UFAFANUZI Ni kwa mara ya kwanza Yanga kutopiga shuti la kulenga lango dhidi ya wapinzani katika hatua ya makundi ligi ya mabingwa Afrika kwa maana ya kulinganisha kile walichofanya kwenye Kundi D msimu uliopita wa 2023/2024 na msimu huu. By Mhariri - MBWADUKE STATS "Spoti Next Level"
@IbrahimuBaruty-ds8xl5 сағат бұрын
Mim ni ganga❤❤
@MuslihiShafii6 сағат бұрын
Tuna shinda kwa uwezo wa allah
@alexoswald17255 сағат бұрын
Aina ya mchezo tuliocheza na mamelod sundown ndio nilitamani tucheze hvyo ligi ya mabingwa mechi zote tusingekuwa hapa amini nakwambia broo Mbwaduke
@IssaMaliwata5 сағат бұрын
Ramovic akipanga kikosi iki yanga inashinda 1diara 2 Yao 3kibabage 4baca 5 nondo 6mkude 7max 8mudathir 9musonda 10 chama 11 pacome kaka soma kikosi icho live
@abedymtore27073 сағат бұрын
Apo Kwa kibabage ndio tatzo la team wew
@IssaMaliwata3 сағат бұрын
@abedymtore2707 kibabage ni mzuri, ila habuya hachezi Kwa ubora namba 6, ndiyo mana walinzi WA yanga wanafanya makosa mengi, sababu wanakosa msaada wa abuya wakati timu ikiwa imepoteza mpira
@MzingaNziku-vy8sz5 сағат бұрын
YANGA REO WANASHINDA MBILI MOJA
@RichardKayombo-l9v3 сағат бұрын
Upwiru ubwela
@paullukanga-xn8pr5 сағат бұрын
yanga iajiri msoma ramani
@LightnessCharlseKimaro3 сағат бұрын
Yupo sijui anaganya nn
@medmontanatz92395 сағат бұрын
Mwalimu Gamondi aliweza ku implement mtego huo dhidi ya Mamelody sina hakika na Ramovich na kama ulivosema huo mtego ni mzuri ila ni hatari sana