mpuuzi huyu
@evansogutu4167
@evansogutu4167 27 күн бұрын
Tutakusalimia ......sns do you knw the meaning 😂
@dennisndirangu2536
@dennisndirangu2536 27 күн бұрын
We will support Kenyan music kutoka leo. Muziki wa Tanzania tunaupiga marufuku. Mtajua hamjui
@InnocentZamkulu
@InnocentZamkulu 27 күн бұрын
Labda kijijini kwenu 😂😂😂
@AsungaSteven
@AsungaSteven 27 күн бұрын
Who are you
@nancymagata703
@nancymagata703 26 күн бұрын
Peter tulikujengea nyumba sheeeeenzi umbwa koko wewe jenga Kwanza
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 27 күн бұрын
KITU KINAFANYA WAKENYA HAWAVUMI NIKWAMBA HAWAFANYA MZIKI KAMA KAZI WANAFANYA MZIKI KAMA FUN TU JU HAWATEGEMEI MUSIC KWA MAISHA
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 28 күн бұрын
1
@maindodavid8328
@maindodavid8328 27 күн бұрын
Sns ipo against WCB sijui nini shida
@zagarinojo4227
@zagarinojo4227 27 күн бұрын
Mmmh mbona mi sioni ipo against jaman
@Deborahdepsy-qh4rj
@Deborahdepsy-qh4rj 25 күн бұрын
Salasia hananga akili huyu ajielewangi aiii 2027 home tutawaletea uko hatumtaki
@jeremiahmwanyika869
@jeremiahmwanyika869 28 күн бұрын
Sky mbona kama Uko against Diamond.? Hatukuelewi
@maindodavid8328
@maindodavid8328 27 күн бұрын
Sns ipo against WCB sijui nini shida
@JayMoe-jl6zt
@JayMoe-jl6zt 27 күн бұрын
Hyu jamaa Sky toka kitambo namuona Ana Ka beef na Mondi
@TerrySai-j5c
@TerrySai-j5c 26 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 27 күн бұрын
Haha 😂eti tutakusalimia ila wakenya
@TibihikaGerad
@TibihikaGerad 27 күн бұрын
Nataman kuona wanasalimia wasomali kwanza walio Teka galisa na kusema ni somalia na wanawaua wakenya kama kuku🤔🤔
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 27 күн бұрын
😂😂😂😂
@Nicholas-r8k6j
@Nicholas-r8k6j 26 күн бұрын
Mr salasya how can u advice pple yet ur not maried hauna hata mtoto
@MariamIbrahim-h7p
@MariamIbrahim-h7p 27 күн бұрын
😀😀😀
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 26 күн бұрын
MACHOKORA KATIKA UBORA WAO..!!
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 28 күн бұрын
Sikujuaga wakenya wanavita na sisi kiasi hiki😂😂, muachen diamond wetu sisi tujazoea vita, diamond ni mkubwa achen wivu
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 27 күн бұрын
Hakuna cha wivu hii ni show bizz jamani,halafu Kenya wanapenda tz wanasikiliza sanaa miziki ya huko
@stephenmwaniki2803
@stephenmwaniki2803 27 күн бұрын
Na alijia nini huku kaeni kwenu
@FidelisAkello-b1j
@FidelisAkello-b1j 27 күн бұрын
Eti wivu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂oh pliz there are more bigger artist than diamond y waste our time diamond and his management are at fault here and they should accept there mistake
@hassanmwasiwa296
@hassanmwasiwa296 25 күн бұрын
Hata pia ww unaongea kama wao ama kweli mheshimiwa umefeli sana wachana na willy paul eti diamond anaimba nini kama sio kelele
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 27 күн бұрын
Wakenya hawataki kuambiwa ukweli.
@stephenmwaniki2803
@stephenmwaniki2803 27 күн бұрын
Ukweli ambia mamako🤭🤭🤭🤭🖕🏿
@FidelisAkello-b1j
@FidelisAkello-b1j 27 күн бұрын
Ni nyinyi hamtakikuambiwa ukweli how can u people beat up an artist in there own country uliskia wapi hiyo
@AronMtapeli
@AronMtapeli 27 күн бұрын
salasya ni mwendawazimu huku kenya
@errydeo8865
@errydeo8865 27 күн бұрын
Kwa maana hiyo ,Wakenya waliomchagua kuwa mbunge NI WENDAWAZIMU!😂😂😂😂
@FidelisAkello-b1j
@FidelisAkello-b1j 27 күн бұрын
😂😂😂😂 jamani simnanichekesha watanzania wanafikiria life is all bout music ingelikua hivyo then it would have been something of major concern .there is more to life than just music of which tanzanians can not claim on anything coz i would say my country and other countries will beat u hands down so instead of focusing on one thing y dont you guys focus on more important issues in life than waste your time mkitusi watu
@DjMswati
@DjMswati 27 күн бұрын
we ni KUM* kwel ubongo wak upo kwenye makalio ndoman unaongea mav mother f*c
@VexMaizoOfficial
@VexMaizoOfficial 28 күн бұрын
🧭🤳❤️❤️❤️🙏🇲🇿🇲🇿
@IssaMohamed-mp4hj
@IssaMohamed-mp4hj 26 күн бұрын
mbunge upo vizuli
@AllyDjuma-n7z
@AllyDjuma-n7z 28 күн бұрын
Sasa mbona hiyi Habari unayiwongeleya sana ju unataka kuwonesha mwambino Hana makosa Skype unatafuta
@pengefeza2563
@pengefeza2563 28 күн бұрын
He was not safe to perform.
@Viva01Bigs-r7f
@Viva01Bigs-r7f 28 күн бұрын
Ona ili kichwa mviringo
@stephenmwaniki2803
@stephenmwaniki2803 27 күн бұрын
Wewe njifunze kusoma na kuandika kwanza wewe mchamba nini?
@pengefeza2563
@pengefeza2563 27 күн бұрын
@@AllyDjuma-n7z Si level zenu. Nyinyi mukija Tanzania wanawafanyia vurugu????Hata siku moja munakaribishwa kwa heshima
@sylviaforest3001
@sylviaforest3001 28 күн бұрын
Hii channel imekuwa na ubazugi sana kwa kenya Nita unsubscribe!!
@ArunaHakizimana
@ArunaHakizimana 27 күн бұрын
Tumekuita hapa ww sepa Tanzania 🏆🏆
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 27 күн бұрын
​@@ArunaHakizimana😅😅😅wakenya wajinga wajinga tu
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 27 күн бұрын
​@peteremmanuelymatwimatwiem3258 ASANTE SANA HERI NYINYI MNA AKILI,UNGETEMBELEA HOSPITALINI,MOCHWARI,GEREZANI,HUNGEPATA NGUVU YA KUTUSI NCHI NZIMA,MAMBO YA MTANDAONI MNACHUKULIA MUHIMU SANA HADI MNAPOTEZA NIDHAMU MHHH
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 27 күн бұрын
​@peteremmanuelymatwimatwiem3258 DUNIA DUARA HATUJUWI YA KESHO CHA MUHIMU UPENDO,HUYO DIAMOND NA WILLY P WANAKUSAIDIA NA NN?
@Ommyson.
@Ommyson. 28 күн бұрын
Hata wasanii wa kenya wakija na nyimbo moja moja na video zao basi wakipewa nyimbo tatu tu za Diamond hawatofikia kwanzia uwekezaji, Audio, video, photoshoot, promotion, mavazi, muonekano, watu hata mapato yake hawatofikia. mnashikana akili kwa upumbavu wenu nyie wakenya. nyie ndomana mnashikana akili hovyo kila kitu mafhani ni cha kuandamana😂
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 27 күн бұрын
Mhhh sisemi kitu dunua hiii
BABA LEVO AWACHAMBA COMEDIANS NA WASANII WA KENYA||HAWAINVEST!!!
30:28
Mseto East Africa
Рет қаралды 19 М.
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
Diamond Platinum and Zuchu make appearance on 10 over 10
13:04
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 420 М.
Jay-Z ashtakiwa kwa kumbaka msichana mwenye miaka 13 akiwa pamoja na Diddy
11:35