Mbwa sita wameuawawa na wanyama pori eneo la Rongai

  Рет қаралды 42,494

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

26 күн бұрын

Maafisa wa shirika la huduma kwa wanyama pori nchini KWS hapa nairobi wanamtafuta simba aliyenaswa akiingia ndani ya boma moja eneo la rongai na kumuua mbwa kabla ya kuondoka na mwili wake. Kulingana na wakazi wa Maasai lodge, eneo hilo la Rongai, simba huyo anadaiwa kuwaua mbwa sita kwa muda wa wiki moja. Sasa wakaazi hawa wanaishi kwa hofu wakisema simba huyo ni hatari kwa usalama wao

Пікірлер: 68
@thebens6212
@thebens6212 24 күн бұрын
Who invaded whose area???????
@marlonsukura530
@marlonsukura530 24 күн бұрын
Good question
@otekskit5094
@otekskit5094 24 күн бұрын
Watu wa hio Area Ni food ya next week they better take care
@shukrishuu9672
@shukrishuu9672 24 күн бұрын
Who let the dogs out??? Who who who.... 😂😂
@martinmunge2830
@martinmunge2830 24 күн бұрын
Really
@k2superson
@k2superson 24 күн бұрын
Hii ni majaabu
@samgibbs3066
@samgibbs3066 24 күн бұрын
Unaweza pata hiyo hata sio simba ni mutiso from machakos 😂😂😂
@Gracetv432
@Gracetv432 23 күн бұрын
Be nice , ilikuwa lazima utaje my babe ,she is makena
@Zenitram-xv1qs
@Zenitram-xv1qs 20 күн бұрын
Wacha kutharirisha wakamba
@elijahmokua2916
@elijahmokua2916 24 күн бұрын
Si ziende tu statehouse tu Jameni
@yasinsalim6179
@yasinsalim6179 24 күн бұрын
😂
@yasinsalim6179
@yasinsalim6179 24 күн бұрын
😂
@jamesmathu5227
@jamesmathu5227 20 күн бұрын
Zitapigwa risasi huko bro😂
@lizzykies
@lizzykies 24 күн бұрын
Aky siwezi taka kuimagine kutoka nje usiku then nipatane na lion 🙄😬
@ahmedfeleb4877
@ahmedfeleb4877 24 күн бұрын
ni hatari 😂😂😂
@lizzykies
@lizzykies 24 күн бұрын
@@ahmedfeleb4877 sanaaa
@marlonsukura530
@marlonsukura530 24 күн бұрын
😂😂😂
@abdab8466
@abdab8466 24 күн бұрын
Take it easy gatete njoroge
@jamesmathu5227
@jamesmathu5227 20 күн бұрын
Amevuta jina lake sana😂
@abdab8466
@abdab8466 19 күн бұрын
@@jamesmathu5227 watangazaji wa siku hizi si kama wa zamani,wa siku utafkiri wana kigugumizi
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 24 күн бұрын
Sasa ikawa ufugaji wa wanya😂pori umewashinda simuwauzie nchi jirani? Maana Kenya kila kitu hakieleweki
@ericwarugongo5863
@ericwarugongo5863 24 күн бұрын
Nothing works in this govt
@GambuniYaMutura
@GambuniYaMutura 24 күн бұрын
Ni hali ya food-chain. Nothing new under the sun
@esthernjerikimani
@esthernjerikimani 24 күн бұрын
Human erroe!!you have taken their homes..without a respect!!!
@lucymwai7645
@lucymwai7645 24 күн бұрын
I support you 100%
@esthernjerikimani
@esthernjerikimani 24 күн бұрын
@@lucymwai7645 thanks alot 👍 4 sure.
@Dfre1328..
@Dfre1328.. 24 күн бұрын
Rip bosco.. Bosco karash😂😂
@user-oc5lx9ne6c
@user-oc5lx9ne6c 24 күн бұрын
We have invaded their areaa
@carollynne5943
@carollynne5943 24 күн бұрын
Too close to the park.
@reagan_d.pablo1
@reagan_d.pablo1 24 күн бұрын
GATETE NJOROGE🗣🗣
@EmmanuelMwenda-cn6ps
@EmmanuelMwenda-cn6ps 24 күн бұрын
Naomba serikari hata kama uchumi ni mzito hizitulishe simba , tutajilisha wenyewe 😂😂🤣🤣😂
@Beatsonlite
@Beatsonlite 24 күн бұрын
Hii simba inataka kunikulia bosco yangu
@theophiluskyalo9907
@theophiluskyalo9907 24 күн бұрын
Hahah
@user-nr6vi3qf5j
@user-nr6vi3qf5j 24 күн бұрын
Na Tommy pia
@gww-px8vc
@gww-px8vc 24 күн бұрын
This is scaring
@bernardoloo2023
@bernardoloo2023 23 күн бұрын
Yaaani hii kitu inakula tu rottweiler Jo...hii kitu ni hatari😂😂😂
@BrianWelakana
@BrianWelakana 24 күн бұрын
Rottweiler karash😅😅😅😅
@user-jy7ne3iw7y
@user-jy7ne3iw7y 24 күн бұрын
Hii ni pori ya wanyama
@user-mv3yo5lt8f
@user-mv3yo5lt8f 24 күн бұрын
Mazoea ya huyo simba
@priscillawere8375
@priscillawere8375 24 күн бұрын
Uuuweeh 😮😮
@immanuelingari4336
@immanuelingari4336 22 күн бұрын
Nala missed pumba b4 meeting simba,this time simba was not around to save Bosco
@gikundiarenge9596
@gikundiarenge9596 20 күн бұрын
Ruto alisema mnyama pori akivamia boma mwenyewe atalipwa 5M
@ScoviaIsigi
@ScoviaIsigi 9 күн бұрын
Wooi my daddy
@Jackson35320
@Jackson35320 24 күн бұрын
Where do u expect the big cats hyena even elephants find food if you people have taken the lands where they are supposed to move freely
@philliphmwangi
@philliphmwangi 23 күн бұрын
The animals have been leaking from the kws fence, people are in their land.
@suemuithya7648
@suemuithya7648 24 күн бұрын
Wakikuyu tunawaona😂
@ianjoseph5325
@ianjoseph5325 24 күн бұрын
By Gods grace the lion aint attacking humans
@jamesalvin8615
@jamesalvin8615 24 күн бұрын
Iions rarely hunt humans
@AliceJerono
@AliceJerono 21 күн бұрын
❤ppl are on dangerous days 😢
@AlexWaiguru
@AlexWaiguru 23 күн бұрын
Naona kuna watu watalipwa milion mbili but kwa machozi ya watu kukufa sasa 😢
@steveromeo1779
@steveromeo1779 24 күн бұрын
Hey gall
@irineakoth8343
@irineakoth8343 22 күн бұрын
😊😊😊😊😊😊
@Mtu445
@Mtu445 24 күн бұрын
Wasijali wakiuliwa na simba zakayo atawalipa 5M
@williekitala6567
@williekitala6567 24 күн бұрын
Na mkiambiwa mhame.....hamtaki!
@jescah3101
@jescah3101 17 күн бұрын
I can't stay in Rongai.
@robertkabuthia2781
@robertkabuthia2781 24 күн бұрын
Serious
@user-ys1tg7gt7t
@user-ys1tg7gt7t 15 күн бұрын
Ahmed need few f
@yasinsalim6179
@yasinsalim6179 24 күн бұрын
😂
@GG7541g
@GG7541g 24 күн бұрын
People have to be conscious 😒 😕
@salimbilali5174
@salimbilali5174 24 күн бұрын
Sas umbwa kubwa inaliwa na simba
@deejaynitch254
@deejaynitch254 24 күн бұрын
Kws walipe
@erickanyugo3253
@erickanyugo3253 24 күн бұрын
Walipe mbwa Koko?
@jamesalvin8615
@jamesalvin8615 24 күн бұрын
​@@erickanyugo3253you're crazy,that's a Rottweiler
@theophiluskyalo9907
@theophiluskyalo9907 24 күн бұрын
Hii umbwa inataka kukula makasi wagu
@gerishorion-hl7oe
@gerishorion-hl7oe 24 күн бұрын
come out of animal territory
@Zwangendaba97
@Zwangendaba97 24 күн бұрын
Dog amefunzwa adabu
@lucymwai7645
@lucymwai7645 24 күн бұрын
Rui maya nimaunduu mahana atia mwathani Waiguru, So hiyo Simba itakula watu?
DP Gachagua fires at Ruto allies
4:49
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 24 М.
Thika shooting probe: MP Kagombe among those to surrender guns to DCI
3:25
Универ. 13 лет спустя - ВСЕ СЕРИИ ПОДРЯД
9:07:11
Комедии 2023
Рет қаралды 3,9 МЛН
A pack of chips with a surprise 🤣😍❤️ #demariki
00:14
Demariki
Рет қаралды 33 МЛН
We Got Expelled From Scholl After This...
00:10
Jojo Sim
Рет қаралды 29 МЛН
Why the far right is surging in Europe | FT Film
23:12
Financial Times
Рет қаралды 325 М.
Kipyegon, Omanyala clinch Olympics tickets
1:54
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 372
Podcast: Alte Kriege - neue Kriege | Lanz & Precht
54:15
ZDFheute Nachrichten
Рет қаралды 267 М.
Sababu ni Mapenzi : Mzungu akabiliwa na umaskini Malava
4:08
KTN News Kenya
Рет қаралды 252 М.
DUKANI KWA MEKU
11:05
Joti TV
Рет қаралды 215 М.
| CITIZEN WEEKEND | Muguka Ban: Is it Legal?
16:08
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 29 М.